Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Narudia tena Asante mungu🙏 msaidie Dube 😢 azid kufunga na kuisaidia tem jaman kwanza hana tamaaa na ufungaji bora tem kwanza haya mengine yanakuja tu 😢 asante mungu 🙏
Allah akulinde price dube una maneno ya busara Sana Mashaallah utazid kufunga Inshallah
Asante mngu Leo dube ameshinda nimefurai Sana mung azidi kuwafungua wachezaji wetu na kama tulikufulu utusamehe
Ameni hakika tulipokosea atusamehe aisee🙏
Mungu tunakushukuru sana kwa ajili ya dube na tim nzima ya yanga na ikawe na mwendelezo mzuri Kila itakapokanyaga uwanjani ikawe kichwa na sio mkia
Mungu tunakushukuru endlea kumtumia dube katka kufunga mpka akafikie kileleni yy cha ufungaji bora uchawi usifue dafu teeeeena kwake🙏🙌
Bless you prince dube,all the best kwenye kusaidia team hyo mengne bdae
Kiukweli nimefurahi dube kupata magoli mungu ataendelea kukufungulia milango
Dube Mungu akusaidie na huu ni mwanzo tu. Love Yanga African
Verry happy prince dube kila La kheri🙏🙏
Mungu nimwema naupendo wake kwetu niwa milele. Asanteeee Mungu 🎉
Mungu ni mwema kaka endelea kumwamini mungu daima mbele nyuma mwiko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Don't forget the professor pacome this man is on fire
😢nalia kwa furaha 😢 jmn Dube 😢 asante mungu🙏
Hakuna kubwa kwa mungu 🙏tunakupenda sana 💪💚💛🤲
Mungu akubariki sana mwna mfalme kwa hatrik ya kwanza❤❤
❤❤
Mnyama mkalii dube 🎉
Hongera sana,Dube.
Top striker
Dube Asantee pia
Safi sana Dube kila la kheri
Safi Dube
Hongera sn mungu ni mwema
😂😂😂😂😂 hiyo kiswahili mbona hivyo
Mungu mzuri
Khomein anapaswa ajue kwamba anaidakia timu kubwa aache utoto
Ashukuriwe aloye juu
anajuaa kujieleza sana
Ongerea prince dube
Mm shabiki wa simba ila nimependa dube ameongea vizur
Safi
Duuuh ila goli la pili alofungwa kipa wa yanga mi cfungwai hakyani pale kuna shati
🎉
Busara kubwa...ombi langu uzidi ng'aara na team nzima.
Yani ingekuwa kipindi kile nnavocheza mamelod ngefunga meng sanaa😅😅😅😂
Nakukumbusha na umkumbuke Apostle Mutalemwa Bushiri
Kohmen upewe nin Sasa nafas hii umeshindwa kuitumia diaara majeruhi onyesha bas unataka hovyo
Timu imeonesha mwanga. Makosa madogo madogo yamo yanarekebishika na mfumo wa mwalimu umeshaanza kuingia
M'sisahau msharuhusu Gori 7 lkn
Penalt fc roho zimewauma
Mpka unatia huruma binadamu wabaya sana
yanga v mashujaa
Usilie sasa dah ila maombi
Dube huna baya wewe nikutabasamu tu
Mwanaume gani masaa yote meno nje
Nani alikwambia meno ni sehemu za Siri!
Kalale kolo weeee
Hujielewii
Unaropokaaa tuu
@@bcozhenry2698 jibu zurii sana umempa
Njoo tuangalie mardio