Harmonize - Band Rehearsal

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,8 тис.

  • @chikushingy9339
    @chikushingy9339 4 роки тому +153

    Wooow Harmonize wewe ni Noma kumbe hata band pia uko vizuri ,,,mimi kila mara na semaga ,,bongo tuna Msani mmoja tu kwa sasa na ni huyo Tembo

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 4 роки тому

      ua-cam.com/video/qBUW8vci5RM/v-deo.html

    • @thadeyngingo1504
      @thadeyngingo1504 4 роки тому +3

      🤣🤣🤣Acha kujidanganya wew

    • @richlymo
      @richlymo 4 роки тому +1

      Tembooo kama tembooo kasha ongeaaa ukoo UA-cam

    • @allyhusein1702
      @allyhusein1702 4 роки тому +1

      Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko.
      ua-cam.com/video/JivyvBC01c8/v-deo.html

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 4 роки тому +3

      @INFINITE FUNNY viwes sio tatizo we unafikili kila ngoma itait? Kaangalie akina Davidi ata bana boy sio kila mtu anatumia sim za UA-cam Amna msanii bongo mwenye mashabiki mtaani Kama tembo nikwambie Sasa kama ulikuwa aujui

  • @luvlynessy
    @luvlynessy 3 роки тому +49

    Lakini hawa Bongo Movie ladies wanachanganya Bongo Musicians. Konde umeuua, wimbo 🔥 🔥. Love from a Kenyan in 🇺🇸

  • @kenyantotoz4244
    @kenyantotoz4244 4 роки тому +191

    Na mimi Leo naomba likes nikapikie ugali😂 mean while enjoy good music ❤️

  • @Flanleekeofficial
    @Flanleekeofficial 4 роки тому +169

    Konde Boy kila mahali unakubalika. Likes zangu hamsini tukisonga

  • @amorauzdop3040
    @amorauzdop3040 4 роки тому +16

    Amorauz Dop 🇿🇦🇧🇮 afu wewe harmonize kikweli sio mashahiri ulio nao yako nishaga shindwa kuelewa wapi unapo toag mashahiri kikweli mungu akuongeze zaidi ya apo ulipo

  • @kazembemohamed3014
    @kazembemohamed3014 4 роки тому +72

    Kama unamuangalia harmonize huku unasoma coment piga like yako hapa

  • @jojonostress486
    @jojonostress486 4 роки тому +35

    Jamani munipe like namie😯😯😐😐Love from burundi bujumbura

  • @ramzyramjeshi1645
    @ramzyramjeshi1645 3 роки тому +3

    My favorite singer Konde jeshiii
    Kama unamjua mtaje.....

  • @stephensikazwe7805
    @stephensikazwe7805 4 роки тому +107

    We want you here in Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @happysam251
    @happysam251 4 роки тому +24

    Harmonize si ukuje kenya utuimbie hii wimbo jamani you are on top man heeee!!!

  • @madymagoaljr5146
    @madymagoaljr5146 4 роки тому +688

    Aliyerudia nyimbo hii Mara nyingi zaidi kama Mimi , a like tujuane mapema ?

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 4 роки тому +1

      ua-cam.com/video/qBUW8vci5RM/v-deo.html

    • @allyhusein1702
      @allyhusein1702 4 роки тому

      Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko.
      ua-cam.com/video/JivyvBC01c8/v-deo.html

    • @joycewaziri4087
      @joycewaziri4087 4 роки тому +1

      Piga kelele kwa konde

    • @sixjuliusi6788
      @sixjuliusi6788 3 роки тому +1

      Jaman Kaka hamo mbona nyimbo zako zinanigusa moyon mwang Tang aiyora jaman duu

    • @patterypaschal5212
      @patterypaschal5212 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣 kajala jaman enzi za mabanda ya sinema mi namjua 👴👴👴👴👴

  • @happysam251
    @happysam251 4 роки тому +156

    Konde anaimba nyinyi huyu kijana ako na talent tena ameshinda diomond na mbaliiiii sanaa waaa!!!...the song is fireeee😍😍😍😍😍

