TRUTH OR DARE 😂😂 KISS 1, SMASH 1 AND MARRY 1 😂😂 ME; only one peck for FRANK juu akona mama 😂 one night stand with TREVAH😂😂 reason best known to me 😂 Finally settle with DANTE ndio nichekange till death do us apart 😂 MAJIBU SHORT SHORT WADAU 😂
Mimi walai nitasmash FRANK 😂😂 Juu napenda Dante hiyo one night stand ni Yako,,,......... T, my love❤ eiish 😂😂, Trevor Andrew Omondi, WILL YOU MARRY ME?? 😂😂😂 T, Am a full package, Niko na Tako na nyonyo pia najua kupika, together me and you we can make Dante jealous 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂lakini talking stage is serious kuna mwenye hiyo stage alijidescribe mpaka model ya gari anaendesha alaaaa nikashindwa babaa unapeana extras niliboeka tu. Na ni njia nilikuwa nimuulize 😂
❤@3menarmy these dudes will always be the top and they always have something for us am the loyal member since 2017 upto now 💯where are my likes guys
TRUTH OR DARE 😂😂 KISS 1, SMASH 1 AND MARRY 1 😂😂
ME; only one peck for FRANK juu akona mama 😂
one night stand with TREVAH😂😂 reason best known to me 😂
Finally settle with DANTE ndio nichekange till death do us apart 😂
MAJIBU SHORT SHORT WADAU 😂
Mimi walai nitasmash FRANK 😂😂 Juu napenda Dante hiyo one night stand ni Yako,,,......... T, my love❤ eiish 😂😂, Trevor Andrew Omondi, WILL YOU MARRY ME?? 😂😂😂 T, Am a full package, Niko na Tako na nyonyo pia najua kupika, together me and you we can make Dante jealous 😂😂😂😂
@@phyllisachieng4975 🤣🤣🤣🤣🤣 Leo lazima kila mtu ajibonge 🤣🤣ama namna gani 🤣🤣🤣
Haya mumeamuaje aki ni kunoma dante for life
@@mercyanyangoonyangokujibonga muhimu,,,,,,, T❤,nimekumark😂😂😂
Following...
Trevor mimicking Dante's dad( the juice cola part) had me dying🤣🤣🤣
I swear am addicted to this guy's I listen to them on Spotify then come here to listen ❤
😂😂
Walai am addicted to this prodcast 🎉❤ everyday Mon at 4 nakuanga nangalia Kaa washaekela kitu😅team Three men army piga like tukisonga📌🔥
😂😂😂This' so therapeutic
Dante for me "we ntakuslap unafikiria ka mtoto amekunia na akakula hiyo mafi....."🙌🤣🤣🤣
We need atleast two episodes a week wadau , please
Yes please
I second you🥰
Chungeni msi-dilute content. I've seen it happen to the best
Yeaah
Hapana haiweziii... yaan tusikie ujinga twice kwa week wataniua na ujinga😂😂😂😂😂😂
Amnibambi vile mnaingilia Dante Treva na frank 😂😂 leave my dream Mpoa alone 😍😍❤️ though love the show thanks for making my morning 12:09 am
Wagwan wadau❤❤ the love I have for 3Men Army is beyond me 😂😂😂
Team gulf represented already
Tuko sote
@@monicamugambiumefika tayari😂😂😂
@@princessyvonne3847 nikose nichekwe😂😂
@monicamugambi our stress reliever 😂😂😂😂😂
we huwapendi walai 😂😂😂😂ebu niulize vile mimi nawarank🙌🥰🥰
Best Trio I've seen 3 men army, wakadinali & Migos 🔥🙌
Wagwan wadau😂...manzee nikiingia kejani hakunyamazi mpaka asubuhi pia mimi naskiza story za 3men army hapo kutulia tu🔥😂
Nimecheka hadi nikakosa nguvu kwa. Joints. U always make mu days uku gulf shida nimekosa hadi nguvu ya kufagia .... Nawalove mbaya🫶🫶
Btw juice cola kwa uji was sweet manze... Ama instead ya kukunywa uji... Mnakunywa juice cola... 😂😂😂😂😂😂😂 back in 2010 -2012
Better late than never, Fire episode🔥🔥wagwan
Love you guys you always make my day 😊
Wagwan wadau😂mtuletee kalala byzeway...tumemmiss sana 😗.....anyhuss nawapenda na ujinga yenu😂u make my day better thnk u ppl sanaaa❤😊
Dame anaskiza amapiano na anadandia mathree
As usual entertaining and informative 😂
I knew i was addicted after nisha skiza Spotify alaf nakuja kuwatch 😂😂
Someone come collect my ribs ave laughed so hard three men army always🔥🔥
Big up broes🤜🤛am your number fun kila day💯
Wagwan... never missed any episode 🔥 🔥 you never disappoint 🍻
My people 🔥 I just love this guys❤❤❤
Much love 😂😂I almost forgot to comment,,,I love your content guys
Na Leo sijapenda vile mnapiga Trevor my love😂😂😂😂😂😂😂
😂
crucifieeddd.....laid behind the toneeeee😂😂
Wanga wadau the people who make people smile atakama wamekasirika bigup 3 men army
You never disappoint, Milly chebby alikuwa ametulia dhen boom😂😂😂😂😂
11:38 shots fired😂😂
😂😂😂
best episode by farrrr! nikurewind tuu after kila 30 seconds
🤣🤣🤣🤣🤣
Tukitoka Spotify tunakuja hapa kumalizia video💯💯💯🔥🔥
Been stuck on this page for days ❤
Na mletee king kalala sasa😢 asking and 99others😅
Content on top
But mlionea Dante my love❤ sana....nawapenda bure yaani❤😊
I can't wait for episode 98 ...wapi likes za Dante🤣🤣🤣
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dante all the way😂 aki this men mtanikosesha ufalme wa mbingu😂😂
yall need to post more oftennnn
walaaiiii you guyz got me laughing real loud😆😆😆😆😆
Leteni king kalala episode Moja pekee banaaa😂
Nishadonjo hii ningehata ningededi ⚠️😂😂😂locked hadi tamati
C mkujange live wasee ..... Npeeni likes kama mnakubaliana na Mimi ......
