WAPEWA UNABII KUHUSU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 252

  • @evabikabhai1861
    @evabikabhai1861 2 роки тому +1

    Nabii GeorDavie unatisha!!!!!
    Una upendo na huruma ya ajabu.
    Umetumika kusaidia watu wengi Sana.
    Nakupenda na kukuheshimu mno.
    Naomba utamke neno kwa ajili yangu na familia yangu.Ahsante Sana. Mungu akubariki na familia yako

  • @mercymutabe1306
    @mercymutabe1306 3 роки тому +4

    Amen nabii hallelujah asande sana kutuombea wakenya

  • @shangazshangaz4222
    @shangazshangaz4222 Рік тому

    Baba nabiiiimkuuu tusaidie wadada haya tunayapitia sana sisi kwamwanaume mungu awasimamie alisha hilopepo baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 роки тому +4

    Mungu akumbuke wakenya asante nabii kwa kutukumbuka sis jirani yenu nanyi mbarikuwe

  • @dorothhokororo5301
    @dorothhokororo5301 Рік тому

    Baba najiunganisha na ibada na mafundisho,NAMI napokea baraka zote nabarikiwa sana.natamani kufikia Arisha

  • @ndunguedwin4798
    @ndunguedwin4798 3 роки тому +3

    GOD of this Mighty prophet Geordavie is a great GOD 🙏

  • @estherngogo3385
    @estherngogo3385 3 роки тому +2

    Whaooo nimeskia furaha sana jinsi baba unavyohudumia , asante na tunapokea.

  • @rapttortom4826
    @rapttortom4826 Рік тому

    I'm from Kenya I pray to meet this Great Man of GOD 🇰🇪🇰🇪

  • @josephakure6743
    @josephakure6743 Рік тому

    Nabii mkuu,Mwenyezi Mungu ni mwema kila wakati.Amen..............................

  • @halimaomar2795
    @halimaomar2795 3 роки тому +2

    Mm mpaka nifike na wadogo zng, nipo Kenya acha nitafute tickets, maana hali katika family nzima ya babangu siyakawaida naisi Kuna watu walitufunga, japo muislam but I will make sure nxt yr inshallah 🙏 nafika hapa nikajue mbivu na mbichi

  • @nicksonlangatfromnakuru8533
    @nicksonlangatfromnakuru8533 3 роки тому +2

    amen! amen! niko na shida mingi sijui nifanyaje nikutane na nabii.

  • @maggieolomi3650
    @maggieolomi3650 2 роки тому +1

    Najiconekt na kufunguliwa sasa mimi na familia yangu amen

  • @joycekatana2482
    @joycekatana2482 3 роки тому +4

    mungu akubariki kwa kufungua watu

  • @PiusOlando
    @PiusOlando 8 місяців тому

    Amen babangu

  • @sarahmgaya9853
    @sarahmgaya9853 3 роки тому

    Amina nabii naomba unipe unabii wako nafatilia sana unabii wako adui zangu wote waaibike

  • @elizabethmambai2072
    @elizabethmambai2072 3 роки тому +1

    Asante nimeamini Kenya

  • @corannotremedecine8368
    @corannotremedecine8368 3 роки тому +3

    Asanten kw Film ambayo mnaendeley kutuchezeya

  • @eliasimakobe9098
    @eliasimakobe9098 3 роки тому +1

    Amina sana mchungaji yodefi

  • @Cuero_mio
    @Cuero_mio 3 роки тому +1

    This is very touching I would like to meet this man of God over my sister's issue

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 роки тому

      Nabi naomba inirudishie dhaman yangu sifanikiwi napambana sana baba

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +3

    amina wasaidie baba

    • @vickjohn6830
      @vickjohn6830 3 роки тому

      Tunaomba Namba tunapata shida kupata Namba zako

  • @amselinah7920
    @amselinah7920 3 роки тому +1

    Nabii naomba unipe unabii wa maisha yangu me ni mkenya na nimekua nafuatilia channel yako sana may God bless all your good work you have been doing ,.,.papa pray for me

  • @atusagileysanga6412
    @atusagileysanga6412 2 роки тому

    Amina kubwa

  • @SleepyAlpineVillage-yp2sz
    @SleepyAlpineVillage-yp2sz 7 місяців тому

    Uko big up nabii mkuu wangu

  • @tedylaulet8933
    @tedylaulet8933 3 роки тому

    Namm napokea uponyaji kupitia madhabahu hii roho za kukatariwa nazitowesha kwa jina la yesu

  • @rosinakalunda5969
    @rosinakalunda5969 3 роки тому +1

    God blessing you

  • @juliethmsengi4188
    @juliethmsengi4188 2 роки тому

    Dad 🙏 nimeipenda hii....ishi Sana BIG DADY.....

