#ZaNdaaani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 роки тому +3

    Umbea mwengine unakuharibia hesabu hiyo ni kali na ni nzuri sana, matola ameshajulikana anatumika na wale wasiependea Club mazuri na wanaemchukia CEO wa Simba.

  • @hitralucas3875
    @hitralucas3875 2 роки тому +5

    Hata mm nimekubali apewe tuuuh spirit inakuja kwakweli

  • @mactweve3353
    @mactweve3353 2 роки тому +4

    Viongozi wa simba mkianza kutuletea kocha mwingine mimi nahama nawaachia timu yenu

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 2 роки тому +3

    Mgunda kama mgunda kaweza Isumbua yanga akiwa coastal union sembuse Sasa yuko simba kashakula shavu

  • @princekarani7836
    @princekarani7836 2 роки тому +3

    Moja ya mahesabu yao apatikane kocha mkuu,alafu mgunda ndo awe kocha msaidizi but aliyekuwa kocha msaidizi AMbaye ni seleman matola aende kuwa kocha wa simba queen’s 🤣🤣🤣(code iyo hapo)

  • @hamzamohammed2535
    @hamzamohammed2535 2 роки тому +1

    Leo nimekuwelewa Sana zandan

  • @saidisalumu103
    @saidisalumu103 2 роки тому +2

    Umeongea point kabisa simba walikosa kupambana

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 2 роки тому +2

    Waambieni yanga Sudan Hakuna ngoma,hivyo watapigwa kama madufu..na hakuna meza za kupindua watu Wanakaa kwenye mikeka😂

  • @lukehaprimary2574
    @lukehaprimary2574 2 роки тому

    Mnakula wambea sana

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 2 роки тому +1

    hii ya keo nimeikubali

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 2 роки тому +1

    Mmbea

  • @albertchuwa9055
    @albertchuwa9055 Рік тому

    Baba ake mo ndo kasema twende na huyu....

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 2 роки тому +1

    Jana ulisema nabi kapewa mechi tatu kumbe urongo

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 2 роки тому +1

    Hilo pira la handeni sio lushoto

  • @abthaqb2711
    @abthaqb2711 2 роки тому +1

    Juma mgunda tunapiga pila tanga##Guardiola mnene##

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 роки тому +1

    Sasa unalambalamba mdomo wa nini khaa

  • @idriskhamis6763
    @idriskhamis6763 Рік тому

    Unafiki tu ndio wako momo

  • @official_farajiasangoda7071
    @official_farajiasangoda7071 2 роки тому +2

    Ety acha unafk

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 роки тому

    Eti wakongo mama wao🤣🤣🤣🤣

  • @happynesslnc2044
    @happynesslnc2044 2 роки тому

    kwaiyo unamaanisha simba wataifunga yanga

  • @sadashabani9445
    @sadashabani9445 2 роки тому

    Uyu nae😏😏

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 2 роки тому +2

    Huyu mbea

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 2 роки тому

    Mzee gani huyooooooo?

  • @mkanunitv
    @mkanunitv 2 роки тому +1

    ua-cam.com/video/ct5p0kcNH_c/v-deo.html
    Mh mkenda awapongeza mafundi wanaoyemalizia ujunzi wa chuo cha ufundi veta geita mara baada ya kwenda kukagua ujenzi huo na kuvutiwa na kasi ya ujenzi wa veta..
    Habari kamili....?
    ua-cam.com/video/ct5p0kcNH_c/v-deo.html

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣MANYONYO