Msijali story za relationships. Labda ata Mungu alimaanisha kitu simple kama relationships being like football teams or tennis. After the game is over we're free to mingle.
Guys wenye mko na Spotify ebu mnisaidie mbona yangu haifanyi ...inasema offline na niko na net .Ata zenye nakuaga nimedownload nasikizaga nikiwa offline hazifanyi😢😢😢😢
it's high time guys muanze kuupload twice a week . kutoka Tue hatuna kazi ya kufanya. ama niaje wadau?
verrr niceeeeeee
Yeeeeeeeeeees
I agree
wagwaaaan
Agreed 💯💯
I love vile monty ako smart about things...flirting is cheating,dante na trevor tu ni mamalaya
Utu ni tumalaya 🤣🤣🤣
Milaya 😂😂😂😂😂😂
kalala alienda wapi.... simtustue na yeye sikumoja big ups wadau
Trevor unajua airport 😂😂😂😂
Dem akiflirt ni kucheat lakini maboi ni kuflirt tu😂na usiseme mi ni Malaya
Nliona mama Troy. Frank anajua kuchagua bana
The only vocabulary I get from Trevor is"acha kucheka ujinga"😅😅
Trevor akiwa positive akina Dante wako negative and vise versa mbn hamnotice 😂😂😂
Jiweke nani 😂😂😂
Kwani hujui usani .... We ni dwanzi nini
i had to come and waatch the video after listening thrice
😅😅😅😅from podcast to UA-cam tube 👋
Monty the father of ReAliAty❤❤❤🙌🔥🔥🔥🔥
Na si Trevor unajua kujitetea😂my lord,...
Msee n guilty lkn comebacks n za saint,shiet🙆😂😂
Premieres in 12 hours ad we are still waiting 😂😂😂 eeeeeish wadau
Kama kitu ni kali ni kali 💯lakn sipendi vile mliingilia trvor😂😂😂😂😂😂
Watuuuu,, 21 hrs to go
Za baba Troy zimenice🔥🔥🔥😂😂😂...show Iko moto 🔥
Ndio wiki inaanza kesho sasa ❤❤ mafans bado mpo saana❤❤
Sa niaje hawajapost
Frank big up by having such a cute namesake 🎉 Manze Troy si jina ya wengi 😂
Zimeripoti mbaya😂😂😂 mpaka Dante macho imekuwa ndogo
Waaaagwan wadau😊😂,,,
💺🎙️🍿😎.
Each episode always banger🔥 than the previous 🎉 #topvibes
hakuna mande yangu itawai boeka🤣🤣🤣wagwan wadau😎📸
Somebody is living in an ideal world! 🌍 Be real
Dante the wise one amekula moto na hii staff ya Gen Z😂😂...big up 3 men army
Ati ama uko mavitu😂 2:10
Mine people ❤❤
Mafans bado tupoooooooo
Msijali story za relationships. Labda ata Mungu alimaanisha kitu simple kama relationships being like football teams or tennis. After the game is over we're free to mingle.
I guess background gang real enjoy the show #hannistone and 5 more
Leo monty amechoka bana.......Mr izzah man
Monty alikuwa amejaa maji akiuliza troy hukaa aje he didn't know what the boys might have said 😂😂
Wagwan wadau ...mafans bado mpo😊🎉🎉🎉
First comment like😂😢
Min 40:45 ni tiktok worthy
New week wadau.Tuned in🔥🔥🔥
Mmeaamuaa we suffer this week 😢😢still waiting for the next episode 🤧🤧
Eeeeei monte na mama wako ameiva ile mbaya😂🤭ni kenya kweli?
Trevor hapa brains zilikua 🔥🔥💯💯💯🙌🏿😂
Wagwan wadau ....19hrs to go🎉
mad love wadau @trevor umeniwai movies idea hatari 🔥🔥🔥
Dante you need love,,,,am single bytha 😅😅
Nkama vile tu naeza anza kuita boy babe....babe it's just a name banaa sjasema wewe ni chali yangu😂😂
Jeshi ya wa3 mpooooo💥💥💥💥💥
Keep it up guys
Now it's like mnawatch too much k- pop cause contract marriage huwork Kwa those movies .
