Jinsi ya Kuwalisha Vifaranga vya KUKU CHOTARA Wakuwe Haraka Waanze KUTAGA MAPEMA
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Ni ndoto ya Kila mfugaji wa kuku chotara kuwaona kuku alio walea mwenyewe kuanzia Vifaranga wanaanza kutaga Mapema.
Video hii itakufundisha jinsi ya Kuwalisha vifaranga wa kuku chotara wakue haraka ili waanze kutaga Mapema.
Kukamilisha zoezi hilo kupata vifaranga bora ndio kipaumbele kikubwa, kuwalisha chakula bora muda wote na maji safi na salama.
PLAYLIST
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
bit.ly/2JlD0sl
Ufugaji wa Kuku Chotara
bit.ly/39r7FPD
Magonjwa Tishio ya Kuku
bit.ly/39oRfr1
Ujenzi wa Banda Bora
bit.ly/3bxQJs2
Uleaji Bora wa Vifaranga
bit.ly/2JjPH73
SOCIAL MEDIA
UA-cam; bit.ly/2vU8SBg
Facebook; bit.ly/39ogwlb
Instagram; bit.ly/3dA25xF
Twitter; bit.ly/2UIh3Jh
What's app; 255 (0)752209073
For Advertisements
Email; changamkiafursa@gmail.com
Wale wote wanaohitaji kujiunga na darasa la ufugaji wa kuku la changamkia fursa, dara litaanza tarehe 10/6/2020. Usajili utaanza tarehe 1 -10/6/2020, kujisajili tuma elfu5 tigo pesa 0656528455 kisha tuma meseji ya jina na namba yako ya what's app.
Karibu sana
Nashukuru kwa mafunzo yenu ila mm npo Kenya utanisaidia vp
Kaka daras lini??
Elfu 5 ya tazania ama ya kenya
Asante Sana mwalimu hamis..umeni encourage Sana kwa masomo unayotoa....mpk namm nimeanza ufugaji kupitia wewe....keep it up kaka
Asante Kwa mafunzo
asante ndugu from kenya
Naomba msaada wako ivi kulisha kuku chakula cha start mash na growa mashi kuna tofauti na kile cha pillet
Je? Hii kl 5 wakiwa wangapi
very good
Mm naomba kujiunga kwenye darasa la ufugaji
Mm n Mkenya tafadhal nijuz kuku chotar n w aina gan n kienyej approved or
Nawapataje kuku hao nawahitaji
Ulishaji ni changamoto Sana Kwa wafugaji hasa wanaochanganya wenyewe
Kaka nawezaje kuipata fomula ya chakula cha kuku wa kwanzi wiki 5
mwalimu mbona saivi kwenye grup sikuonitena au umeanzisha grup jingine
Bro naomba kuuliza hivi izo wavu za chuma hazi sababish baridi kwa kuku na kuwaletea shida miguuni
Habari za jioni.Nauliza kifaranga kunyongea na kugandia kinyesi huku nyuma na hatimae kifo.Nitumie dawa gani
Hiyo ni pullorum disease
Bei ya vifaranga chotara ni sh ng?na ni chotara wa aina gn?saso,kroiler au
Tuma link tujiunge
Naomba uniunge kwenye group
Habari ,hapo kwenye banda naona kukuwako juu ya waya hii imekaaje?
Samhani nikianza kuwalisha pillet start wakiwa na umri wa ck l kuna shida msaada tafadhali
Huo wavu ni uliowatandikia unaitwaje?
Hapo kuna idadi ya kuku wangapi?
Jani Mimi Nina kuku saizi Wana miezi saba Bado hawatagi naomba ushauli.
Wakiwa wachanga huweki magazeti
Mnapatikakana wapi
Dar es salaam Mbezi beach au Buza
Ninaitaji viranga aina ya saso box moja lenye viranga miamoja beigani niko chamazi
Hawa kuku baada ya kuzalisha soko lake liko wapi?
Je kuku 40 nitawapa kiasi ngani chachakula chotala hao
95%
💯
Kuku chotala kroila Kwan awezi kutotoa vifaranga mwenyew..?
Chakula cha starter unawalisha kwa miezi mingapi?
Wiki 6-8
@@changamkiafursa asante
Hao vifaranga ninao waona wako wangapi
Vifaranga 50 wanatakiwa wapewe kilo ngapi?
Swali zuri.
Ipo ratiba yao ya chakula njoo what's app nikuelekeze 0752209073
Changamkia Fursa0752
207083
0752207093
@@changamkiafursa asante kwa mafundisho
Kuku wa kienyeji anatakiwa kupewa chakula cha aina ngan ili alete faida
Mamb ynu mbn haiptikan naitji kujiung na glup yenu ya wasp
Kunautofauti gani Kati ya kuku wa kienyeji na chotara???
Nahitaji kujiunga kwa group ya changamkia fursa. Nafanyaje.
Kaka me naomba kujua kiasi cha pesa kinachoweza kukidhi mahitaji ya kuhudumia vifaranga 400/= vya chotara ikiwa banda na vyombo vyote vipo. Asante! Namba yangu ni 0757-589-831
Njoo what's app 0752209073
@@changamkiafursa haupatikani brother njo online
Anko kifaranga 1unauzaje
1,500
@@changamkiafursa Naomba uniunge namba yangu 0784354623
Nahitaji kujiunga
Namba yangu ni 0748-01 5555
Wale wote wanaohitaji kujiunga na darasa la ufugaji wa kuku la changamkia fursa, dara litaanza tarehe 10/6/2020. Usajili utaanza tarehe 1 -10/6/2020, kujisajili tuma elfu5 tigo pesa 0656528455 kisha tuma meseji ya jina na namba yako ya what's app.
Karibu sana
@@changamkiafursa Kama nipo Kenya nalipaje
Naomba uniunge kwenye group namba yangu ni 0713783667
Nawaomba muni add no yangu 0758008874
Karibu Sanaa darasa litaanza tarehe 10 mwezi wa 9
wadau mimi niliungwa katka grop ila kuna mtu alichonoa sim yangu akanifutia ili groop narudishwaje jina khamis mussa 0776188203