  • @alexmatiko373
    @alexmatiko373 2 роки тому

    Nabii mkuu.❤

  • @webnty323
    @webnty323 2 роки тому

    Nisaidiye papa mimi nimefirisika sana nataka nijuwe familiya zangu

  • @petermollel1471
    @petermollel1471 3 роки тому +3

    I receive in Jesus name. Amen

  • @nabintumiruho5142
    @nabintumiruho5142 2 роки тому

    Mtumishi waMungu uniombeye mungu afunguwe nyumba yangu mimi naikaa kenya

  • @lyzekeyz328
    @lyzekeyz328 3 роки тому +4

    Mzee wetu pia walai mzee abdull ajeakombolewe

  • @ConfusedBilliards-yv9mr
    @ConfusedBilliards-yv9mr 28 днів тому

    Jamani redio ya ngurumo darslaam inapatkana masafa gani na je tv chaneli gani na king'amuz gani?

  • @emimwakalinga4262
    @emimwakalinga4262 3 роки тому +1

    Nabii uko vizuri sana nikijakupata ela ntakuja uko arusha

  • @adjafamkungilwa1154
    @adjafamkungilwa1154 3 роки тому +3

    Yesu amesema nimwewapa bure nanyi toweni bure,sasahuyu anae toza pesa ili kumuona tu inakuwaje tena
    Mbona ni kama ajifanya mungu mtu huyu mzee?aisee mungu atuokowe mana kweli ishara ziko wazi kwamba ninyakati za mwisho

    • @annkim2690
      @annkim2690 3 роки тому

      Watu hawataki kuisoma Bibilia watajionea

    • @agapejosceline7683
      @agapejosceline7683 3 роки тому

      Wa kristo wa sasa wanapenda vitu rahisi,wamekua wavivu kudoma biblia 😢😢

  • @solonyamwita777
    @solonyamwita777 2 роки тому

    Jmn mm Sina laki Tano Nina elf kumi TU kwaiyo sirhusiwi kumuona nisaieni?

  • @victoryustas1847
    @victoryustas1847 3 роки тому +1

    Uislamu haya mambo ya unabii hatun mungu atosha

  • @jamessichimata3100
    @jamessichimata3100 3 роки тому +2

    Ameen

  • @adjafamkungilwa1154
    @adjafamkungilwa1154 3 роки тому +7

    Dunia ya leo watu wanakuwa vipofu japo wana macho
    Watu hawatafuti mungu tena watafuta miujiza,Dahh??

  • @saumujuma8979
    @saumujuma8979 2 роки тому +1

    Amen

  • @edwardnamakonde7310
    @edwardnamakonde7310 3 роки тому +2

    Dunia iko mwishoni, manabii wasioeleweka, miujiza ya kiusanii. YESU kaachwa kando.

  • @mutabazijonathan7278
    @mutabazijonathan7278 3 роки тому +2

    Mungu ni mkubwa nabii una kazi kubwa

  • @michaelmugambi5223
    @michaelmugambi5223 3 роки тому +3

    Naomba kufunguliwa nikiwa kenya magojwa yananisubua pia nafanya biadhara sifanikiei ..

  • @espekahambu4437
    @espekahambu4437 3 роки тому +3

    Namba plis

  • @michaellyeme7397
    @michaellyeme7397 2 роки тому

    Baba naomba nisaidie mimi na Familia yangu na vijana wetu wapate ajira,

  • @halimaleila2323
    @halimaleila2323 3 роки тому

    Nazidi. Kuomba. Mungu. Siku. 1.nifike.mahari.apa,🇧🇮

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +2

    Wakristo nyote nendeni kuombewa huko kanisani kwa hali hio mtakuwa na maisha mazuri nyote duniani hakuna mwenye tabu wala maradhi

    • @meena-ol6fo
      @meena-ol6fo 3 роки тому

      😁😁😁😁mungu sijui alitutofautisha na wanyama watu waongopewa kaa wanyama

  • @saldakltl7611
    @saldakltl7611 3 роки тому +3

    Amen Amen 🙌🙋‍♀️🔥🔥🔥🔥👏👏👏

  • @beatriceshauri4497
    @beatriceshauri4497 3 роки тому

    Ee mwenyezi mungu naomba unifungue namimi

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +4

    Haki siku hizi watu badala kumuita mungu baba wanapigia binadamu magoti mungu atusamehe.

