Mnatumia viongozi wa dini kwenye maisha yenu ya mitandaoni hii si kitu kizuri aisee! Kuna baadhi ya viongozi wa dini saa hivi hawana thamani tena kwa kuwa watumia
We ulitaka viongozi wa dini watumike wapi na pia kuombea dua watu waache zinaa waoane kuna ubaya gani tatizo mshakalili kila wafanyacho wasanii aijalishi ni kitu gani kwenu nyinyi ni Baya kumbuka hakuna binadam asiye na kasoro pengine hata wewe unazo zako ambazo pengine azisimuliki
Mimi ni mkristo, Waislam sometimes tumieni Akili Huyo mzee hajaenda hapo kuhamasisha Ngono huo ni wito ambao ameuitikia na maneno Aliyoyazungumza Hapo yanaionya jamii kwa kuhusiana na zinaa, iwe hao wanafanya Kiki au laah lakini Yeye katimiza wajibu wake kama mhadhiri, sasa ninyi mnaolaumu mnalaumu nini!!!!!?
Hili pumpkin ndio linajifananisha na baba levo😅😅😅😅😅,,baba levo is very smart guy huwezi kumkuta kwenye ujinga kama huu,bila aibu linauchezea uislam kwenye maijinga yake
Yani kunamambo mengine yana sikitisha sana viongozi wetu wadini sijui nini kina wasukuma kwenye upuuzi sasa mnatufundisha nn maamuma kwanini ivyo ndivyo alivyo fundisha mtume siangekuja officeni
Tuelewane mazinge sio kiongezi wa dini narudia mazinge sio kiongozi wa dini kabisa na wala sio shekh mkubwa bali ni mtu alie silimu baada ya kuona mapungufu ya ukafiri anacho kifanya katk harakat zake ni kuonesha mapungufu aliyo yaona katk ukristo tu...... Kwamaelzo zaidi nitafuten nitawaeleza
Sasa mnaosema sheikh anaishia kubaya kwani anamakosa gani hapo wakati iyo pia nikulingania dini au mnataka akae akae msikitini nyie mnaenda uko msikitini zaidi yakwenda kwenye mambo kama haya
Uelewa ni kitu kingine mwamtukania nn shekh elimu hutolewa penye uhitaji kwa alichokisema n ukweli mtupu ,tatizo letu tunauchukia sana ukweli hususani wa makatazo wa matendo machafu tuloyazowea na kupenda vitu vya kijinga ,ndio maana mulishupalia tatizo la p didy na batazali,mukafuraah tuacheni ujinga kilichisemwa ni ukumbisho kwetu .
Mmnh kama ujui jambo ukaye kimya usije ukapata mtihani mungu ndo alisema ayo maneno watu wakizini ardhi inatetemeka kwa sababu zinaa ni uchafu mazinge yeye anatafsiri tuu Hana Kosa apo
Shekhe ana mtihani sana kwa sasa ALLAH AMJAALIE MWISHO MWEMA SHEKHE WETU MAZINGE HUU NI MTIHANI MKUBWA KWAKE
Hadi huruma daa!!😢
dini imevamiwa namatahila kama mwijaku ALLAH awaongoze
Inalillahi waina ilayhi rajioun
Sante saana Sheikh wetu Mazinge Mwenyezi Mungu akuzidishie umri mrefu tuendeleye ku faidika insha Allah
Mnatumia viongozi wa dini kwenye maisha yenu ya mitandaoni hii si kitu kizuri aisee! Kuna baadhi ya viongozi wa dini saa hivi hawana thamani tena kwa kuwa watumia
Ukiona Ivo ujue ao viongozi hawajielewi inakuaje sheikh anajielewa akubali kutumika kwa mambo ya kipumbavu
Apo hamna sheikh Tena ndugu anaamasisha Zinaa sheik gani
Sheikh kaja kukataza zinaa sasa mtu kama uelewa wako ni mdogo utaona,sheikh kukosea
