SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • #SHAMBALULU #ITVTanzania
    Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

КОМЕНТАРІ • 40

  • @Emilius-xr5lf
    @Emilius-xr5lf 3 місяці тому +7

    Namba za simu hazisomeki vizuri ili tuwasiliane na wataalam wa virutubisho vya chakula hicho.

  • @agnessmoshi8588
    @agnessmoshi8588 2 місяці тому +2

    Kaka ngowi mimi naitwa Bibi Agnes Moshi nimfugaji niko Dar nikitaka Hao kuku wa mayai nawapataje je nikianzia na kuku 300 ni mbaya

    • @Voxmediatz
      @Voxmediatz 2 місяці тому +1

      Hawezi kukujibu hii ni account ya ITV, watafute hao aliwataja ( Kawudays) amabao nadhani hata Dar es salaam wapo

  • @vickymbwambo6804
    @vickymbwambo6804 10 днів тому

    Namba ya simu haisomeki vizr

  • @margaretingasia6346
    @margaretingasia6346 5 днів тому

    Kenya cowdess unapata wapi

  • @dorcasassenga2005
    @dorcasassenga2005 3 місяці тому +7

    Jamani hakika ni Raha sana. Hongera sana Kaka. Kazi nzuuri saana. Vijana jamani tuige hii fursa. Mtangazaji wekeni mawasiliano mazuri ya huyu Mfugaji. Wengine tutahitaji sana ushauri wake na mambo mengine.

  • @margaretingasia6346
    @margaretingasia6346 5 днів тому

    Mimi ni mkenya

  • @margaretingasia6346
    @margaretingasia6346 5 днів тому

    Cydyce

  • @salum_lg1969
    @salum_lg1969 3 місяці тому +3

    Big up sana

  • @suzanmziray3656
    @suzanmziray3656 Місяць тому

    No ya virutubisho tafadhal

  • @FatumaKachenje
    @FatumaKachenje 27 днів тому

    Naomba no ya huyo mfugaji wa kwanza

  • @IsabellaMatete
    @IsabellaMatete 3 місяці тому

    Hongera kaka mimi naomba namba yako hivyo virutubisho vinapatikana wapi

  • @HarunaNassoro-w6v
    @HarunaNassoro-w6v 3 місяці тому +1

    Cage moja bei gani

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 20 днів тому

      Laki8 kwa dar

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 20 днів тому

      Laki8 kwa dar cage inayoingia kuku 128

  • @selemanimsofe7321
    @selemanimsofe7321 3 місяці тому +4

    Ushauri wangu dada hoji pole pole unaongea sana haraka haraka

  • @NgoshaTz
    @NgoshaTz 2 місяці тому

    kaka samahani naitaji kujuwa kwamba aina ya Banda la kuku ambalo ni zuri kwa kuku?

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 3 місяці тому +1

    iko vizuri

  • @annamungure4335
    @annamungure4335 3 місяці тому

    Asante kaka Ngowi naomba namba yako nahitaji kufuga kisasa nahitaji msaada wako no yangu

  • @ImmaculateCymon
    @ImmaculateCymon 3 місяці тому +1

    Hongera sana

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 3 місяці тому +1

    Hii ni ajira tosha

  • @SeverinaCheka
    @SeverinaCheka 3 місяці тому

    Asante,kwa sehem ambayo hakkuna umeme inawezekana ?

  • @LaurentMpilu-qe6lq
    @LaurentMpilu-qe6lq 3 місяці тому

    Nipeni namba za simu niongee naye anishauri

  • @heavenlightmalisa1112
    @heavenlightmalisa1112 3 місяці тому

    Hongera sana naomba namba ya simu

  • @daniel.shao.9028
    @daniel.shao.9028 3 місяці тому

    Hongera sana Ngowi

  • @abuubakarjuma3230
    @abuubakarjuma3230 3 місяці тому +1

    Keji 1 ya kuku 50 ni bei gn

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 20 днів тому

      Cage laki8 ya kuku 128,cage ya kuku 96 ni laki6

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 20 днів тому

      Nimenunua jana2 mlimanicity dar

  • @ConsalvaMumbara
    @ConsalvaMumbara 3 місяці тому

    MUNGU awabariki sana

  • @annamungure4335
    @annamungure4335 3 місяці тому

    Tunaomba namba