EXCLUSIVE: BILNASS NA NANDY WASIMULIA WALIVYOANZA MAPENZI 'SIKU HIYO TULIACHA WAZI MLANGO WA CHUMBA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • #ONAIRWITHMILLARDAYO#NANDY#BILLNAS#BUGANA
    HII NI PART ONE YA INTERVIEW YAO KWENYE ON AIR WITH MILLARD AYO, PART TWO INAKUJA....

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @nashwaabdallah670
    @nashwaabdallah670 2 роки тому +69

    Alie angalia hii baadaa ya harusi 💍💙 loves

  • @fatmakuzwa953
    @fatmakuzwa953 2 роки тому +156

    Haya tulio rudia kutazama hii interview baada ya ndoa🤣🤣🤣gonga like😝😝😝

  • @eilannyler417
    @eilannyler417 2 роки тому +82

    who is here to rewatch the interview after the wedding💚they vibe so well🎶💚happy marriage to them💚

  • @saradaniel4579
    @saradaniel4579 11 місяців тому +24

    kuna siku NAYA ataona hii interview atalia kwa furaha.😍😍😍😍

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 2 роки тому +34

    Powerful couple finally wedding imeisha 16/7/2022 congratulations guys

  • @uwingeneyeshadia7697
    @uwingeneyeshadia7697 5 років тому +607

    Millard nakukubali sana bro💕💕💕👏👏 alafu maswali yako yakiustarabu na adabu tele👌unastahili pongezi kubwa sana

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  5 років тому +43

      asante sana Shadia, shukrani kwa kutazama na kuniandikia

    • @uwingeneyeshadia7697
      @uwingeneyeshadia7697 5 років тому +4

      🙏💕

    • @jumajay8496
      @jumajay8496 5 років тому

      Story about relationships should be kept secret for your respect should not expose to the public because it will not help even if people knows about your love affairs so how many interviews will you make if you will going to chenge another relationship sheme on you.

    • @effiekirui4312
      @effiekirui4312 5 років тому +6

      @@millardayoTZA nakutambuwa na nakufatilia sana kazi mzuri sana thumps up 👍from 254 ,Andy ni kama mimi vle nikipenda nimependa

    • @gyzzo7
      @gyzzo7 5 років тому +1

      Uwingeneye Shadia nimekubaliana na ww kabisa

  • @euniceakudai4203
    @euniceakudai4203 2 роки тому +38

    True love never dies, now 2 days to your wedding.Wish you a happy married life

  • @hamxik0096
    @hamxik0096 2 роки тому +24

    Nimekuja kuangalia hii interview baada ya ndoa yao congrats to them😍

  • @titledliz6814
    @titledliz6814 4 роки тому +136

    Nani yuko hapa baada ya engagement jamani... some likes tafadhali

    • @aishamsofe3274
      @aishamsofe3274 4 роки тому +4

      Elizabeth Ndille haahahaa nimewahi iangalia interview wakati imetoka nimerudi hapa kuisikiliza upyaaaaa baada ya engagement

    • @angelapius7526
      @angelapius7526 4 роки тому +1

      Tupoooooo

    • @aloycemashau5431
      @aloycemashau5431 3 роки тому

      Good

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 4 роки тому +51

    Daaaa after engagement nimerud hapa wangap mmerud !! Nawapenda ❤️ wachaaa niedit after my powerful couple kufunga ndoa 16/7/2022 💃🏾❤️❤️🙌🏽

  • @saadeased7160
    @saadeased7160 5 років тому +15

    Woyoooooooo relationship irejewe mnapendezana bahna kiukweli team Nandy na billnas tuugane bahna hawa watu warejeane km bado km unafurahia mahusiano ya Nandy na billnas like✔🙌🙌

  • @blackisgold1200
    @blackisgold1200 5 років тому +20

    The guy looks shy . But cool guy though... nady this is a good man wish you all the best. Beautiful

  • @graciaoscar7279
    @graciaoscar7279 5 років тому +153

    Tunaosubir ndoa ya billnas.....
    Tujuanee🤗🤗🤗🤗

  • @asyakhatib7942
    @asyakhatib7942 2 роки тому +26

    Hatimae ni Mr and Mrs 😭❤️

  • @omreuzex7109
    @omreuzex7109 5 років тому +131

    Nandy is adorable. I love Nandy! She is so beautiful 😍😍😍

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 5 років тому +214

    Billnas is blessed!Nandy anampenda sana huyu kichwa kama korosho 😆
    Hii inaenda kuwa moja ya couple bomba sana hapa bongo!i wish them well

  • @joxiahmendez1325
    @joxiahmendez1325 5 років тому +259

    Weka like kama unatamani kuona epsode no.2 ya kurudiana kwao! Af hawa bado wanakunjana.!

