"UNATAKA KUJUA KUHUSU MUME WAKO?"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

КОМЕНТАРІ • 260

  • @RuthJeptoo-sc9ox
    @RuthJeptoo-sc9ox 8 місяців тому

    Amen amen daddy pray for me am in Kenya ninatamani kufika uko uniombee nipate pesa ndio nifike

  • @danielshauri4681
    @danielshauri4681 Рік тому

    Mungu ni saidie kwa kupitia.njia geodevi

  • @paulinemathenge514
    @paulinemathenge514 4 роки тому +5

    Am ready to start a new life with JN IN JESUS MIGHTY NAME AMEN.

  • @marthasimon1004
    @marthasimon1004 2 роки тому

    Mungu wangu naomba unione na unijibu haja ya moyo wangu kuptia nabii wako mkuu

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 2 роки тому

    Asante sana na hpngera kwa majibu mazuri sanna baba

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 4 роки тому +4

    Yaan mungu wangu tusaidie sasa mtu analazimishwa kikubali kisicho sawa tafuteni makanisa ya kiroho achaneni na makanisa ya kimoyo

  • @musimbiroda7693
    @musimbiroda7693 2 роки тому

    Bwana asifiwe mtumishi wa mungu baba yangu napenda uliyenisaidia sana Kwa utumishi wa mungu umenisadia sana Kwa huduma ya mungu na kufwatilia Kwa UA-cam Yako nimeona mujiza unayetenda naitaji kutendewa na wewe baba yangu Niko Kenya , Nakuru naitaji anointed yako

  • @greysonmarithin2856
    @greysonmarithin2856 Рік тому

    Baba na Mimi natamani unitamkie Mungu wako anionekanie na Mimi nimetamani sana

  • @hellenayuma8881
    @hellenayuma8881 2 роки тому

    Kulingana na mungu,,,,,mume au mke wako wa ujana ndie mke au mme wako,,,,,nabii tabiri kulingana na bibilia

  • @Fun-zd9fm
    @Fun-zd9fm 4 роки тому +2

    Mungu akuongezee.miaka.namiaka.nabii.wamungu

  • @paulthegreat9895
    @paulthegreat9895 2 роки тому

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu

  • @lucykitomary6130
    @lucykitomary6130 Рік тому

    Mungu tenda kwangu

  • @crispinakimaro3821
    @crispinakimaro3821 3 роки тому +1

    Huyo sio Mungu tunaemfahamu

  • @florakibona8042
    @florakibona8042 3 роки тому +1

    Sijaelewa kidogo muujiza unatoka Kwa Mungu au Kwa nabii jaman unawezaje sema unataka muujiza kutoka Kwa nabii

  • @damareshilary612
    @damareshilary612 4 роки тому +13

    Jamani wanawake wanaroho ya udhaifu hadi shida,,,wanaume hawanaga mpango aisee

  • @barakajonathan7931
    @barakajonathan7931 2 роки тому

    Great anointing!God bless you. Mighty prophet.

  • @greysonmarithin2856
    @greysonmarithin2856 Рік тому

    Baba unatisha kwa unabii huu Mungu akubariki

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 4 роки тому +2

    Haya maisha yana ma reality 💔eh Mungu tusaidie 🙏

  • @tinawandu8820
    @tinawandu8820 2 роки тому

    Napenda huduma hii ya nabii mkuu je ntapataje mawasiliano

  • @dunmore5752
    @dunmore5752 2 роки тому

    Baba barikiwa Sana, naomba unabii wangu

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому

    Naomba Mungu anijibu maombi yangu kupitia Nabii wake

  • @sophianjiku6524
    @sophianjiku6524 4 роки тому +7

    Jaman dada ana glosary na bado anambiwa atapokea muujiza hivi kwan pombe ni halali na kama ni halali basi atoe sadaka hizo pombe maana wakulima wanatoa mavuno yao, jaman achen kupumbazwa na miujiza kinachotakiwa ni kuacha dhambi

