Ufalme wako uje katika maisha ya wazazi wangu,ufamle wa mungu uje katika ukoo na jamii yangu ufalme wa mungu uje katika maisha yangu ufamle wa mungu uje katika maisha yetu ya kila siku na jina la bwana lihimidiwe
Ufamle wa mungu uje utuhamishe kutoka huku Geita na kuturudisha Sengerema kwa damu ya yesu kwa maana mungu hatishiwi na maneno,hila,fitna za watu bali yeye ni mkamilifu na yeye anaenda kufungua njia kwa jina la yesu Amina
Happy sabbath pastor, naomba mniombee kwa changamoto za kazini kwa ni mimi pekee mweusi na hivyo naona kutengwa kikazi kwa kuwa nimepewa shift funny sana ambapo ni peke yangu hakuna mwingine anafanya. Mniombee Mungu anishindie haya niwe huru na kuonwa kama wengine bila kutengwa,asante na neema ya Mungu inifunike lila wakati na jina lake litakazwe
Asante Sana pastor Kwa mafundisho ya ukweli. Mungu ameniingiza ndani ya ufalme wake. Nimejua Kuna hatua Saba kuingia ndani ya ufalme wake. 1. Kusikia Neno 2. Kuamini Na kukubali Neno Na mafundisho ya Yesu. John 3:18, John 3:36, John 3:16, John 5:24, John 6:47. 3. Kutubu Na kutoa shuhuda . Acts 2:38 4. Kubatizwa ndani ya Maji mengi. John 3:1-10 5. Kupokea roho mtakatifu. 6. Kushika Amri Na mafundisho ya Yesu hats kupitia, majaribu, changamoto na shida. John 14:15-18. 7. Mungu Baba Na Yesu Kutokea Katika muumini. John 14:18-24. Mungu Na abariki wrote wanaomtafuta. Amen.
Thanks pastor glory be to God, through your teachings I have gained new strength in thy name welcome back pastor I'm strong indeed glory be to God ever nd ever Amen
Que Dieu soit loué. Je suis très contant de vos prédications. Naomba Mungu aendeleye kunikuza ki ucumi nisiishi maisha ya umaskini ya familia ili jina la Bwana litukuzwe. Niko Idjwi DRCongo.
Pasta nilikuwa naomba tusaidiane maombi mana baba yangu ni mgonjwa na ugonjwa anao umwa niugonjwa ambao baba zangu wakubwa wawili walikufa Kwa ugonjwa huo. Nikujaa tumbo na alijaa mara ya kwanza likapona ila hii mara ya pili imekuja Kwa Kasi sana kiasi kwamba yuko kitandani hata kuamka nikwa tabu sana naomba unapokua kwenye maombi Yako usisahau kumuombea na baba yangu.
Pasta mi nisaidie maombi napungukiwa nguvu za kuomba nikishika hata kitabu cha Mungu kusoma sielewi ila haikuwa kawaida yangu imenitokea tuu nguvu za kuomba zinapungua
@@betymbwambo5747 pastor alisema sio kila kitu kuombea hata wewe unao mamlaka ya kuomnba na kushukuwa atuwa ya maombi na ku mwembia Mungu chochote upendacho ata tenda katika jina la Yesu Amina
@@tumainisampeta5570 unao mamlaka pia ya kujiombea na ukisha omba shukuwa atuwa ya kufunga nakuomba nae Yesu atajibu nime lifanya nami nimeona majibu kabisa nacho kiandika ni kweli kabisa
MUNGU wetu atutembelee Kwa ujumbe huu mkuu sana🙏🙏🙏ubarikiwe mtumishi
Ufalme wako uje katika maisha ya wazazi wangu,ufamle wa mungu uje katika ukoo na jamii yangu ufalme wa mungu uje katika maisha yangu ufamle wa mungu uje katika maisha yetu ya kila siku na jina la bwana lihimidiwe
Thanks pastor ubarikie naomba maombi ya watoto wangu Kwa masomo na family na mm naomba past naona pesa asifanyi kazi past niombe mungu akubariki ❤
Ufamle wa mungu uje katika mahusiano yangu,ufamle wa mungu uje katika mali za mama yangu ufamle wa mungu uje kwenye familia yangu Amina
Thanks pastor ubarikie naomba maombi ya watoto wangu Kwa masomo na family na mm naomba past naona pesa asifanyi kazi past niombe mungu akubariki
Amina,,neno la bwana na libarikiwe,barikiwa sana mtumishi ni kwa maana nabaadilishwa kiimani
Ufamle wa mungu uje kwenye afya ya mama yangu Ufamle wake uguse mgongoooo wake na mwili wake Uweke uponyaji Amina
Mungu azidi kukupa kibari mtumishi nabarikiwa sana na mafundisho yako
Naomba uniombee biashara yangu imarike nakaribia kuifu ga kw kukosa Kodi ya pango🙏
Niko na kila sababu ya kumshuru mungu kamwe AMEN I pray for your safety ❤❤
Ufamle wa mungu uje utuhamishe kutoka huku Geita na kuturudisha Sengerema kwa damu ya yesu kwa maana mungu hatishiwi na maneno,hila,fitna za watu bali yeye ni mkamilifu na yeye anaenda kufungua njia kwa jina la yesu Amina
Bwana asifiwe! Barikiwa mtumishi.