  • @ashaofficialtz6872
    @ashaofficialtz6872 5 років тому +33

    Nawapenda sana hawa watu.... Ni couple ❤tamu sanaaaa❤❤❤❤

  • @bressfabians4537
    @bressfabians4537 5 років тому +407

    Kuna watu hawawezi kukutana na ma EX wao ni kweli au uongo 🤔😅 kama ni kweli.
    Dondosha like yako hapa

  • @nas153
    @nas153 5 років тому +109

    Nimeona interview nyingi ila sijawahi ikubali interview kiroho safi kama hii....safi sana watu wapo huru bila kukatishwa maongezi yao.👍👍👍

    • @issanaseeb7699
      @issanaseeb7699 5 років тому

      Kabsa mzee hujakkosea Interview za medea za wasafi unakuta kuna makelelee sipendi kuwaangalia wanakera ila hap unakuwa huru hadi raaha

    • @hasnaabduly4945
      @hasnaabduly4945 5 років тому +1

      @@issanaseeb7699 yani wanamakelele wale me mwenyewe wananitibua yani hawawap watu wanaowahoji nafasi yakujielezea

    • @zawadipeter178
      @zawadipeter178 5 років тому

      Nasser Abdal

    • @sideboy1299
      @sideboy1299 5 років тому

      @@issanaseeb7699 huo wivu

  • @bichwaz
    @bichwaz 5 років тому +133

    Nandy na Bilnass kweli mpo Romantic sana😍😍

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 років тому +13

    Hawa bado Wanapendana.. You were alwayz the best couple... Much love from 🇶🇦 🇶🇦

  • @neemamabele8451
    @neemamabele8451 5 років тому +51

    Millard anastahil Grammy za utangazaj bora among presenter wa east Africa... Utangazaj unahitaj ustarabu na ueledi mwing san na kujipang vizur kabla ya kusema na hich ndo anacho Millard na weng weng katika clouds media kam kak yang masoud kipanya,🔥🔥 na dad yang babra nawaheshim sna

  • @StelaAsukilekilalakherisimba
    @StelaAsukilekilalakherisimba Рік тому +6

    Nawapenda sana hawa watu tena upendo umezidi baada ya ndoa. Mungu awarangulie❤❤❤❤❤❤

  • @thekarenlife2216
    @thekarenlife2216 5 років тому +19

    Nandy Umeshibaaaa hahaahaah i cant stop loughin yaani Millardayo nawapenda na interview zenu u guys are amazing i love Nandy she is too open 💖💖💖🥰🥰 keep it up @ Nandy @Millardayo

  • @gloriamdemu832
    @gloriamdemu832 5 років тому +66

    Kiukweli nimependa haya mahojiano
    Nyie watu mpo real sana hakiii nime enjoy

  • @itNeza
    @itNeza 5 років тому +18

    Nimekupenda Zaidi Nandy uko So Really 💗

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 роки тому +36

    Kama umeipenda kofia ya Millard gonga like hapa ❤️

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 2 роки тому +12

    Finally you made it. Congratulations guys

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 5 років тому +27

    Nakupenda sana #MILLARDAYO ILA NMECHEKA SANA😂😂🤣ila nmejifunza kila mwanamke lazima awe na wivu

  • @dicksonaloyce6924
    @dicksonaloyce6924 5 років тому +17

    Millard Big 👆 love you. Nakukubali sana kwa Interview mungu akukuzishie manjonjo

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 5 років тому +218

    kwa maringo haya hawa wanagongana bado hawa km unakubaliana na mimi gonga like nyingi kwangu

