Timu yetu Yanga inapaswa kuwashukuru akina Baca, Boca , Job na Aucho siyo golikipa Msheli maana alilindwa sana hakuna attempt ya maana. Bado Dgui Diarra Yanga inabidi hiingie sokoni kupata galikipa wa maana ambaye atakuja kutoa challenge kwa Dygui Diarra kabisa. Yanga Daima Mbele Nyuma Mwiko.
First one
Yanga oyeeeeeeeeeee
Asanteni kwa zawadi ya Birthday
Timu yetu Yanga inapaswa kuwashukuru akina Baca, Boca , Job na Aucho siyo golikipa Msheli maana alilindwa sana hakuna attempt ya maana. Bado Dgui Diarra Yanga inabidi hiingie sokoni kupata galikipa wa maana ambaye atakuja kutoa challenge kwa Dygui Diarra kabisa.
Yanga Daima Mbele Nyuma Mwiko.