MPYA: SINA HATIA - 1/10 (Season I) SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @vyaduoj
    @vyaduoj Місяць тому +10

    Wa kwanza leo , from USA 🇺🇸 hapa , nipeni likes guys pls.

    • @regen5458
      @regen5458 Місяць тому

      Tupe connection tuje jamani

  • @user-ke1ox6zl6k
    @user-ke1ox6zl6k Місяць тому +9

    Jamani mi ikifika saa kumi nikiona notification ya UA-cam natap haraka nikidhani ni gobole la urithi yaa hi somulizi🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @lonakirao5275
      @lonakirao5275 Місяць тому +1

      Imagine simulizi mpya zaja zikiisha lakin gobole haliji😢

    • @fatmaabdallah1149
      @fatmaabdallah1149 Місяць тому

      Si pek yko voo

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc Місяць тому

      Ni kweli ila oen aliomba msamaha pia alisema simulizi ya gobole la urithi na watatu wa mwisho zitakuwa zinachelewa sana kutokana na changamoto zilizojitokeza

    • @lonakirao5275
      @lonakirao5275 Місяць тому

      @@NeemaSamson-ti8pc Lakin alisema ikija inakuja mpaka mwisho ila episode mbili twasubiri labda kesho inshaAllah

    • @StellahLivogah
      @StellahLivogah Місяць тому

      Bana ata mm nimechoka had nikaimalizia kichwan basiii😂😂😂

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 Місяць тому +4

    Wakwanza jamani nipeni like yangu 🎉🎉🎉🎉

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Місяць тому +3

    No.3 thanks Smix 🎉🎉🎉

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Місяць тому +6

    Wakwanza jamani kwa simulizi hii mpyaa 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao Felix

  • @hopefulsabby4169
    @hopefulsabby4169 Місяць тому +5

    𝑻𝒘𝒆𝒏𝒅𝒆 𝒏𝒂𝒍𝒐🎉🎉🎉❤❤❤𝒉𝒂𝒅𝒊 𝒌𝒊𝒑𝒊𝒎𝒐😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Місяць тому +3

    Huyoo dada kwani hakuagaa kwao jamani kipigo nauko hapo huyu jamaa laana anaitafuta kwa mamake sio kwakumpigaa huko

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 Місяць тому +2

    Heee jamani hii ni ndoa au ni ndoana😢😢😢😢Yaani Majid hata mama yako pia 🙆🙆🙆🙆dunia itakufunza mana mama yako hakukufunza jiandae🫵

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 Місяць тому +3

    Kweli hamlali wadau😂, shukrani sana wana simulizi mix kwa mzigo huu mpya🥰🥰

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Місяць тому +1

    Wapendwa jooni huku Felix ametuletea kitu kipya makofi kwake 👏👏👏

  • @MerryamMukash
    @MerryamMukash 26 днів тому

    Mwanaume aseme unanuka Alf wewe mwanamke una nguvu ya kuongea naye kwangu mbona angenikoma
    Lkn shukrani Kaka Felix

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 Місяць тому

    Waooooo Felix ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z Місяць тому

    Shukuran Felix..

  • @user-tq5di6mv9c
    @user-tq5di6mv9c Місяць тому +2

    Yani ndoa bwana😂😂unaweza jikuta umeolewa lakini nikama haujaolewa😂😂yani mpaka ukajuta kwanini umeolewa

  • @OmaryMlacha-se2bg
    @OmaryMlacha-se2bg Місяць тому +1

    Jamani gobore la urithi mbona hatuelewi

  • @user-yk8em1bh8g
    @user-yk8em1bh8g Місяць тому +1

    ❤❤❤

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Місяць тому

    Dah yaani wanaume aisee😢😢

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 Місяць тому +1

    kauthar jaman pole😢😢😢

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 Місяць тому

    Nice

  • @user-ro7xv7bk3y
    @user-ro7xv7bk3y Місяць тому

    Mwanamke bwege kweli pole sana

  • @bintimrope
    @bintimrope Місяць тому

    ❤❤🎉🎉

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 Місяць тому +1

    Yaan mwanaume sjui wanaakili gani yaan sasa ukiwa na mchepuko yanini kujikasirisha kipuuz kwa mkeo??? Unazan huyo mchepuko atakua mzur kwako milele???yaan mke kila atakachoongea ni kosa ht iweje washenzi kweli

