ALIKIBA ammwagia sifa DIAMOND baada ya Chris Brown kuicheza Komasava na kuipost TIKTOK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 114

  • @user-sn8gg6hf3i
    @user-sn8gg6hf3i 2 місяці тому +27

    Alikiba❤❤❤❤

  • @stephanokigosi656
    @stephanokigosi656 2 місяці тому +19

    upo live sana kaka fredrick Bundala.. Tupo pamoja dl

  • @queenmariposa799
    @queenmariposa799 2 місяці тому +7

    Hiyo sio hatua huo ni msamba 😂😂😂 KING ni mmoja tu#long live the King

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 2 місяці тому +6

    Safi Sana Alikiba wewe ni kaka wa Diamond ❤❤❤❤❤❤

  • @EmanuelMtafya-zw1xm
    @EmanuelMtafya-zw1xm 2 місяці тому +22

    Alikiba kakuaaa🎉🎉

    • @alexkenyata
      @alexkenyata 2 місяці тому +2

      siku zote team kiba wakubwa kiakila

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 місяці тому


      HHHH NDIOOO_🤦🏿‍♀️

  • @titoamani-e8b
    @titoamani-e8b 2 місяці тому +4

    Diamond Platnumz harongwangi....Ujumbe kwa Harmonize😂😂😂😂

  • @husseinbhatia434
    @husseinbhatia434 2 місяці тому +9

    Kiba amekua sana.this is a kind of king

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 2 місяці тому +14

    Saafi Kabisa blood 💥🔥💯⭐

  • @bongobana666
    @bongobana666 2 місяці тому +5

    Hizi ni strategies za media yake kwenda viral😂

  • @kilimaentertainment1687
    @kilimaentertainment1687 2 місяці тому +1

    Bro Leo umeongea vizuri sana najua unaongea but Leo Yani it's amazing unajua ukiwa msanii ni kama mwanasiasa sometimes unaweza kuongea Kwa njema kabisa watu watafasiri vibaya mpaka ukajuta kwann ilisema vile but tukiwa na elimu ya maongezi tunaweza kuongea as the same time tunabalance maneno wasioleta ukakasi hata hovyo kiswahili chetu ni kizuri kabisa kwenye kuongea big up sana bro Mungu akuzidishie.

  • @IbraahKongwizi
    @IbraahKongwizi 2 місяці тому +20

    mimi wakwanza naomba liké zangu 🎉🎉🎉🎉

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 2 місяці тому +3

    😂😂WCB inanguvu kubwa tayar kiba kaingia kwenye mfumo Diamond ni kioo mpaka kiba anakitumia kujiangalia😂😂

  • @YasreArafat-kk9en
    @YasreArafat-kk9en 2 місяці тому +6

    Toka Alikiba aneanza mziki Zaidi ya miaka 23
    Leo ndo kaongea point
    Leo aneonyeha uzalendo kitu hajawahi kufanya b4
    Kunbe ilikuwa hajahipata
    Simba huwa anamzungumzia vizuri Sana
    U are wormly Wellcome

  • @user-om5go9nj6n
    @user-om5go9nj6n 2 місяці тому +1

    For the first time King anaongea as mature man, let bifu continue but mweny akifanya powa uongeeni positive
    The only mature artist tuko nayey east Africa ni uyo Big azipo fika international vizuri musahau msani mwengin kufika uko

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 2 місяці тому +9

    Safi sana🎉❤

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 2 місяці тому +5

    ❤❤❤❤❤Diamond. Haters go to the back. Diamond is the king. 🇺🇸

    • @mzukaunlocked670
      @mzukaunlocked670 2 місяці тому +2

      There can never be two kings, only one King Kiba let that sink in

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 2 місяці тому

      @@mzukaunlocked670 And I’m telling you who that one king is. Diamond and that's on period and please I do not repeat do not care what you have to say. Now let that sink in. Get it Thank you. 🇺🇸

  • @hamadihamisiambale8943
    @hamadihamisiambale8943 2 місяці тому +4

    This is king of bongo flaver❤

  • @DAVID-wp4vc
    @DAVID-wp4vc 2 місяці тому +9

    Wa kwanza

  • @kenyzach9124
    @kenyzach9124 2 місяці тому +6

    kweli wabongo hawana jema😂. sifa katoa mmemaind, angekaa kimya mngesema ana kiburi😂

  • @bensonelisa3225
    @bensonelisa3225 2 місяці тому

    Appreciate King

  • @invocavitykitaly2483
    @invocavitykitaly2483 2 місяці тому +19

    wa kwanza mm na sitaki like mm

  • @avitrujweka2113
    @avitrujweka2113 2 місяці тому +1

    👏👏👏

  • @nsabimanaabedi541
    @nsabimanaabedi541 2 місяці тому +9

    Kwakeli Alikiba amekuwa

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Місяць тому +1

    Atajua hajui😂😂😂😂😂😂😂

  • @DM_15
    @DM_15 2 місяці тому +2

    Kupost sio hatua nimsamba,😂😂😂😂

  • @kimah9855
    @kimah9855 2 місяці тому +2

    King is always a king 🤝🙌🙌

  • @DorotheiaPafra
    @DorotheiaPafra 2 місяці тому

    Safi sana kiba

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 2 місяці тому +5

    Acha ushamba wako nawewe mwandishi sifagan arizomwaga zaiditu yakutafuta kiki nahuyo mtangazaji wake eti ange poxti angeonekanaje 😂😂 kwani angeongezann kwa mondi huyo kiba 😂😂😂😂😂😂😂