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 роки тому

      Huu mtihani kwakweli. Atapoteza wengi.

    • @agapejosceline7683
      @agapejosceline7683 3 роки тому

      😢😢jamani dah.
      Sisi binadamu tumeanza kuji tafutia laana kwa kweli

  • @tymlesshodari1010
    @tymlesshodari1010 3 роки тому +2

    Amen 🙏 but wait huyu pastor huwa anahubiri neno mda gani 🤔

  • @elviramawang6652
    @elviramawang6652 2 роки тому

    Namimi naomba unabii maisha hayaendi Kila siku ni struggle here n there

  • @luhizomkombozi5763
    @luhizomkombozi5763 Рік тому

    Namwomba MUNGU siku moja nifike mahali hapo!!! Nimeiona nguvu ya MUNGU kwa NABII MKUU GEOIRDAVIE!!

  • @danielshauri4681
    @danielshauri4681 Рік тому

    Nivizuri sana

  • @nenemagadau1954
    @nenemagadau1954 Рік тому

    nakupenda jamani

  • @wilsonletiet7852
    @wilsonletiet7852 3 роки тому +1

    Duuh! Eh Mungu tupe roho ya ufahamu na utufunguwe macho tupate kuona

  • @BavaziBamutara-mc5xt
    @BavaziBamutara-mc5xt Рік тому

    Nabi yamungu mambo yako inaniguza sana

  • @brendaaluoch7088
    @brendaaluoch7088 3 роки тому +1

    Tutubu dhambi zetu Messiah anarudi tuishi kwa njia yautakakatifu,tuwachane na hii michezo mingi jameni

  • @gladyswandela1565
    @gladyswandela1565 3 роки тому +1

    amen

  • @severinngloo3772
    @severinngloo3772 Рік тому

    Kazi,iyendelehe,.mdogowake.wamngu.adisula.mnafanana.bwanabwa

  • @shabaniezekeeli2216
    @shabaniezekeeli2216 2 роки тому

    Ee mungu apigae ngurumo

  • @BethuelKipngetichmutai
    @BethuelKipngetichmutai 5 місяців тому

    Nifungue Mie pia nabii mkuu

  • @eddyjuniortz2234
    @eddyjuniortz2234 3 роки тому +3

    Amazing prophecy,,,

  • @evamringo2331
    @evamringo2331 3 роки тому +2

    Yesu yuko wapi Apo jaman...

  • @wilsonletiet7852
    @wilsonletiet7852 3 роки тому +1

    Mmmmh! Umesarender kwa Dervie na siyo kwa Yesu???

  • @maureenwanjiku8971
    @maureenwanjiku8971 3 роки тому

    Naomba kuconet na nabii

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 роки тому +3

    Yaani watu wanathubutu kusema wazi wazi kanisani kuwa walikuwa Wana mahusiano ya ki mapenzi na mtu fulani na sasa anaye mwingine,lakini mchungaji hakemei uasherati/uzinzi bsdala yake anabariki na kuombea mafanikio ya ki maisha,kumuona mtumishi hadi uchomeke rupia jamani,hebu tujiulize na tuwe makini

    • @annkim2690
      @annkim2690 3 роки тому

      Hata inashangaza wana tangaza usinzi

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 3 роки тому

      🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @valentineinnocent6647
    @valentineinnocent6647 3 роки тому +3

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😘😘😘😘🥰❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Amen Amen Amen awasaidiye Baba

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 Рік тому

    Baba nakuaminia uongezeke

  • @janetnyabitanga9087
    @janetnyabitanga9087 2 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 2 роки тому

    Kama huwa una tabia ya kwenda kwa waganga Basi nishauri nenda kwa huyu ili Kama ni nguvu zilezile za kiganga Basi umesaidika lakini pia Kama kweli ni nguvu za mungu Basi umepona pia,,lakini Kama umeokoka tulia hapo hapo muombe mungu atakusaidia

  • @geophreymhagama9560
    @geophreymhagama9560 3 роки тому

    Nguvu ni ya Mungu sio ya nabii

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 3 роки тому

    Nabii geordavies naomba namba yako ya simu naishi Mkoani Ruvuma

  • @chrispinchristopher3914
    @chrispinchristopher3914 3 роки тому +1

    Huyu nabii kanisa lake liko wapi hapa dar

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому +1

    Wasaidieni baba

  • @myra123myra9
    @myra123myra9 3 роки тому +1

    Jamani mtu anielekeza kanisani pake mchungaji mimi mkenya pliz🙏

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому +1

    Ameni na Mimi pia napokea una bii

  • @rachellaizer941
    @rachellaizer941 3 роки тому +2

    Nabii msaidie hiyo kijana maana unayoona ni kweli wanageukaga haswa wanajisahau sana wakishapata hela na kuwa mahandsome