Bwana asifiwe pastor, niombee roho ya madeni iondoke kwangu
Happy sabbath pastor, naomba mniombee kwa changamoto za kazini kwa ni mimi pekee mweusi na hivyo naona kutengwa kikazi kwa kuwa nimepewa shift funny sana ambapo ni peke yangu hakuna mwingine anafanya. Mniombee Mungu anishindie haya niwe huru na kuonwa kama wengine bila kutengwa,asante na neema ya Mungu inifunike lila wakati na jina lake litakazwe
Pastor me nko na shida nyingi naomba uniombea
Yesu yu pamoja nawe
Soma Zaburi 35 kila siku kazini hii imenisaidia sana @beatricemageka0708
Mungu amekushindia Amini tu hilo
God is faithful 🙏
Asante sana kwa mafundisho mazuri.
Asante Sana pastor Kwa mafundisho ya ukweli. Mungu ameniingiza ndani ya ufalme wake. Nimejua Kuna hatua Saba kuingia ndani ya ufalme wake.
1. Kusikia Neno
2. Kuamini Na kukubali Neno Na mafundisho ya Yesu. John 3:18, John 3:36, John 3:16, John 5:24, John 6:47.
3. Kutubu Na kutoa shuhuda . Acts 2:38
4. Kubatizwa ndani ya Maji mengi. John 3:1-10
5. Kupokea roho mtakatifu.
6. Kushika Amri Na mafundisho ya Yesu hats kupitia, majaribu, changamoto na shida. John 14:15-18.
7. Mungu Baba Na Yesu Kutokea Katika muumini. John 14:18-24.
Mungu Na abariki wrote wanaomtafuta. Amen.
Amina nashukuru sana nimejifunza kitu kikubwa sana ktk somohili zuri MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGAJI MBAGA
Ameeeen pastor barkiwa
Kwakweli hili somo ni la thamani sana,Endelea kutufundisha juu ya ufalme wa Mungu,tumjue Mungu kwa undani sana.barikiwa.
Niombee nisome vitabu vya kirohoo na pia isikie sauti ya mungu nauaminifu na uyenyekevi na uvumilivu
Asante mtumishi wa mungu Niko Kenya nime barikiwa tu saaana sijui niseme nini 💯💯🇰🇪🇰🇪🙏
Amina.Barikiwa Sana Pastor Mmbaga kwa mahubiri mazuri Sana.
Ameen ameen mchungaji mungu akubariki Sana mafundisho yananibariki sana
Amin
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa somo zuri
Mchungaji na barikiwa na maubili Yako naomba na Mimi uniombee juu ya family YANGu na Mme wangu napitia katika kipindi kigumu sana
Glory to God most high. Asante Mchungaji Mmbaga. Endelea na kuhubiri injili vole ilivyo. Baba dad akubariki sana.
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu,Mafundisho haya nazidi Kubarikiwa.
