NJIA YA KUPATA KUKU WENGI WA KIENYEJI KWA MUDA MFUPI 2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 208

  • @markorichard5458
    @markorichard5458 2 роки тому

    Asante kutufundisha Mimi ndo naanza ufugaji naomba ushilikiano wako sana nashukul

  • @mbogomanalija5514
    @mbogomanalija5514 2 роки тому

    Nimejifunza, hongera nami nitafuga , nahitaji darasa lenu.

  • @SaraMsuya-f9n
    @SaraMsuya-f9n 19 днів тому

    Mimi napenda sana

  • @mwaramimrope8862
    @mwaramimrope8862 2 роки тому

    akhsanteni sana Mungu awabariki kwa elimu munayotupa

  • @catherinembinga5374
    @catherinembinga5374 2 роки тому +1

    Mafunzo nimeyapenda

  • @JohnsonLasway
    @JohnsonLasway 4 місяці тому

    Yan we kaka asante kwanifunza ufugaji

  • @thebangsong5045
    @thebangsong5045 10 місяців тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @janesinkala1765
    @janesinkala1765 4 роки тому +3

    yan we kaka Mungu akubariki sana...Umenifunza ufugajiiiii aisee 🙏🙏🙏

  • @emelianasanga
    @emelianasanga Рік тому

    Somo zuri sana

  • @PhilipoTimilai
    @PhilipoTimilai 9 місяців тому

    Ni somo zurii sanaa

  • @MOMGAYAHONGO
    @MOMGAYAHONGO 10 місяців тому +1

    Napendasan, kufuga

  • @AminaShaban-vo2nj
    @AminaShaban-vo2nj 9 місяців тому

    Nisomo zuri mimi mimi hapa nina makoo kumi namja na jogoo 2 shida inakuja wanapo taga wanpenda kutagia sehemu moja wanapigana na yule analalia mwngine anakuja palepaele mwisho wanaharbu mayai

  • @sharifaarfani1309
    @sharifaarfani1309 2 роки тому

    Elim n zur

  • @abdallahnamtuka4634
    @abdallahnamtuka4634 3 роки тому

    nashukuru kwa elimu uliyonipa

  • @saudashosi4158
    @saudashosi4158 3 роки тому +1

    Napenda sana ufugaji wa wanyama

  • @stephentontororo9827
    @stephentontororo9827 3 роки тому

    Nimefla sana

  • @kawelesiakisanga6670
    @kawelesiakisanga6670 10 місяців тому +1

    Jamani kuku ni wengi hadi raha

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 4 роки тому +1

    Naomba uniunge ili ninifunze zaidi hongera sana kwa Nazi nzuri

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 роки тому

      Karibu Sanaa ndugu
      Darasa litaanza tarehe 10 mwezi wa 9

  • @zabronmwakanyamale7242
    @zabronmwakanyamale7242 3 роки тому +3

    Tunashukuru kwa elimu hii nimependa naomba kujua pumba yakuweka kwenye banda la kuku in dawa gani nipulizie na baada ya kuitandaza au kabla

