#UNABII
Вставка
- Опубліковано 18 вер 2024
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
Nlikuwa mbishi lakini nmekukubali mtumishi wa Mungu ww Mungu ameweka makao ndani ako inshallah na Allah akubariki uzidi kuishangaza mataifa, amina.
Aminasanaukuwamungu
Nimeipenda sana huduma hii na jina La bwana liinuliwe
Amen
Mungu akubariki Nabii
Unatenda maajabu🙏🙏
Mungu akupe nguvu ya mwili
na ya roho🙏
Hakika umesaidia wengi kutokana na minyororo ya yule mwovu shetani
Amen_Amen🙏🙏🙏
BWANA Yesu ainuliwe. Baba namimi naitaji maombi naishi Zimbabwe ndani ya kambi nasisi tunaiyo tatizo kwaiyo naamini Mungu hana mpaka katika utendaji kazi wake na mimi naitaji kuona muujiza leo hii hapa Zimbabwe
Bwana Yesu Asifiwe Baba wewe ni baba wa pekee una Upendo wa tofauti sana baba ninabarikiwa sana na Huduma ya kinabii Mungu aliyoweka ndani yako ninaomba uniombee baba na Mimi ndoa yangu ipate kupona,familia nzima ya wazazi wangu nilikozaliwa Mungu anipe kibali niweze kukuona baba Yesu azidi kukuinua nimeona ndoa nyingi zimepona Mungu akutunze sana baba na Nabii Mkuu
Nabii wa Mungu naomba maombi kutoka Kenya
Baba uinuliwe uongezeke ustawi Baba
Oman tunakupata sana prophet🇴🇲🇴🇲✌✌
Amina 💐🤲
Tupate wapi tena mtu kama huyu?Ambaye Mungu anakaa ndani yake???Ubarikiwe sana Baba mwema 🙏
Can't wait to be blessed by u
Am proud to join you, am frm Kenya,
Amiina San naomben namb za nabii jamn natamn kukutana nae
I real appreciate you Prophet G. You are the Magest👮♂️
Nakupenda yooote
Mungu tusaidie turudishie nyota tufanye kazi yako
Amen
Baba Tamka Neno mmoja kwa ndoa. Nakuamini
Nimeguswa sana na kazi hunayo YHWH azidi kukubariki
Bsba Asante Sana kwa kuwawekw huru ndg zetu
Nabii Mkuu endelea kutusaidia maana ndoa nyingi zimearibika
Ubariki baba kwa kunena kwel na kwel yatuweka huru.
Amen,nami nitamkie nabii Mkuu
Am watching from Dubai
Neema na huruma ya Mungu
Blessed
Umependeza sana nabii
Nabii Mkuu tusaidie maana ndoa nyingi zimearibika na wachungaji wameshindwa kutusaidi
Nakubaliana na wewe asilimia mia
Du
yaani inawabidi mumkibl huyo mtu wa mungu
Nataman sana kufika mahari unafanyia kaz
Napokea mwanaume wangu wa ndoa kutoka kwa mungu wangu🤲👫
Ooooh waoooo
Njoo mbeya na bii
Be blessed
Amin bab
Baba uje na Mkoa Wa Rukwa tunakupenda sana
Maneno mazuri ya kuomba msamaha😍🥰🥰🥰
Amin niguse mim
Oooh
Watching from Kenya, Nairobi , baba naomba niongee na wew nimekutafta sana whatsp sikuoni tafadhali naomba kuongea nawe baba
Amina
Huyu ni mtu wa mungu
AMEEEN Nabii
Amen 🙏
Yes indeed Daddy
Jamani naombeni nipatieni namba zake nabii mkuu
Halleluja halleluja halleluja 🙏🙏. Asante sana Bwana YESU kwa Daddy 🙏. MISS YOU VERY MUCH DADDY😪😥
OMG eye 👁 opener
Zanzibar jmn
Nmekubali unabii wako tuxaidie doa zime aribika ,number plz
Jamani naombeni namba za nabii mkuu watanzania wenzangu
Walaaniwe waganga wakienyej kwa maana wao ndo wanaharbu nyota za watu lkn Mungu ameingilia kati sas
Nakuja uko mwenzi wasaba naomba mungu nikifika nione na biii maana pasipo yy na mungu atuwez songa mungu akutunze
Baba uje na mkoa wa songwe utuonekeane kwa nasiii
Be blecced nabii
Tusaidie na sisi tukombari
sisi tupombali tunakupataje mtumishi mawasiliano😭
Mm naitaji msaada wako baba Maisha yangu ya shida
amana dady nakukubal naumia unavyosemw vibay
Nisaidie nami mwenye niko mali
Sijui nyota yangu mm emepelekwa nchi gan Mana hata sijielew
Jesus Christ
Duh mbona uyo jamaa anamatatzo kama yangu
Hlf ni baba yangu
Yo baba nitambukie nyotayangu irudie
Baba naomba uniombee mungu anikutanishe na Barak zang
Jmn nashida na nabii nampataje nipo dar,
No yangu ,0755993279
Ni nani ako na mpango wa kwenda arusha kupatana na nabii mtumishi wa mungu
Kutoka kenya tupange nayeye