Harmonize - Dunia (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,7 тис.

  • @DennisNdege-mo5yk
    @DennisNdege-mo5yk Рік тому +4

    nyimbo sio kudensi tu bali kupitisha ujumbe unao saidia kuhamasisha na kuelimisha; hapo ndipo harmonize amewabwaga wasanii wengi sio tu tanzania bali pia humu nchini kenya na afrika ya mashariki kwa ujumla. Keep on the focus brother, your number one fan Deno.

  • @ojb-star
    @ojb-star 3 роки тому +11

    U r genius konde men umenigusa na huu wimbo. Tru story Dunia n duara inamambo

  • @peterjacsoonm1304
    @peterjacsoonm1304 3 роки тому +339

    Wimbo mzuri nipeni ata like 10 tu 🐘🐘🐘🐘👊👊👊

  • @nurukabia9631
    @nurukabia9631 3 роки тому +2

    Daaaah sijui uliwaza nn my bro..u kill it.....

  • @dumekaptura469
    @dumekaptura469 3 роки тому +219

    Teacher 🔥🔥😭😭,nipeni likes konde gang natokea Kenya na huu mziki umenigusa saNa💗

  • @marywinny1890
    @marywinny1890 3 роки тому +11

    Diz guy is so talented plz naomba tena za mtoto wakiume ni kuozeshe mwanangu 🙏🇰🇪😍🔥 plz my God bless you More

  • @FredoBoy
    @FredoBoy 3 роки тому +158

    Harmonize is back
    Guys, this is the harmonize we've been missing.
    Ngoma kali sana

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 роки тому +1

    *Cha muhimu ni tuombeane mwisho mwema tuuu much respect makonde boy kwa hii nimekuelewa*

  • @butchaureprisioneiro5873
    @butchaureprisioneiro5873 3 роки тому +7

    Nangwe, Mbwana, Ndyoko, Mungu awe Pamo na Wako, Shingumi shambone, HONGERA🇲🇿

  • @alnooroman1058
    @alnooroman1058 3 роки тому +1

    Kwakweli wewe nijeshi kabisa mungu aziditu kukubariki nakubali san 💪💪💪🙏🙏🙏🙏

  • @govinsonlugano9226
    @govinsonlugano9226 3 роки тому +11

    Through this Song,I can see,Heaven and Hell are really man! Unaimba nyimbo kama yainjili bwana.Wokoka Umtukuze Muumba wako kwa Nyimbo! Shetani anakupa pesa na fame, ila haja umba,wala hajaleta chochote! Nakutakia Wokovu Njema in Jesus Mighty name my Brother.SHALOM

  • @omarbrownt.v7466
    @omarbrownt.v7466 3 роки тому +12

    Kabla ya kumchukia harmonize fikiria mara mbili this guy is 🔥🔥👌👌👌

  • @arabianhero8425
    @arabianhero8425 3 роки тому +30

    Hongera ,Konde Allah akuepushie kila la sheri na akujaze na baraka zake kemkemu

  • @iamalexbaraka1
    @iamalexbaraka1 3 роки тому +1

    Nimemupoteza Mamangu mzazi juzi and it's painful, ila Naamini MUNGU yupo, ndo ananifanya mi napumua. Nawaombea wote wanaosikiliza huu wimbo mwisho mwema

  • @2getheronline.
    @2getheronline. 3 роки тому +209

    Hii ndo ngoma niliyokuwa naingojea kwa hamu🤝🙏🌏

    • @dullamuso6955
      @dullamuso6955 3 роки тому +5

      Tujuane kwa kweli nami Ni mmoja wapo nilikuwa NAINGOJA Sana kwa hamu

    • @joebaben9593
      @joebaben9593 3 роки тому +3

      Sote 🐘🔥

    • @lilybizimana1832
      @lilybizimana1832 3 роки тому +2

      Harmonize - Dunia (Official Music Video)
      ua-cam.com/video/PR-xwm0wzwI/v-deo.html

    • @issakhan3770
      @issakhan3770 3 роки тому +2

      🙏🙏🙏

    • @manyaramanyara8872
      @manyaramanyara8872 3 роки тому +2

      Aizee ni ngoma pendwa.