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 Місяць тому

    To be continued

  • @yusravyizigiro1247
    @yusravyizigiro1247 Місяць тому

    🥰🥰🥰🥰

  • @user-tv6ii7pc4z
    @user-tv6ii7pc4z Місяць тому

    Mwanaume akianza kuhanya anakua katili magd utajutia

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula Місяць тому

    Ngesa deliki

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 Місяць тому

    Shukran ❤❤

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Місяць тому +1

    😅😅😅haya bhana ushauri wangu qwa kaudhal ni kumuombea sana maana amesha dakwa huko nje na wajanja maana km unajua kumhudumia mmeo kwa njia zote hapo ndo ujiongeze

    • @user-yk8em1bh8g
      @user-yk8em1bh8g Місяць тому +1

      Mmmh Hawa viumbe wakpgwa limbwata au wakiamua kukudharau n mthan 🤦‍♀️

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim Місяць тому

      ​@@user-yk8em1bh8gsana

  • @AshaHamad-oz4rg
    @AshaHamad-oz4rg Місяць тому

    Weuweeeeee❤❤❤❤

  • @uwinezaleillah6879
    @uwinezaleillah6879 Місяць тому

    Em tumaliziy kwnz gobol la uridhii jaman😢😢

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc Місяць тому

    Mi kiukweli sina uvumilivu kama kauthal ata kidogo kwanza ndoa siwezi

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 Місяць тому +1

    😂😂🎉

  • @AishaOthumani-xq4ec
    @AishaOthumani-xq4ec Місяць тому

    Masikini husna mtoto mdogo amekosea nn

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 Місяць тому

    😭😭😭😭😭🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mariamsaid6334
    @mariamsaid6334 Місяць тому

    Ila Fells story zake zote uwaza uck tu tena uck wa manane kongole brother

    • @radhiaomary5591
      @radhiaomary5591 Місяць тому

      Kwani yy ndo mtunzi??c analetewa tu kazi ikiwa tayar

  • @user-jf7dd7uk9i
    @user-jf7dd7uk9i Місяць тому +1

    Shukran Sanaa kit ki mpya ❤ ❤ 🎉🎉

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 Місяць тому +1

    Aki wanaume wengine jamanii 😢😢😢

  • @fatmaabdallah1149
    @fatmaabdallah1149 Місяць тому

    Gobole la urithi limepotea wapi

  • @PilliSaidi
    @PilliSaidi Місяць тому

    Kitu kipya

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Місяць тому

    Ila gobole la urithi please

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Місяць тому

    🥲🥲🥲🥲hivi mwanaume kumpiga mwanamke kiasi hiki 🥴🥴 huu c upuuzi tu mbona asimwache aende zake tu?mm ndo maana siwezi ngoja mkono wa mwanaume uniangukie

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim Місяць тому +2

      Mm Kuna siku nilipongwa Hadi mbavu zikaniuma nikaenda siptal kisa napika chapati mtoto yuwalia sasa yy amekaa alafu aniuliza huoni mtoto yuwalia nikamuliza kwani ww huoni napika heee kumbe alikuwa ashatoka Kwa Malaya wake sasa yuwatafuta sababu Wacha tu hizi ndoa zimeficha Mambo mengi

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 Місяць тому

      @@FatumaRamadan.Mwalim 😂😂😂😂pole mwaya tatizo ni vile ulimjibu eti huoni mm napika, nashukuru Mungu hapo kwa kujibizana na mwanaume mm huwa siwezi kwanza nikichezwa na machali ana Jambo lake hata km nilikuwa napika huku mtt analia nilikuwa namchukua zangu na kumbeba mgongoni nikiendelea na kz zangu,enzi hizo lkn kwa sasa ndoa ilinishinda jmn mie nipo zangu kulea wtt wacha niparangane na stress za wanangu maana hao ndo najua uchungu wao lkn jitu zima tumekutana hawezi kujua uchungu wangu kamwe, hivyo dear km upo kwa ndoa omba sana Mungu akupe uvumilivu maana kwa kweli ni ngumu sana

  • @pilishazycounterog8200
    @pilishazycounterog8200 24 дні тому

    ❤❤❤

  • @user-hq4ow2ou6u
    @user-hq4ow2ou6u Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤❤