aiseee!!! Jux, hakika huu ni bonge wa wimbo.. Bob Manecky huwa anakupatia sana kwa style yako ya uimbaji.. usibadilishe, nyimbo zako zote tolea hapo hapo... all in all, good work #Jux
niskize ninavyo imba na pia ninavyo piga gita naona watu wamependeza face zao zime jaa furaha najua ujui leo hii kita tokea nn I do this for u juma juma unajua bro much respect bro
Jux is the best absolutely. Voice on point, beat on point. Always. Never misses. For the lyrics idk bc I don't understand swahili, but I'm obsessed 😅 Thank you for employing your talent Jux
pamoja sana mkali jux ....kiukweli ngoma yako ipo pouwa kinouma .....jua umegusa visa na mikasa ya jamii ya mapenz tena hasa ya kitanzania ...so kikubwa ukaze to bro maisha ya mziki bado yanakutaka uwe mbunifu zaid,
Hii nyimbo leo nimeirudia zaidi ya mara 10 najifikiria sna jux sikuhyo alikuwa ameamkaje maa na jamaa alitulia sana ,na ukijumlisha leo holday hadi burudan
jamani jux nikwambie nn zaidi ya kukuambia kwamba nyimbo zako nazipenda sana kuriko we nikali no.1 hapa tz wa rnb wengine wanafata kiukweli me nishabiki wako no.1 bhna
I don't understand why this song is not a top hit
Kama umemwona Barnabas gonga like... Jux uko juu I'm joining you soon
this guy is soo underrated .never disappoints
Love this song from Nigeria
2024 anyone?! ❤
Around ❤
Am here
❤❤❤
Im here❤
Beautiful song
We love Juma Jux from Nigeria.
Juma is our Son Inlaw forever Insha Allah amen.
Jux never makes a bad song. Hands down one of my favourite artists
Sure he is Dame killing
Na ben pol
Umenikamata we umenikamata ❤️🤩aah jamani love is beautiful 😭❤️
Bonge la ngoma kama umeikubali gonga twende
xana
jux uko vizuri sana
Bonge la ngoma. Naikubali brother
kbs
Niceeeee
Duh tamu kwel ani,Juma respect to u,love u bureee
Kuna jamaa Nimevurugana naye ati anabisha Ben pol Anajua.JAMANI JUX NI FUNDI ..
KENYA MARK REGISTER HAPA TWENDE SAWA.HOW MANY LIKES FOR JUX
Jux anajua sana
Shallz Baro nmwambie jux n zaid ya fund yaan hua anaua kbx bro💪
jux mkali mkubwa achatu
Shallz Baro jux zaidi
yoa
Damn this guy can really compose music .
This guy is seriously underrated...his music should be everywhere...haven't heard a bad one yet and i've veen listening to all of them
sina neno my wew tena hukoseag🎶
Kazi safi this song never gets old everyday sounds like a new track
Seven years back wimbo umetoka I think ilikuwa mwezi wa nne niliachwa hiyo siku,listening again in same situation 😢
That true
I do this for u
every day anytime!!
Y not trus me!!
Omg come on umenikamata really
Good job hugeeeee
Kumbe huyu kaka anaweza kweli, leo nimezikiza ngoma zake na zikanipendeza
Umechelewa xn ndg yng kwan ulikuwa unakaa wapi mpk usijue kuwa Jux ana nyimbo nzur
@@josboy5384 Kaka, Sasa nishajua kuwa wewe uko na umanifu kwa utunzaji wa ngoma zinazopendeza na kutia fora, rndelea na huo mtindo Hadi uzeekeee
Ni mwimbaji halisi wa nyimbo kali za mapenzi na hisia nzito, napenda sana kazi zako
my romantic song ..wallah sichok kuusikiliza good job jux
Cjui lini ntamuimbia bby boy jmn naupenda huuu wimbo❤
My super star 💪♥️♥️🇿🇲
Love this song!.. Future classic!🇰🇪🇰🇪
big up xn juma kwel unajitahd kaza buti jaman diamond akasome kwa jux congrat jux
nasikiliza huu wimbo nikiwa Milan yaani siku nzima ya leo nawala sichoki sei bravissimo Jux ti adoro.
His songs make feel bad that I'm single,😪eii whyyyy lawd
tisha sanaaaaaaaaaaaa jux na mimi naimba kidogo"umenikamata"
Nice song ❤❤❤🇳🇬
Unatisha sana jux wewe hatari mnoo..... Big up....
Sanaaaa
jux huwa unajuwa unachofanya ndio maana hukosei. umenikamata wee!!!! umenikamata weeee!!!!!
aiseee!!! Jux, hakika huu ni bonge wa wimbo.. Bob Manecky huwa anakupatia sana kwa style yako ya uimbaji.. usibadilishe, nyimbo zako zote tolea hapo hapo... all in all, good work #Jux
Jux adi mwisho nitaskiza ngoma zako😎😍😘🤗🥰
niskize ninavyo imba na pia ninavyo piga gita naona watu wamependeza face zao zime jaa furaha najua ujui leo hii kita tokea nn I do this for u juma juma unajua bro much respect bro
Fran k fran k ngoma kali saana hii Imepenyaa saana
brother hana anacho jua wanatungiwa
Dj Kellz Logic tungiwa na ww uimbe kenge ww
ww ndo unamtungia?
mee
hii nyimbo Kali sana bby Wang alikua anapnd kuniimbia respect kwako jux
kali mzee jux nakukubali balaaa hatari mzee baba
kudadadeki zako jux yani ni bonge la video bro huyu hanscana ni shida anajua hadi anakera the number one director in tanzania hongera kwako
all the way from USA watching Kali sana
Iam Rogerz iko juu sana👌🏽.
umenikamataaaaa jux wewe ni fundi zaidi ya mond na kiba basi tu tunajifanya hatuoni
umenikumbusha napata raha nilikua naisikiza mpaka sio poa / nice work
daaaah umejuajeee.....
Maryam Roby happy sio Mimi tu nilie fikiria hivi
+frank msafiri aaaah aya bana ila ni nice song ama vepeeeee
Maryam Roby for sure Maryan ni good music
+frank msafiri oky dear nice day
brother kiu na njaa nlivokua navoo umevitibuuu JUX +HANSCANA+AM RECORDS mnajua nin watu tunapenda tanx alot
This song inaingia mpaka kwa tumbo!!!!! landlord atanifukuza juu ya ii ngoma na kelele,,,,team +254though I don't know Swahili😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣, Jux mganga wa moyo inaobpenda jameni kbx.
Nazikubali zote jux,kazi bora kabisa,nilidhan umetoa Jana .music unauweza men!.
video Kali nyimbo Kali wewe mwenyewe mkali very good
Rrd
Godfrey Yuvenali
I love you jux❤
2024 lets gather here🎉❤
wajua napenda kukuona wewe ukiwa na furaha..
bless up jux
R Kelly wa bongo upo vzr
jux's favourite artist put a thumbs up✌✌✌❤😘
🙃🙃
so nyc
Sia Mettah fantastic Singer big up sanaaaa
so true
dah nyimbo nzur xana love u jux
The Saxophone ndo imenimaliza nice blending Jux weee ndo mchizi wangu hit after hit, wale wasio elewa maana ya mziki wako kule kwakina nanihino
2020 twende sawa jamn ❣️❣️
Juma sijawah kuacha kupenda nyimbo zako hata moja wallah, na ctegemei kam utakuja kuniangusha kwa hilo
Jux is the best absolutely. Voice on point, beat on point. Always. Never misses. For the lyrics idk bc I don't understand swahili, but I'm obsessed 😅 Thank you for employing your talent Jux
Naipenda sana hii nyimbo❤
this is what we call music it comes with its taste!! much love from Njombe TZ!
One love home boy
Kutokea ndani ya PLUTO PLANET,,sielewi kiswahili ila huyu jamaa tunamkubali huku kwetu..big up Dunian especially TANZANIA
wow...all the way from Botswana. luv ur song Jux. m so inlove with swahili music...wish was knew swahili.Respect to African musiq
hata mimi umenikamata kwa nyimbo zako jux i love your songs!!
kazi nzuri sana.Hujaahi kuharibu kazi kijana safi sana. Piga kazi tu
kila siku anazaliwa jux mpya na mzk wake unakuwa mpya zaid ya alipotoka! I love the song! daaaah vocal na vinanda vmekaaaaaaaaaaaaa poua!
huyu ndiye jux nayemjua Mimi!