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 2 роки тому +1

    Harmo huuu wimbo umeuwa mdogo wangu nakuelewa sana mtandaimba

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 роки тому +5

    Wimbo nimeupenda saana jeshi we ni msanii na nusu 🙌🙌🇶🇦

  • @Isaacdiamond2012
    @Isaacdiamond2012 3 роки тому +1

    I wish your president JPM was here to witness this. He really liked you and supported you. I feel you Harmonize. I wish you all the best

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 3 роки тому +3

    Muimbe nyimbo za adabu.
    Si za zote nyege,ulevi na majigambo.
    This one is so enriching

  • @petitpaul27mwilarhe89
    @petitpaul27mwilarhe89 3 роки тому +75

    no way this man just made an incredible album like this. the beat, the wordings, everything is percent and it is Kiswahili too.

  • @gloriaunzi4684
    @gloriaunzi4684 3 роки тому +10

    Welcome back our dear harmonize! This is who you are...producer of educative songs. I missed you

  • @yusuphrm7667
    @yusuphrm7667 3 роки тому +1

    ukijua ni kwaajili gan umeletwa duniani,bas utafahamu dunia ni nn,waalim wapo ndug rajab,waite ama wafuate wakufahamishe,wabillaahi tawfiyq

  • @martin28990
    @martin28990 Рік тому +4

    Harmonize remains one of, if not the best Lyricist in the whole of E.A. This album is a masterpiece lyrically and vocally.

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 3 роки тому +1

    Kweli Dunia ni ngumu. Jeshiiii tunakuelewa Sana.🐘🐘🐘🐘

  • @rodriguezobiang7228
    @rodriguezobiang7228 3 роки тому +32

    Je n'arrive pas à croire que l'artiste Harmonize est considérable à l'eau pour être aimé avec tout le monde.... " Donnez à César ce qui est à César et à Dieu ce qui est à Dieu "
    Bien qu'ils font semblant comme s'ils ne voient pas et n'écoutent pas mais du fond de leur Coeur, ils reconnaissent ca même ton savoir-faire... 🔥 🔥 🔥🔥 kwa sanaa kabisa Jeshi , huongee kwa maneno bali vitendo!!!

  • @mdilachivumbe3856
    @mdilachivumbe3856 3 роки тому +1

    A great young African bongo artist. Kazi njema kaka...tunaburudika tukiwa Diani Beach, kusini mwa Pwani-Kenya.

  • @DizzyLezley
    @DizzyLezley 3 роки тому +16

    Multitalented💯🙌 Hongera Jeshi. This song has teachings...Kesho ni Siri 🙏❤️

  • @almasially6509
    @almasially6509 3 роки тому +2

    huyu msenge akiamua kuimba, no one come close

  • @FunnyMemesAndShorts99
    @FunnyMemesAndShorts99 3 роки тому +9

    The day mtaacha kuoverate diamond nitafurahia sana... konde always on good and relevant music

    • @ibrahimmkala4336
      @ibrahimmkala4336 3 роки тому +1

      Wallai tena....hua nawaambia when is comes poetry and lyrics konde is the best...tz wametawaliwa na diamond and are forgetting this gold....for real

  • @salomekitomary3129
    @salomekitomary3129 3 роки тому +3

    Hongera sana, wimbo mzuri sana, Songa mbele kila penye riziki hapakosi fitina, Mungu ndiye mgawa riziki na kila mmoja ana fungu lake hata binadamu aahangaike vipi hawezi kuchukua fungu lako zaidi atachelewesha tu, Keep it up, umeanzia chiini sana na kidogo kidogo umekuwa na umeweza kuajiri vijana wenzako ambao nao ni msaada kwa familia zao.