  • @janesirili6646
    @janesirili6646 3 роки тому

    Nimependa mradi

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому

    Ahsante sana

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 4 роки тому +2

    Jamani umeni inspire mno. Napenda hii kitu

  • @eliapendakileo4787
    @eliapendakileo4787 4 роки тому +1

    Nice one

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Рік тому

    Asante

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 4 роки тому +1

    Nimeipenda kazi yako

  • @diegocosta6922
    @diegocosta6922 2 роки тому

    Tunashkuru kwa elimu

  • @mseunicenafula8532
    @mseunicenafula8532 4 роки тому +1

    i also will like to learn this method to improve

  • @frankmangosongo2505
    @frankmangosongo2505 2 роки тому

    So when I need knew every information what can do

  • @EliezaMangare
    @EliezaMangare Рік тому

    Jamani naomba msaada kuku wangu wanataga mayai hayajakomaa kuku wa kienyeji

  • @SixTechlmt
    @SixTechlmt 4 роки тому +1

    Ahsanteni

  • @kukumtembezi2840
    @kukumtembezi2840 2 роки тому

    Hayo matetea mbona makubwa sana nahitaji hyo mbegu

  • @amanmalalo8653
    @amanmalalo8653 4 роки тому

    Interesting.....
    Kufuga.
    Sio kuishi na kuku

  • @MichaelElias-s5u
    @MichaelElias-s5u Рік тому

    Niunge kwa darasa lako man npo tayari kujifunza kabla ya kufuga

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 роки тому

    Ahsante kwa darasa,,

  • @mwashiuyayoshuatv9829
    @mwashiuyayoshuatv9829 4 роки тому

    Naipenda sana hii Channel

  • @abdulrahmanmdimu6750
    @abdulrahmanmdimu6750 2 роки тому

    Napenda kupata elimu ya kufuga na ujenzi wa banda

  • @emelianasanga
    @emelianasanga Рік тому

    Je darasa hili bado lipo?

  • @elichiliameela3204
    @elichiliameela3204 4 роки тому

    Inapendeza sana

  • @saudashosi4158
    @saudashosi4158 3 роки тому

    Niko kenya mji wa kilifi naomba muniuzie hio mbegu ya kuku mbilikimo wanauzwajee na nitatuma pesa ili nijiunge nanyi asante

  • @polytarimo324
    @polytarimo324 4 роки тому +1

    Nimeipendaaa sana

  • @evansmwamba4312
    @evansmwamba4312 4 роки тому +1

    Great job

  • @rodahnabuteya839
    @rodahnabuteya839 4 роки тому +1

    Nimependa sana hii kazi

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 роки тому

      Tuko pamoja

    • @fridanyota88
      @fridanyota88 4 роки тому +1

      Napatikana Congo alafu na pena kufata iyo masomo yakuku namba yangu ni+243 811832069,ni eleweshe sehemu munapatikana nikuje

  • @DerickNyangi-pr4pm
    @DerickNyangi-pr4pm Рік тому

    Naomba kujua dawa ya VIFARANGA vina vidonda kwenye macho na baaye macho huwa yanaziba na wanashindwa kuona

  • @ShudyKiduko
    @ShudyKiduko 4 місяці тому

    Samahani Banda lazama like juu??

  • @naakabwe1595
    @naakabwe1595 3 роки тому +1

    Tunaomba mawasiliano

  • @halaandsantosdasilva5298
    @halaandsantosdasilva5298 2 роки тому

    Chanjo hizo ni sindano au marine machoni

  • @stevennyalusi8463
    @stevennyalusi8463 4 роки тому +1

    Well seen facilitator

  • @jameskomba144
    @jameskomba144 4 роки тому +1

    Elimu nzuri

  • @moricemorice75
    @moricemorice75 3 роки тому

    Mimi nimechelewa jamn vip naomben msaad

  • @renatuskangalu1994
    @renatuskangalu1994 7 місяців тому

    Napenda kufuga, je mnatoa mafunzo kamili au mnagroup la Wattsup la kufundishia? Weka namba tukufate

  • @B0NGO.FLEV4
    @B0NGO.FLEV4 3 роки тому

    GOOD JOB.. thank you

  • @ambaiseah4398
    @ambaiseah4398 4 роки тому +1

    nimekuelewa sana

  • @victoratera7943
    @victoratera7943 4 роки тому

    Real interested

  • @rechokusilimka5739
    @rechokusilimka5739 3 роки тому

    Nataka njiunge Leo tarehe 19.07.2021

  • @ashayusuf4802
    @ashayusuf4802 4 роки тому +1

    Hello InshaAllah muko salama nafurahi kupata elimu kiasi

    • @ashayusuf4802
      @ashayusuf4802 4 роки тому +1

      Kama mini nimkenya nahitlaji kujiunga kwa group ya WhatsApp ,nivipi naeza kujiung.shukran

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 роки тому

      Njoo what's app 0752209073

  • @moshezanzibar25
    @moshezanzibar25 Рік тому

    Pia Kuna sehem naifatilia hapo Tanga nikiipata tuh nahisi ndipo nitafungua mbawa ss shukra Sana mkuu

  • @halimanyumba3395
    @halimanyumba3395 3 роки тому

    naomba kuuliza je? naweza kuchukua tetea wakinyeji na jogoo wachotara

  • @chiristophercarlos5504
    @chiristophercarlos5504 3 роки тому

    Naimba niunganixhwe pia

  • @dicksonroman473
    @dicksonroman473 3 роки тому

    Vifaranga navipataje?

