Hallelujah hallelujah hallelujah pastor NDACHA is very powerful 🔥🔥🔥🔥🔥Yesu ni mwana wa Mungu, na apo ndipo pana uzima wa milele wetu. Uyu pastor kalipwa na waeslam au? Eti Yesu alipokuwa apa duniani alikuwa mwanadamu alisi dah 😢😢😢😢😢😢 Ninachokiona unamakasiriko tu na wa NDACHA
Mwalimu ndacha nakuombea mwenyezi mungu akubarki sana na akuzidishie maisha na elimu,I was about to slim,lakini umenifundisha mpaka nimejua ukweli yesu ndie njia yakweli na uzima na mhamad hapeani uzima bali alikufa yumo kabrini,asante mwalim ndacha endelea kutuelimisha amani yamungu na yesu christo iwe nawe
Wewe huna ufahamu wowote. Ukisoma Biblia ya Kiarabu mahali popote penye jina "God" au "Mungu" ile ya Kiarabu inasema "Allah". Mfano John 3:16 KJV : “For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.” Angalia jina "God" katika mstari huu kwenye Biblia ya Kiarabu لأنه هكذا أحبالعالم حتى بذل ابنه الوحيد، لكي لا يهلك كل من يؤمن به، بل تكون له الحياة الأبدية." Sielewi shida yenu nini
Wooiiii maandiko kila mtu anaelewa kivyake kweli aky mm nashukuru maana tangu nifuatilie haya mafundisho naelewa maandiko bibilia inajitafsiri yenyewe hakuna kuongeza wala kupunguza.
Wooiiii kweli yesu hakukosea aliposema makahaba na watoza ushuru watatutangulia kuingia katika ufalme wa mungu,lakini sisi wa mafhehebu ata hatuko tayari kujifundisha na kujua ukweli mungu.mungu tusaidie
At sisi ni Yesu😢😢😢! Kwa hivyo mimi ni mungu, Ndacha ni mungu na mchungaji ni mungu😮😮! Hii ni hatari sana. Trinitarianism theory is pantheistic, which means that we are all gods within us and we do not need any God. I want to confirm that the pastor was very truthful when he said we are Jesus because that is what trinity means!!!!! It is unfortunate that these theologians will lead many people to eternal destruction.
Imani ya kipumbavu tu😂😂 mnatofautiana wenyewe kwa wenyewe...... Eti mungu alikuja duniani akatahiriwa na viumbe zake😢😢😢 hio imani potovu huwezi ipata katika uislamu
@@hassanjuma2772 akili yako inafikiri nini? Au ndo wale wale wasioelewa maandiko! Yesu yuko ndani yangu kwa jinsi ya Roho mtakatifu. Kama unafikiri Yesu akiwa ndani yetu sisi tunakuwa Yesu mwenyewe, swali je! Anayetuombea ni Nani kwa mujibu wa andiko la 1Yohana :2:1-2 ????
Ndacha Quran 16:8 Na farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande, na kuwa ni pambo. Na ataumba msivyo vijua. Hayo maelezo mengine ya motokaa na meli ni ya ziada ya mtafsiri. Qurani haijataja hizo. Shida nyingine unatoa aya nje ya muktadha halafu unakosa kuzielewa maana moyo wako umefunikwa na giza la upumbavu
huyo mchungaji wa nominal hana elimu ya mbinguni bali ako na elimu ya duniani ndio maana anajipiga kifua na elimu ya hekima hana, huyo mungu wake ni tumbo
@@TheMorningHelard1844 Bro mim bibilia ninasoma kila wakati kwa ivo usinifundishe upishi bro mimi nilielewa huyo pastor vizuri na mim nilikua norminal nimetoka juzi tu!