    • @jackymafuru4163
      @jackymafuru4163 5 років тому +2

      Jamani ninyi wasanii mna laana kabisa, mnacheza na akili zetu

    • @showtv3406
      @showtv3406 5 років тому +6

      Arafu Nandy kamzidi jamaa ujanja Kama una Amini ilo gonga like apaa

    • @linahselestina6025
      @linahselestina6025 5 років тому

      Kabisaaaaaaaaaaaaaa nimeno like haitoshiiiz😆😆😆😆haswa huyu toz boy uwiii maringo hadii kwenye kucha akatii wakawaida tuuh

    • @benjaminvanbizman4791
      @benjaminvanbizman4791 5 років тому

      mme damshii

    • @ManaL-ho9cr
      @ManaL-ho9cr 5 років тому

      Umeonaee

  • @lucaswalogwa3821
    @lucaswalogwa3821 5 років тому +33

    Mmenifurahisha sana story zenu halafu nandy kumbe mcheshi fulani

  • @rachelwakaba7210
    @rachelwakaba7210 5 років тому +101

    This two are still in love.... The looks tells its all. Nandy bado anampenda xana billnass

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 5 років тому +65

    Bilnass sema ukweli tu .....unampenda nandy she is cute ❤❤❤❤❤..mutahaba alikupenda sana nandy ila mungu akampenda zaidi.....

  • @veileronesmo9219
    @veileronesmo9219 5 років тому +15

    The gerl is so composed..the chemistry btn bill and nandy is so😙😙 inteview is on point big up millard....nandy anampenda billinas mara 👇👇👇

  • @elishakyamba8904
    @elishakyamba8904 5 років тому +219

    Yaani kama waandishi wa habari wangekuwa wanapewa tuzo basi Millard Ayo angewakimbiza sana tz

    • @keyakeya8911
      @keyakeya8911 5 років тому

      Alishawahi pewa tuzo huyu chalii 2015

    • @salummpala9256
      @salummpala9256 5 років тому +1

      Interview Mzuli Akuna Mazogo Kama Brok89

    • @jescajohn5034
      @jescajohn5034 5 років тому

      ELISHA KYAMBA na lilomy

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 5 років тому +1

      ELISHA KYAMBA huyu sio muandish ni mtangazaji nawew

    • @sideboy1299
      @sideboy1299 5 років тому

      @@salummpala9256 we ndo unasema lkn block89 ndo pindi bora bongo tz

  • @kelvinrayder2570
    @kelvinrayder2570 5 років тому +10

    Hey hii interview poa sana nimekubali, keep it up billnas na nandy. Much respect to u two

  • @faithkweka9020
    @faithkweka9020 5 років тому +14

    Bonge moja LA ngoma B U G A N A
    My Nandy keep fire burningggggg
    Bonge moja la couple

  • @eliasrwechungura7503
    @eliasrwechungura7503 5 років тому +13

    Mahusiano ya Aina hii huwa hayana mwisho "believe me"

  • @MaaneML
    @MaaneML 2 роки тому +5

    Beautiful interview. The real power couple. Forever William and Faustina.

  • @fadhilikigwama6651
    @fadhilikigwama6651 5 років тому +91

    Hawa wameziga tu ila maana yao sio pesa ni penzi sema wamehofia isije ikaonekana kama ni dis kwa ruge ila inavyoonekana ruge alilingilia hili penzi kupitia wadhfa wake ndomana bugana lao likavunjika japo walikiwa wawili hawa wanapendana bt today bugana(penzi) limerudi kwao kilichobaki ni vikao tu gonga like kama tuko pamoja

    • @sweetkikulamekaup2764
      @sweetkikulamekaup2764 5 років тому +1

      Kumbe umeona

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 5 років тому

      Hahahahaha

    • @muhbmoh7200
      @muhbmoh7200 5 років тому

      Aujapita mbali mzee , ivo ivoo🙉🙉

    • @husnajohn7466
      @husnajohn7466 5 років тому +1

      Fadhili Kigwama ndio maana hata lady kaamua kurudi kwa gadna G kweli yule jamaa alivuruga mapenzi ya watu

    • @amosiluka8233
      @amosiluka8233 5 років тому

      Fadhili Kigwama hawa madem tatzo c malaya

  • @lucasrhema4212
    @lucasrhema4212 5 років тому +88

    Billnas if you love Nandy go for it, why this hesitation?