    • @mwanawote
      @mwanawote 3 роки тому +2

      Uliskia Wapi 😅😅 Umskize Rayvanny Utajua Talent Ni Nini

    • @hitlyrics254
      @hitlyrics254 3 роки тому +1

      Ati ameshinda diamond 😂

    • @rajakakamaginga3848
      @rajakakamaginga3848 3 роки тому +2

      Jeshiii moto

    • @mwanawote
      @mwanawote 3 роки тому +3

      Eti Anashinda Nani???Hebu Rudia Sikuskii Vizuri 😂😂😂 Mwache Kumchonganisha Simba Na Majeshi Bana Wataliwa

    • @vincentomoranz8179
      @vincentomoranz8179 3 роки тому +1

      Jeshii ni moto saaaana💥💥💥💥💥💥

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 4 роки тому +54

    Daah! hongera sn Harmonize (Kondeboy) nyimbo ni nzuri sn...Umeimba Vzr sn,,,May God bless u bro

  • @odongojnr6168
    @odongojnr6168 4 роки тому +302

    Kama Ulihama na Harmonize kutoka wasafi kindly gonga like

  • @stevengershom9113
    @stevengershom9113 4 роки тому +104

    Aaaa jaman lets not be so hatred
    The man is doing his best
    So hit Konde boy...fire fire

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 роки тому +47

    Nani kaja kusikiliza hii ngoma baada ya konde kuachana na kajala 2tuane 🇶🇦

  • @habibuhassan5766
    @habibuhassan5766 4 роки тому +26

    du! noma sana
    mziki upo konde gang ila kwa kina domo wanapiga kelele tu

  • @Joekwid960
    @Joekwid960 4 роки тому +24

    Palipo na ukweli kitu kizuri na chema utokea konde kaimba hisia zake hapo thus why ngoma imekuwa kali 🔥🔥🔥🔥🔥
    Ngonga like Kama unaikubali ngoma👍👍👍
    🇹🇿🇹🇿💪💪💪💪

  • @toucherstanza8997
    @toucherstanza8997 4 роки тому +103

    Aliye ona style mpya aliyonyoa konde boy kapendeza sanaaaa EB tujuane kwa like hapa

  • @KTT254.
    @KTT254. 4 роки тому +12

    Harmonize,Harmonize,Harmonize. Nmekuita mara ngapi? Kweli wewe jeshii 🔥🔥🔥🔥

  • @sophiehammond77
    @sophiehammond77 4 роки тому +25

    Firrrrrrr 🔥🔥🔥🔥 wog ngoja harmonize ukilike hii picha nitamutaja ninae mjua ♥️♥️♥️♥️🗣️🗣️🗣️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Dir_tommy
    @Dir_tommy 4 роки тому +21

    Nani pia kaskiza zaidi ya mara tano✋

  • @houseoftabsproductions
    @houseoftabsproductions 4 роки тому +33

    I honestly love how you do your performances...live band is just awesome

  • @basilifrank
    @basilifrank 4 роки тому +28

    Kwa mara ya kwanza na comment bro..be blessed bro

  • @alexsambai9953
    @alexsambai9953 4 роки тому +327

    Alie muona bonge wa bongo star sech gonga like twende sawa

  • @kennybizzoh
    @kennybizzoh 4 роки тому +1

    Awesomeness.......20 Percent kwa umbali namsikia.
    Sauti ya Thahabu hyo naimisi kwa game

  • @SwahiliMedia
    @SwahiliMedia 4 роки тому +279

    KAJALA😀

    • @zou7470
      @zou7470 4 роки тому +11

      Umepatia tumia sayona baridi nakuja kulipia🤣🤣🤣

    • @pstphostinewandera3851
      @pstphostinewandera3851 4 роки тому +4

      ua-cam.com/video/qBUW8vci5RM/v-deo.html

    • @richlymo
      @richlymo 4 роки тому +3

      🏴‍☠️🏴‍☠️🦍

    • @allyhusein1702
      @allyhusein1702 4 роки тому +2

      Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko.
      ua-cam.com/video/JivyvBC01c8/v-deo.html

    • @ishibabby973
      @ishibabby973 4 роки тому +5

      @@sadicksadickkenyatta1371 haezi Kuwa Sara sbbu so rfki yke wema

  • @Cj-od8jj
    @Cj-od8jj 4 роки тому +31

    Wow, he is back with the haircut that I always liked in his music career and my role model. Yeah I like this.

