Mashabiki Simba wamkataa Mangungu & Try Again "Tuachieni Simba yetu inatosha" | Wamtamani Eng. Hersi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лис 2023
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania
    .
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot

КОМЕНТАРІ • 152

  • @MalimaMashaka-cd6ej
    @MalimaMashaka-cd6ej 3 місяці тому

    Tuko pamoja Simba oyeee apishe🎉

  • @Watototuimbe
    @Watototuimbe 8 місяців тому +5

    Pacome piga haooooo 😂😂. Yamefarakana😂😂

  • @aud548
    @aud548 8 місяців тому +18

    😂😂😂😂😂😂Wallahy napenda kuona mimi haya mambo

    • @user-yu9hn2cq3y
      @user-yu9hn2cq3y 8 місяців тому +3

      Aki ya mungu hunishindi mimi🤣🤣🤣

    • @aud548
      @aud548 8 місяців тому +2

      @@user-yu9hn2cq3y 😂😂😂😂 hawa wanaweza kuuana asee

    • @f.a6043
      @f.a6043 8 місяців тому +2

      Mangungu shwain kweli

    • @aud548
      @aud548 8 місяців тому +3

      @@f.a6043 Mangungu kosa lake nini😂😂😂.. yeye kwenye bodi anaingia kama mjumbe tu ...hatoi hela ya usajili ...hatoi maamuzi ya kwenda uturuki...halipi mishahara ....yuko kama kama yupo tu...kosa lake nini?

    • @flova7022
      @flova7022 8 місяців тому

      Mangungu atakufaa . Ajihudhuruu ..hiz keleleee mmh

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 8 місяців тому +1

    Mashabiki wasimba mkiamua jambo nawakubali sanaaa❤❤❤❤🔥🔥🔥viongozi nimidomo tu

  • @kassimzubery9906
    @kassimzubery9906 8 місяців тому +3

    Yani napenda hawa jamaa wakiteseka

  • @user-vv3bn6yc7g
    @user-vv3bn6yc7g 8 місяців тому +3

    Napenda simba wakilalamika

  • @edsonleonci5113
    @edsonleonci5113 8 місяців тому +4

    Yaaniii nafurahiiii kuona Madunduka yanateseka 😅😅😅😅 wapigane tu 😅😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @bwangaakida4672
    @bwangaakida4672 2 місяці тому

    Hapo sawa wachezaji wabovu

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 3 місяці тому

    Makolo nyie ni sawa na ngedere tu 😊😊😊😊😊😊

  • @agnesignas4398
    @agnesignas4398 8 місяців тому +3

    Naenjoy mnavovurugana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-yu9hn2cq3y
    @user-yu9hn2cq3y 8 місяців тому +3

    Yaaani mtasema mengi sana na bado mtasokotana onana oyeee

  • @kisesarecord
    @kisesarecord 8 місяців тому +2

    Mashabiki dawa ya Hawa tukaeni nyumbani tusiende uwanjani Simba akiwa anacheza wanazingua sana wanatupa pulesha bure

    • @mrben227
      @mrben227 8 місяців тому

      Kabisa bro

  • @ignatiomatimba3554
    @ignatiomatimba3554 8 місяців тому +1

    Juma Mgunda mgosi wa Tanga ukisikia vilio vya mashabiki wa Simba wakikulilia Ujue unakitu ambacho unacho ndani yako wasikilize na Thawabu ya Mwenyezi Mungu itakuwa juu yako. Waonee huruma wanasimba wenzio.

  • @masagama3771
    @masagama3771 8 місяців тому +2

    Bado hamjasema!!! kumbe ilikuwa mfe ngao ya jamii mmebebwa jamani

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 8 місяців тому +1

    Kolo kila akiteseka sisi ndo furaha yetu😂😂

  • @user-th4ns4sw6h
    @user-th4ns4sw6h 8 місяців тому +2

    Yanga kawavuluga sana watu

  • @user-lg3nv3uy9r
    @user-lg3nv3uy9r 8 місяців тому +1

    Kula chuma 😅😅😅😅msemaji anawadanganya eyi ukuta wa yeliko 😊😊😊😊

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 8 місяців тому +1

    Yaani mwambieni Ahmed Ally muendelee na VIGOMA vyenu vya BAIKOKO , ndio kazi yenu, MPIRA sio fani yenu...MSITUPIGIE KELELE 🖐️

  • @SwigoJr-vy3gv
    @SwigoJr-vy3gv 8 місяців тому +2

    Tabulele rahaa 🖐️🤣🤣🤣

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 8 місяців тому +1

    Mo ukitaka Simba ufanye vizuri kama yanga toa viongozi wote wa simba weka wapya,inauma kweli yaan.