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 4 роки тому

      Kwani anaiba hiyo grocery au kakopa kakimbia

    • @sophianjiku6524
      @sophianjiku6524 4 роки тому +2

      Endeleen kupumbazwa na kuzilea dhambi halaf mnataka miujiza hao hao manabii wanawacheken mlivyowajinga badala mfundishwe kuacha dhambi mnataka miujiza Neno la Mungu linasema utafuteni kwanza ufalume wa Mungu na hao mengine mtazidishiwa

    • @noahlomayani3778
      @noahlomayani3778 4 роки тому

      Wawe acha zako angalia somo linalosema ufafanuzi kuhusu pesa la soko acha ujinga

    • @sophianjiku6524
      @sophianjiku6524 4 роки тому +1

      @@noahlomayani3778 yan nikwamba huo ni upofu wakutokujua maneno ya Mungu ila isiwe kesi ipo siku mtatambua2 kuwa wap ni nuru na wap ni giza

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      Huyu jamaa ako kwa biashara lakini pia alipa bongo akaona huyu dada fala akaamua amchane kenya awezi pewa hata 10

  • @leathyollan7557
    @leathyollan7557 3 роки тому

    Mungu akubariki sana nabii

  • @petrokabo8371
    @petrokabo8371 4 роки тому +5

    nabii mkuu ni Yesu Kristo acheni michezo na kuwafundisha watu neno la Mungu

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 4 роки тому +5

    Mimi wangu asirudi unipee mwingine asante nabii wamungu bariki nabii wangu yesu natamani nifike huko 🙏🙏

    • @zuwenasalim2794
      @zuwenasalim2794 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣wewe Estar kwnn hutak wako arudi .mm namuombea huko aliko arud kwako

  • @bettyduncan6457
    @bettyduncan6457 3 роки тому

    Nimeshangaa Sana kuhusu huyu nabii nimepitia Hali hiyo us mume wangu kurudi baada miaka 10 Na all HIV positive, nimengepata Namba yake ningefurahi Sana from kenya.

  • @mutabaziceleus3201
    @mutabaziceleus3201 4 роки тому +4

    BABA tunakupenda sana,🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @nduwimanalphonsine3445
    @nduwimanalphonsine3445 2 роки тому

    My ni murundi naitaj nabi aniambie namy ninamyaka 23 sinamume na wenye tuk ubri umoja wamzolea wameowa naomba namy

  • @dorcasdavid2247
    @dorcasdavid2247 3 роки тому

    Ameen Nabii Umenena Vema sn🙏👏

  • @salomefesto9225
    @salomefesto9225 4 роки тому +4

    Nakuja dady nakuja arusha

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 4 роки тому +6

    Dada anaupendo wa agabe jamani mungu ampe haja ya moyo wake jamani

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 роки тому

      Kukosa maarifa nako kibaya mama jiongeze unangoja maradhi?

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 роки тому +1

    Daddy you are too fun,luv it

  • @ruthmwamgunda1603
    @ruthmwamgunda1603 4 роки тому +1

    Amina mkuu

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 роки тому

    Ndiyo baba Nabii naomba unisaidie ndiyo yaliyonikuta na watoto nimewapoteza na Afya yangu imezolota nisaidieetu.

  • @antonioquilemuaquilemua9305
    @antonioquilemuaquilemua9305 2 роки тому

    Bwana yesu asifiwe baba habari za hapo nyu.bani ninaomba namba ya zimu ninaomba namba ya simu njko moçambique ninaitaji msaada wa kiroho

  • @carenamimo4897
    @carenamimo4897 4 роки тому +1

    Hyu jamaa sinema zake nimeziona sana hataji yesu,hasomi bibilia,haubiri,haombi alafu wataka 80 kivipivipi yaani kumanina sana njoo kenya ushangae

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 2 роки тому

    Yani wanawake wanavyoombewa kwa wingi, ingetakiwa tajiri namba moja duniani angetakiwa kuwa mwanamke..

