This podcast is really Funny and somehow informative....Never getting bored of listening to the Audio on Spotify 'as it drops first ' and watching the video later on UA-cam....
Leo nimesikiza sikuizi am busy but have to fix time to listen to you my favourite Huskii hi story ya watoto niko kwa mat nimescrifice far yangu nikakubuka youghurt so in my mind najua kuna place nitaenda nitembee ju njaa nayo haingeniacha alafu mtoi analilia youghurt yangu na mamake anamsho acha kulia auntie atakubakishia 😂nanii wazazi nikuwe serious no nasikia kizunguzungu town ju ya venye nimezungunga na story ya passport heee nilifunika nikaeka kwa bag mtoto alilia all the way mpaka wakashuka siweziii mpea 😅😅can never be me na unakumbuka naenda kutembea ju ni fare😂😂😂 plus watu kwa mat wako na audacity ya kuniabia nipee mtoto aache kulia nilivaa earphones
Imenikumbusha far mgeni najua alikuja na mwenzake mwenye sijui alafu akaenda zile za ati acha nifike hapa nje narudi, akaenda ivo tu roho safi next day yule aliletwa akarudi kunibishia apo ten usiku nilijifanya mejja yaani "siskii" mpaka akajipa shughli
Ivo venye hii ilianza nmependa.. Mmenifunza ma 1, 2 za vile mambo inaendelea.. Alafu sasa mkaleta kicheko. Sankyu.. We keep tuned for more. Na pia ukieza twice a week tutapenda.
its so sad venye tunafanyanga wazungu wakuwe kama mungu huku kenya na sisi hawatuweki vizuri kwao,juzi niko staycation mahali flani europe kuna wagerman wawili wazee(couple)walikuwa wananiangalia nikama nimetoka dunia ingine wanitemee mate nikama nawaibia wuuuueeeeh
Venye kenya tunaogopa kusimamia ukweli tunaona venye politics sahi inatupeleka mayouths to have enemity over each other I think youths we need to bring change to our country . This podcast is amazing manz3 your content is relateable and current trends
This podcast is really Funny and somehow informative....Never getting bored of listening to the Audio on Spotify 'as it drops first ' and watching the video later on UA-cam....
Entertaining.
Abel mutua AKA , mkuruuuu❤ and three men army are the only youtuber mwenye wananifanya niko yutube❤😂😂
leo ata like wadau bado nawapenda
Christina shusho angepiga dancehall ....na magwatho ,,.😂 wily Paul was just chilling 😂😂
Addicted to this podcast tunatakaa more episodes 😢😢
Kindly mpost hivi vida na sportify the same time juu hii kitu nimeskia last week so I came here happy only to find nishawai skia 5:18
51:34 nan huyo hakulangi nyanya
Aty ata panya ina kula nyanya😅😅
wadau, find a way to do more podcasts, one per week haitutoshi mafans😅😅
Manze moja kuna vile tunabaki mg'aro manze😂
Kuna mingi Spotify, kama hii I already listened
Walaii tena
We need more
Manze joh
Design Trevor ameisha😂😂😂😂😂😂 you guys are doing a great job ❤kudos
Lakini tangu Frankie akue mzazi amekua wise 😂😂😂lko love siku zote ☺️💖💖💖💖
😅😅 that meeting of leaders and the public in Rwanda we call it UMUSHYIKIRANO mambo poa sannn
u guys u are right 👌🏼👌🏼 17:34
Leo nimesikiza sikuizi am busy but have to fix time to listen to you my favourite
Huskii hi story ya watoto niko kwa mat nimescrifice far yangu nikakubuka youghurt so in my mind najua kuna place nitaenda nitembee ju njaa nayo haingeniacha alafu mtoi analilia youghurt yangu na mamake anamsho acha kulia auntie atakubakishia 😂nanii wazazi nikuwe serious no nasikia kizunguzungu town ju ya venye nimezungunga na story ya passport heee nilifunika nikaeka kwa bag mtoto alilia all the way mpaka wakashuka siweziii mpea 😅😅can never be me na unakumbuka naenda kutembea ju ni fare😂😂😂 plus watu kwa mat wako na audacity ya kuniabia nipee mtoto aache kulia nilivaa earphones
😂😂😂na hivo ndio ukapewa jina Auntiee
@@myles_george banaaa😂
😂😂I dont know vile tungesurvive uku Australia without you guys..big up
38:03 😂😂😂😂dante ako serious anapeana story kumbe hii time yote Monty ni macho bigi tu anaona😂😂
Trevor come Sweden i adopt you 😂😂😂😂😂❤❤❤ you have all the qualities i want
This pod is very therapeutic and addictive much love 😍... Tupeeni at least twice a week 😢
You guys have no fuc**** chills😂😂 😂😂😂😂😂😅😅😅😅
The reason as to why wageni wanabehave hivi sikuizi ni juu ya ile statement ya "Feel at home.."