Wal ,its a pity that this nominal babylon is full of liars ,kutetea uongo,wamesomeswa theologia na wakatoleki ,huyo mungu wa utatu ana miguu ngapi ,kichwa vingapi,fungueni macho ninyi wenzangu we have been lied to for two long mungu ametufunguria mlango tutoke na bado mnaederea kukula matabiko ya utatu someni early writing page 260.1 tutoke nominal sda ya majesuit turudi ya zamani ya wapioneer wetu , stay at your own peril
@@anwarambar6141 Ana elimu ya vichochoroni. Hajua Qur-ani kabisa ni sifuri. Tafsiri anazotoa ni dhaifu lakini pia yeye mwenyewe uwelewa wake mdogo wa maandiko
John 8 22 So the Jews said, “Will He kill Himself? For He said, ‘Where I am going, you cannot come.’ ” 23 He said to them, “You are from below; I am from above. You are of this world; I am not of this world. 24 Therefore I said to you that you will die in your sins. For unless you believe that I am He (The Messiah not God), you will die in your sins.” 25 They said to Him, “Who are You?” Jesus said to them, “Just who I have been telling you from the beginning (The Messiah not God) . 26 I have many things to say and to judge concerning you, but He who sent Me is true. So I tell the world what I heard from Him.” 27 They did not understand that He spoke to them of the Father. 28 So Jesus said to them, “When you lift up the Son of Man, then you will know that I am He (The Messiah not God) , and I do nothing of Myself. But I speak these things as My Father taught Me. 29 He who sent Me is with Me. The Father has not left Me alone, for I always do those things that please Him.” 30 As He spoke these words, many believed in Him. 40 But now ye seek to kill me, a man that hath told you the truth, which I have heard of God: this did not Abraham. John 5,37 And the Father who sent Me, He has testified of Me. You have neither heard His voice at any time nor seen His form. John 6, 38 Jesus came to this earth to do the Father's will. Jesus said, “For I have come down from heaven, not to do My own will, but the will of Him who sent Me” (John 6:38). exodus 4:22, Then you will tell him, ‘This is what the LORD says: Israel is my firstborn son. luke 3:38, Kenan was the son of Enosh. Enosh was the son of Seth. Seth was the son of Adam. Adam was the son of God Hosea 1:11, When Israel was a child, I loved him, and out of Egypt I called my son Job 2:1, One day the sons of God came again to present themselves before the LORD, and Satan also came with them to present himself before the LORD Mathew 5:9, God blesses those people who make peace. They will be called his children! Luke 20:36, For they cannot die anymore, because they are like angels and are sons of God since they are sons of the resurrection IT IS VERY SAD ON HOW YOU CHRISTIANS HAVE BEEN BRAINWASHED OR BEWITCHED BEACAUSE EVEN A SMALL KID WHO KNOWS HOW TO READ CAN TELL YOU JESUS PBUH WAS JUST A PROPHET AND NOT GOD. IF YOU HERE DACHA'S ARGUMENTS YOU WONDER WHY HE DOESNT SEE THE CONTRADICTIONS IN THE BIBLE AND HOW HIS BELIEFS AS A CHRISTIAN IS VERY CONTRADICTORY TO JESUS PBUH TEACHINGS. AND I SEE PEOPLE CHEERING HIM AS HE MAKES HIS WAY TO HELLFIRE. ITS REALLY SAD
My friend Quran is the same. We don't have different versions of the Quran. We only have different translations by different people which that one means there are differences in the choice of words in translating a certain phrase from Arabic into the second language. For example the verse: "Maaliki yaumiddiin" is translated like: "Master of the Day of Judgment", Owner of the Judgment Day", King of the Day of... etc- difference in choice of words, unlike the Bible which has a more than 100 versions, each with internal contradictions and the various versions also contradict each other
The real problem that many Christians don't know is that Jesus himself never claimed to be God, never claimed any form of divinity and was in fact not God. He didn't institute the Church, he didn't preach Christianity and didn't teach the Trinity. The idea of Trinity was introduced later in the last Gospel in 1 John 5:7 in some Bibles including the KJV. But the verse is not there in the RSV and some other versions of the Bible. Jesus is no more than a messenger. Many are the messengers that passed before him... see how we make things clear to you and see how you see not@@PeterMoenga-j4e
@@musalumbi8490 Bro the way you talk people may think yu're in a safe position bt yu're not becaus ever demons claims to be muslims and your brothers and how dare a you to say yu're right when the devil is on your side!! mmmh?