Asante sana David mmbaga mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Thanks pastor glory be to God, through your teachings I have gained new strength in thy name welcome back pastor I'm strong indeed glory be to God ever nd ever Amen
Barikiwa sana pastor
Barikiwa sana pasta , mafundisho unayotoa yanagusa maisha yetu
Mungu akulinde mtumishi
Happy Sabbath pastor,vipindi vyako huwa vinanibariki sana....pia naomba unikumbuke Kwa maombi,juu ya familia,changamoto za kazi...
Ameen Ameen ubarikiwe Sana Mchungaji
Na barikiwa Nkiwa abroad. Na penda sana mafudisho yako. Mungu akubaki. Pst.
Mungu akupe baraka tele.
Pasta ubarikiwe saana
AMINA mtumishi barikiwa sana
🙏🙏🙏🙏🙏
Pastor niombee Sina ndoa nahitaji niweze kusimama imara kwa Mungu
Jamani mwenye namba za pastor naomba
Be blessed pastor 🙏
Mchungaji Mungu akuriki ,aki nilikumic mtumishi wa Mungu 🎉🎉❤❤
Yesu anaweza yote naomba maombi ujenzi wa kanisa
Que Dieu soit loué. Je suis très contant de vos prédications. Naomba Mungu aendeleye kunikuza ki ucumi nisiishi maisha ya umaskini ya familia ili jina la Bwana litukuzwe. Niko Idjwi DRCongo.
Ninabarikiwa na somo Mungu akubariki Mchungaji na akujarie afya njema uzidi kutufundisha Amen
Naomba mniombee nipone magonjwa nimesubuka kwa muda mrefu.
Naomba mniombee npate mtoto
Anna, Nakuombea Mungu akupe hitaji lako. Jukumu lako omba msamaha na usitende dhambi. Amini amesikia ombi lako nakuombea sasa
Napenda mafundisho yako na yananibariki sana,, naomba kujua kuhusu hizo habari za jicho la tatu,,,,,ni kitu gani hicho ?
Tutaomba,kwayo lakini zaidi Rudi nyumbani .
Mchungaji niombee naumwa na mwili minguu mikono ata kiuno pia mtoto wangu anatafuta kazi na hapati niombee apate ajira
Mungu akutendee
Kama alivyo Omba Anna akapewa hitaji la moyo wake nami namuomba Mungu anipe mtoto pia
Yesu na akujibu ombi lako
Ameeeeeen 💯🧜🇰🇪
Pasta nilikuwa naomba tusaidiane maombi mana baba yangu ni mgonjwa na ugonjwa anao umwa niugonjwa ambao baba zangu wakubwa wawili walikufa Kwa ugonjwa huo. Nikujaa tumbo na alijaa mara ya kwanza likapona ila hii mara ya pili imekuja Kwa Kasi sana kiasi kwamba yuko kitandani hata kuamka nikwa tabu sana naomba unapokua kwenye maombi Yako usisahau kumuombea na baba yangu.
happy Sabbath.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nami nilipend sana vipindi hivi
Ainuliwe Mwokozi
❤❤❤ good
Amen
🙏✌️👍.
Amina
Pasta mi nisaidie maombi napungukiwa nguvu za kuomba nikishika hata kitabu cha Mungu kusoma sielewi ila haikuwa kawaida yangu imenitokea tuu nguvu za kuomba zinapungua
Mungu akutendee
Vema.
Jambo
Mimi Niko Kenya naomba utufundishe kuhusu utatu ni nini
Sure Pr. what does the Bible teaches concerning Trinity
Ikikipindi kinaanza sangap?
Pastor ninakuamba uniombee shida ya uchawi hiishe
Mungu avunje hizo nguvu kwa jina la Yesu
Amen
@@MahubiriPrMmbaga Zidi Kubarikiwa Mtumishi, naomba unisaidie namna ya kupata kitabu cha Maombi yanayojibiwa kilichoandikwa na Pr Mbaga!
Natafuta hile video ya Ndoto kuota mtu yupo shuleni
Naomba niombewe kwa ajili ya familia yangu,naomba na mtoto wangu apate shule nzuri .
Naota sana nipo shuleni sijui maana yake
Mm mniombee nipate hela ya kujengea nyumba nimechoka kupanga