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 4 роки тому +15

    Jodevi👉....unataka nini
    Mama👉..... nataka muujiza kutoka kwako ( yaani kutoka kwa Jodevi) 🤣🤣🤣 dah, hebu wakristo fungueni akili zenu acheni kutaka vitu kirahisi rahisi, yaani badala ya kutaka muujiza kutoka kwa Yesu eti muujiza utoke kwa Jodevi,,, jamani 🙌🙌🙌🙌 "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA "(eti nakujibu maombi yako)
    ...for really Jodevi unawezaje kumjibu maombi mtu, yaani wewe unachukua nafasi ya Mungu, dah 🤣🤣🙌🙌

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 роки тому +1

      Alafu anaitikia NDIO BABA!

    • @ghbh1875
      @ghbh1875 4 роки тому +1

      Hhhh vipofu

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 4 роки тому

      Rudia mara mia Halafu uchambe

    • @bosslilyg4390
      @bosslilyg4390 4 роки тому

      @@shangwekamando2599 hakuna wa kuchamba hapa, hapa ni ukweli tu ndo utasemwa, i know jodevi in and out, naongea ninachokijua.

    • @barakaashery9469
      @barakaashery9469 4 роки тому +2

      God bless you umesema kwel jaman .... Tumwombe MUNGU anaweza yote

  • @neemakaluwa2089
    @neemakaluwa2089 4 роки тому +5

    Eeeh Mungu nijaalie mwisho mwema.
    Maana hawa manabii wa sasa mpaka naogopa.

  • @bupeisaya4414
    @bupeisaya4414 4 роки тому +33

    Naskiaga hasira kuona mtu anamwabudu mwanadamu eti nitendee muujiza khaaa

    • @angelinamkingi8164
      @angelinamkingi8164 4 роки тому

      BUPE ISAYA Eti ndio baba!khaaa!

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 4 роки тому

      Mkoa Wa Arusha watu wanapenda miujiza cyo Mungu

    • @pettypaschal8387
      @pettypaschal8387 4 роки тому +2

      Bupe ulimwengu wa Roho unautaratibu wake soma biblia vzr utaelewa tu

    • @damsonwillison435
      @damsonwillison435 3 роки тому +2

      Ndg huelewi unachozungumza Nabiiii ndo mtu pekeee Anaweza mliza mwanadam kuwa Nikutendeee nini

    • @florakibona8042
      @florakibona8042 3 роки тому +1

      @@damsonwillison435 sio nabii amfanyie nn inatakiwa aseme unataka Mungu wangu akufanyie nn....na kazi ya nabii nikusema na Mungu attendee kwa huyo mtu maana wote hatuwez kuwa manabii kwahiyo kazi ya nabii n kufichua ya sirini Na wao uomba Kwa mafunuo zaidi sasa huyo nabii kusema unataka nikufanyie nn kwan yy ni Mungu

  • @blandinefelix8177
    @blandinefelix8177 Рік тому

    na wezaje umupata nabii

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 роки тому

    Thank you 🙏 Jesus

  • @victoriakisame8008
    @victoriakisame8008 3 роки тому

    Nampenda San mpemzi Wang to naomba tuludiane kwajina layesu

  • @victoriakisame8008
    @victoriakisame8008 3 роки тому

    Nabii wamungu naomba upemzi wangu nimpendae naomba aniludie nampenda san

  • @hawaparis8899
    @hawaparis8899 3 роки тому

    Tuliacha na mume wangu miaka 9, tulivyo achana akaowa wamepata watoto 2 ,mkewake bahat mbaya akafariki sikuwa nahiyan bwana akanipa talifa yamiba nikaenda watu walinishangaa sanaa moyo niliona tumezika ndugu zake waligoma kuchukua watoto Akawajibu mnanizilia watoto mkewangu mkubwa yupooo atanilelea watoto Eti leo anataka kuludo kwangu ,

  • @bernadetagama3786
    @bernadetagama3786 3 роки тому

    Mimi wangu arudi napokea kwa kupitia huyu dada amina

  • @namankakindilo8121
    @namankakindilo8121 4 роки тому +5

    Angetumiwa laki saba angeomba na ya kutolea.

  • @victorodhis5074
    @victorodhis5074 Рік тому

    achalia upako na Mimi ila matatizo yanayonisumbua Kila siku nabii

  • @isokoyubugingoofficial626
    @isokoyubugingoofficial626 4 роки тому +11

    Huyu ninabi wa uwongo fungukeni macho watu wa Mungu.