Wapendwa nililazimika nisikize huu mjadala mpaka uishe ndio niweze ku comment.hii ni aibu kubwa kwa watu wanaotumainia mchungaji kama huyu awaonyeshe njia na mapenzi ya mungu.aibu aibu aibu.jameni wakiristo someni biblia zenu msitegemee wachungaji
nashukukuru mungu tangu nifuatilie mafundisho haya bibilia nimejifunza mengi ambayo sikua najua.
Ahsante Mwalimu wa Kiislamu kwa kuniekea wazi aya alizoboronga Ndacha
Ndacha n paulo wawakati wetu Mungu akulinde na akupe maisha marefu
Acha kumfananisha Paulo na Ndacha... Paulo hakujifunganisha na madhehebu
Hallelujah hallelujah hallelujah pastor NDACHA is very powerful 🔥🔥🔥🔥🔥Yesu ni mwana wa Mungu, na apo ndipo pana uzima wa milele wetu.
Uyu pastor kalipwa na waeslam au? Eti Yesu alipokuwa apa duniani alikuwa mwanadamu alisi dah 😢😢😢😢😢😢
Ninachokiona unamakasiriko tu na wa NDACHA
Mwalimu ndacha nakuombea mwenyezi mungu akubarki sana na akuzidishie maisha na elimu,I was about to slim,lakini umenifundisha mpaka nimejua ukweli yesu ndie njia yakweli na uzima na mhamad hapeani uzima bali alikufa yumo kabrini,asante mwalim ndacha endelea kutuelimisha amani yamungu na yesu christo iwe nawe
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤
Huyo ndacha ni maomi wa viwango vikubwa sanaaa Mungu akulinde
Barikiwa sana mwalimu
Amen injili njema ❤❤
Mwalimu Ndacha Mungu azidi kukubalika na kukuongezea elimu
Waisilamu kazi ubishi mwingi lakn ukweli upo wazi
Wewe huna ufahamu wowote. Ukisoma Biblia ya Kiarabu mahali popote penye jina "God" au "Mungu" ile ya Kiarabu inasema "Allah".
Mfano John 3:16 KJV :
“For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.”
Angalia jina "God" katika mstari huu kwenye Biblia ya Kiarabu
لأنه هكذا أحبالعالم حتى بذل ابنه الوحيد، لكي لا يهلك كل من يؤمن به، بل تكون له الحياة الأبدية."
Sielewi shida yenu nini
@@musalumbi8490 kwani tatzo jina au shelia za mungu zinasema je
Wooiiii maandiko kila mtu anaelewa kivyake kweli aky mm nashukuru maana tangu nifuatilie haya mafundisho naelewa maandiko bibilia inajitafsiri yenyewe hakuna kuongeza wala kupunguza.
Umeelewa nini
Ukisikiliza hoja za watu zitakuchanganya sana, ni kheli ujifunze mwenyewe kadili Mungu atakavyokuongoza. Utulie na Mungu wako
Mungu asaidie wachungaji wengine wa s.d.a waendelee kujichanganya hivi ili uongo wao uendelee kuwekwa wazi
Hongera sana kwa maana mungu mwenyewe hana wachungaji wenye hasira namna hii, huyo alikua na cheche za maneno
Ndacha barikiwa Sana Kwa hii mada
Wooiiii kweli yesu hakukosea aliposema makahaba na watoza ushuru watatutangulia kuingia katika ufalme wa mungu,lakini sisi wa mafhehebu ata hatuko tayari kujifundisha na kujua ukweli mungu.mungu tusaidie
Wale wa koinange, casa B, bora bora, msufi mkavu etc... Wote wataingia peponi, JE wakristo?