Kwanza usiwahi ambia hivo mgeni mluhya
😂😂😂😂😂 aki dante, 49:55 🤣🤣
Wadau for good vibes 🔥💯💪
You guys will kill me one day😂😂😂😂😂😂😂ahhhh....Dante please 😂😂😂
Imenikumbusha far mgeni najua alikuja na mwenzake mwenye sijui alafu akaenda zile za ati acha nifike hapa nje narudi, akaenda ivo tu roho safi next day yule aliletwa akarudi kunibishia apo ten usiku nilijifanya mejja yaani "siskii" mpaka akajipa shughli
Huskii tuko 20🥰🥰 Hii kitu is a journey mahn
Request tu chapieni mbili per week🫣🫣
Indigenous crop was just chilling 🤣🤣🤣danteeee
the three men always a top tier😂😂espescially dante...big up guyzzzzz....waiting for next episode😂
Willy Paul was just chilling 😅😅😅😅😅😅
38:03 .😂😂Monty umeficha dante after ameangusha jina *appreciation*
Aty uko na macho biggy😅
No one can convince me that hype ya Christina shusho haikuanza apa😂
Ivo venye hii ilianza nmependa.. Mmenifunza ma 1, 2 za vile mambo inaendelea.. Alafu sasa mkaleta kicheko. Sankyu.. We keep tuned for more. Na pia ukieza twice a week tutapenda.
mapema ndio best wagwan wadau❤🎉🎉
Kupumzika ni binguni.... episode's zikuje🎉
The phase where you start hating your visitors😂😂
Hapo kwa kuapply passports, mimi walitaka kunizungusha ikabidi nimekwara nao
Hiyo part ya mgeni kumbao kwa sittigroom threw me on the floor😆😆😆😆mko na ujinga sana.
I love the fact that you touching on real issues....big up🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂I love these dudes
Jabidii was just chilling🤣
its so sad venye tunafanyanga wazungu wakuwe kama mungu huku kenya na sisi hawatuweki vizuri kwao,juzi niko staycation mahali flani europe kuna wagerman wawili wazee(couple)walikuwa wananiangalia nikama nimetoka dunia ingine wanitemee mate nikama nawaibia wuuuueeeeh
Mnaenda mbali ata....... apa gulf boss anakulipa na 24/7 ako usingizi tu😢
Kuna dem aty huwa hakuli mayai ya nyanya .. 😅😅😂kwangu bana nisipike na nyanya juu haukuli😂😂
Venye kenya tunaogopa kusimamia ukweli tunaona venye politics sahi inatupeleka mayouths to have enemity over each other
I think youths we need to bring change to our country . This podcast is amazing manz3 your content is relateable and current trends
Kumbe Trevor ametoka ELDY 😅😅...I remember Jaspers and gospel warriors
.
😂😂😂😂Acha nifurai tooo😊 ching chuu was chilling 😂
The way I had waited for this show 🤲🤲🤲🤲hii moja daily Haitoshi bana
Wadau na mtuite live show buana 😂😂
Wishing you guys long life
Faustin munish was that gospel artist....he was amazing
I like how you guys support local content❤❤🎉
This was one deep episode mazeee!!!!
aki i love you guys y'all make me laugh 😂😂😂😂😂😂ati mgeni ananyamba nyamba kwa sitting..aende kwake 😅😅😅😅
Leo sina maneno mingi nataka kujua hizo hoodie natoa wapi wadau
Another banger 😂been waiting for this
dantee nayooo huyu nikijana ya kanisaa😂😂😂
ati mtoto akikasirika anajirusha kama mtungi🤣🤣🤣🤣
Aty Dante utafungia mtu carrots 😅😅😅😅😅😅😅😅alinyonya nini😂😂😂😂😂😂thanks for making our days❤❤
Venye nilikuwa nimegonja hii podcast mnaniweka sana
Never a dissaponting moment with my loves🤣🤣😍
😊😊😊😊😊
😊😊😊😊😊
😊😊😊😊😊
😊😊😊😊😊
😊😊😊😊😊
😂😂 hio ngomma ya jabidii inaitwa aje😂😂
😂😂😂nmewamiss guys,,much love ❤❤☺️
You guys are just a vibe mob love from taita
Wadau mko juu banaa...trevor we ni mjinga sanaa😂😂😅
Hii nilisikia kwa Spotify but nataka kuona vida baana 😂
You always make my day guys..😊I like the energy🎉.Dante my guy socks ni black tu😂
😂akona ya white anavaaga Sunday 😂
We need more podcast from you
That was the best episode keepit up guys❤
Army for life😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣WADAU MKO LIT
County government has too many positions that are useless.
Referendum ikuje...
Zenyu zimezishika lakina big up
Wagwan wadau😂😂😂 mimi ni boys wa dantee
More episodes😊😊😊🎉🎉🎉
Tupewe the sa- nete na podcasts every week nimemiss Kalala
Love 😊❤
Mmenikumbusha Ile ngoma ya rafiki pesa😂
They were on something 😂💣💥
Trevor 😂❤🔥🔥🔥💯
Hahaahaa ,,,,wangwan wadau ❤❤
Kamayai maze ati 30bob maze😂
Podcast ni kali🔥🔥🔥🔥
❤❤❤funny 😂and worthy watching
I relate to every bit of it both as a "mgeni" and as the "mwenyeji" this one killed me. Wadau
YOU guys are funny..... hahahaa
The podcast is 🔥🔥🔥
Baad😂alltym💪🔥
I love you guys
Willy paul ni zile mawe Mungu alisema tusipo muimbia mawe zitamuimbia 😂😂😂😂😂
was macho big na matako necessary🤣🤣🤣🤣
thenks guys ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Funny enough Niko nyayo house waiting for biometrics. Funny story
yooo this is lit🔥🔥🔥
Ety lala nayo 😂😂😂😂😂😂
post frequently bana, your content is class and entertaining sana🎉
Wagwan wadau😂👋💛
Good vibes 💗
safii kama kawa🔥🔥
Wagwani wadau...❤🎉😂
😹😉😹
Weuh
Trevor JASPERS na GOSPEL WARRIORS walikua mpaka Busia😆😆
😹My guys❤
Trevor ❤
Sasa hiyo part ya mkebe ya yogurt kukuwa kikombe mmekuwa personal🤣🤣