    • @bosslilyg4390
      @bosslilyg4390 4 роки тому +3

      Hapo hakuna lolote, hao watu wa ushuhuda huwa wanawaandaa ili kuvutia watu.

    • @chalesnguyaine9991
      @chalesnguyaine9991 4 роки тому

      Umeona huyo baba ni wa kuandaa watu wivu itakuuwa ww

    • @bosslilyg4390
      @bosslilyg4390 4 роки тому +1

      @@chalesnguyaine9991 hakuna wivu hapa ila ukweli lazima usemwe, imekuchoma mfuasi wa jodevi eeee 😜😜

    • @chancekambale3498
      @chancekambale3498 4 роки тому +1

      Kondoo zina kuliwa hivio : wakomedy tuuuuuuuu!

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      Yangu halambi kubaladeki

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 2 роки тому

    BABA BABA 😧😧😧😔😌😌😌😌

  • @christermelaka5689
    @christermelaka5689 4 роки тому +3

    Cpendagi habari kuwekewa mikono kichwani eti unaniombea mfyuuu

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 4 роки тому +2

    Nitumie na ya kutolea

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 4 роки тому +12

    Huyu dada aliipenda ndoa yake sijui shetani alitokea wapi jamani mpaka anashindwa afanyaje bora nabii amempa ushauri

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 роки тому +3

    Aaaa Daddy you are too Dangerous Amen 🙏

  • @eddahdaniel9267
    @eddahdaniel9267 4 роки тому +4

    Yaani Mimi siwaeoewagi kabisa awa wajinga wanaotaka kuabudiwa kama mungu siwapend toka moyoni,

  • @chalesnguyaine9991
    @chalesnguyaine9991 4 роки тому +11

    Yani nitume 80000 na yakutolea du wanawake mmh acheni tunateseka kutafuta et kwajl enu

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 роки тому +2

    Uuuuuu ur right Daddy

  • @emmauajustnbuvi3678
    @emmauajustnbuvi3678 4 роки тому +1

    I wander wat is wrong with people the Church of Christ is founded under Apostles and prophet s bt many denie the truth God has ordained them if you don't like them stop hindering others

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 роки тому

    Glory Glory Glory

    • @salmaamilkani8170
      @salmaamilkani8170 3 роки тому

      Baba Mimi mwanao naitwa selina Niko mlandizi nahitaji uponaji sitembei Nina mwaka wa sita sipati sikuzangu mwaka wa kumi na moja nahitaji maombi yako nitembee na nipate Siku zangu

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 4 роки тому +4

    Wanaume sijui niseme nini 13 years bila kuonana loading nkilea watoto siwezi ng'angania mtu forward ever backwards never watching from Saudi

  • @seciliabalama5533
    @seciliabalama5533 4 роки тому +8

    mwanaume akuache miaka Minne.akija nitamwambia nimekusahau nikumbushe we nan

  • @tantinemwemendi8790
    @tantinemwemendi8790 3 роки тому

    Hacheni ujinga akuna mungu hapo

  • @leathyollan7557
    @leathyollan7557 3 роки тому

    Naomba no ya nabii jamani nina hamu sana yakuzungumza nae

  • @mtumishiwamungunelson1684
    @mtumishiwamungunelson1684 3 роки тому

    Mhhhhhh hatari sana sana

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 4 роки тому +4

    Hivi watu hawana akiri nimeamua kukutumia hela. Nimetuma 80 unataka ya kutolea kivipi? So toa inayowezekana kutoa??? Pumbafuuuuuu mjinga Sana Mwanamke wa namna hii.

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 4 роки тому

      Tatizo uelewa mdogo yaani utumiwe hela yote hiyo ila anataka na ya kutolea 😀😀😀😀

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      @@noxlosingida2369 kwangu halambi hata 10

    • @peacekatembo6944
      @peacekatembo6944 3 роки тому

      Haahaa afu anaongea kwa ujasirii kabisa!.....inaonekana hana shukran hyo ela yotee ushukuruu

  • @lillianmossi9839
    @lillianmossi9839 2 роки тому

    Asirudi. Nataka mwingine

  • @peterernest1038
    @peterernest1038 4 роки тому +8

    mjinga uyo anataka na ya kutolea du wanawake hawa?

