Zuli Comedy wakivunja mbavu kwenye Safari Field Challenge | "Usikubali kuwa punda kihongwe"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • SAFARI FIELD CHALLENGE: Je, unaijua pisi ya mbungani wewe??
    Je, ungekuwa mnyama, ungependa kuwa punda milia au punda kihongwe??? Zisikie tofauti zao hapa kutoka kwa @zuli_comedy
    Na, je, fisi ni kama kabila gani vileee….!!!
    TUPO LIVE kupitia chaneli za #UTV na #AzamSports1HD zinazopatikana kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV, unaweza kufuatilia pia kupitia #AzamTVMaxApp ukiwa popote.
    #SafariFieldChallenge2024

КОМЕНТАРІ • 4