UWONGO WA KALE PAT 7 MAU MPEMBA DONGO NA MAKUNDE
Вставка
- Опубліковано 2 тра 2023
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500 - Комедії
Fany aje na kidundo kake mau
Ni kweli
All right kauli mbiu
Nakubali kakaaa me ni mdogo wako from PEMBAA....
Team Mau vip tena mbona kimya ,tunasubilia clip baada ya 'kwanin Ramadhan' tafadhalini tupeni vitu....
Makunde mdogo wangu unajuwa km mwaongea uongo wawatizama wenzio kijeuri. 😂😂😂Kabisa
Naomb like jap 1
Excellence good job
mnaniumiza mbavu mie
Hahah Dongo Kiboko alright 😂🤣
Nice
🎉🎉🎉🎉Pa1 daima
Fastaaa mjombaaa
Kibaden pemba
Niceee
Respect to all of u,nimechek yaan mpk bc😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kibadeni pemba
Alright 😂😂😂
Alright Alright Alright 😂😂😂😂😂😂😅😅😅hattaari wallah 😅😅😅😅
Naijua hio ya watu wenye haraka ya mambo
mngempata na kachara hapo , hahahaha
😂😂😂 KACHARA AKIINGIA APO MBAVU ZETU LAZIMA ZIGUSANE😂😂😂😂
@@SULSALLY_002 hahahaha kachara kapinda
Mau ww unastori kma ulozaliwa zaman hongera sab yko japo moja
Olrait Allright 😅😂
Mau yuwa dokeza kipemba halis nkweli ntu kwao Nktaa kwao Ntumwa ,watufurahisha terms mau
Fundi wazidi chafukwa
Aje na kidundo muungane itapendza
Hhhhh htriii hngern wapemb wenzng
❤❤❤❤
Hhhhh dongo umetisha
fanyeni clips zinye kuvutia kuliko hizo hadidh...
Dongo umezd ujinga 😅😅😅😅 chura
😅😅😅👍👍
Dongo umeua kwa kiengereza cha chura
Hhhhh nakubali kaz lkn msikae mda mref sana toeni clip
😂😂😂😂😂nice
Dongo umeuwa 😂😂😂
dogo umezid duh😂😂😂
Haaaaaaa dongo eti haniniani utakaye tuapiza
😁😁😁😁💯💯👍💯💯
🔥🔥
Napend kwakwel
Wamesomea hao wana PHD
Kaka sas munapoteza dira munatoka kweny maadhui zungumzeni mamb ya zaman tu halafu munaweka chumvi kam tulivyozoea lkn now munaleta mambo ya pauka pakawa
😂😂
Hhhhhhh
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣🤣🤣🤣🤣
Nani kamuona sungura mweupe nyuma ya mau upande wake wa kulia daki ya 4:20
hahaha wew noma na focus yote hii pia umeona hahahahahaha
@@kanijoboyonlinetv6563 umeona nww 🤗🤗🤗
Haahahaha
Madebe lidai
😂😂😂😂😂
Mh mh mh
😂
😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁
Wajinga nyinyi munajua sana
Na hizi story zenu nazifuatilia sana
Sik hiz munazungumzia hadithi tu na hivi sivyo tulivyo wazoea munapoteza mvuto kaka
😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