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 4 роки тому +80

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

    • @allyhusein1702
      @allyhusein1702 4 роки тому

      Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko.,
      ua-cam.com/video/JivyvBC01c8/v-deo.html

  • @irenegesare9629
    @irenegesare9629 4 роки тому +13

    I wish siku moja nikuone nikukumbatie😭🙏iyo wimbo imeniguza rohoni mwangu

  • @Onemooney780
    @Onemooney780 4 роки тому +56

    No one Tanzania harmonize ww ndio akuna mwingine ❤️❤️❤️

  • @Aryo245
    @Aryo245 4 місяці тому +2

    Nani bado yuko anahusikiliza HUU wimbo adi Leo 2024??❤

  • @tonnysimon19
    @tonnysimon19 4 роки тому +7

    Brother @KondeBoy hapo umeuwa bro...namuona bg wa Bongo star search....God bless you kwakuendelea kushika mkono watu wenye talent bro

  • @caroljoshua2202
    @caroljoshua2202 4 роки тому +8

    From kenya 🇰🇪🇰🇪this is more than a band wah 🔥🔥🔥💯💯💯💯iyo style umenyoa ndio yako sasa🐘🐘🐘ii ndio band ya clubs weekend sasa...umetisha sana kaka🔥🔥🔥🐘🐘💯

  • @UkStudio
    @UkStudio 4 роки тому +18

    Konde boy for everybody big legend big boss 🙏💯👏🎼🎶🎧▶️▶️🎸🎷🎻🥁💪👌💯🎹🎷🎷🎷🎸🎻

  • @mohisac6017
    @mohisac6017 3 роки тому

    Hongera kwa hii nyimbo ziziiiii...ni taje.....shwari sana....nime penda mbona kasema mwenyewe akitaja wamechelewa

  • @brighton9011
    @brighton9011 4 роки тому +91

    Jamani kama sio Kajala ni nani mwegine, Ebu weka like hapo kama uko sambaba na mimi

  • @kenmbarikiwa8912
    @kenmbarikiwa8912 3 роки тому +5

    Am happy for shedrack ,thanks konde boy for nurturing my friend Shed ,more love from Nakuru,kenya

  • @bobchanda2460
    @bobchanda2460 4 роки тому +422

    Team Harmonize 🐘🐘🐘 nipeni like zenu leo👇👇🙏

  • @amadouadida1550
    @amadouadida1550 4 роки тому +22

    Harmonize every time I listen to your sounds I'm proud of you you deserve so much 🇬🇳👋💞

    • @harunayussuf6866
      @harunayussuf6866 3 роки тому

      Thanks broo for appreciate our tanzania music ( bongo flavor ) this guy his so talented welcome TANZANIA my brother 🇹🇿🇹🇿❤❤👍🙏🏿🙏🏿

  • @dullampangwa6474
    @dullampangwa6474 4 роки тому +196

    THIS WHAT GENIUS MEANS BIG UP BRO.. JUST MUSIC NO SCANDALS JESHI 4 EVERY BODY FROM 🇰🇪

  • @mogerepannah9214
    @mogerepannah9214 4 роки тому +18

    Konde Makonde for everybody
    Maji hayawezi zidi unga...ni naaani anayemjua mtaje AAA aha....mwenzenu nina maumivu na wivu awweeeehh....sauti na band tamuuu kweli...nipeeni like thirty Fae Kama umerudia Mara 50hii clip

  • @derickmaina2530
    @derickmaina2530 4 роки тому +84

    Wa kwanza naomba like jamani love from Kenya🇰🇪🇰🇪

  • @sosthenesdamas3523
    @sosthenesdamas3523 4 роки тому +1

    Broo nyimbo kali sana. Toa mzigo wenyewe na uwashirikishe sauti solo. Itakuwa ni balaaaa

  • @miketzee806
    @miketzee806 4 роки тому +6

    Njia nzuri unakwenda, piga zoeziw sana, kwa kukusaidia zaidi back vocals wawe na movement moja, sio huyu anatingisha kichwa mwingineq kisigino yule tumbo, hapana, piga tizi kweli harmo, big up

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 роки тому

      Hilo lilikuwa zoezi la sauti wataenda sawa wakifanya zoezi la movement au vyote kwa pamoja.