amina dada, kweli watu wa madhehebu wanatetea madhehebu yao ukweli wa mungu waliweka kando mungu saidia watu wako
Mwl Ndacha waelimishe makafiri, wamjue Yesu awaokoe
Muhammad ni nabii wa mwenyezi mungu na mwinzo wa mitume,
Huyo mchungaji Mungu amsaidie hakuna anachokijua
Kweli. Anaitaji maombi
Mungu ambariki Mwalimu Ndacha
Mungu gani..tena uyoo ambrki ndacha na mko na ungu 3😂
Please sda let our church members do bible studies in our church plus our pastors
Huyu Pr ameniaibisha!!!! Yesu alikuwa MUNGU na alikuwa mwanadamu
We ndio huelewi
Jesus in holy trinity z God,during creation Jesus was there,fuatilia pls
Hii ndio hatari ya kuamini trinity
jameni huyo pastor anaomba mungu mgani na iyo hasira na matusi mingi namna iyo, mungu anasema mwenye atakaye kasirikia nduguye amemua tayari
Ndacha unaichambua quluan na mungu wao umeniinua moyo sana ingawa wanambwebwe hawawatuna ndio maana vita haiishi
Jamani mnapoandika Neno Mungu humaanisha Mungu muumba mbingu na Dunia ila ukiandika mungu inamaanisha miungu tuwe makini
At sisi ni Yesu😢😢😢! Kwa hivyo mimi ni mungu, Ndacha ni mungu na mchungaji ni mungu😮😮! Hii ni hatari sana. Trinitarianism theory is pantheistic, which means that we are all gods within us and we do not need any God. I want to confirm that the pastor was very truthful when he said we are Jesus because that is what trinity means!!!!! It is unfortunate that these theologians will lead many people to eternal destruction.
proud to be a Muslim
Huyu mchungaji yohana ni mweupe kabisa du!
Inasikitisha sana hawa wachumia tumbo wanawapoteza watu na watu hawajui
Mchungaji ndacha wambie waislamu ukweli na wakanushe hayo kwa maandiko Mungu azidi kua nawe
Ndacha kajifundishe uislamu pamoja na quruani
Dacha Waelishi kabisa wapate elimu
Past ameshindwa hoja anajaziba sana..anafaa atulie kujibu hoja za mwingine
Makafiri wawili wagombania imani potovu😂😂😂😂
Kwel kabis adhibitishe unafki wake uyo mwalimu WA mshahara
Msomaji wetu aki anatuangusha sana,
Paulo alienda wapi jameni?
Imani ya kipumbavu tu😂😂 mnatofautiana wenyewe kwa wenyewe...... Eti mungu alikuja duniani akatahiriwa na viumbe zake😢😢😢 hio imani potovu huwezi ipata katika uislamu
Huyo SDA HAJUI BIBILIA
Kweli hiki ni kibano😂😂😂😂😂msiba mkubwa
Kuna siku atakuja yakumbuka yote aliyokua akilinganiwa na Masheikh.. Saii anaona sifa.
N'a meli n'a gari haziumbiwi zinatengenezwa 😂😂😂
Tit for tat is a fare game 😂😂waislamu mumunusuru mungu wenu ndio awanusuru.
Hii Kali
Yani uyo allah bora mbuzi utachinja ule nyama.
😂😂😂😂😂yan ukiwa ndani ya yesu ww ni yesu 😂😂😂 mbaya sana, yan huyu pst amepotea na wafuasi wake mungu asaidie.
😂😂😂...umeona yni uyuu anapotosha watu kbisa
Wachatum tukuze mungu wa Ibrahim nayakobo naisaka.peke
uyu pastor anakufuru kabisaaa
Ukweli upo kwa wakristo
Dalili kamili ya kuonesha kuwa hii imani ni potovu ni wenyewe kwa wenyewe kutofautiana
Kwa waislam kuna shida tele
Pastor ndacha wabatize wote wa Islam, hata watak wa batize hivyoivyo.
Huyu ni muislamu coz ana jazba mbaya ata 😢😢😢
Nimehuzunika sana kama hawa ndio wachungaji tunategemea wachunge kanisa basi jehanam inatukodolea macho
Soma Koran. Kuna unafiki mwingi
Kwaiyo allah anajua kuwa wakristo wana dini yao😂😂
Hana andiko please
jameni huyu pastor wa norminal hana elimu hata kidogo
waislamu wanashinda uyu kuelewa biblia
Aki huyu mchungaji anafukuzwa kazi
aki huyu mchungaji hana lolote atapigwa kanisani mwake😅😅😅
Ndacha acha kuvuta bangi, huiwezi
🤣🤣🤣🤣🤣 eti Yesu akiwa ndani yetu sisi tunakuwa Yesu 🤣🤣
Sasa wewe unaonaje yesu akiwa ndani yatu tunakuwaje
@@hassanjuma2772 akili yako inafikiri nini? Au ndo wale wale wasioelewa maandiko! Yesu yuko ndani yangu kwa jinsi ya Roho mtakatifu.