    • @nsubiraphael8514
      @nsubiraphael8514 8 місяців тому

      Na mo mwenyewe ajiudhuru atuachie simba yetu

  • @archiekarage737
    @archiekarage737 8 місяців тому +3

    Yani mpaka msemeeeeeeeeee

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 8 місяців тому +2

    Kunyeni barabarani toka taifa hd Mbezi mwisho.

  • @PezuzaLabelsTz
    @PezuzaLabelsTz 8 місяців тому +1

    Yanga tushikamane❤

  • @BiefaitKasereka-jd7qd
    @BiefaitKasereka-jd7qd 8 місяців тому +2

    Mtapata tabu mwaka huuu makolo

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 8 місяців тому +2

    Yaani hamjasema mpaka mseme

  • @martinlema7328
    @martinlema7328 8 місяців тому

    Hadi raha ...

  • @user-vy5sw3sf9i
    @user-vy5sw3sf9i 8 місяців тому +2

    @allykamwe njoo uone😅😅😅😅😅

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 8 місяців тому +1

    Yanga hawanaga jambo dogo mwaka huu mtafukuza mpaka mashabiki

  • @Isynick
    @Isynick 8 місяців тому +1

    Raha sana kuwaona makolo wanataabika na kuvurugana 😂😂😂😂😂😂

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 8 місяців тому +1

    Turudi nyuma kdg tukumbuke kauli za Manara like zake hapa kinachoshangaza zaidi MO alionekana siku ya ufunguzi wa ligi ya Club Africain basi ili aonekane na Raisi wa FIFA anajipiga kifua et baada ya kufunga goli la pili yaan MO anapenda sifa sana

    • @husseinmwinchumu9002
      @husseinmwinchumu9002 8 місяців тому

      Unajua kwamba mo ana pigwa vita sana na wenye njaa 😂😂😂😂😂

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 3 місяці тому

    Hawa vipngoz wa simba wametuona mashabiki hatuna akili sana yani walishia kumleta mazoki kwenye kula tu kudadek na mashabik tukaingia kwenye kumi na nane zao

  • @AzizahSiasa
    @AzizahSiasa 8 місяців тому

    Subra ipo siku haya yataisha inshallah!ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji

  • @nsubiraphael8514
    @nsubiraphael8514 8 місяців тому

    Safi sana wanaume,huyo ndio umoja,watoke mara moja wanang'ang'ania nini au wamwagiwe maji machafu,na mo mwenyewe ajiudhuru atuachie simba yetu mpk mtatoka labda sisi SI simba lzm muondoke mbwa nyie tunajitoa club bingwa hakuna tutachofuna

  • @Zuwenasalimu-kg5kv
    @Zuwenasalimu-kg5kv 8 місяців тому +1

    Msiingie uwanjani tim ikicheza wata jifunza

  • @jayson.chanel.9870
    @jayson.chanel.9870 8 місяців тому +6

    NINGEFARIJIKA SANA KAMA HUU UCHUNGU WA HAWA WATU UNGETUMIKA KUTETEA BANDARI NA RASILIMALI ZA NCHI.. HIII

    • @barisolbeatz2731
      @barisolbeatz2731 8 місяців тому

      Umenena vyema saaan bruhh

    • @aloycetz2022
      @aloycetz2022 8 місяців тому

      Daaah wewe umeongea neno yaan tunaogopa kutetea mambo ya msingi hatuogop kutetea mambo ya uwanjani 😢😢

  • @emmanuelthomas1078
    @emmanuelthomas1078 8 місяців тому +1

    Wapumbavu wote hawa! Hamtaki Kwani Mangungu si mlimchagua wenyewe?

  • @anraneamisse9243
    @anraneamisse9243 8 місяців тому +2

    Kweli tumebebwwa kule tangaa sio kwa simba bii

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 8 місяців тому

      Bado hujasema na utasema yani mpaka mseeeeemeee🤓🤓🤓 hongera dada kwa kutambua ukwel

  • @thomangwanyama7122
    @thomangwanyama7122 8 місяців тому +1

    Bado amjasema simulisema simba kubwa mumesajili kuliko yanga aya sasa munandamana 😂😂😂😂 bado amjasema mpaka museme yanga kubwa kuliko simba acheni kumtaja injinia tajeni viongozi wenu simulisema nyinyi bora

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 8 місяців тому

    Leo mmekubali kwamba ngao ya jamii mliipata kimagumashi😆😆😆😆

  • @user-me3tb2ot7w
    @user-me3tb2ot7w 8 місяців тому +1

    Mwambieni injinia aje awasajilie

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 3 місяці тому

    Mimi ni mpenzi wa soka ...Nyie viongozi mnaosemwa mnajisikiaje ? Si mwachie ngazi ?