  • @aikajulius5515
    @aikajulius5515 5 років тому +34

    That is the true definition RELATIONSHIP 💞💕

  • @mudystarog1381
    @mudystarog1381 5 років тому +245

    Nawakubali sana Nandy na billinas sema nimependa interview yenu maana haichoshi me nimejifunza kitu kwao jamani kuachana siyo vita oneni wanavyo furahi hapo ingekuwa kina mwajuma chokonoti hapo pangekuwa hapatoshi hongera yenu japo ninawasisi mtakuwa mmerudiana maana majibu yenu siyaelewi elewi 😂jamani ni me mwenyewe ambaye siwalewi au topo wengi like tujuane

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 5 років тому +2

      Mudy Hamza hahahahahahaha

    • @Bongo1Media
      @Bongo1Media 5 років тому +1

      Nami siwa elewi awa asee kuna mapicha picha instar wenda wameludiana

    • @mudystarog1381
      @mudystarog1381 5 років тому +4

      @@antybabybintrashid2333 😂😂😂hawaeleweki hawa watakuwa wamechemsha kipolo chao

    • @mudystarog1381
      @mudystarog1381 5 років тому +1

      @@Bongo1Media me mwenyewe nimeona ila hata majibu yao hapa yanaonyesha dhahiri dalili za kurudiana

    • @pendonkanda5868
      @pendonkanda5868 5 років тому +1

      Mudy Hamza hahahhaahha bifu miaka mia na kila tukionana tunaanza upya hahha

  • @Mchaina
    @Mchaina 5 років тому +3

    SERIES YA MANENO YAKUAMBIWA IMEZIDI KUNOGA EPISODE YA 66 SASA OUT, SUBSCRIBE HAPA>>>>>> ua-cam.com/channels/PuocSo30my05A-UhStz0rg.html , ILI UWE WAKWANZA KUPATA SERIES HII

  • @dominasam6437
    @dominasam6437 5 років тому +71

    Like Kama umependa heren za Nandy 😍😍

  • @ayoayoo1222
    @ayoayoo1222 5 років тому +10

    Milard nimependa studio yako, sio studio zengine kila mtangszaji ataka kuongea na mic zabembea kama crane za port....big up milard

  • @maishahalisitz1505
    @maishahalisitz1505 5 років тому +30

    Nenga ni kama Whozu tu,mnafunguka sana, story nzuri

  • @naomidavid6390
    @naomidavid6390 5 років тому +15

    This interview its so awesome . nandy the way u fall in love and jealous like me 🤗

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 роки тому +2

    Billy amesema anatamani kuowa badae ya mwaka 10 ilaa leo 2022 kaowa uwiii Mungu ni fundi sanaa😍🥰

  • @gracesindika462
    @gracesindika462 5 років тому +93

    Yan hapa unaon Kbxa nandy kapenda zaidi kuliko mwenzieee mweeee

    • @anajohn8132
      @anajohn8132 6 місяців тому

      ila baada ya ndoa Nenga kakolea zaidiiii

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 4 роки тому +25

    Millard Please I remember this was one of the best interview ever.As now they have accepted I would like to see you with them again.Because they refused and pretend.Now they have acted and the ring went to Nandy's hand.

  • @janejames5329
    @janejames5329 5 років тому +120

    like kama umependa this conversation am all the way from congo

    • @barineokech8775
      @barineokech8775 5 років тому

      Nandy una mambo. ..kumbe ulikua unatafuta pesa kwa ruge ujifuraishe na Bilnass. ..mausiano yako na ruge ulikua unakataa lakini Bilnass unaitikia haraka kweli.