Kama unafikiri Yesu akiwa ndani yetu sisi tunakuwa Yesu mwenyewe, swali je! Anayetuombea ni Nani kwa mujibu wa andiko la 1Yohana :2:1-2 ????
Uoslamu ni biashara ya Muhammad that’s all. Sad
Basi Muhammad aliekuwa tajiri wa dunia sikila unaloambiwa na akili yako mdomo wako useme
Ukweli theology theory ni ya shetani
Ndacha huyo mchungaji alivyo hana hoja nadhani hatarudia kuomba mjadara tena.
Sasaka hawez hii mada
Ndacha Quran 16:8 Na farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande, na kuwa ni pambo. Na ataumba msivyo vijua. Hayo maelezo mengine ya motokaa na meli ni ya ziada ya mtafsiri. Qurani haijataja hizo. Shida nyingine unatoa aya nje ya muktadha halafu unakosa kuzielewa maana moyo wako umefunikwa na giza la upumbavu
huyo mchungaji wa nominal hana elimu ya mbinguni bali ako na elimu ya duniani ndio maana anajipiga kifua na elimu ya hekima hana, huyo mungu wake ni tumbo
Pole sana ndugu kwa kutoelewa
@@TheMorningHelard1844 Bro mim bibilia ninasoma kila wakati kwa ivo usinifundishe upishi bro mimi nilielewa huyo pastor vizuri na mim nilikua norminal nimetoka juzi tu!
@@PeterMoenga-j4e Pole kwa kujitenga na kundi la BWANA
Wal ,its a pity that this nominal babylon is full of liars ,kutetea uongo,wamesomeswa theologia na wakatoleki ,huyo mungu wa utatu ana miguu ngapi ,kichwa vingapi,fungueni macho ninyi wenzangu we have been lied to for two long mungu ametufunguria mlango tutoke na bado mnaederea kukula matabiko ya utatu someni early writing page 260.1 tutoke nominal sda ya majesuit turudi ya zamani ya wapioneer wetu , stay at your own peril
😂 Ndacha ni makelele tu
Ndacha kapoteza watu sana,
@@anwarambar6141 Ana elimu ya vichochoroni. Hajua Qur-ani kabisa ni sifuri. Tafsiri anazotoa ni dhaifu lakini pia yeye mwenyewe uwelewa wake mdogo wa maandiko
Mwalimu batiza huyu na maji ya moto na chunvi hahahah
Kiboko yako ni Dr sule😂😂😂
Dr sule hakueza hoja za ndacha ulikuwa wasikiza hoja kweli ww
Ndacha ndio haelewi maandiko.
@Tridax Andiko Gani haelewi?
@@greatwaymarksministrymengi sana anapotosha quran haiwalazimishi kuifuata lakini asitumie uongo kuitafsiri
Ndacha kumbe wajua inauma kuongeza maneno yasiyokuwepo kwa maandiko? Hivyo ndivyo ufanyavyo wewe unaposoma Quran; kuweka vipande visivyokuwepo
NDACHA KUMBE WEWE NI MBISHI KIASI HICHO.UNALAZIMISHA WENGINE WAKUBALI MAWAZO YAKO.PASTOR AMEKUPATA LEO
Tafuta ushambiki wengine tunatafuta nuru
2:23:43
2:23:43
2:23:43
2:23:43
John 8
22 So the Jews said, “Will He kill Himself? For He said, ‘Where I am going, you cannot come.’ ”
23 He said to them, “You are from below; I am from above. You are of this world; I am not of this world. 24 Therefore I said to you that you will die in your sins. For unless you believe that I am He (The Messiah not God), you will die in your sins.”