i like
good morning everyone i love
philippe
aky jux baibe you have unique voice ambayo hunidatisha😍😍😍😍😍😍yaani bongo mimi naeza kuja na baiskeli just for u
sana jux imetulia umefanya kazi nzurii
mzee pembe katafuna sana muwa kwenye hilo song,safi sana Juma J. huo muwa wa huyo mzee pembe c mchezo katambaa sana
Iko fresh sana hi ngoma African boy...........................UMENIKAMATA
Adam Ngulungu
jux umeniua
haki yangu we ni mzuriii simalizi mimi Ahsantee kuzidi upa moyo wangu raha wew ni rais wao umenikamata
this guy has very nice swahili love songs
Yani we imba tu baba.....nakufa mie you😍😍....like umenikamata.....
ujawai niangusha bro salute bro
mnyamaaa jux umetukamata baba kwa jingoma hiliii....respect mzaziii....na point ziende kwa maeneck aseee katishaaaa kwa kimdudooooo
All the way from calabasas LA..lovee this jam!!like if you agree
kweli jux umefanya kazi kubwa kaza mwendo mwanangu eeeeh
jux am inluv with ur voice
nakukubali hamna wewe the best vocal artist wengine watasubiri tz hii
big up Jux this tune is on another level.
kwanza the jazz feel makes it so unique
pamoja sana mkali jux ....kiukweli ngoma yako ipo pouwa kinouma .....jua umegusa visa na mikasa ya jamii ya mapenz tena hasa ya kitanzania ...so kikubwa ukaze to bro maisha ya mziki bado yanakutaka uwe mbunifu zaid,
good
music
and
i dedicate this song to MYLOVE.
Hii nyimbo leo nimeirudia zaidi ya mara 10 najifikiria sna jux sikuhyo alikuwa ameamkaje maa na jamaa alitulia sana ,na ukijumlisha leo holday hadi burudan
OMG this amazing song can cure depression jux unaweza sana keep it up
jux anajua nazaani anatakiwaga atutendee haki mashabiki wake saaafi kabisa
African_boy always ni xheeeeeeidah #GUD_MUSIC
jumaaaaaaaaaaa daaaah aka kanymbo kuanzia audio ad vdio umekomesha mzeeee saluteeeee
who else is reading comments while watching this nice song
meee🙋
miiii😐
Salama Kadzo 👆👆👆
May b listening and reading comments unless you ain't normal human to watch and reading comments 😐
ahahahahahah umeniona nn......?
Wenzangu wa
***2022****
☄☄☄☄ tujuane aiseee
Jux is the real deal when it comes to quality music, respect this artist African music flag ⛳️ high 💯#tanzania#uganda#kenya.
😍♥️♥️ let us simp in peace
I gonna give you my love and make them wanna be us...hehe my favourite artist jux
Flevian Ongamo I lyk that part ..wow
Repeatedly listening to this part
big up jux. ni muziki mkubwa sana. fundi fundi tu bana. unajua sana. japo nilitamani kuona hicho unachosema unafanya kwa ajiri yake.
jamani jux nikwambie nn zaidi ya kukuambia kwamba nyimbo zako nazipenda sana kuriko we nikali no.1 hapa tz wa rnb wengine wanafata kiukweli me nishabiki wako no.1 bhna
so so so mwaaaaa juma
always unafanya wonders
The beats,the words yaani everything about the song is dope....big up Jux💯
ikopoa sana jux unajua kupanga vesi toka uzuri wako uzuri wako Good brother
Much love from Doha...Big up sir Jux...
Nice and touching lyrics...keep it up!!
Tee- Bag nakuona nakuonaa
swah rnb ndo hii sasa..big up jux
Am here everyday because of the love I have for the only human who made me believe in love again😘😘💖💖
Wajua napenda kukuona ukiwa nafuraa.
Najua thamani na Heshima yako wewe ndo unanifaa
at least umenishawishi kusikiliza nyimbo za kibongo maana melody imetulia na inateka moyo kusikiliza keep it up bro
Kama unaskiliza this song 2021 una good taste ya Music ❤️
This song is fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aki brazameni mziki unaujua sana mzee mwenzangu......haka kanyimbo kana ladha moja ya hatari
Big bro is back fire again....
Bonge la hiti. Hamna nyoko hapa. Kazi tu. Vanessa aendelee kukutia moto hivohivo. Kazi safi.