  • @roseurio5625
    @roseurio5625 3 роки тому

    Jina la Yesu pekee ndilo lituponyalo na mbona huyu Nabii sijasikia akijata jina la Yesu. Wakati akiwaombea waumini wake jamani tufunguke jamani tuache kufuata mkumbo

  • @annthuo2140
    @annthuo2140 3 роки тому

    Please upload even your preaching

  • @levinabyamungu8453
    @levinabyamungu8453 4 роки тому +1

    Daah! Mchungaji kakunja 4 kwa Raha zake!

    • @christermelaka5689
      @christermelaka5689 4 роки тому +1

      Levina Byamungu,hela inaingia hapo ataacha kuweka 4

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      @@christermelaka5689 kabisa

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      Daaah hata mm naona kwa biashara zote hii Iko sawa kabisa

  • @jacksoncharles7846
    @jacksoncharles7846 4 роки тому +2

    Tusaidieni namba ya nabii huyu jaman

  • @victoriakisame8008
    @victoriakisame8008 3 роки тому

    Nampenda San naomb aniludie yuwe km mwanzo nipo njombe

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 4 роки тому +4

    Wahubili waache zambi kwanza acha kutabilia watu wenye dhambi kabla lock haijatoka nikazi bule (Mathayo16:26)

    • @mwana3887
      @mwana3887 4 роки тому

      @Mathayo Papiasi Yesu kristo mwenyewe alisema alikuja kuokoa kilichopotea

    • @PastorZakariaTzTV
      @PastorZakariaTzTV 4 роки тому

      Kilicho unganishwa na MUNGU mwanadamu asiwatenganishe.

  • @franciscoatanasiogabriel7362
    @franciscoatanasiogabriel7362 2 роки тому

    Shikamu baba! Naomba namba zako hili tusiliane! Nina matatizo mabubwa! Tutoka Moçambique

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 4 роки тому +1

    Piga hela mzee,..

  • @carenchepkurui126
    @carenchepkurui126 3 роки тому

    Me cwesi kabiza

  • @Star-qf7ls
    @Star-qf7ls 4 роки тому +1

    Ohooo no confused woman

  • @johnzacharia6892
    @johnzacharia6892 4 роки тому +1

    mwenzie haombi yakutolea

  • @pilymasoud1978
    @pilymasoud1978 4 роки тому

    Barikiwa sana mtumishi ushauri nimeupenda

    • @happybruno1764
      @happybruno1764 4 роки тому

      Hapo sawa nilitamani nimjibie vile duuu

  • @dismaskamanzi2365
    @dismaskamanzi2365 4 роки тому

    CounceLL hyooooo"""

  • @ireneassey3685
    @ireneassey3685 4 роки тому +5

    Uyu mama nae baga mtu kakuach aruud na maukimwi yake nawe umpokee stareh alikula nanaii ww uje uuguze fyuuuuuu

    • @margaretkanina6247
      @margaretkanina6247 4 роки тому +1

      Huyu mwanamke hana akili nzuriiiiiii. MWANAMUME akazunguke alete ukimwi muache WATOTO mayatimaaaaaa. USHENZI GANI HUYOOOOOOO????

    • @paulinamwenisongole8804
      @paulinamwenisongole8804 4 роки тому

      Mwehuu auguzww ukoo

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      Alipikwa huyo maana akiwa timamu huwezi ngoja miaka 13

  • @jumakatema6348
    @jumakatema6348 4 роки тому

    Hiyo dada mjasiriamali namuhita sana.

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 роки тому

    Nafanya kazi benki, hata kupiga deki. Lakini si benki.

  • @paulinemathenge514
    @paulinemathenge514 4 роки тому +1

    I connect myself to this prophecy even me Lord Jesus send me my own man

    • @moureenamu4859
      @moureenamu4859 4 роки тому +1

      Indeed sister he will, God's time is the best

  • @nickodemmwandambo8924
    @nickodemmwandambo8924 4 роки тому

    Hivi Yesu aliposema hakujatokea nabii mkubwa kama Yohana mbatizaji alikuwa na maana ipi.

