STAMINA AMJIBU NIKKI MBISHI | YEYE SIO MUNGU WA MUZIKI | KILA MTU ANAKOSEA KWENYE MUZIKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 46

  • @BabuuWakitaa-pb6gr
    @BabuuWakitaa-pb6gr 2 місяці тому +22

    Io beat ni masikio yngu ama ni kweli mbona kama ni CHUPA MOJA YA ZIADA ya the Verteller DIZASTA VINA!!!Km ni ndio bac heshima kwenu planet bongo kwa kum-recognise mwana

    • @toney..
      @toney.. 2 місяці тому +3

      Ngoma ya fid q hio mkuu ...kama sikosei ni siri ya mtungi ft juma nature

    • @aaronjohn416
      @aaronjohn416 2 місяці тому +1

      Ya Dizasta vina

    • @PraygodMboya-j3d
      @PraygodMboya-j3d 2 місяці тому

      Hiyo beat wameipitia wengi.
      Wakwanza ni b boy black fire katika ngoma inaitwa makusudi

    • @neemamangushi8187
      @neemamangushi8187 2 місяці тому

      Dizasta vina

    • @rogatusmeleki1660
      @rogatusmeleki1660 2 місяці тому

      ​@@toney..
      Yeah ndiyo yenyewe

  • @JumaHussein-d1k
    @JumaHussein-d1k 2 місяці тому +4

    Za Stamina zimezidi

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 2 місяці тому +1

      Tatizo wengi wanaendeshwa na hisia na mahaba kwa watu wao ila miongoni mwa vitu vina shusha au kupandisha credit kwa msanii yeyote wa fasihi simulizi ni usahihi wa matamshi ile Accuracy ina nafasi kubwa hususan hizo L na R hata kwa mtangazaji au public speaker zikiwa zina kusumbua unaonekana wa kawaida

    • @greydonalds4286
      @greydonalds4286 2 місяці тому +2

      Kweli. Stamina ni msanii mzuri. Ila ana changamoto kubwa sana kwenye kutofautisha L na R kwenye matamshi yake. Ni vile sisi watu weusi huwa hatupendi kusahihishwa. Mtu akikwambia ukweli usioupenda unahisi anaku attack... kumbe ungeyafanyia kazi maoni yake yangekujenga.

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 2 місяці тому +2

    Sho
    Rwe
    Bwe
    Nzi🎉🎉🎉🎉

  • @lifehimself
    @lifehimself 2 місяці тому +1

    “complement” gani?

  • @aeio-w8h
    @aeio-w8h 2 місяці тому

    yah nadhani huyu knows-it-all guy ajiunge na BASATA maana he is too self-centered and too nosy into peoples business as if his opinion matters more than everyones.we want good-music.STAMINA KEEP IT UP BROTHER I LOVE UR MUSIC

    • @greydonalds4286
      @greydonalds4286 2 місяці тому +1

      Nafikiri kukosoa sio jambo baya. Stamina ameanza kwa kujibu vema sana. Mtu anapokukosoa hakuna haja ya ku react... unatakiwa ku respond. Unaweza kutafanyia kazi mawazo yake au kuyapuuza. Na nijuavyo mimi, watu wenye hekima wanapenda kukosolewa. Kwahiyo kwa mtazamo wangu, Nikki yuko sahihi kabisa. Stamina pia yuko sahihi.

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 місяці тому +6

    Unju the best mc

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 2 місяці тому +1

    Imagine mgombea umesimama unasema nawaomba san kwani nina hitaji KULA kutoka kwenu Akimaanisha KURA watu hawa mrushii mawe huyo? Nikki yupo sahihi

  • @saidsidaz
    @saidsidaz 2 місяці тому +1

    Lazima umsikilize sbb ameongea km msaani na km mshabiki, Hzo error za R kuwa L ni km ugonjwa wako.

  • @khalidibero
    @khalidibero 2 місяці тому +5

    Nakumbuka ule mwaka ndio marehemu mama yangu amefariki.

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 2 місяці тому +1

    Stamina iyo inshu siyo mara moja wala mara mbili ana ilo tatzoooo

    • @harunamuhode
      @harunamuhode 2 місяці тому

      Hata wewe msenge unakosea sio ilo ni hilo

  • @Jonas-t9h
    @Jonas-t9h 2 місяці тому

    Niki anapenda sana mabifu niki wa pili ana mdis kola cku

  • @erastomtima8260
    @erastomtima8260 2 місяці тому +3

    Sasa unakuaje msanii halafu unashindwa kutamka lugha vizuri

  • @raymondchacha3454
    @raymondchacha3454 2 місяці тому

    Guys what's msanii Bora wa hip hop? Do you guys mnaelewa maana ya HIP HOP and it's Element??

    • @collihgram
      @collihgram 2 місяці тому

      Amini mzee,Hiphop haiwezi kuwa na msanii bora mmoja kama mmoja kwa sababu ni Culture Inayohusisha Vitu vingi sana kama Rap,deejaying,breakdancing,graffiti etc,kwaio apo labda angesema msanii bora wa Rap lakini sio Hiphop

  • @Kushnade
    @Kushnade 2 місяці тому

    Stamina kwa unju ni dada wa hizi kazi

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 2 місяці тому

    Shorwe kama shorwe

  • @GodfreyMwita-v7x
    @GodfreyMwita-v7x 2 місяці тому

    Stamina kashindwa kujib kwa hoja ilitakiwa kurespect

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444 2 місяці тому +3

    Unju ndio kiboko yao hao wajomba wanajua wenyewe sio

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 2 місяці тому +2

    Kwani huyo Nikki hua ni nani maana hua anakosoa sana wenzie

  • @MasuruliGeorge-wi1nd
    @MasuruliGeorge-wi1nd 2 місяці тому +1

    Stamina kwa nikki mbishi bado sana babulai kwa midondoko

  • @BarakaMayuya-g1z
    @BarakaMayuya-g1z 2 місяці тому +1

    Beat ya disaster VINA

    • @BarakaMayuya-g1z
      @BarakaMayuya-g1z 2 місяці тому

      MWAMBA MWAMBA chupa nikazichangachanga

    • @greydonalds4286
      @greydonalds4286 2 місяці тому +2

      Siri ya Mchezo by Fid Q ft. Juma Nature.

    • @collihgram
      @collihgram 2 місяці тому

      @@greydonalds4286siri ya mtungi aijuae kata😅