Therapy time 🔥
My Boys #3menArmy #97podcast SUPPORT EM
Hapa ni govi first in command always in demand never let u down 😂😂
Tuning in.Big up wadau loving the podcast
Content iko on top ❤dante 😊
Me naye kama alienda bahati mbaya kwake,good news to me man😂😂🔥mbio mbaya bro
The timing is on another level monday 7.44 pm
Daaammn!!
😂😂😂am here for my laughter dosage
❤❤😂😂nice it’s worthy my time
We need a podcast for every day😭because uweeh💥
🤣🤣🤣🤣 tao suruali usimame pale.mtaniua😅
Everyone was high on this episode
Aty hey hey hey hey hey 😂😂😂😂
🎉🎉😮😮wa ngero
First 8 minutes straight.... Dante under fire! 😂
monday siku hizi ni best juu yenu
Spotify wrap yangu iko na the 97s podcast as the most listened podcast this year
Kalala aletwe kwa híi show
Manze ua mna inspire watu wengi uku nje bana keep it up ❤
waagwan wadau.....😂😂😂😂uyo mode aliwapea pano ya kuosha choo ndio alikunia
shiet🤣🤣🤣🤣🤣niko kwa ofice bana mutafanya nifutwe kazi......naisha mimi......apo kwa sikuizi umeanza mchezo
Waa Dante you nailed it....shule kuni moja moja kila siku...
Hapo kwa JKUAT sanasana, ata superhighway inanuka keg hio area. Otherwise washenzi wenzangu its always gwan 👊🏿👊🏿😂
😂😂😂😂😂lakini talking stage is serious kuna mwenye hiyo stage alijidescribe mpaka model ya gari anaendesha alaaaa nikashindwa babaa unapeana extras niliboeka tu. Na ni njia nilikuwa nimuulize 😂
Wagwan wadau❤❤❤❤
Back as if we never left 😂😂😂... Wagwan wadau 🎭🎨
Hyo joke ya monte najua hamjapata hapo kwa desktop "aty na umenona"
Waiting for this so fckg bad ❤❤🎉🎉
Ati umsee alisoma uganda na hatujai mshow😅😅😅
2 episode in aweek please 😂😂😂
Best therapy ever 😂😂
Dante my love❤
Dante my guy,drop Ii shit chini ya maji😂😂😂
For the fans😂😂💔
hehe put some respect to people from the O YOU GUYS ( joka oyugis)
Waiting kama short ya kwanza😅😅😅😅
Good talk
Dan swali ya 10 MITA alinilet down😅
Trevor jiteteeeee lakini hii episode kubali tu ulikua mavitu
Hapa na hapa😂😂😂
The last part😂😂😂
Speaking of chooo za walimu zinatipaa😂😂😂
🔥🔥
ati Wapigalo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Wagwan wadauuuu 😂 can't wait
Kuna vile Trevor ni psychopath kiflani 😂😂😂😂😂
U guys make me laugh always big up ❤️🌹
Atii Dantee anawatch kihindi mingii
On point kaa suti za bulare... bulare fackin... 😂
Wagwan woza woza
Juice cola kwa uji😭.. heh dark days hizo...
@millychebby was just chilling🤣🤣🤣🤣🤣
Where is king kalala 😂😂❤❤❤
What happened to The senate?
Huyo wa Tom mboya 😂 hiyo nayo ni talent
Aty mwalimu anakunia ju ya choo 😂😂😂😂😂😂35:15
Heri nikose ya kula but nisikose ya bundles ya kuwatch episodes
😂😂😂tafuteni madaktari wadau wanakuanga na hospitali kwa nyumba
Wagwan huyu jamaa wa kitale na juice cola kwa uji tuko wengi🤣🤣🤣
😂😂😂Nani ameona Frank akona matiti tatu