Wali wa mandi | Mapishi rahisi ya wali wa mandi na nyama laini yakuchambuka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • #waliwamandi #muttonmandi #rukiaskitchen
    Website:rukiaskitchen.com
    Instagram: rukias _kitchen
    Facebook: Rukias kitchen
    Cookpad: Rukias kitchen.
    English recipe press the link ➡️ Mutton mandi rice | How to make tasty mutton meat mandi rice | #Muttonmandi #Mandi. • Mutton mandi rice | Ho...
    Mahitaji ya nyama:
    Miguu wa kondoo
    Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2
    Limau 1
    Mafuta vijiko 3-4vya kula
    Garamasala kijiko chakula
    Paprika kijiko chakula
    Chumvi
    Pilipilimanga kijiko kidogo
    Manjano kijiko kidogo
    Meat masala kijiko chakula
    Mahitaji ya wali :
    Mchele vikombe 2
    Mdalasini
    Karafuu
    Pilipilimanga nzima
    Iliki
    Bayleaves
    Zabibu
    Kitunguusaumu punje 2
    Lozi
    Mafuta
    Maji
    Zafran /rangi ya machungwa
    Vitunguu maji 2

КОМЕНТАРІ • 105

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  3 роки тому +9

    If you would like to watch this video in English language press the link ➡️ ua-cam.com/video/-_UR0jZWf50/v-deo.html

  • @nuryslam6544
    @nuryslam6544 Рік тому +6

    Bibie nyama inachemshwa kwanza kisha supu yake inatumiwa kupika wali kisha utaweka nyama iliyoiva kwa oven....😅😅😅

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 16 днів тому

    Mashaallah

  • @NabahanySwahabah
    @NabahanySwahabah Місяць тому

    Mashallah

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 роки тому +9

    Rukia nakupenda Sana dadangu..huna choyo ma sha Allah Asante Kwa somo zuriiii Allah barik fiki ❤️❤️❤️❤️

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому +1

      Awwww Nakupendaaaaaaa Zaidiii my darling 🥰🥰🥰Shukran sana

  • @munnykara4649
    @munnykara4649 Рік тому +1

    Masha allah umenivutia insha allah ntajaribu

  • @dydahskitchen6907
    @dydahskitchen6907 3 роки тому +4

    Ma shaa Allah mate yanitoka hii mpaka niipike in shaa Allah

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Ameeen inshallah my darling Shukran 🥰

  • @vumiliahamisi7046
    @vumiliahamisi7046 3 роки тому +4

    Maashaallah

  • @amrahschannel5599
    @amrahschannel5599 3 роки тому +1

    Nimerudi tena MashaAllah....eid loading perfect timing kabsaa

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Kabsa love 😋😋😋👌 nshakupatia menu tayari 😂😂🙈

  • @Husna_laltia
    @Husna_laltia 3 роки тому +5

    MashaAllah hilo nofu si kwa style hio 🤤😋👌😂

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      😂😂😂😂😂na Unavyopenda kulaa mamaa si utamaliza pekee yako

    • @Husna_laltia
      @Husna_laltia 3 роки тому

      @@RukiaLaltia bila masihara yaani 😂😂😂

  • @ashayummy2299
    @ashayummy2299 3 роки тому +4

    mashaallah mashaallah rukia huu wali inshaallah utakuwa wa kuku mzuri sana nimeipenda sana
    😋😋😋🙏

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Shukran sana habibty 😘 next tym ntafanya na kuku inshallah 😋😋👌

  • @suhanaali1270
    @suhanaali1270 3 роки тому +2

    masha'Allah JazakaAllah khair habibty love you napenda mapishi yko❣️❣️

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Awww Shukran Sanaa habibty 😘 love you too 🥰

  • @mapishiyazanzibar
    @mapishiyazanzibar 3 роки тому +3

    Masha'ALLAH 😋😋 yaonesha tamu saaana

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому +1

      Yaaaani utamu hadi raha 😋 😋 😋👌

  • @violakabare7885
    @violakabare7885 3 роки тому +1

    Wooh looks very delicious

  • @marthafredy429
    @marthafredy429 2 роки тому

    Mashalaa uko vizuri my Mungu akubariki sana

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому +2

    Ahsante sana madam

  • @zuhurarajabu6379
    @zuhurarajabu6379 2 місяці тому

    Uko vizuri dada

  • @lulufnns5468
    @lulufnns5468 2 роки тому +1

    Mashallah yammy 👌

  • @safiahashim1799
    @safiahashim1799 3 роки тому +2

    mashaAllah

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 роки тому +1

    Masha'Allah Mandi imetokea vizuri had i imenitia Swaum na asubui 🙈

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      😂😂😂nakupakiya kwa dhl ule na my Shem 😋😋👌Shukran sista sista

