Chris Brown afanya show ya kihistoria Johannesburg, leo kutumbuiza kwa mara ya pili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @Gmanartist08
    @Gmanartist08 14 годин тому +9

    Ukisikia show za kimataifa ndyo hii. Big talent maua🎉yako Chris brown

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 2 години тому +1

    Chris Brown Balaa ziito aisee 💯🔥🎼🎶🎶🔝💥

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 10 годин тому +4

    Oya nilikuwepo huu jama Ni Next Level kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @IddTwaha
    @IddTwaha 14 годин тому +13

    Wazungu wanambania bure huyu jamaa lakn anadeserve kila tuzo kubwa unayoijua ww duniani HE'S TRUE GOAT TO THIS GENERATION PERIOD

  • @williamkhaemba2782
    @williamkhaemba2782 8 годин тому +3

    #BreezyBowl....bruh wone the heart of people 💯.....legendary

  • @KristophKihakwi
    @KristophKihakwi 12 годин тому +6

    Sikuzote utaifa ndio unamfanya mtu awe mkumbwa sana marekani ni nchi kubwa sana ata wakina mond na Kina alikiba wangetokea taifa ilo linalotazamwa kidunia wangekuwa wanafanya kama ayo tuwakubali sana wasanii wetu kwa kile wanachokifanya wanauwezo mkubwa sana sema tu nchi yetu ndogo sana

  • @yumna128
    @yumna128 13 годин тому +3

    Chris brown ni moto huyu jamani

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 14 годин тому +7

    THEY (MUSIC INDUSTRY) ISOLATED HIM BUT HE DO IT HIMSELF

  • @Paulo-c9z
    @Paulo-c9z 14 годин тому +4

    South Africa ndio watu pekee wenye uwezo wa kumchukua msanii marekani moja kwa moja

  • @daffurland2350
    @daffurland2350 15 годин тому +1

    Chris brown 🔥🔥🔥🔥

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 14 годин тому +1

    Breezy

  • @V.6ixEmmanuel-w2g
    @V.6ixEmmanuel-w2g 14 годин тому +3

    Huyo ndo Michael Jackson waAfrica baada ya Michael Jackson original kufa huyu ndo mlithi

  • @Green_v4w
    @Green_v4w 6 годин тому +1

    Kama munamini huyo wenu pasi nae achaze hivo akiwa pekee yake

  • @Josephmwambe-r6n
    @Josephmwambe-r6n Годину тому

    Ata Mond angekua mmarecan ange yafanya aya tatizo bongo anaweza akafanya kama ivi yupo juu na kamba zake watu wanampigia dua adondoke mala chari 😂😂😂😂Mond mwachie cris tu akusaidie 😂😂

  • @RashidHamis-h2g
    @RashidHamis-h2g 2 години тому

    Uyo jamaa kinacho fanya asipate tuzo kubwa kupga Rihanna tuu ndio ime mshusha ,rakni ana kipaji kikubwa sanaaa akuna kama uyoo kwa dunia ya sasa kimzik

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Годину тому

    Msanii wenu mkubwa, anaweza hivi😂😂
    Watu wanafanya lolote, Kwa ajili ya Mashabiki .
    Yeye kapata upenyo, kakimbia na Million 400 za Mashabiki..
    At least Basi hata Siku ya pili angejitolea kufanya show, Kwa ile Pesa ya Jana, au hata wangepanga show Siku za karibu akafanya Kwa ajili ya Mashabiki zake..
    HAWANA Weledi..
    Halafu eti kwenye video anasema me nimechukua Pesa, nimeondoka.. Kirahisi Tu..
    Hamuwez kufika hapa

  • @rashidiomari5121
    @rashidiomari5121 13 годин тому

    daaah kama ni kipaji huyu jamaa anacho asee

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 13 годин тому

    tupe habari ya drone kuivamia marekani hawajui ni nani

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 12 годин тому

    Waafrica hawana chuki

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 14 годин тому +2

    alafu kuna mpumbavu huku analeta dharau kenya

  • @youngchyna744
    @youngchyna744 14 годин тому +2

    Diamond hawezi kujaza uwanja kama hivii

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 14 годин тому +4

      Kitendo cha kulinganisha diamond basi inaonekana diamond yupo juu sana

    • @IddTwaha
      @IddTwaha 14 годин тому +1

      Sasa hapo itoshe kusema platnumz ni mkubwa

    • @JumaGendeye-sv6yl
      @JumaGendeye-sv6yl 14 годин тому

      Kwan wew kuweza😂😂😂

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 13 годин тому

      😂😂😂 nimecheka​@@JumaGendeye-sv6yl

    • @margarethkiatu5546
      @margarethkiatu5546 5 годин тому

      He did Gabon/ Cameron search up

  • @vusumuzi_mathumo
    @vusumuzi_mathumo 10 годин тому

    tanzania dont know english kkkkkkkk

  • @Abdul_wahidMohamed-g5l
    @Abdul_wahidMohamed-g5l 13 годин тому

    Cris huwez kumtolea mfano na. Diamon keng ww tafuta hao kin chin wenzak

  • @C7Simulizi
    @C7Simulizi 12 годин тому +2

    Alikiba anajaza hivi peke yake

    • @C7Simulizi
      @C7Simulizi 10 годин тому

      😁😁😁

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 4 години тому

      Hakun maan mbaya ila inajulikana kua nyie SNS ni timu mondi kwaiy mwamba kawagusa japo point yake Haina maan amekurupuk TU maan east afrik hii hakun msanii wakujaza mashabiki hat elf 50 TU ngumu ila sjui kwann umekua ni mrahis kumtaj kiba akil zako na za shabiki ni moj