  • @dfordadu176
    @dfordadu176 3 роки тому +47

    Album ni Kali sana hii imeshinda mpaka ya Kiba...big up sana Jeshi😂😂😂

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 3 роки тому +1

    Eish this one naamini mungu yupo hata akitaka sasa ananichukua woow awwww konde this one is lit much love from kenya 💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎶🎶🎶🎵🎵💖❤️❤️❤️

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 3 роки тому +4

    Ila album ya harmonize inanyimbo nzuri kuliko za kiba jmn tuacheni ushabiki wakinafki.

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 3 роки тому

      Kumbe Na wewe Uliona ilo

    • @hamidayanga8224
      @hamidayanga8224 3 роки тому +1

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Mimi sinaga ushabiki kabisaa sio team konde wala diamond wala kiba ila hii album ni nzuri sana.

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 3 роки тому

    Daah!! Harmo hua nashindwa kukujuza ninavyo kukubali we kijana. Mimi nasema wewe ndo msani bora kwangu,kijana unajuwa mshukuru sana Mungu

  • @silaskalanda
    @silaskalanda 3 роки тому +3

    Album imetulia kisawasawa na mafunzo tele.Hongera sana kaka Harmonize.

  • @onesmoelias8509
    @onesmoelias8509 3 роки тому +1

    We hamo umeimba vzr kwel tutakiane mwisho mwema pamoja nahayo umeimba wimbo wakumlalamikia shetan kalibu kwa kwa yesu kina Raha sana

    • @onesmoelias8509
      @onesmoelias8509 3 роки тому

      Maana ukiish kwa kumjua mungu unakuwa na Aman ayubu22:21 mjue Sana mungu ili uwe na Aman kinyume chake uspomjua mungu huwi na aman

  • @Stesh865
    @Stesh865 3 роки тому +12

    Creativity at its highest level... tremendous growth Konde boy awesome

  • @marsbeing6696
    @marsbeing6696 3 роки тому +2

    Yaani mwana kajirudia kindanindani. Huyu harmo ndo wa kweli. Wacheni eti ooohhh sijui kaaribika. Hizo kiki tu katika hali ya kutafuta riziki... Hajapotea katu.

  • @PattiPattoz-Montana_254
    @PattiPattoz-Montana_254 3 роки тому +14

    Leo Umeiweza Roho Yangu Tano Kwa Mpigoooo Zote Fire🔥🔥🔥🔥🔥.....Go Jeshi Go!! Too Much Love From Kenya Kipenzi Cha Tanzania🥂❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️

  • @dottyjustin1030
    @dottyjustin1030 3 роки тому +1

    Ooooh my the messages in his songs🇰🇪.Dunia,usia,sorry,mtaje on playlist already.

  • @frankadamsakii916
    @frankadamsakii916 3 роки тому +16

    Haters “BAD ENERGY “ continue as we rise top to the Horizon…..Long live Harmonize 🇺🇬

  • @gordononyango2650
    @gordononyango2650 3 роки тому +2

    Wimbo mtamu ulio na hisia zake #my favorite artist from TZ

  • @belindakiburi8738
    @belindakiburi8738 3 роки тому +232

    Maaaaaaaaaaaaad talent, Kenyans show love

  • @amosstephen7881
    @amosstephen7881 2 роки тому +1

    Kinde mkali 🔥🔥🔥🔥🔥 much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @alfredmanyara1537
    @alfredmanyara1537 3 роки тому +6

    sure "kuna kidude kinaitwa mapenzi hakijawai eleweka" ni kali HARMONIZER songa mbele Bro

  • @serahaisha6993
    @serahaisha6993 3 роки тому +1

    Really Tanzania is blessed to have you jeshi...eeeehh you really sing reality..Dunia is like love akuna mtu atapata answer forever God remained with that secret .... 🙏🙏🙏 Much love from +256..