  • @alafahamisi1339
    @alafahamisi1339 3 роки тому

    Mm npo Msumbiji napitia sana masomo yenu,mpaka nas

  • @anitucciamuvurwaneza8579
    @anitucciamuvurwaneza8579 4 роки тому

    Naitaji kuunganishwa na ilo darasa

  • @inusmusso671
    @inusmusso671 Рік тому

    Kuku wa kisasa na kienyeji chanjo zinafanana wakati wa kuwapatia

  • @aljabery.binruz
    @aljabery.binruz 4 роки тому

    Naitaji mayai ya kutotolesha

  • @johnstonemudanya8624
    @johnstonemudanya8624 4 роки тому +1

    Very educative and beneficial ideas

  • @justinemrope9394
    @justinemrope9394 4 роки тому +1

    Bravo

  • @saudashosi4158
    @saudashosi4158 3 роки тому

    Simu yangu naitumia kuangalia audio yenu ya ufugaji

  • @PaulGoregore-mz5bk
    @PaulGoregore-mz5bk Рік тому

    Ninaomba kujua namna yakujenga banda

  • @ndondeonlinetv9594
    @ndondeonlinetv9594 6 місяців тому

    Nimejifunza ipasavyoo

  • @josephalack7888
    @josephalack7888 4 роки тому +1

    Dah!!nimepnda sana somo hili,ila mi kuku wangu anatatizo la ugonjwa wa kuzungusha shingo je naomba kuuliza uwo ni ugonjwa gani na tiba yake ni dawa gn,msaada wenu wanandugu nauitaji sana

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 роки тому +1

      Pole sana, swala la kuzungusha kichwa ni pana sana kwa sababu ni ugonjwa zaidi ya mmoja unaomfanya kuku kuzungusha kichwa.
      1. Ugonjwa wa mdomoni
      2. Upungufu wa vitamin

    • @josephalack7888
      @josephalack7888 4 роки тому +1

      @@changamkiafursa Asante sana.

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 роки тому +1

      Tuko pamoja

  • @elishachenyatufurahipa1851
    @elishachenyatufurahipa1851 3 роки тому

    Kaka ivi nikiwa na mtaj was lak tatu naweza Anza kufuga ushaur plz

  • @msafiringonyani8582
    @msafiringonyani8582 3 роки тому

    Mm naitaji elimu zaidi ya ufugaji

  • @moshezanzibar25
    @moshezanzibar25 Рік тому

    Mkuu kwanza mm nimefurahi Sana kwa hii elimu hivyo ss ikibidi nipo na sehem ndogo Sana hapa nybani lkn nataka nifanye jitihada zangu zoote japo kku mia nimiliki acha niandae mazingira ilhali huku nafatilia hizi darsa zenu Asanteni Sana

  • @maurineodhiambo9047
    @maurineodhiambo9047 2 роки тому

    Kwanini kuku wangu wanakufa wakiwa vifaranga?

  • @hermetipasianimaswe8857
    @hermetipasianimaswe8857 3 роки тому +4

    Sina mtaji ,Sina elimu, Nina eneo dogo ambalo ningeweza kulitumia kufugia,nifanyeje mtalaam.