    • @sylviaclaud777
      @sylviaclaud777 5 років тому

      Hi

  • @estherhaloim1496
    @estherhaloim1496 5 років тому +10

    Millard Ayo na Nandy ni perfekt Match 👍👍👍👍👍👍👍 Ama Willy Paul Willy Poze 👍👍👍👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @chrismnicko9430
    @chrismnicko9430 5 років тому +483

    Hawa watakuwa wanakulana bado kama unaikubali hii gonga like

  • @sund2553
    @sund2553 2 роки тому +5

    Nimerud kutizam interview baada ya harusi ya hawa ndugu wawili…..mapenzi bana hongeren Nandy na bill

  • @makamehajiormralahadi1300
    @makamehajiormralahadi1300 5 років тому +4

    Millard Ayo...nakupa hongera za dhati kwa uthubutu wako kama kjana ulo amua kujiwekeza ktk tasinia muhimu sana ya kimaendeleo ktk jamiii ya kdunia...

  • @emmanuelantony1620
    @emmanuelantony1620 2 роки тому +4

    Billnas bana una bahati kapendwa na Nandy Sana Sana....!!! *(Blessed Billnas)*

  • @shakilahpurity7314
    @shakilahpurity7314 5 років тому +2

    When I grow up I want to be a celebrity then millard ayo unifanyie interview sababu he sooo professional 😍😍😍😍😍😍

  • @hythammahmoud7630
    @hythammahmoud7630 5 років тому +40

    Hapokwenye “block” 😂 there are so many of us doing it thinking dat we are protecting ourselves while on the contrary we destruct! Billnas learn man as u have made us learn the effects of blocking in relationships... Shout-out to Millard Ayo for the good interview as i am loving it and learn through it! Keep up the good spirit

  • @LissaZabron
    @LissaZabron 5 років тому +48

    I loved this couple so much 😍 and i wish you guys mrudianee..

  • @phidiamaingi399
    @phidiamaingi399 5 років тому +7

    Nandy,
    You are so cute in many ways. I hope you make the right decision please... . 🙏

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 5 років тому +11

    You can see love on there eyes my nandi love is a beautiful thing

  • @nachunachu7466
    @nachunachu7466 5 років тому +37

    Gonga like kama billnasi alishukuru ruge alivyofariki

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 5 років тому +60

    Bado wanapendana and they can make a great couple

  • @mwamlimaprisca3115
    @mwamlimaprisca3115 5 років тому +19

    Kama umeskia nandy akisema chizi kweli weka like yako hapa

  • @knourisgalis2165
    @knourisgalis2165 4 роки тому +4

    I love u Bill & Nandy .... Millard I do the same good work . I appreciate u gyz

  • @agnesgeorge6818
    @agnesgeorge6818 5 років тому +2

    Millard Ayo mm Nakupenda sana kaka angu lakn katika Kristo YESU,,I wish nikuone live cku moja!

  • @glorytweve7992
    @glorytweve7992 5 років тому +9

    Congratulations Mr Millardayo 💕

  • @berryperry2930
    @berryperry2930 5 років тому +185

    Nyie mnao omba omba like kuna nn jmn kwan ni sadaka 😒😒😒😫🤗🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 5 років тому +6

      Hahahahahahaha hawa wasenge wananiuzi kinyama wallah

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 5 років тому +4

      😂😂😂😂😂😂hawanaga kazi

    • @shebdoukhalifa
      @shebdoukhalifa 5 років тому +3

      Wehu

    • @berryperry2930
      @berryperry2930 5 років тому +1

      Amiri Ramadhan umeona ee 😂😂😂😂😂😂🤤🤤🤤

    • @berryperry2930
      @berryperry2930 5 років тому +1

      Azza Mahamdu kweli wanabore 😫😫🥵🥵🤣🤣🤣

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 років тому +25

    Mkiachana achaneni kabisakabisa jamni tunapata tabu sana sisi wambea wa mjini😆😆😆😆Bugana♨️♨️💥💥 Mashaallah Nandy umependeza mamy

  • @mariamnchimbi8227
    @mariamnchimbi8227 2 роки тому +3

    I had to come back to this interview….may God bless you 💕

  • @husnahasan1944
    @husnahasan1944 5 років тому +10

    Gonga like kama umeikubali bugana..

  • @jacksonimeena4676
    @jacksonimeena4676 5 років тому +77

    Nandy is in love with billnass kama unakubali gonga like hapa twende Sawa.