  • @kay.k8819
    @kay.k8819 3 роки тому +15

    Yesterday I was consoling a friend who has lost hope with life,,,and today here Iam crying as I listen to this music😪😪" hold on pal, you're loved"

  • @BernardMwaipopo
    @BernardMwaipopo 3 роки тому

    Hivyo vitu ulivyoimba ukivitumia bila kuwa natama wala kuzuru maisha ya wengine au kwa machukizo mbele za Mungu Sio dhambi

  • @swalehmwandau7004
    @swalehmwandau7004 3 роки тому +29

    when we talk about talent Harmonize is the best talented artist in East Africa

  • @muhorakeyejaqueline4299
    @muhorakeyejaqueline4299 3 роки тому +2

    Hongela konde jeshi

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 3 роки тому +3

    Wanaosema album haijatrend mbona me naiona ina nyimbo nyingi zimetrend tofaut na ile ya kiba…💙💙💙 Audio karib zote zipo on trending music 🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️

  • @brayomaish1064
    @brayomaish1064 3 роки тому +1

    tuishi kuombeane maisha mafupi,mkristo kwa muislamu Mungu yupo

  • @hatari9591
    @hatari9591 3 роки тому +24

    THIS IS REAL HIGH SCHOOL

  • @ndayisengacyriaque2078
    @ndayisengacyriaque2078 3 роки тому

    Asante saana halo kwa kutufungiya mwaka vizuli kwa kuwaza dunia ni ni-ni kwetu

  • @TOduh
    @TOduh 3 роки тому +6

    Harmonize ni fundi tukubali hayo. Ngoma kali sana🔥🔥🔥🔥🔥. Much love from 254🇰🇪

  • @franktoneskorosov.4217
    @franktoneskorosov.4217 3 роки тому +1

    From Kenya fan number one,of harmonize konde boy ,, isalute you all,bongo flavour iko mbele.

  • @princeisaactv5756
    @princeisaactv5756 3 роки тому +58

    This is the only song that east Africans can listen to in a comfort zone, others ni za shows tu, otherwise we pray for the best konde

    • @lilybizimana1832
      @lilybizimana1832 3 роки тому +2

      Harmonize - Dunia (Official Music Video)
      ua-cam.com/video/PR-xwm0wzwI/v-deo.html

    • @kassebo
      @kassebo 3 роки тому +1

      High school

  • @frediswedi9294
    @frediswedi9294 3 роки тому

    Umeimba vizuri sana .ndugu yangu uyo mungu wenu .anamiliki kila kitu ila uhai ume mshinda kumiliki .ila yupo mungu anaye miliki vyote ulivyo vitaji .fumbo Kubwa kuhusu kifo ni yeye ndiye anaye miliki .sasa basi bado muda upo ndugu yangu .murudiye mungu wa kweli ili uwe na mwisho mzuri .akuna kisicho samehewa mbele yamungu

  • @sensedaily
    @sensedaily 3 роки тому +6

    2:13.....hehe it's a flow of vibe and facts....+254 in the house

  • @dianamutale1259
    @dianamutale1259 2 роки тому

    Dunia hi tunapita, kikubwa tujivunia Mungu tu, kweli.mziki ni shetani pope ni shetani.demu yy ndo ndo balaa,

  • @moham.279
    @moham.279 3 роки тому +7

    Love your music. One love from 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬

  • @manzibennytekno158
    @manzibennytekno158 3 роки тому +2

    hi guys naitwa elic natoka rwanda napenda music yauyu br umeniguza pahali wewe ningependa uwendeleye music wako wachanana nawenye wanakutendeya mabaya shughulika na maisha yako jeshi teacher condeboy nakupenda br una maneno matamu umenifanya nijepee juhudi ya iyi maisha thanks br kesho niamungu

  • @victorkimutai8048
    @victorkimutai8048 3 роки тому +15

    Been listening to this masterpiece with all my family and just heard from my mom who is a pastor that "he is blessed"lyrics are so educative