  • @massudomar8416
    @massudomar8416 4 роки тому +1

    Mimi ni mfugaji mchanga bado nahitaji mafunzo

  • @jimmymbisse999
    @jimmymbisse999 4 роки тому

    good teachings. contacts p/se

  • @RobertKipofya-ki1co
    @RobertKipofya-ki1co Рік тому

    Naomba niunge kwny kundi la wasap

  • @margaretkanji9785
    @margaretkanji9785 4 роки тому +1

    O my God I love this

  • @jameskomba144
    @jameskomba144 4 роки тому +1

    Safiiii

  • @suleimankhamis1269
    @suleimankhamis1269 2 роки тому

    Naomba kujua jinsi ya kutengeneza chakula mbadala cha vifaranga

  • @margueritnyingani8844
    @margueritnyingani8844 4 роки тому

    Thanks

  • @lydiahann1737
    @lydiahann1737 4 роки тому +1

    Niko kenya ningetaka namba yy nitatuma pesa ndio nijiuge nanyi

  • @selebiagedion8462
    @selebiagedion8462 4 роки тому +1

    Nimeipenda

  • @kawelesiakisanga6670
    @kawelesiakisanga6670 10 місяців тому

    Wakati wa kuatamisha chini niwatandikie nini

  • @agnessahia415
    @agnessahia415 4 роки тому +1

    Duh ndio nakutana na hii video nikihitaji kujifunza inakuwaje

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 роки тому

      Darasa litaanza tarehe 10 mwezi wa 9 na usajili utaanza tarehe 1 mwezi huo

    • @molaksilovetz7773
      @molaksilovetz7773 2 роки тому

      Je! Nawezakupata mayai

  • @zenababdi3553
    @zenababdi3553 3 роки тому +1

    Tafadhali mna weza kutuonesha namna ya kufuga vifaranga

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 роки тому

      Fatilia video zetu, tumeonyesha.
      ua-cam.com/video/2ylukSfYAgU/v-deo.html

  • @justinemrope9394
    @justinemrope9394 4 роки тому

    Safi

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому

    Hiyo dawa ya kideli inaitwaje boss

  • @joshtemu7625
    @joshtemu7625 4 роки тому +3

    Naomba na mm niunganishwe nimependa hili somo

  • @swabrimeja9711
    @swabrimeja9711 3 роки тому

    Nataka kuulizia naweza kupAta mashine ya kutotolesha mayai 200

  • @zacharialusenaka1555
    @zacharialusenaka1555 4 роки тому +2

    Vipindi vyenu vimekuwa mchango mkubwa sana kwa ufugaji wangu wa kuku, nashukuru kwa masomo mnayotoa, natoka Kenya tafadhali naomba katika somo litakalofuata kupitia WhatsApp nijiunge nanyi, tafadhali nipe namba nitakayolipia pesa za kujiunga. Asanteni.

  • @juliananade771
    @juliananade771 3 роки тому

    Gt

  • @mayachanelle4861
    @mayachanelle4861 2 роки тому

    🙌🥰

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 роки тому +1

    Nimependa sana masomo yenu naomba namba ili niweze kutuma pesa niunganishwe ili nipate Elimu kwa njia ya whasap.

  • @abemapaul8547
    @abemapaul8547 4 роки тому +2

    Unawapa antibiotic ipi

  • @loserianpartwati130
    @loserianpartwati130 3 роки тому

    Nilikuwa nauliza hawa ni aina gani wa kuku

  • @eloiskasereka9874
    @eloiskasereka9874 4 роки тому

    Hapa munasema tukisha maliza darasa mutatuunganisha na group lengine?
    Alafu Mimi nimepata elimu yakufugakuku wangu nikiwa nakukutayari, shida nikwamba kuku wangu hawakuwa napata chanzo ao dawa yoyote, kwasasa natamani kuwapa chanzo nianje VIP iliwasipate changamoto?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 роки тому +1

      Kama ni kuku wakubwa wape Newcastle na baada ya siku 7 wape ndui

    • @eloiskasereka9874
      @eloiskasereka9874 4 роки тому

      @@changamkiafursa # Mimi Niko navifanga ambavyo nimeviandaa maalmu kwakanuni yauleaji wavifaranga, siku 4 baadaye wataeneza siku 7 nawaza hapo naeza wapa chanjo ya new castle ndaitumiya piya kwa wale wakubwa?
      Na mulisemaka kama kuna yakutiya machoni nihii ya new castle ama VIP?

  • @getrudarugaika8078
    @getrudarugaika8078 3 роки тому

    Mafundisho ni mazuri yatanisaidia ktk ufugaji ninaotarajia kuuanza.

  • @msafiringonyani8582
    @msafiringonyani8582 3 роки тому

    Ndio nataka kuanzaa,ufugaji

  • @جميلاجميلا-ل8ر
    @جميلاجميلا-ل8ر 4 роки тому +1

    I like your teaching and I want the type of chicken