Dante the last part😂😂😂🏌️🏌️ati sijakula kitu..siku mbili
Wakuu time to unit kenyans
Trevor lazima awekewe kiti yake kando 😂😂
Trevor unaniumiza 😅😅😅haujui watu hukopa mihada 😅😅🎉
❤❤❤worthy my time
Eti Andy atazaa walevii juh mkono inatingikakaa😂😂😂
Episode 48 iko wapi nyi wazeee😢😢😢ama tujiskize hii wiki pia sisi😂😂😂😂😂😂
Flirting is cheating as long as sio ni huyo mwingine anaflirt😅
Guys wenye mko na Spotify ebu mnisaidie mbona yangu haifanyi ...inasema offline na niko na net .Ata zenye nakuaga nimedownload nasikizaga nikiwa offline hazifanyi😢😢😢😢
Description ya stand by monty ni wazimu
Ati zako hazijashika, zinanuka😂😂
hii time haisongi bana 🤦♂️mafans bado mpooo😎📸
ipandeeeeeeeeeeee
Mumuh...ni boboo wa ocean
Huskii n ka pua navutaga mafii
Hana jegi anatembea kama ogada😂😂
Nyi wazeee.....mnatoa episode ingine lini banaa.😂
mafans bado mpooo,,,wagwaan wadau🤗
kula ujinga yako🤣🤣🤣
Time yako kwa life ya mtu ikiisha jitoe✔️✔️✔️
😂😂😂nani anaita watu Gen z
Mungu alikupea kila kitu.lakini Ile kitu alikunyima ni number yangu...helloo
Vigelegele woman really😂😂😂Dante!
Aty mnauliza Trevor maswali mmfanye mjinga😅😅😅😅lakini msikue mnauliza watu kama sisi na Trevor maswali mengi kutufanya wajinga
😅😅😅madem sura mbaya ni malele ma boy😅😅,pedi wenyu ashikwe
Gothaa tenaa🎉
Si mudo collabo tena na prince kev
😂😂so umesema madem sura mbaya ndo malele maboy?????
Leteni Kalala wadau
Mmekata kupost next nini
49 zitaisha kweli
Hii imekaa sana😂
invite kalala one day
Hapa monty alikuwa too high, focus!!!!
Alafu mkue mnatunotify mkienda kumalinzia session bana.
🤣🤣🤣🤣🤣
A big fun since episode 1. Ndo naanzisha jaba😂
nko mabuoge deadly😆
You guys should return the sante
97 podcast
Lit 🔥🔥🔥
Madape wa Dante 😂😂😂for me
"Gen Z hayuko tiktok" noma Trevor😂😂😂
TEAM TREVOR😂
🤣🤣dante hata asipofungua mdomo nacheka tu 🤣🤣🤣
Mafans bado tupooooo
Kwani There's no podcast ya this week,,?😢💀💀💀
Iko wapi episode ya hii wiki😢😢
Back like we never left
wagwan wadaauu
Dantee🎉❤
Izi umbwa mbili ziache ufisi bana flirting is cheating in a serious relationship or marriage
Flirting is cheating buana😂💯
Hii week haunaa ama youtube yangu imecrush
Huu ni nani anaita watu huyo😂😂😂
Wozaa ndio kudunda kudonjo
Waiting
Trevor anajam juu anaitwa genzee😅😅😅😅
Tunangoja shwo nyie majamaaaa
Na Dante Ako na thighs 😂😂 light
Mafans bado tupo
Aty zangu zinanuka😅😅😅
Wakuuuu niajeni
Siwapendi lkn nyny hupendeza tu.. 😅
❤❤❤