NANDY Alivyoimbiwa KIMAHABA na MAJANABA wa BSS JUKWAANI ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #NANDY #WCB

КОМЕНТАРІ • 85

  • @kusagaonlinetv3983
    @kusagaonlinetv3983 3 роки тому +9

    Huyo bodgud amekua makini na makalio ya nandi

  • @alphankilenga6209
    @alphankilenga6209 3 роки тому +9

    Bordyguard amezingua. Sio kwa kulinda tako la nandy namna hyo. Af stejini mmmmmmmmh. Wabongo bna

    • @greatiq7835
      @greatiq7835 3 роки тому

      Kwa hivyo bodyguards wote wa bongo hulinda style hiyo? Au huyo mmoja ndo kakufunga akili hivyo?

  • @sifatiiman
    @sifatiiman 3 роки тому +7

    Kama umemuona nandy kavaa mkanda wa kubana tumbo gonga like apa twende sawa

  • @barakamathayo5946
    @barakamathayo5946 3 роки тому +6

    Haha kama unamkubali majanaba weka like yako hapa😂😂😂😂

  • @milkahmakuru2460
    @milkahmakuru2460 3 роки тому +15

    Bodyguard angekua active hivo shuleni angekua pilot

  • @roi2553
    @roi2553 3 роки тому +5

    Majanaba kama majanaba

  • @TEN10TV.
    @TEN10TV. 3 роки тому +2

    Hicho kinguo alichovaa nandy si Kama cha gigy money tuu

  • @ratifaally2732
    @ratifaally2732 3 роки тому +1

    Nady💋💋😍

  • @rehemakafuku6140
    @rehemakafuku6140 3 роки тому +2

    Nandy ❤❤

  • @fatimaharoon8218
    @fatimaharoon8218 3 роки тому +1

    Kwa Sasa Nady yuko na tako mwasema alipo kuwa Hana mlisema. Alipo kuwa akiimba na dhera mlisema wanadam bwana hamueleweki. Pambana na kzi yko nady

  • @diamondplatnumz8369
    @diamondplatnumz8369 3 роки тому +2

    Kamenenepa kidogo

  • @lulually6722
    @lulually6722 3 роки тому +6

    Body gard amekaa km zunde macho yote kwenye makalio ya nandy

    • @merynjau5614
      @merynjau5614 3 роки тому +1

      😂😂😂 yn umeziweza mbavu zangu jmn ... Mbona unajua kuchunguza ivyo mm nilikuwa sijamuona nilivyosoma coment ndo nikaona

  • @annafortunatus3056
    @annafortunatus3056 3 роки тому +4

    Nandy kwanini hupendi kuomba live xaxa hayo marekodi hata hayaeleweki

  • @husnajuma986
    @husnajuma986 3 роки тому +4

    Nandy nakupenda 😍

  • @eusebiamrosso6420
    @eusebiamrosso6420 10 місяців тому

    ❤❤❤

  • @hemedmakunda5985
    @hemedmakunda5985 3 роки тому +1

    Kweli uyu majanaba

  • @pendaelikilimba2434
    @pendaelikilimba2434 3 роки тому +4

    Ruby arudigi tu kwenye nafasi yake

  • @davidcaroli559
    @davidcaroli559 3 роки тому +1

    Bodyguard hacheki duh!! Sura yenyewe ya kuichachisha mboga kwenye chungu

  • @jastinimushi5992
    @jastinimushi5992 3 роки тому +2

    Huyo majanaba yu kwap nyiko nyinyi

  • @1THEBRAIN
    @1THEBRAIN 3 роки тому +2

    Nyie TV vifaa vyenu vya sauti ni vibovu marangi tu huwa mnapost vitu sauti inakoroma haisikiki acheni ubakhili nunuweni vifaa vizuri

  • @jasmine.mayala7597
    @jasmine.mayala7597 3 роки тому +3

    Hv wasanii wabongo kuna aja gan yakuwa live jukwani?kwann watumie recorded wasiimbe live me naonaga wanapiga makelele tuu kwny majukwaaa

  • @prettyveronica7961
    @prettyveronica7961 3 роки тому +2

    HV wasanii wabongo hawawez imba live xaxa hzo record zann kelele tu Bora usikilize redio

  • @josephsimiyu5211
    @josephsimiyu5211 3 роки тому

    Huyo bodyguard anachungulia

  • @mohamedsume645
    @mohamedsume645 3 роки тому +2

    Huyo bodyguard mmmh anavyomuangalia Nandy sio kwa heri

  • @moreenrespishazy29
    @moreenrespishazy29 3 роки тому

    ila huyu board guard hapana😃😃😃

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 3 роки тому

    Uyoo bodgadi apana jamaniii wah kwani aliambiwa aangalie makalio ya nandy au shida nn!!!!!??? ______😂😂😂😂