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 8 місяців тому

    Magungu na TRA na CEO waodoke wote na wachezaji 8 waodoke Mara Moja

  • @sadajackson3209
    @sadajackson3209 8 місяців тому +1

    Yeto hayo yanga wamesababisha nahaya yasinge tokkea

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 8 місяців тому +1

    Jamani raha hii ni sababu tumepiga boom mochwari😅😅😅😅😅😅

  • @kabonwakandoro13
    @kabonwakandoro13 8 місяців тому +1

    Wamevurugwa😮😮😮

  • @JohnGaitan-se9hj
    @JohnGaitan-se9hj 3 місяці тому

    waondoke inatosha tunamaumivu kwakweli

  • @user-zr8be7ep4g
    @user-zr8be7ep4g 8 місяців тому

    Mnawafaidisha vyura

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 8 місяців тому +3

    Leo ndiyo mnakiri timu mbovu.... Angalau sasa mmefumbua macho!

  • @fanuelnyairo9921
    @fanuelnyairo9921 8 місяців тому

    Nafurahiiiii😂😂

  • @user-uh5gk3vb4i
    @user-uh5gk3vb4i 8 місяців тому +1

    Bado mjasema

  • @abdallahmzee7677
    @abdallahmzee7677 8 місяців тому

    Ni kweli kabisa kocha hana kosa

  • @user-cd4ft3cy5w
    @user-cd4ft3cy5w 8 місяців тому

    Hatar

  • @fadhililulandala5018
    @fadhililulandala5018 8 місяців тому +2

    Rais wa yanga unasikia haya xa na w jichanganye uone yaan oficin hapatakalika😂😂😂😂😂

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 8 місяців тому +1

      Punguza akili za kitoto, upuuzi mtupu!

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 8 місяців тому

      We ni dunduka ......malizeni hasira zenu uko uko

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 8 місяців тому

    Wachezaji 8 waodoke Mara Moja. Shemaron , Saidoo , Onana , Kanute ,Shabarara Kaombe Bocco, Bareke

  • @rashidsimba3680
    @rashidsimba3680 8 місяців тому

    leo wanasema wenyewe kwamba saido age go 😀😃😄

  • @user-fo7px1qm8h
    @user-fo7px1qm8h 8 місяців тому

    😢😢😢😢

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 8 місяців тому +2

    Chemalone leo kwa mpaka mekapu.

  • @user-er1dk6zj6u
    @user-er1dk6zj6u 8 місяців тому +1

    Onana ni sawa dogo 😅😅😅

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 8 місяців тому +5

    Hahaha mpaka mseme onana ni sawadogo aliyeendelea

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 3 місяці тому

    Kumbe kwenye ngao madu mlibebwaa??

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 8 місяців тому +1

    🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiii mpaka mseme yote

  • @Zaka-hv9ui
    @Zaka-hv9ui 3 місяці тому

    Tulikuwa tunawaacha muiseme yanga mbovu leo wenyewe mnasema yanga nzuri simba mbovu tulisubili muda utaongea,mayele atakuja kupiga kura kama manzoki

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 8 місяців тому

    yaaaani bado hamjathemaaaaaa mpka mthemeeeee jmn thimbaaaaa😅😅😅😅

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 8 місяців тому

    Mangungu FC au fukuza fukuza FC poleni sana kwa kupata vijora vya sare kwa namungo Mangungu Fc oyeeee😂😂😂😂😂😂😂

  • @kibwetere8147
    @kibwetere8147 8 місяців тому

    Kwa mwenye akili haambiwi tazama uongozi wote wa simba wanatakiwa wajiuzulu

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 8 місяців тому +3

    Bado hamjasema mpaka msemeeeeeeeeee

  • @AbdallaOthman-ny8hp
    @AbdallaOthman-ny8hp 8 місяців тому

    kweli huna hata ya kuangalia simba ikicheza hunaimana nayo

  • @malyelyemalugu5504
    @malyelyemalugu5504 8 місяців тому

    Hamjasema

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 3 місяці тому

    Naona raha 😂😂😂😂

  • @JacklinebackerGabriel-ir8wv
    @JacklinebackerGabriel-ir8wv 8 місяців тому

    Yan hap wanatakiwa viongz wote wasep hata uyo mo

  • @judithmatage177
    @judithmatage177 8 місяців тому

    Mpaka msemeeeeeee

  • @laurnyandwi-sb1gu
    @laurnyandwi-sb1gu 8 місяців тому

    Hayo yote yamesababishwa na. Matokeo y 1-5👋😂😂

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 8 місяців тому

    Nyinyi tulikwambieni hamna beki, beki kila mechi inaruhusu goli.
    Beki majukwaa.

