KIBWANA SHOMARY AVUNJA UKIMYA BAADA YA KUKIWASHA DHIDI YA MASHUJAA FC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 92

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 23 години тому +16

    Alhamdulilah kwa ushindi jeshi hongereni dube oyeeeeeeeee wananchi wote tuwe pamoja dua zetu muhimu mahasidi wetu wengi daima mbele gusa achia twende kwao 💓💓💓❤❤❤

  • @JustinIdfonce
    @JustinIdfonce 19 годин тому +8

    Huyu jamaa anajua bhana hachuji Big up broo

  • @VIVIANMUKULU-kr8xp
    @VIVIANMUKULU-kr8xp 22 години тому +7

    Nimefurahi sana kumuona kibwana Leo mungu aendelee kukutia nguvu kijana wetu

  • @JacklineMsafiri-b1v
    @JacklineMsafiri-b1v 21 годину тому +6

    Yaaan mm nimefurahi saaaaaaan kibwana kucheza ,❤❤❤❤❤

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 21 годину тому +6

    Nimefurahi sana kibwana kucheza kwa kiwango cha juu

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 20 годин тому +3

    Kibwana ninachopenda sio moga kwa wachezaji wa mpinzani mansha Allah leo umefanya vzr kazi iyendele gusa weka chini twende kwao💛💛💛leo timu yote mmecheza vzr Azzi k nae ajiongeze dua zipo maombezi yapo vijana msikae tu mnakosa kufunga kume mnachezewa nawatu wa majeaha amkeni msipo kua macho itakuwa akipona huyu anaumia yule ss mnaona mpaka imefika kwa makipa Diara nae wamempima vijana mpira nikazi kuweni makini pia mna wazazi nk changamkeni kazi iyendele tu nawapenda wote.watoto wangu mwenyezimungu awalinde Amiin🤲

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r 21 годину тому +6

    Uvumilivu ndio kitu muhimu sana kwenye haya maisha

  • @EmanuelPeter-z3l
    @EmanuelPeter-z3l 21 годину тому +6

    Kocha azidi kumpa nafasi...yuko vzr

  • @avengerqueen1748
    @avengerqueen1748 23 години тому +10

    Ile Cross aliyopiga kwa Dube ni 🔥

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 23 години тому +12

    Sijui kwanini mlikuwa mnamchezesha yule boya kibabage akati huyu mwamba yupo safii sanaaa

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 21 годину тому +5

      Siyo sahihi brother Kila mchezaji anamchango wake tunawathamini wote wachezaji wetu

    • @JumahMohamed-e9r
      @JumahMohamed-e9r 10 годин тому +1

      Team inataka watu sahh sio kujarib watu kama kuna mtu anafanya kaz yake kwa usahih kweny nafax aijalish wapo wangap anatakiw yy apewe hiyo nafax ili team ipate matokeo kibwana anawez inabid apewe nafax kwa muda hu

    • @pacomezouzoua9175
      @pacomezouzoua9175 10 годин тому +1

      @@JumahMohamed-e9r kweli sio wakati wa kujaribu wachezaji kama vile tuko pre-season wakati huo timu inahitaji matokeo kama leo nimefurahi sana kumuona na faridi mussa hata akiwa anaingia dakika za jioni ivyo ivyo anazidi kupata confedence na molali

    • @ChenChen-i8c
      @ChenChen-i8c 8 годин тому +2

      Kumtukana mchezaji ni kumkosea wote ni wetu kikubwa dua

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 7 годин тому +1

    Tunamshukuru sana MUNGU kwa ushindi huu na pongezi nyingi kwa wanajeshi wetu kwa kutupa furaha tulioimiss kwa mda mrefu,MUNGU aendelee kuwalinda na kuendelea kuipambania timu yetu🙏

  • @jerryjob1692
    @jerryjob1692 23 години тому +7

    Kibwana SHOMARY we Lv Ue

  • @EzekielMtango
    @EzekielMtango 22 години тому +6

    Kibwana kaumwaga sana leo hongera kwake

  • @sarahsaimon4095
    @sarahsaimon4095 21 годину тому +3

    Kibwana kibwana, na faridi jamani nyie watu nawapenda sana. Mmefanya kazi Nzuri mno

  • @EmmyWilson-do3oe
    @EmmyWilson-do3oe 21 годину тому +1

    Nimefrah SANA jamn kibwana kukuona KATIKA timu na kazi unaendelea.. Yanga forever💚💚💚💚

  • @amanielSamwel-rr8bz
    @amanielSamwel-rr8bz 14 хвилин тому

    Mungu akujalie kibwana tunakupenda

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 21 годину тому +2

    Chief Kingalu 🎉🎉🎉

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h 19 годин тому +1

    Ao ndo wenye yanga yao good job kibwana 🙏🙏🙏

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 10 годин тому +1

    Mungu atufanyie wepesi wake

  • @teopistakomba2189
    @teopistakomba2189 14 годин тому

    Kibwana ni bonge la beki. Nimefurahi sana kumwona akicheza leo🎉🎉🎉

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 21 годину тому +2

    Wanayanga tulimis sana kuona wachezaji wetu wote wanapata nafasi kibwana, Farid, Sure ila msivimbe Kama FEI alivyotuvimbia tupo pamoja sana ilikuwa inatuuma sana kuona wachezaji hao hao kila siku bila rotation.