  • @musamusa9942
    @musamusa9942 3 роки тому +1

    Mombasa is waiting

  • @makena_J
    @makena_J 3 роки тому +48

    I literally come to UA-cam everyday to check the notification "someone liked your comment' and 'you have a new subscriber' just makes my day🙏🏼❤️

  • @geomangi6123
    @geomangi6123 3 роки тому +1

    kweli hii ni high school 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @oscarlyrics5819
    @oscarlyrics5819 3 роки тому +26

    Massage is home to everybody listening... Keep it up... Listening from +254....#Land of genius

  • @georgechibai2716
    @georgechibai2716 3 роки тому

    Tembo utabaki kuwa tembo tu. Nakuheshimu sana braza. Mungu akuongeze na nguvu ufanye na zaidi ya haya. Tayari ushafanikiwa lakini bado nakuombea mungu na upate na zaidi. Fanya muziki wako na usichoke na kelele za kina ''Mama Mlevo''

  • @MaureenMacharia
    @MaureenMacharia 3 роки тому +149

    This song is awesome. The lyrics are so true. 🔥. 🇰🇪 🇨🇦

    • @musa4313
      @musa4313 3 роки тому

      Lol 😂 🇹🇿

    • @lilybizimana1832
      @lilybizimana1832 3 роки тому

      Harmonize - Dunia (Official Music Video)
      ua-cam.com/video/PR-xwm0wzwI/v-deo.html

    • @zogommoja9654
      @zogommoja9654 3 роки тому

      Yah konde should release the video hii wimbo ni moto

  • @Diani_lifestyle-254.
    @Diani_lifestyle-254. 2 роки тому

    Good one mr konde... diamond hawezi kukufikia broo... music to listen with family children's haina matusi kama vyenye diamond huimba matusi tupu

  • @happypa2027
    @happypa2027 3 роки тому +12

    😭😭😭harm sitokusahaw umeniliza kabisa wewe ni msani namba moja

    • @sanoureyaliwadoa460
      @sanoureyaliwadoa460 3 роки тому

      Mwezio ninapo usikikiza nilikuta mwili wote umeninyong'onyea Akii

  • @fadhilimanjeka3729
    @fadhilimanjeka3729 3 роки тому

    NI NINI DUNIA.....HUU SI TU WIMBO.....BALI NI HOSIA.....BIG UP KONDE BOY.....

  • @labeaste_official1970
    @labeaste_official1970 3 роки тому +4

    Kenyans show love...🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kiruidanteh4050
    @kiruidanteh4050 3 роки тому +2

    Am here after watching the interview of harmonize , reason for lefting wasafii and the whole journey, , , huyu jamaa ni jeshi💪💪

  • @antonykioko2981
    @antonykioko2981 3 роки тому +10

    It's now time subscribers hit 5 million konde has made it to the world 🌎,, 🇰🇪🇰🇪

  • @govinsonlugano9226
    @govinsonlugano9226 3 роки тому

    Ndugu yangu Harmonise,Music haitawai kua Shetani,pesa,sport...hata shetani alipewa na Mungu kabla hajatupwa, ila TAMAA yakutamani kuishi kifahari ndio Mtu ufikia shetani.

  • @habildaudi8016
    @habildaudi8016 3 роки тому +6

    Kondegang for everybody 🔥

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 3 роки тому

    Mashaallh hadi najiona machoz kwa mbali Daah homonizer unaimba sio siri heshima yako Kaka ❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏

  • @edwinnyauncho329
    @edwinnyauncho329 3 роки тому +35

    Nice one konde,,, love from kenya, number one in Africa,,, diamond mtoto sana

    • @muuchumu4959
      @muuchumu4959 3 роки тому

      Usi mcompare mond na konde

    • @sheobar9613
      @sheobar9613 3 роки тому +1

      @@muuchumu4959 huyo mond wako nani yeye

  • @abmropeamadeus7286
    @abmropeamadeus7286 3 роки тому +1

    Naomba tuishi kwa Amani hapa duniani, atujuwi kesho

  • @chriskennty3372
    @chriskennty3372 3 роки тому +3

    Konde 🔥🔥🔥💯

  • @maris_say
    @maris_say 3 роки тому +1

    Honestly his Advice from Usia and Dunia will change my life

  • @nasarostudio2008
    @nasarostudio2008 3 роки тому +10

    Konde, you are the one and only bro having the most educative songs, gospel style music now, Keep it up bro

  • @princechaplineofficial9942
    @princechaplineofficial9942 3 роки тому +1

    Hata watoe album ngapi hii ya Jeshi imenikamata,,,, fact's,,,love from +254

  • @Yeridennimmus
    @Yeridennimmus 3 роки тому +13

    This is so emotional bro... Sometimes you think too much.... Ooh maaan

  • @fitinamateso7305
    @fitinamateso7305 3 роки тому

    Jeshiiiiiii ajawahi ronga nahitatokeanga kwenye mahisha yake tembo ❤🔥🔥🔥👍💯🙏🐘

  • @HillaryEliab
    @HillaryEliab 3 роки тому +9

    From Kenya🇰🇪 real fun ....this song really reminds me of Steven kanumba😥😥😥

  • @jescapeter4391
    @jescapeter4391 3 роки тому

    💕💕💕💕 Mungu akujalie ww kaka usidi kuwiki duniani ❣️❣️❣️ love song

  • @festuskiplagat1278
    @festuskiplagat1278 3 роки тому +4

    Listening to line by line. Love this from @Kenya

  • @nomad7707
    @nomad7707 3 роки тому

    Mi ni teamkiba lakini Harmonize is the best artist ikikuja ni ngoma za maudhui. This guy is a lyrical master ..Hebu sikiza WAPO,MATATIZO,ATARUDI na hii DUNIA kama unapinga.

  • @nkawagaagribusinesscoltd4236
    @nkawagaagribusinesscoltd4236 3 роки тому +6

    Mtu mwenye juhudi na kujituma Mungu huwa hamuachi humpa kile ambacho hupambambania

  • @titongurunziza2510
    @titongurunziza2510 3 роки тому +1

    Bro from USA nakukubali sanaaaaa

  • @braymusictz
    @braymusictz 3 роки тому +5

    Jeshi 🔥🔥🔥

  • @ibrahimulyimo8142
    @ibrahimulyimo8142 3 роки тому

    Big up napendaga unaimba kwa hisia na wimbo huu mzuri wenye kutukumbusha safii konde boy jesh

  • @hamiduchipalu5945
    @hamiduchipalu5945 3 роки тому +23

    Tulimisi sana ngoma zako hee mungu mwongezee mwanga mkubwa wa muziki

  • @nyamburaomarmatata5489
    @nyamburaomarmatata5489 3 роки тому +1

    Mbona vitu vizuri vyote viwe ni vya shetani🤔🤔🔥🔥

  • @kuhandambambi
    @kuhandambambi 3 роки тому +4

    I love this tune. I am in DR Congo but team Konde

  • @johnsonshuku9203
    @johnsonshuku9203 3 роки тому +1

    Big tunee,uko vizuri mkaka

  • @ibrahimshayne1996
    @ibrahimshayne1996 3 роки тому +29

    Peace and love to everyone who is reading this 💯❤️

    • @starboyhq1011
      @starboyhq1011 3 роки тому +1

      I don't even understand 1 word on this song but I'm feeling the vibe in my heart

  • @mkphxaztv4609
    @mkphxaztv4609 3 роки тому

    Powerful message lazma utulize ubongo kwakuelewa message ya wimbo huu the most educational song in our generation in Africa a specially swahili speaking👨‍👩‍👦‍👦🤔