  • @eshakhalifa1089
    @eshakhalifa1089 3 роки тому

    Allah akupe nguvu jaza yko iko kwa allah dadangu

  • @MaulidAli-ih9lf
    @MaulidAli-ih9lf 2 місяці тому

    Video Nzuri Sana Asante Kwa Mapishi Ya Mandi Shida Hatuna Oven Tunapikaje Nyama ?

  • @salmaalhumy4848
    @salmaalhumy4848 3 роки тому +1

    Mandi yako okey nzury basi ulitowa mafuta ya nyama nyingi mandi itakuwa nzury zaidi na tamu ikiwa haolewi mafuta ya nyama itakuwa ina ladha tamu zaidi na shukran sana kwa mandi nzuri

  • @bintomarsiri8981
    @bintomarsiri8981 3 роки тому +2

    Shukran Jazila

  • @nabilaabdul2820
    @nabilaabdul2820 3 роки тому +1

    😋

  • @namnanamna3615
    @namnanamna3615 Рік тому

    Wow my dear

  • @Sadedimples
    @Sadedimples 3 роки тому +3

    Mashaallah !shukran yummy😋

  • @nagmynamahin2463
    @nagmynamahin2463 3 роки тому +2

    Nakupenda mamy😍😍😍😍

  • @jokharymkongo3926
    @jokharymkongo3926 3 роки тому

    Mashaallah somo zuri

  • @amrahschannel5599
    @amrahschannel5599 3 роки тому +3

    MashaAllah MashaAllah hbbty....perfect kabsaaa....nyama imeiva vizuri sanaa..i fry my nuts and raisins as well haha...I love how fluffy the rice turned out MashaAllah...my eid is sorted in shaa Allah.. nimefanya pilipili ya sambaro nakuletea ushukishie haha ..yummm

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      😂😂😂😂naingoja na dhl mm nataka hyo pilipili ya ndimu 😋😋👌Shukran sana my boo boo ❤️

  • @zubbedatt2771
    @zubbedatt2771 2 роки тому

    Masha, Alaah wali mutamu

  • @magdalenewakio6876
    @magdalenewakio6876 3 роки тому

    Mapishi ya hali ya juu..thanks Rukia

  • @user-fn9nf8ym5m
    @user-fn9nf8ym5m 9 місяців тому

    MashaAllah

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 3 роки тому

    Ma shaa Allah chakula hiki nakipenda sana 😋

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Asante sana 🥰😋yaani utamu hadi raha

  • @zulekharamadhan2016
    @zulekharamadhan2016 2 роки тому

    Allah akuzidishie umri uzidi kutufundisha mashallah ❤️

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 роки тому +1

      Ameeen yarabi inshallah 🙏

  • @zainabubakari4156
    @zainabubakari4156 2 роки тому

    Mash Allah

  • @miriamachieng6253
    @miriamachieng6253 Рік тому

    napenda sana mapishi

  • @hafidhally9779
    @hafidhally9779 Рік тому

    mashaallah

  • @yakubuabdallah8052
    @yakubuabdallah8052 Рік тому

    Very nice food

  • @fatumahassan8425
    @fatumahassan8425 Рік тому

    Maashaallwaa Dada

  • @farhiyahussein6184
    @farhiyahussein6184 3 роки тому

    Ma shall ah ila una tongeee dadangu

  • @yakubuabdallah8052
    @yakubuabdallah8052 Рік тому

    Good

  • @salmaalhumy4848
    @salmaalhumy4848 3 роки тому

    Mashaallah tabaraka alrahman

  • @fatmamatuma4073
    @fatmamatuma4073 3 роки тому +2

    Shukran Allah akubarik

  • @zayanaamour4882
    @zayanaamour4882 3 роки тому +3

    Shukran saana
    Naomba kuuliza hiyo nyama kwenye oven unawasha moto wa chini tu
    Ao chini na juu ?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Moto wa oven wa surrounding eco mode