  • @myself-T2
    @myself-T2 22 години тому +2

    hongera kaka

  • @vintz338
    @vintz338 6 годин тому

    Achana nakibwana ,farid apewe muda wakucheza

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 17 годин тому

    Hongera sana kibwana kwa kupata nafasi na kuitumia

  • @ChenChen-i8c
    @ChenChen-i8c 8 годин тому

    Jmn mungu awasimamie nimewaona nabfaridi alhamndulillah

  • @IddyKassim
    @IddyKassim 13 годин тому +1

    leo makolo wameumia😂😂💪💪💪💚😂

  • @RayMyonga
    @RayMyonga 10 годин тому

    Unajua kujieleza. Nice

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 23 години тому +2

    Ahsante mungu asante sana 🙏jmn 😢

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 9 годин тому

    Hongera sana ❤

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 8 годин тому

    God bless this guy,naongea nae mara kwa mara,niko Uingereza! Gamond alikua anambania,i don't know y!

  • @ilynnehouseofmanywele7806
    @ilynnehouseofmanywele7806 13 годин тому

    Vijana waaminiwe kuwapa hamasa kibwana anaweza bwana coach aweanamtumia

  • @timothyberege2594
    @timothyberege2594 13 годин тому

    Kibwana Shomari 🔥🔥🔥

  • @DavidFindah
    @DavidFindah 23 години тому

    Hongeraa kijana vibe kama lotee mpira ulikua unakutiii

  • @JahadenHassan
    @JahadenHassan 20 годин тому

    Jamaa nilimic sana🔥🔥🔥

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 23 години тому +1

    Daima mbele nyuma mwiko yanga bingwa inshaallah

  • @dottogabrielmelani823
    @dottogabrielmelani823 12 годин тому

    Kibwana ni fully package hatutakiw kuipoteza hii ni mali haswa

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 13 годин тому

    Namkubali sana kibwana

  • @AmaniElias-x3t
    @AmaniElias-x3t 22 години тому

    Hongera sana kibwana umepambana

  • @SigehuNynguyu
    @SigehuNynguyu 5 годин тому

    Leo nmeiona yanga yangu,, kocha bado namwngalia maana ninachama lagu hodali

  • @babacaren1801
    @babacaren1801 22 години тому +1

    Kibwana Shomari kazi unayo kwa kane leo😅😅😅

  • @MinakiPazi
    @MinakiPazi 19 годин тому

    Leo.kauwasha.haswaa..god.job

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 22 години тому +1

    Tumefrah xana kwa mchezo wa leo ila kiukwel wachezaj wote wamepambana wamejitahidi na waliokosea tumuombe mungu tutakua pw xana tena zaidi na comen ajitahidi apambane asifungwe tena magoli kama yale ila mungu isaidie tim angu izidi kushinda na ktupa fraha AMINA

  • @HadijaHamisi-f5n
    @HadijaHamisi-f5n 22 години тому +1

    NmefurH na farid musaa kucheza

    • @JuliethLughuyu
      @JuliethLughuyu 21 годину тому

      yaani mindozaidi kuwaona faridi pamoja na kibwana😊

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 15 годин тому

    man of the matchhh

  • @hajifesal4407
    @hajifesal4407 17 годин тому

    Kibwana namuona km iniesta

  • @JamilaMohamed-l9y
    @JamilaMohamed-l9y 22 години тому

    Yani leo mwalim kanifurahisha sana kuwachezasha wazao kibwana kacheza faridi kacheza shuwa kacheza safii sana kocha sio mubinafsi

  • @BeaSHAYANAHunterson
    @BeaSHAYANAHunterson 4 години тому

    Thanksgiving to almight God

  • @SurprisedAgilityPuppy-tj3wk
    @SurprisedAgilityPuppy-tj3wk 21 годину тому +1

    Yanga dam

  • @frankphiri9132
    @frankphiri9132 21 годину тому

    Gamond ulituharia kibwana kwa asilimia zote tumemuona kijana wetu mpambanaji karejea

  • @Supernyota-r3u
    @Supernyota-r3u 12 годин тому

    Alhamdulillah

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 22 години тому

    🙏🙏🙏🙏 alhamdulillah

  • @twahaanyoni9120
    @twahaanyoni9120 19 годин тому

    Una muacha kibwana Nnje una muingiza Denice mkane kweli 😂😂😂

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 20 годин тому

    Allaah Akbar

  • @JumahMohamed-e9r
    @JumahMohamed-e9r 11 годин тому

    mshery ayupo kam in au mnabaatisha wakat akitoka diara yupo mshery anafanya vizur langon tunamjua

  • @kelvinadoph7927
    @kelvinadoph7927 22 години тому

    🎉🎉🎉🎉binafsi sina shanga na kibwana naomba asiende popote na namba apate kikosi cha kwanza leo mmeona alivyotoa asisty kwa dube.