  • @webnty323
    @webnty323 2 роки тому

    Kweli kabisa

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 роки тому

    Muombeni MUNGU WA MBINGU NA NCHI NA KUTUBU DHAMBI ZENU VINGINEVYO mmmmh tutateseka Sana na hii DUNIA

  • @amanimanase5794
    @amanimanase5794 3 роки тому +3

    Kijamaa kinapenda kulelewa hichi hahahaaaa chapenda pesa sana

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 роки тому +2

    Natamani nifike huku kwa nabii mkuu asaidie family yetu

  • @abdulrahmanpaskalina7627
    @abdulrahmanpaskalina7627 3 роки тому

    🤲🙏

  • @stepar1
    @stepar1 3 роки тому +1

    Where is the church located please am from Kenya

    • @paulmasong1689
      @paulmasong1689 3 роки тому

      Tanzania mkoa wa Arusha sehemu inaitwa kisongo c mbali na Arusha mjini

  • @nahimanamana9532
    @nahimanamana9532 3 роки тому

    Ameen nabii mkweli kabisa jamani ntatowa wapi namba yake nisaidiyeni namimi ninusurike

  • @vailethseth9036
    @vailethseth9036 3 роки тому +2

    Kiruuu kumbe ni hela kumuona😎😎

    • @exaudmungure2795
      @exaudmungure2795 3 роки тому

      Shalom Nabii Naomba Tamko La Kaka Aangu Hana Tatizo La Kifamili Yuko Dar Mm Naitwa Exaud E Mungure Kaka Anaitwa Safnati E Mungure Asante Halipona Hile Tumbo Hakufanyiwa Hopreheni Tena Iliisha Kabisa Asante Sana Nabii Was Bwana.

    • @agapejosceline7683
      @agapejosceline7683 3 роки тому

      Nashangaa.
      Tena mamilioni.

  • @tantinemwemendi8790
    @tantinemwemendi8790 3 роки тому

    Mbona unadanganya wayu ivo

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 3 роки тому

    Daaaaa

  • @ikeedaudi
    @ikeedaudi 3 роки тому +8

    Msichana mkenya 😂😂😂😂😂rudisha msichana wetu naniiii kwetu tunabiiiii

    • @mmasymery391
      @mmasymery391 3 роки тому

      Kaaa kwakutulia

    • @hildpaul7823
      @hildpaul7823 3 роки тому

      Tuliza mawemge wewe kenya😳😳😳😳

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 3 роки тому +1

      Amrudishe ili iweje?? Umeona Tz hakuna wa kukaa nae??

  • @alamera5986
    @alamera5986 3 роки тому

    Ok

  • @alimachitechi2107
    @alimachitechi2107 3 роки тому +1

    Unapatilishawa unabii na una kubali sasa kama nambi patala usaidie.unawaotoa imani

  • @nenemagadau1954
    @nenemagadau1954 Рік тому

    ww baba ww

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому

    I believed

  • @estermumbua7329
    @estermumbua7329 3 роки тому +2

    Aki nabii sinikufikie

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 3 роки тому +2

    🖐

  • @emmanulefisto8822
    @emmanulefisto8822 3 роки тому +2

    Iyonjoo majina yangu ya fb

  • @Sandra39823
    @Sandra39823 3 роки тому +3

    Hmmmm 😏😏😏😏eti mtu kukuona lazima ulipwe laki 5, Mungu halipiki

    • @agapejosceline7683
      @agapejosceline7683 3 роки тому

      Hii ni biashara sio tena kanisa.
      Pia watu wamependa vitu rahisi ndo maana wana tumia hio njia yaku toa hela zao

  • @drallicemugasa3086
    @drallicemugasa3086 3 роки тому +3

    Kiboko haki ya nani

  • @bakarimwakabebe9649
    @bakarimwakabebe9649 3 роки тому

    Inna lillah waina illah rajion

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 2 роки тому

    Naomba na mimi nifungue baba

  • @joycekatana2482
    @joycekatana2482 3 роки тому +2

    mmmh huyu nmchungaji kwel mbona mm sielewi