We ulitaka viongozi wa dini watumike wapi na pia kuombea dua watu waache zinaa waoane kuna ubaya gani tatizo mshakalili kila wafanyacho wasanii aijalishi ni kitu gani kwenu nyinyi ni Baya kumbuka hakuna binadam asiye na kasoro pengine hata wewe unazo zako ambazo pengine azisimuliki
Huyo kiongoz hajabebwa kalipwa kaenda 😂😂
Uko sawa shekhe mazinge 🎉🎉🎉🎉
Mashekhee njaa hao... tamaa sana wao wenyewe wazinifu
Sheikh Muhammad Nassoro Bachu naamini hili jambo hutolikalia kimya
Shekhe sasa njaa zinakupeleka kubaya
Sheikh speech sawa ila kwa hawa vijana hapana coz hawapo sereous, umepiga dua mchana ucku wanakiwasha😢
Sheikh yuko sawa hapo yuko kazini
Anatoa mawaidha. Kazi kwenu
Mawaidha Gani kuamasisha Zinaa tangia lini harmonize akawa na lengo la kuoa
Shekhe hana makosa yoyote yale,haelewi kitu mwijaku anamdanganya shekhe😢
Yaani ovyoooo
Hakuna sheikh hapo shekh unafaamasikhara na ushekhe shekhe hata juzuu ama hana kichwani unasema shekhe
Uyu shehee kweli au
Mazinge acha Stieglitz kambo yakipuuzi tubakutegenea
Ma Sheikh munajidhalilisha kujihusha na mambo ya sio na mguu wala kichwa hi sio sawa kabsaa
shehe mazinge hovyo kabisa huku anamnadi yule mganga wa kienyeji huku anamnadi kajala one and two jinga kabisa
hawa kina mazinge si watu wa dini na wala si masheikh niwavamizi wa dini na ndo maana ALLAH anawaumbua kwa matendo yao
Shekhe kaingia kwenye mfumo wa kutumika na vijana wa hovyo😂😂😂
Mimi ni mkristo, Waislam sometimes tumieni Akili Huyo mzee hajaenda hapo kuhamasisha Ngono huo ni wito ambao ameuitikia na maneno Aliyoyazungumza Hapo yanaionya jamii kwa kuhusiana na zinaa, iwe hao wanafanya Kiki au laah lakini Yeye katimiza wajibu wake kama mhadhiri, sasa ninyi mnaolaumu mnalaumu nini!!!!!?
Safi sana
Asant mt wa mungu ni kwamba umezungumza
Kwer kbs
Mm ni muislam mbona sijaona kosa?
Una akil sana wew
Dua gani ya kuhamasisha zinaa? Acha kujidhalilisha sheikh mazinge na acha kutuharibia dini yetu kwasababu ya tumbo lako
Dah njaa mbayaa kwa kweliii mungu atuhifadhiii❤😊
Ahaaa kumbe ndio maana alienda kanisani Ili abadilishe dini awe mkristo akawaombea
Hili pumpkin ndio linajifananisha na baba levo😅😅😅😅😅,,baba levo is very smart guy huwezi kumkuta kwenye ujinga kama huu,bila aibu linauchezea uislam kwenye maijinga yake
Yani kunamambo mengine yana sikitisha sana viongozi wetu wadini sijui nini kina wasukuma kwenye upuuzi sasa mnatufundisha nn maamuma kwanini ivyo ndivyo alivyo fundisha mtume siangekuja officeni
Huyu nae sheikh amekuwa mtihani tuu
Shetani haswa yuko kwenye Dini kpiga hela anatumika na matapeli Allah amuongoze😢😢
@hanifa9153 😭😭 mie hata simuelewi kabisa wapi Anakwenda sijui Uzeee
Njaa mbaya kwa kwelii daah hili limeniumiza sanaaaa😢😮
Huyu Sheikh kweli??😢
Uelewi Nini?kizini ni dhambi acha@@sayeedmsct4255
njaa tu
Sio njaa,hacha zinaa
Sheikh anashiliki kiki
Mbona sioni kosa hapa mm ? Mbona anakataza zinaa?