  • @cynthiambugua6458
    @cynthiambugua6458 4 роки тому +5

    Kajala kweli anaumiza moyo wako kajala jamoni 😍😍

  • @nassourbinsalim5767
    @nassourbinsalim5767 4 роки тому +29

    Nakubali mjeshi 💪

  • @maliammkandawire9130
    @maliammkandawire9130 4 роки тому

    Harmonize number 2 nakubar kwer ni mi james mshabik ambae harmonize hajajuw i love harmonize

  • @yussufali7845
    @yussufali7845 4 роки тому +145

    Kama nyimbo umeiyona mzur kama mm gonga like

  • @drshary513
    @drshary513 3 роки тому +17

    Still so in love with this song even if they’re not together anymore

  • @mzulu_tz8478
    @mzulu_tz8478 4 роки тому +16

    Mwaga makopa kama unampenda kond boy a.k.a harmonize

  • @nugbabycuties2754
    @nugbabycuties2754 4 роки тому +3

    Hili goma bomba sana kama ungelitoa mzee baba Kam official song asee lingebamba zaidi imekaa poa sana konde

  • @coffeemuya618
    @coffeemuya618 3 роки тому +1

    Hi ngoma hatar Sana I pray God stand for you harmonize. Wow so amazing

  • @adubaako5893
    @adubaako5893 4 роки тому +78

    Believe in yourself and God will take you there. Kondegang to ghana

    • @rajiboy7152
      @rajiboy7152 4 роки тому +2

      Liver acha fujo tume wa funga

    • @allyhusein1702
      @allyhusein1702 4 роки тому

      Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko.
      ua-cam.com/video/JivyvBC01c8/v-deo.html

    • @athumankinguji5863
      @athumankinguji5863 4 роки тому

      Konde nakukubari sana nyimbo zako ujawai kosea yani awakuezi kaza kaka usikate tamaa ila toa ngoma kama izo utufuraishe mashabiki zako yani ww sijui nisemeje mtaje mtaje mtaje

    • @athumankinguji5863
      @athumankinguji5863 4 роки тому

      Naomba niunge utoapo tu nyimbo zako unitumie wasp 0715-565330 kka konde namjua mtaje

    • @athumankinguji5863
      @athumankinguji5863 4 роки тому +1

      Watapata tabu sana jeshi LA mtu mmoja linapiga kambi yote yani unajua kaka saut biti zote zimekaa vizur yani mwendo uo watakoma nkukubar kaka naona sichoki kusikiliza ebu iachi kabisa yote

  • @tresphoryzumba9014
    @tresphoryzumba9014 4 роки тому +43

    This is the real African music.
    Konde boy follow this path you will be far and memorable 🔥

  • @xboyfriend711
    @xboyfriend711 4 роки тому +16

    tupe magoma kama haya sio unatuletea mangoma ya majungu kwenye mainstream..hili goma kali mzee baba

  • @alfylegit9573
    @alfylegit9573 3 роки тому +48

    The Day Diamond sijui simba will do something live like this i will respect him. Otherwise hizo kelele zake ni bure tu. Kondeboy big up bro. I love this, clean music

    • @jumajanuario4484
      @jumajanuario4484 3 роки тому +1

      Me too bro

    • @evansmumo3921
      @evansmumo3921 3 роки тому +2

      Kijana wa mtwara ni balaa

    • @alfylegit9573
      @alfylegit9573 3 роки тому +2

      @@nationalbeautiful Diamond hawezi imba na Live Band bro. Alijaribu coke studio ikawa balaa. Tunamjua bro😂😂😂😂

    • @godlizenelias2047
      @godlizenelias2047 3 роки тому +4

      Nenda UA-cam search diamond ft Casper nyovest.