    • @mwana3887
      @mwana3887 4 роки тому

      @Nickodem Mwandambo hakujatokea Nabii mkubwa kuliko Yohanna maana yake manabii wote wale wa agano la kale waliomtangulia yeye walikua wadogo Hata biblia inasema aliyemdogo kwenu katika ufalme wa Mungu ndiye atakua mkubwa

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 4 роки тому

      Muulize Kwa kufunga na kusali atakujibu

  • @frankmpoto5347
    @frankmpoto5347 3 роки тому +3

    Wazinzi wakubwa nyie, kazi kuachanisha ndoa za watu, subirini jehanam ya moto wa milele, na nyie mashabiki someni Mathayo 24:24 watatokea manabii wauongo nakufanya ishara kubwa namaajabu kwaajili yakuwadanganya watu
    Mathayo 7:15-23 Nyie munajiona mpo kanisani lakini mpo katika njia iendayo upotevuni( moto wa milele)

  • @isokoyubugingoofficial626
    @isokoyubugingoofficial626 4 роки тому +4

    Asipo tubuu nabi huyu atakufa hovyo

  • @anordlaurent8751
    @anordlaurent8751 3 роки тому

    Jama hawa madem watatuua yaan ya kutorea kutorea daaaah

  • @yohanamaugila743
    @yohanamaugila743 4 роки тому +1

    Nabii mkuu!

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 4 роки тому +3

    Huyu dada mjingasana,w watoto wetu niwabishisana

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 роки тому +3

    Ifike pahala wanadamu tujitambue,nenda mbele za Mungu moja kwa moja na ujinyenyekeshe kwake,alafu uone matokeo yake,nyie mkipitia magumu tuu mnakimbilia kwa manabii,amkeni jamaniiii,manabii wa sasa wanawadhalilisha tuu haki,

  • @margiekaaya3544
    @margiekaaya3544 4 роки тому +1

    Hiyo ndio dawa ya kulishwa matango mopori...I mean Mungu ndie mwenye majibu yetu na siyo mwanadamu .wewe nabii huwezi kuwa na majibu ya huyo dada.kwann unamdanganya hivyo 😞😞😞😏😏😏

  • @tuyishimeveronique9799
    @tuyishimeveronique9799 3 роки тому +1

    Niombee namagonjwa Hlv banibeba ngu o nataka uniombee nataka mwaume

  • @afrobezing7900
    @afrobezing7900 4 роки тому

    Hela ya kutolea,,

  • @agnesakari3312
    @agnesakari3312 3 роки тому

    Jamn naombeni namber zahuy mtumishi

  • @ananawakwi1520
    @ananawakwi1520 3 роки тому

    Maboya

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 роки тому +5

    Mrudie ukaambukizwe huko wenzako hawana kazi nawanalea watoto wewe unakazi lakini bado unangangania mwenye virus

  • @salmaalbarwani2618
    @salmaalbarwani2618 3 роки тому

    Ikiwa kiwete anaweza kufanya kazi itakuwa wewe na mikono yako hebu give us a break

  • @shedrackchadulaga5501
    @shedrackchadulaga5501 4 роки тому +1

    Yaaan wanawake cjui mmerogwa na nan kwann hamfunguki mnakwama wap

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      Aiseee

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      Shadrack ni huko Tanzania lakini aje Kenya apatane na wanawake wagumu

    • @shedrackchadulaga5501
      @shedrackchadulaga5501 4 роки тому

      Yaan kwa ufup wanawake mmetekwa sana mnadanganywa na jina nabii cjui nan vp lkn hamwon mnajidhehesha kuanika mambo yenu mbele za watu

    • @carenamimo4897
      @carenamimo4897 4 роки тому

      @@shedrackchadulaga5501 hyu hajui uchungu wa kutafuta hela mwambie aje Saudi ndio ajuwe uchungu wa hela

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 роки тому

    Wewe dada umeganda akili mnooo. Wa nini sasa