  • @silyngovano5732
    @silyngovano5732 3 роки тому +2

    Wasani wa bongo washamba sana kupanda jukwaani na baunsa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @celinedioniz8972
    @celinedioniz8972 3 роки тому

    They call ma name😍😌☺️

  • @habibaabdullaali7026
    @habibaabdullaali7026 3 роки тому +1

    Umependeza sn

  • @annasimon1696
    @annasimon1696 3 роки тому +2

    Bodgad unamuangalia sana nand

    • @boylondontztz920
      @boylondontztz920 3 роки тому

      Nilijua meona peke yang kumbe nawe umeona

    • @manning979
      @manning979 3 роки тому

      Hahahaaaa kazi ya bodhi kulinda vyote 🤣🤣🤣

  • @mauricempinga935
    @mauricempinga935 3 роки тому +1

    Vp kuna harusi hapo au?

  • @abdurabmsuya7291
    @abdurabmsuya7291 3 роки тому

    Mh! Huyo bodgad hajavuta bange kweli mbona macho mda wote kwenye kishundu cha nandi

  • @mariamjuma5078
    @mariamjuma5078 3 роки тому +1

    ❤❤❤❤

  • @davidcaroli559
    @davidcaroli559 3 роки тому +1

    Ulinzi kaz jamaa halicheki na mtu yani Dah!!!!

  • @asiahamadi8224
    @asiahamadi8224 3 роки тому

    Jamaaa analinda kishuzi yupo makini lkn kn

  • @claudmboro2940
    @claudmboro2940 2 роки тому

    Vp wan chach tam

  • @Matiherbalist
    @Matiherbalist 3 роки тому

    Hahahaha 😂😂 majamba Katisha Ila sauti haitoki

  • @raykas9976
    @raykas9976 3 роки тому +1

    Nandi unaimba vizuri lkn unatakiwa kucheza ktk show km hiyo watu wamekuja kuonashow fanya mambo jukwaani.

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 3 роки тому +2

    majanaba mbona sauti halitoki vizur 🤣🤣🇧🇮

    • @bk20gaming28
      @bk20gaming28 3 роки тому

      Sound engineer

    • @egideniyonkuru9705
      @egideniyonkuru9705 3 роки тому

      Kumbe hata wew huyu dingi mura muranya aliasi majanaba unamukubali eeee huyo mnoma .bite non ww

  • @lucylucy7307
    @lucylucy7307 3 роки тому +3

    bodyguard yupo makini haswa ila sasa sjajua hapo 😂

    • @beatricembokigwe492
      @beatricembokigwe492 3 роки тому

      Yani yuko makini hatar analinda kibalua kicjeota nyac

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 роки тому

      @@beatricembokigwe492 kabsa 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @lucylucy7307
      @lucylucy7307 3 роки тому

      @@beatricembokigwe492 ila sas macho yake yote kw nandiii siyo wa watuuu hhahah

    • @mildredtimah5094
      @mildredtimah5094 3 роки тому

      😂😂😂 napenda avovimbisha uso

    • @lucylucy7307
      @lucylucy7307 3 роки тому +1

      @@mildredtimah5094 n kifua kama chote wakifika chumbn hoiiii😁

  • @yasristeven1135
    @yasristeven1135 3 роки тому +3

    Hlo bodyguard anavomuangalia huyo nandy

  • @chuchuman8292
    @chuchuman8292 3 роки тому

    Show kali

  • @noreengasper813
    @noreengasper813 3 роки тому +1

    Nandy amevutqaa kimatako

  • @lucyimani2878
    @lucyimani2878 3 роки тому

    Sikupendi nandi tena sijaikubri shoo yako

  • @halimastanslaus8886
    @halimastanslaus8886 3 роки тому +1

    Jomoni analinda Mali ya watu

  • @jackjoshua3666
    @jackjoshua3666 3 роки тому

    Fanya mazoezi co unakulakula tu kucheza huwez

  • @neemakoka599
    @neemakoka599 3 роки тому

    Nandy una muda wa kutosha nenda twanga pepeta wakufundishe kukata uno

  • @Salimfulla
    @Salimfulla 3 роки тому

    judge anasema nyimbo kali perfomance zero...

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 роки тому

    Da, Janaba mbishi hawezekani, akikamata mic anageuga mtoto wa Trump kwa kwenda mbele, Na leo kala suti kali🤣🤣🤣🤣

  • @omanamenmct1600
    @omanamenmct1600 3 роки тому +3

    Huyu body anatafuta balaa kwa nenga kwakweli