  • @paschalaldo1476
    @paschalaldo1476 2 місяці тому

    King

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 місяці тому +23

    Anaanza kumuelewa SIMBA. Amechelewa sana kumuelewa Simba ila sasa anaingia kwenye mfumo. Good one Ali Kiba

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 2 місяці тому +15

      Wewe ndo imechelewa kuwaelewa wenzako NI wafanya biashara we endelea na ushabiki mandazi

    • @KhalidiMtawa
      @KhalidiMtawa 2 місяці тому +3

      😂😂😂 ndo alivyosema mfumo which where 😅😅😅

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 2 місяці тому +3

      Acha uswahili

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 2 місяці тому +2

      Ali kiba forever inakuuma eeh tafuta ndimu

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 місяці тому

      @@shwaibukhatibu2838 Akili huna aliyekuambia sijui kama ni wafanyabiashara ni nani? Team Kibakuli mna mihemko ya misamba 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nasibusaid4161
    @nasibusaid4161 15 днів тому

    Bado anammisi x wake maana story yote kamtaja yeye tu,sijaona motivation yoyote hapo

  • @vanny387
    @vanny387 2 місяці тому

    Safii snaaa Mfalme... Alikibaa

  • @emmanuelrichard6771
    @emmanuelrichard6771 2 місяці тому

    Hii n kubwa saanah King 🤴 ame appreciate

  • @IsackManene-gt2ym
    @IsackManene-gt2ym 2 місяці тому

    This is what we call maturity.

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 2 місяці тому

    Safi sana sijawahikukubali Ila leo ❤❤❤❤

  • @irenematari6218
    @irenematari6218 2 місяці тому

    Wow good answer❤

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 місяці тому

    Kikeke kwawekeza nguvu nyingi,,hongera sana kikeke na ally

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec 2 місяці тому +1

    We umebakiza taarabu tu lazma umwongere Ili jina lako liendelee kuwepo maana kama unapotea hv

  • @user-pt7lc4xu3d
    @user-pt7lc4xu3d 2 місяці тому

    King's bg up

  • @user-sh5gl8tw3w
    @user-sh5gl8tw3w 2 місяці тому

    Kiba ana hekima sana

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 2 місяці тому

    Definition of positivity

  • @user-jh9yv1zp1l
    @user-jh9yv1zp1l 2 місяці тому

    Big up kiba

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 місяці тому

    Alikiba xaxa naona umekuwa !! Nliwambia achana na bifu msonge mbele !! Kama Nigeria walivyo!

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 2 місяці тому

    Simba ndoo Yale majiii

  • @KhadijaZahoro
    @KhadijaZahoro 2 місяці тому

    Sapot ni muhim kama munataka kufikia malengo flan umoja una nguvu ndio mana wanaijeria wamefika mbal Ali kiba tunataka hit Kal za kimataifa sio Ngoma za ndan t Enjoy na komasava

  • @Officialmodel_001
    @Officialmodel_001 2 місяці тому +1

    🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🔥🔥

  • @comics3437
    @comics3437 2 місяці тому

    Kiba is intelligent,

  • @besteva499
    @besteva499 2 місяці тому

    Nyinaye wana sns niwahovyo ama mumekosa habali sasa unazani alikiba angejibu nini

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 2 місяці тому

    Kwani bila daimond hawezi fanya mambo yake paka ugomvi

  • @emmanuelnyakunga8320
    @emmanuelnyakunga8320 2 місяці тому +1

    Ilo swali kajibu basi tu atafanya je Sasa😂😂😂

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 2 місяці тому

    Yeye huyo diamond ashawahi kupist wimbo woworecwa Alikiba?