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 5 років тому +8

    Bugana iko njema sana...
    couple nzuri sana iko huru sana sana

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 5 років тому +70

    Yani kuna watu wanatakiwa kujifunza hapa mond jifunze kuachana na mtu sio vita

  • @adidjajamal6342
    @adidjajamal6342 5 років тому +9

    Wow i love the honesty on both parts

  • @zainabmkuya5151
    @zainabmkuya5151 5 років тому +14

    Interview 😙😙Millad part 2 basiiiiiii...usitufanyie km ya Zari mpk leo haijaisha..!

  • @sheebahhall7652
    @sheebahhall7652 5 років тому +4

    I love Millard so much,Gosh!!!

  • @happysulley7961
    @happysulley7961 5 років тому +4

    Dah nimecheka thn nimelia hakuna kitu kizuri Kama mahusiano mazuri nakupenda my sister nandy

  • @nancypretty5915
    @nancypretty5915 2 роки тому +4

    Hawa watu toka zaman walikuwa wanapendana jamaniii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🧡🧡

  • @queenbaddestcuteemmy5430
    @queenbaddestcuteemmy5430 5 років тому +4

    Walah nime enjoy balaa interviews yakibabe sana milard😍

  • @musasimba3689
    @musasimba3689 5 років тому +25

    Niujinga na Upuuzi Mwanamke avae heleni wew mwanaume uvae Kama unaamni hilo gonga like.

  • @mamapelyekelye9799
    @mamapelyekelye9799 2 роки тому +5

    Nawapenda sana...Bill na Nandy...Mungu aliandika muowane...mnapendana...mnaendana...Mungu awafikishe salama..
    My best couple..my best interview ever

  • @roinajohnson9788
    @roinajohnson9788 5 років тому +147

    Mapenzi y kwel yanakujaga mojakwamoja hta mkiachana mtajishtukia mpo pamoja

  • @ndekumtallo6642
    @ndekumtallo6642 5 років тому +19

    Millard hakikisha Kuna part 2😋

  • @mariej6962
    @mariej6962 5 років тому +2

    "Nilitaka huyu" wow wow. Th is guy is simply a player. Hamna kitu hapa, hana uwezo wa kuconnect na mwanamke emotionally

  • @phabianstephano8279
    @phabianstephano8279 5 років тому +5

    Nimeipenda sana hii interview mpk nimeamua kuisikiliza nyimbo ya kivuruge

  • @estherhaloim1496
    @estherhaloim1496 5 років тому +11

    Nandy ana faa kutafuta mwanaume mature mwenye ame muzidi Miaka 3. wakirudiana na bilnas hawata fikishana mahali popote. 🤔🤔🤔🤔🤔 kama Mimi Nandi natongoza Millard Ayo. 👍👍👍👍👍👍👍 wanaendana 👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 5 років тому +30

    Wangapi waliangalia akihojiwa bilnass akasema hawezi kuowa atasubiria sn.

  • @celestinechasama4764
    @celestinechasama4764 5 років тому +8

    i really like the interview ..... it was too participator .... both the interviewer (Millard Ayo ) and the interviewees ........much respect.

  • @yasmenoozm8094
    @yasmenoozm8094 5 років тому +20

    Napenda inteview yako Millard but apo kwa mbwa wameniuliza mungenipea izo pesa🤣🤣🤣🤣

  • @seventhwilson153
    @seventhwilson153 5 років тому +3

    Nimeipenda hiyooo exclusive but both of them are in a deep love

  • @jumamkongowe8870
    @jumamkongowe8870 4 роки тому +19

    Tunaecheki intaviu huku tunasoma comment tujuane tupowangapi

  • @gabrielobote7093
    @gabrielobote7093 5 років тому +10

    Nancy you really look fine with billnass

  • @festombilinyi6146
    @festombilinyi6146 5 років тому +6

    I love this interview....

  • @irenelicky5901
    @irenelicky5901 11 місяців тому +1

    This guys are so humble kweli.

  • @gladysmushy1498
    @gladysmushy1498 2 роки тому +11

    And they are married❤️True love

  • @destinedhajra4136
    @destinedhajra4136 3 місяці тому

    Imagine 😥 amm here just now Nandi always my favorite all way from wasikudanganye❤❤❤n billnass ❣️❣️❣️