    • @evansmumo3921
      @evansmumo3921 3 роки тому +1

      @@godlizenelias2047 ndio tukupate huko ama? 🤣🤣🤣

  • @midknightke
    @midknightke 4 роки тому +132

    From Kenya Like hapa kwa boy wangu harmonize 👇

    • @allyhusein1702
      @allyhusein1702 4 роки тому

      Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko.
      ua-cam.com/video/JivyvBC01c8/v-deo.html

  • @markanatory9290
    @markanatory9290 4 роки тому +15

    Kama sauti ya jesh hua inakupa burudani plz tujuane hapa😍😍😍😍

  • @stephensikazwe7805
    @stephensikazwe7805 4 роки тому +5

    We love you harmonize from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @mohameidshawj8582
    @mohameidshawj8582 4 роки тому

    Yeah boy umetishaaaa konde wakukaya hz ndo live band wataeleaaaa tyuuu ,master j anakuelewa sanaaaa na anajua una mzk huna janjajanja

  • @miguelgb7415
    @miguelgb7415 4 роки тому +222

    Nani anayeludia kwangalia Kama Mimi gonga like Apo twende🤑🤑🤑

  • @OscarKimaro
    @OscarKimaro 4 роки тому +4

    Live Band on point! I am in love with this kind of singing and of course the band! Kudos Harmo

  • @ahmadarton_tz3229
    @ahmadarton_tz3229 4 роки тому +21

    Ndo mana nakukbal konde boy naomba like japo kadogo

  • @patoohmatazah9287
    @patoohmatazah9287 4 роки тому

    Am speechless...so kwa talent hio...ukiimba na band hua unatisha sna

  • @fesbwom7261
    @fesbwom7261 4 роки тому +13

    Mm namjua lkn navunga tuu😂😂... Tembo. We mtu🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bakarilingamba3639
    @bakarilingamba3639 4 роки тому

    Acha niseme tu, harmonize wewe ni mtu kazi sana. Hongera sana kwa kuonesha jinsi gani vijana tunatakiwa tuishi.

  • @gaboy7111
    @gaboy7111 4 роки тому +5

    🔥🔥🔥🔥🔥hio beat.wah! Nakubali kondeboy4everybody

  • @mansoornadhir547
    @mansoornadhir547 4 роки тому

    daaahh katka mistar ambayo nimewai kuiskia konde katulia na fikiri ya humu inaweza ikwa the BEST

  • @exaudymbuba.9044
    @exaudymbuba.9044 4 роки тому +6

    Show Kali aiseeee big up kwako konde nakubali Sana

    • @evanskawishe7477
      @evanskawishe7477 4 роки тому

      Kali sana wasafi wote wanashtuka hauzimiki babaaa....

  • @moingety.kaleku8849
    @moingety.kaleku8849 4 роки тому +2

    Wooooh harmonize ww ni sojar aisee love you a lot from ketumbeine here

  • @mwengatv3058
    @mwengatv3058 4 роки тому +59

    Anaemkubali jeshi usipite pila like hapa 🔥 🔥

    • @allyhusein1702
      @allyhusein1702 4 роки тому

      Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko.
      ,
      ua-cam.com/video/JivyvBC01c8/v-deo.html

  • @kelvinbrown8147
    @kelvinbrown8147 4 роки тому

    Jeshi nakukubali sana harmonize natamani nkupate wap jeshi

  • @jumamwambe9004
    @jumamwambe9004 4 роки тому +8

    Tuletee hii mzee baba umeua knyama 💥💥💥💥💥

  • @stancreezzy5500
    @stancreezzy5500 4 роки тому +1

    Nakubali kiongoz namm pia nimefanya kazi mnzr naomba muitizame kuiona bonyeza iyo pc

  • @habarimtaani2254
    @habarimtaani2254 4 роки тому +79

    Kama umemtambua Huyo jamaa bonge gonga like twende sawa..