  • @wisevictor-xc9ub
    @wisevictor-xc9ub 2 місяці тому

    Alikiba ni mtu sanaaa

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 2 місяці тому

    Mtamuelewa polepole ❤️

  • @ibrahimngulungu
    @ibrahimngulungu 2 місяці тому

    nimekuelewa sana tutasonga mbele kimziki

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 2 місяці тому +2

    Wameamua kuikuza radio

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 2 місяці тому

    Natamani diamond na Alikiba watoe ngoma

  • @marlodemarlove9281
    @marlodemarlove9281 2 місяці тому

    Kizazi sana hata kuongea inatosha 🥰

  • @AmosBenesta
    @AmosBenesta 2 місяці тому

    Alikiba anazingua kwenye mavazi

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 місяці тому

    Kiba amekua safi sana

  • @IbrahDeDonny-lv2lo
    @IbrahDeDonny-lv2lo 2 місяці тому

    Kwan Jomba Nchumali anaxemaje huko?? Mamaeee 😅😅😂

  • @fatumasaidi2592
    @fatumasaidi2592 2 місяці тому +2

    Hawa waandishi wa habari nao wanapenda fitna sana

  • @zamdayusuph858
    @zamdayusuph858 2 місяці тому

    Sns naomba jina la huo wimbo hapo mwishon

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 місяці тому +3

    Eti acheze fallen angel badilika ww imba kimataifa zaidi na sio bongo flava tu eti aimbe nhoma y Alikiba yan aje aimbe bongo flava kwl??

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 2 місяці тому +1

      Nitajie chart Gani kubwa komasava imeingia? Mnapelekeshwa tu na upepo nyie, hakuna chart zozote kubwa komasava imeingia pamoja na kelele zote hizo

    • @isayamsisika6255
      @isayamsisika6255 2 місяці тому

      ​@@Oldskulgemini9991umejibu vizuri

    • @user-pk1yl7zt8p
      @user-pk1yl7zt8p 2 місяці тому

      Kuchezwa na breazy n chart kubwa kuliko hizo unzozfikiria ww😂😂😂😂#breazy n GO.A.T kuliko hizo chart kama hujui muulze hy ulokaa naye atakuambia#komasava global son yen atacheza pimbi na hizo chart unazozifagili😂😂😂

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 2 місяці тому

      @@user-pk1yl7zt8p isije ukafikiri Mimi ni shabiki wa kiba au labda namchukia mondi! sinaga ushabiki wa msanii yeyote mi napenda ngoma ya yeyote Ili mradi iwe nzuri tu, kwahiyo we unaamini Chris brown akicheza wimbo akaiweka tik tok ndo basi eti!😃 Upo zama Gani mzee!😅 Kesho na kesho kutwa mnakuja kulalamika oh wanatuonea hawatuweki kwenye tuzo, hakuna anaemwonea mtu, ishu mnajipa ukubwa usio na uhalisia, ngoma inatembea TikTok sawa lakini Ili iwe international song inabidi iwepo kwenye chart kubwa za Dunia, ngoma mbaka leo Ina streams milioni Moja tu Spotify unaita ngoma international? Unazijua ngoma za international Mzee? Wasafi wanawabeba Sana nyie jamaa aisee tukitoka nje huko ndomana tunaaibika uhalisia hatuna, uongo mwingi na chuki zisizo na msingi, mziki sio rahisi hivyo kama mnavyofikiria, haya bana nyie mmeshazoea kudanganywa na wasafi Kila siku Haina shida bana, lakini uhalisia hua unakujaga kuonekana tu baadae😅

  • @Ujuechazi-hb9pc
    @Ujuechazi-hb9pc 2 місяці тому

    Nimekuelewa

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 2 місяці тому +1

    Jamaa anaongea kama kikwete

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 2 місяці тому

    Hii haitok moyon 😂😂 kiba

  • @bosssyedmund8785
    @bosssyedmund8785 2 місяці тому

    Ukishakua na media lazima ukubali yote

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 2 місяці тому +1

    𝐊𝐢𝐧𝐠...

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 2 місяці тому

    Amwagia?? 😂 Wapi Sasa nje au ndani

  • @robertkingke5592
    @robertkingke5592 2 місяці тому

    Tanzania jameni sasa Chris kucheza tu nyimbo nikitu yakuongelea kila mahali...sasa akipiga colabo itaongelewa aje

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 2 місяці тому

    Acha mengine uongei Harmo tyu

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 2 місяці тому

    Yamemshinda!!

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 2 місяці тому

    Kiba umekua sana

  • @thompsonkiputa6842
    @thompsonkiputa6842 2 місяці тому +4

    Hypocrite 😅

  • @user-wt9nd8bh2h
    @user-wt9nd8bh2h 2 місяці тому +2

    😂😂😂Sio hatua ni msaamba

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 2 місяці тому

    Kiba achana na huyo domo tena hata ungekataa kujbu tu ni wapuuzi

  • @Kombs-cr2mj
    @Kombs-cr2mj 2 місяці тому

    Hajaanza leo mond 😅 ua-cam.com/video/WC7AwvcsyN0/v-deo.htmlsi=uKzKtegUxbPKXPH-

  • @adamutilar3147
    @adamutilar3147 2 місяці тому +1

    Umefulia wewe

  • @MNHAMAOFICIAL
    @MNHAMAOFICIAL 2 місяці тому

    alikiba leo nimeamini kuwa wewe ni mkumbwa

  • @DorotheiaPafra
    @DorotheiaPafra 2 місяці тому

    Safi sana kiba

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO 2 місяці тому

    King

  • @DorotheiaPafra
    @DorotheiaPafra 2 місяці тому

    Safi sana kiba