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 21 годину тому

      Huna shanga??😮😮😂😂😂😂😂😂😂

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 21 годину тому

    Nimefurahi kumwona kibwana jmn

  • @imma_billy
    @imma_billy 19 годин тому

    Sema me huwa naona Kibwana kama hayuko serious (comedian) toka siku ile amesema alikuwa striker 😂😂😂😂

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 19 годин тому

    Tunaomjua kibwana ni hili...

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 22 години тому

    Gamond Alikua Anatulibia Mchezaji wetu

  • @hidayaomary8611
    @hidayaomary8611 17 годин тому

    Hawa ndyo wenye Yanga Yao Leo nimefurahi sn kibwana kucheza na manara mrudisheni kwenye sehem yake bhn anajuwa kuwakera madunduka

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 21 годину тому

    Kazin Kwa Kibwana Sasa Kaz Kwishinei..Hakuna Tena Kazi..😂

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 21 годину тому

    Mungu mwema

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 19 годин тому

    Kibwana nimekukubali umecheza hatari

  • @djchazymahookah2213
    @djchazymahookah2213 20 годин тому

    Mruguruu

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 12 годин тому

    Teacher things 😂😂😂

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 3 години тому

    Kibwana jikaze isiwe leo tu iwe sikuzote

  • @azadadel-g4e
    @azadadel-g4e 6 годин тому

    Gamond amekuwa proven wrong alisema kuwa Kibwana ni beki wa kizamani hapandi mbele hasaidii Mashambulizi, leo mechi 1, one assist & one pre-assist, hebu tujiulize Mechi zote za Ligi kuu alizocheza Yao msimu huu, ana assist ngapi na pre-assist ngapi? Tufunze kuheshimu wachezaji Wazawa

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 21 годину тому

    Yanga bingwa

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 21 годину тому

    Kibwana tunakupendaaa

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 21 годину тому

    🙏💚💚🔰💛💛💛

  • @EvaNdayishimiye-n5o
    @EvaNdayishimiye-n5o 23 години тому

    Hivi unajua gisi kibwana ulikuwa unatuumiza kweli wewe kibwana kweli kweli niwakukaa bench

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 23 години тому +1

    Mm nakumbuka ile dabi uliowazuia kina chama morison kibu wakawa wanabadilishwa tu namba wote wanakukimbia😆😂😂

    • @JamilaMohamed-l9y
      @JamilaMohamed-l9y 20 годин тому

      Kibwana ni mchezaji mzuri sana kukosea nikitu Cha kawaida nasijamuona akosee sana ila gamondi alikuwa mubinafsi sana eti anaenda kutuchezeshea nkane na tabora wakati kibwana kapita Tim zote za taifa Yani gamondi mm nitokea kumchukia kwasababu ya kumueeka kibwana beach aende tuu ona alivyo shusha viwango wachezaji

    • @JamilaMohamed-l9y
      @JamilaMohamed-l9y 20 годин тому

      Kibwana ni mchezaji mzuri sana kukosea nikitu Cha kawaida nasijamuona akosee sana ila gamondi alikuwa mubinafsi sana eti anaenda kutuchezeshea nkane na tabora wakati kibwana kapita Tim zote za taifa Yani gamondi mm nitokea kumchukia kwasababu ya kumueeka kibwana beach aende tuu ona alivyo shusha viwango wachezaji

  • @DominicMakamba
    @DominicMakamba 21 годину тому

    Kibwana ni Fundi

  • @eliusnchimbi716
    @eliusnchimbi716 21 годину тому

    🎉🎉

  • @mudylipawaga5362
    @mudylipawaga5362 20 годин тому

    Kibabage out

  • @petropromespeter
    @petropromespeter 21 годину тому

    🔥

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 22 години тому +1

    Kibwana kazini kwako Kuna kazi Leo umekwenda kumuuliza maswli Kibanage? Kibabage nakuita mara tatu huyo ni M23

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs 21 годину тому

      yaani angecheza yy leo angeendelea kuwa uchochoro tu na kufungisha

  • @HACKJEMMYLITE
    @HACKJEMMYLITE 19 годин тому

    Kibwana 😂, eti mwl aliniambia hujacheza siku nyingi leo ucheze. Ilielezwa kwa lugha gani?

  • @EdwinNgimba
    @EdwinNgimba 20 годин тому

    Yao na mwenda upande wa kulia halaf kushoto akipige kibwana na boka then kibabage akae sana benchi aangalie wenzake nini wanafanya

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 23 години тому

    🎉

  • @AugustinoGuna
    @AugustinoGuna 20 годин тому

    Yanga bingwa