  • @user-hp6bf5lh2d
    @user-hp6bf5lh2d 8 місяців тому

    Embu Tuanzie hapa Kama Kuna mtu wa mpira Naomba unieleweshe
    Kwani mangungu ndo anaesajiri🤔 Mangungu anatoa pesa ya usajiri🤔Mangungu anaenda kufanya skauti🤔 Au Mangungu anatoa bajeti ya usajiri? Naomba majibu please

  • @hosea7919
    @hosea7919 8 місяців тому +2

    Yote haya kasababisha YANGA😅

    • @naliakafatuma9870
      @naliakafatuma9870 8 місяців тому +1

      Yanga kivibi?, please ni kujituma na Guality please

    • @hosea7919
      @hosea7919 8 місяців тому +1

      @@naliakafatuma9870 kipigo cha gori 5 mashabiki hawaelewi🤣

  • @user-br2ns6rk3s
    @user-br2ns6rk3s 8 місяців тому

    😂kufenii

  • @ernestsereli8559
    @ernestsereli8559 8 місяців тому

    Hamieni yanga mikundu nyieeee

  • @user-ws5sd8wf1t
    @user-ws5sd8wf1t 8 місяців тому

    Tunewachoka jamani

  • @user-bt1ju4iq2y
    @user-bt1ju4iq2y 8 місяців тому

    Yupo wapi manzok

  • @jovinemilian-yk9hi
    @jovinemilian-yk9hi 8 місяців тому

    Wamepoteana😂

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 8 місяців тому

    Mpaka mthemeeee!!!

  • @mrben227
    @mrben227 8 місяців тому

    Jamaa anaongea kwel kabisa,timu inacheza haina muungqniko inacheza kama mazoezi tu

  • @officialmegax8973
    @officialmegax8973 8 місяців тому

    Bado hamjasema

  • @JumaJux-fn3ff
    @JumaJux-fn3ff 8 місяців тому

    Me simba ila napenda fujo viongoz watoke

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 3 місяці тому

    Naona raha😂😂😂

    • @samwelingasa1638
      @samwelingasa1638 2 місяці тому

      Bora cc kwa taarifa yenu Gsm kanunua timu ile kaweka watu wake sasa yanga inafanya vzr amin maneno yangu yanga ikifanya vibaya tutawaona wala mihogo wakilia

  • @user-gb1jq9zz1j
    @user-gb1jq9zz1j 3 місяці тому

    Mo pia aachie pianae aeleweki

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 8 місяців тому

    SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿 ♥️, mungu ibariki simba

  • @user-gs2ir3bg4j
    @user-gs2ir3bg4j 3 місяці тому

    Viongizi wa simba kama wajinga mangungu na jalibutena wapigaji wasengetu

  • @bahatigibson
    @bahatigibson 8 місяців тому

    Tuli waambia toka tanga tukikutana tena kipgo ham kusikia hona sasa

  • @thomangwanyama7122
    @thomangwanyama7122 8 місяців тому +1

    Kkkkkkkk

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 8 місяців тому

    Mangungu FC au fukuza fukuza FC hhhhhhh😂😂😂😂😂😂😂😂😂5G🗼🗼🗼🗼🗼

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp 8 місяців тому

    Wewe kimangungu kumamaezako uondoke kumanyoko

  • @hanscmakerdm9943
    @hanscmakerdm9943 8 місяців тому

    Hiv ndo vitu napend kuviona

  • @farijimendy16
    @farijimendy16 8 місяців тому

    😂😂😂😢

  • @judithmatage177
    @judithmatage177 8 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @KaroliMagana
    @KaroliMagana 8 місяців тому

    Hivi hizo pesa za MO zipo kweli au swaga tu?

  • @HumphreyWilliams-xg3hb
    @HumphreyWilliams-xg3hb 8 місяців тому

    Mtakuja kufa

  • @echibiiofisho4306
    @echibiiofisho4306 8 місяців тому

    Aaah team yenu mbovu 😂😂

    • @aliaya8511
      @aliaya8511 8 місяців тому

      Bado hamjasema mpk mseme

  • @mduduonline8116
    @mduduonline8116 8 місяців тому

    Tatzo mudi

  • @leonardmavazi2631
    @leonardmavazi2631 8 місяців тому

    Onana ni sawadogo aliyechangamka