  • @zuhurarajabu6379
    @zuhurarajabu6379 2 місяці тому

    Bby naomba utuleleteee recipe hiyo hiyo ya nyama lakini kwa air fryer

  • @asmahkassim5892
    @asmahkassim5892 3 роки тому +2

    😘😘

  • @swifatsukimtuliaswifatsuki3730
    @swifatsukimtuliaswifatsuki3730 3 роки тому

    Asante sana nimeipenda

  • @shuweykhaally3894
    @shuweykhaally3894 3 роки тому

    Masha allah, Nakupenda rukia❤❤
    Naomba utuletee na pishi la mkate wa kiarabu na bokoboko.

    • @ngorweurongo8276
      @ngorweurongo8276 2 роки тому

      Maashallah naomba kuuliza izo flaps hazipitishi Maj maana nilikuwa nazita k a

  • @NduwimanaZena
    @NduwimanaZena 4 місяці тому

    Naomba dada uniandiye ivyo viungo ili ni viandike Allah atakulipa kheri

    • @shamzone388
      @shamzone388 4 місяці тому

      Vipimo vitu vyote vipo hapo kwenye description box

  • @mwanamimihamisi7789
    @mwanamimihamisi7789 3 роки тому

    Ahsante Rukia's kitchen kwa somo zuri, nauliza mbadala wa rozi unaweza weka nn

  • @zuhurarajabu6379
    @zuhurarajabu6379 2 місяці тому

    Dada Angu me nina shida ya wali
    Wali wangu unatota misaada plz nifanyeje????

  • @asimwekaiza5848
    @asimwekaiza5848 3 роки тому +2

    Yaani huwa nakuelewa sana kuliko wote

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Awwww jamanii asante sana 🥰

  • @mariangala4185
    @mariangala4185 3 роки тому +2

    Nyama inakuwa tayari after how long?

  • @aishahussein3682
    @aishahussein3682 3 роки тому

    M/mungu akubariki

  • @Peresian12
    @Peresian12 2 роки тому

    Napenda video vyako. Naweza kutumia mchele wa pishori kwa hii recipe?

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Рік тому

    Masikini Sisi tutaishia kuangalia Tu maana huo uwezo wa kununua mahitaji xx

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 3 роки тому

    😋😋😋😋😋

  • @allymuntu4643
    @allymuntu4643 7 місяців тому

    Umetumia mchele gani

  • @eliasbujinji7118
    @eliasbujinji7118 2 роки тому

    Mtalamu wa mapishi dada rukia naomba kuuliza hivi manjano ndo binzari?

  • @mkuusereyeh2350
    @mkuusereyeh2350 2 роки тому

    Iwapo mtu hana oven atumie nini kupikia nyama yake??

  • @khadijaswaleh8895
    @khadijaswaleh8895 2 роки тому

    Kama huna oven utafanyaje?

  • @ozykay4349
    @ozykay4349 Рік тому

    Do you have this video in English?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  Рік тому

      Yes kindly check on the description box

  • @samirakiango957
    @samirakiango957 2 роки тому

    Sauti mbayaa

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 роки тому

      Hahahaha 😂 😂 😂 😂 weka ya kwako

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 роки тому

      Kuboeka kubaya kumbe 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sabrinamsangi3116
    @sabrinamsangi3116 3 роки тому

    MashaAllah do u have teachering classes

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Yes I do contact ➡️ +254 740 797748

  • @daytoday3914
    @daytoday3914 2 роки тому

    Hii nyama ni kilo ngapi ?

  • @asmaomar1471
    @asmaomar1471 3 роки тому

    sante mtoto mzur

  • @marthafredy429
    @marthafredy429 2 роки тому

    Me nauliza hiyo uliyokoroga sijui rangi ya machungwa umeweka kwenye nini sojaona

  • @martymcfly9232
    @martymcfly9232 2 роки тому

    Afadhali utaje garam masaala uliotumia ina viungo vipi ikiwa watu wataka kuchanganya yao

  • @alicemuigei8381
    @alicemuigei8381 3 роки тому

    Using English when mentioning the spices

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      All my videos are in English and swahili

    • @joycenoah9929
      @joycenoah9929 2 роки тому

      Sor mchele unaotumia n mchele wa kawaida au upo special ?

  • @NernuMariam
    @NernuMariam 3 роки тому

    MashaAllah