✌️👊👍.
Nataka GPS ya leo jamani,niko DRC Jimbo la ituri.nawafata kwa ukaribu sana
DUA ya kuhamasisha upotoshaji.Hamna kazi nyingine za kufanya.?
Pesa mbaya yaani mazinge unahusishwa kuwarejesha watu wazini na walevi wanavaa utupu usihusishe dini na mambo ya kidunia
Mazinge mganga njaa tu anasifia hadi waganga wanaojiita masharifu
Nyinyi mashekhe wa Tanzania mbona munadhalilika kwa kuungana na wazinifu. Mhhhmmm mbona muko kwenye mitihani
wote ni wapumbafu na shekhe wenu
Shekhe ubwabwa huyu nae
Tuelewane mazinge sio kiongezi wa dini narudia mazinge sio kiongozi wa dini kabisa na wala sio shekh mkubwa bali ni mtu alie silimu baada ya kuona mapungufu ya ukafiri anacho kifanya katk harakat zake ni kuonesha mapungufu aliyo yaona katk ukristo tu...... Kwamaelzo zaidi nitafuten nitawaeleza
😂😂😂😂😂😂 ukristo Tena daaaaa ,Kila kitu kwenu ukristo ndio sababu ,hamjawahi kuona makosa yenu ni ninyi mmesababisha
@emmadora7848 makosa huwezi kuyakuta kwenye dini yetu utayakuta kwa mtu na nikawaida kwasababu hakun binadamu alie kamilika
@Bardizbah-nr9qi umenena vyema ,Sasa why unaona dini ya wengine Ina makosa na sio watu wa imani hiyo ?
@Bardizbah-nr9qi wewe unavyoona dini za wenzio Zina makosa na wao ndio wanaona yako iko na makosa
Sasa mnaosema sheikh anaishia kubaya kwani anamakosa gani hapo wakati iyo pia nikulingania dini au mnataka akae akae msikitini nyie mnaenda uko msikitini zaidi yakwenda kwenye mambo kama haya
Ndoa zenyewe ni hizi za wasanii mastaa? Leo wameoana kesho tutasikia kila mtu kala Kona yake. Mmh!!
Uelewa ni kitu kingine mwamtukania nn shekh elimu hutolewa penye uhitaji kwa alichokisema n ukweli mtupu ,tatizo letu tunauchukia sana ukweli hususani wa makatazo wa matendo machafu tuloyazowea na kupenda vitu vya kijinga ,ndio maana mulishupalia tatizo la p didy na batazali,mukafuraah tuacheni ujinga kilichisemwa ni ukumbisho kwetu .
Mnamuita sheikh kwenye mambo yenu ya kiujinga
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaaah mafalaaaaa ni wengi afrika eti mbingu na ardhi zinatetemeka😂😂😂
Mmnh kama ujui jambo ukaye kimya usije ukapata mtihani mungu ndo alisema ayo maneno watu wakizini ardhi inatetemeka kwa sababu zinaa ni uchafu mazinge yeye anatafsiri tuu Hana Kosa apo
@m.9a6a5 wewe ndio utulie hayo mambo mnadanganywa nyinyi tu WAPUMBAVU 🙃🙃 co
Vichwa makini kama hv
@@nanyangahustler4305 Aya ila nimekutahatharisha tuu iyo Kauli.siyo Mzuri ikiwa aliyesema hayo maneno ndo anakupa pumzi namaanisha Allah
@@m.9a6a5 UKISHAA ACHA UPUMBAVU UKAANZA KUTUMIA AKILI TIMAMU ULIYOPEWA NA (MUUMBA)
Ndio utakuja nielewa namaanisha nini
@@m.9a6a5 A
Nipe maana ya ALLAH?