    • @allyhusein1702
      @allyhusein1702 4 роки тому

      Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko.
      ,
      ua-cam.com/video/JivyvBC01c8/v-deo.html

    • @ephesongailo8564
      @ephesongailo8564 3 роки тому

      Alitisha kwenye Bss season 11

  • @eddywhite_official5123
    @eddywhite_official5123 4 роки тому +5

    Nipeni likes za Konde Boy. One Love from Kenya

  • @Sea_world349
    @Sea_world349 4 роки тому +105

    I like every thing about this clip

  • @Dee_bugat03
    @Dee_bugat03 4 роки тому +22

    Tuliye muona #SHEDRACK. Wa BSS ☝☝ like zanuuu✊

  • @tinnywaukweli7080
    @tinnywaukweli7080 4 роки тому +11

    Huyu jamaa mziki kipaji #konde boy🔥

  • @shabanhassan8639
    @shabanhassan8639 4 роки тому +5

    from shy khm "the great song " i like it iachie hiyo ngoma kali nmeilewa sana bro

  • @johnbatachoka11
    @johnbatachoka11 4 роки тому +56

    I'm the first one,
    Like hapa!! zammakonde

  • @royreyfire181
    @royreyfire181 4 роки тому

    Yes yes konde boy bro unajuwa nasiyo dawa nikujua unajua big up bro

  • @samwelkalala2585
    @samwelkalala2585 4 роки тому +4

    Sema wew jamaa kwenye mashaili upo vizuri tuliza tu akili afu njoo na new styles,Me nina hakika una uwezo wa kupindua meza Tulia tu mwenzako siku izi anapiga kelele tu mashairi kama haya kaishiwa hana siku izi

    • @fadraj6899
      @fadraj6899 4 роки тому +1

      Una jidanganya bibi yngu sikio hlizid kchwaa

    • @samwelkalala2585
      @samwelkalala2585 4 роки тому

      @@fadraj6899 sawa kaka uo ni mtazamo wako

  • @romzget1892
    @romzget1892 3 роки тому +9

    Harmonize is so creativity aisee ✊ hii ngoma QARI aisee

  • @Famemedia254
    @Famemedia254 4 роки тому +6

    Walai hii Ni hit bna....drop it bro
    Konde boy for everybody....all the way from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @leylathemed9437
    @leylathemed9437 3 роки тому

    Jeshiii naomba uwachie hili goma kali sanaaaaaa😍😘

  • @remytory8001
    @remytory8001 4 роки тому +216

    Kama umemuona huyo msela bonge pembeni hapo gonga like

  • @kabrasfinest.1831
    @kabrasfinest.1831 4 роки тому +5

    Real talent jeshii,,,,mob love from Kenya.

  • @elialugongo5217
    @elialugongo5217 4 роки тому +12

    Sema konde Boy kwakua upo tz tungekua nilipomimi levozako sio Bongo wew Like zakutosha Kwa Mjeshi mahili🔥🔥

  • @justizziebwoi2046
    @justizziebwoi2046 4 роки тому

    Idea kali sema fanya iyo studio iwe kali zaidi ni mwendo wa live sessions tu ✋🏿

  • @dunfordmgeyekwa7807
    @dunfordmgeyekwa7807 4 роки тому +57

    Good, dondosha malike lama umeielewa lama mm

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 3 роки тому +10

    Ila konde mkali jaman tuache ushabik Maandaz napenda akiimba live dah ✊🏽✊🏽✊🏽

  • @hamadikamdela4144
    @hamadikamdela4144 4 роки тому +85

    Mimi ndo jimeongoza kwa kuangalia na kusikiliza Mara nyingi anayebisha gonga like kwangu

  • @dr.mgungo1429
    @dr.mgungo1429 3 роки тому +2

    Huyo aliyepiga Saxophone ni nyoko🙌

  • @Kingnadir190
    @Kingnadir190 4 роки тому +29

    Amaizing band in the world 😍

  • @rainnnm6322
    @rainnnm6322 4 роки тому

    Jeshiiiiiiii nakukubali kabisaaaa toka 254.i wish I can do music with you

  • @yuskaali1844
    @yuskaali1844 4 роки тому +71

    Konde number one Gonga like Twende Sawa

  • @jayproducts5871
    @jayproducts5871 4 роки тому +6

    JESHIII HII VDEO NACHEK MARA MBIL MBILI

  • @dullampangwa6474
    @dullampangwa6474 4 роки тому +15

    No 1 Artist in 🇹🇿🇺🇬🇰🇪