25 They said to Him, “Who are You?”
Jesus said to them, “Just who I have been telling you from the beginning (The Messiah not God) . 26 I have many things to say and to judge concerning you, but He who sent Me is true. So I tell the world what I heard from Him.”
27 They did not understand that He spoke to them of the Father. 28 So Jesus said to them, “When you lift up the Son of Man, then you will know that I am He (The Messiah not God) , and I do nothing of Myself. But I speak these things as My Father taught Me. 29 He who sent Me is with Me. The Father has not left Me alone, for I always do those things that please Him.” 30 As He spoke these words, many believed in Him.
40 But now ye seek to kill me, a man that hath told you the truth, which I have heard of God: this did not Abraham.
John 5,37
And the Father who sent Me, He has testified of Me. You have neither heard His voice at any time nor seen His form.
John 6, 38
Jesus came to this earth to do the Father's will. Jesus said, “For I have come down from heaven, not to do My own will, but the will of Him who sent Me” (John 6:38).
exodus 4:22, Then you will tell him, ‘This is what the LORD says: Israel is my firstborn son.
luke 3:38, Kenan was the son of Enosh. Enosh was the son of Seth. Seth was the son of Adam. Adam was the son of God
Hosea 1:11, When Israel was a child, I loved him, and out of Egypt I called my son
Job 2:1, One day the sons of God came again to present themselves before the LORD, and Satan also came with them to present himself before the LORD
Mathew 5:9, God blesses those people who make peace. They will be called his children!
Luke 20:36, For they cannot die anymore, because they are like angels and are sons of God since they are sons of the resurrection
IT IS VERY SAD ON HOW YOU CHRISTIANS HAVE BEEN BRAINWASHED OR BEWITCHED BEACAUSE EVEN A SMALL KID WHO KNOWS HOW TO READ CAN TELL YOU JESUS PBUH WAS JUST A PROPHET AND NOT GOD. IF YOU HERE DACHA'S ARGUMENTS YOU WONDER WHY HE DOESNT SEE THE CONTRADICTIONS IN THE BIBLE AND HOW HIS BELIEFS AS A CHRISTIAN IS VERY CONTRADICTORY TO JESUS PBUH TEACHINGS. AND I SEE PEOPLE CHEERING HIM AS HE MAKES HIS WAY TO HELLFIRE. ITS REALLY SAD
My friend Quran is the same. We don't have different versions of the Quran. We only have different translations by different people which that one means there are differences in the choice of words in translating a certain phrase from Arabic into the second language. For example the verse: "Maaliki yaumiddiin" is translated like: "Master of the Day of Judgment", Owner of the Judgment Day", King of the Day of... etc- difference in choice of words, unlike the Bible which has a more than 100 versions, each with internal contradictions and the various versions also contradict each other
Bro u're keeping yourself away from listening the truth, so GodHimself wont spare you during his coming day!
The real problem that many Christians don't know is that Jesus himself never claimed to be God, never claimed any form of divinity and was in fact not God. He didn't institute the Church, he didn't preach Christianity and didn't teach the Trinity. The idea of Trinity was introduced later in the last Gospel in 1 John 5:7 in some Bibles including the KJV. But the verse is not there in the RSV and some other versions of the Bible. Jesus is no more than a messenger. Many are the messengers that passed before him... see how we make things clear to you and see how you see not@@PeterMoenga-j4e
@@musalumbi8490 Bro the way you talk people may think yu're in a safe position bt yu're not becaus ever demons claims to be muslims and your brothers and how dare a you to say yu're right when the devil is on your side!! mmmh?
Which one? 😂😂
@@moshajexplore what? or i mean which side do you stand and your brothers demons, the Quran says so!
Wapendwa nililazimika nisikize huu mjadala mpaka uishe ndio niweze ku comment.hii ni aibu kubwa kwa watu wanaotumainia mchungaji kama huyu awaonyeshe njia na mapenzi ya mungu.aibu aibu aibu.jameni wakiristo someni biblia zenu msitegemee wachungaji
Enda soma kuruhani na Biblia kisha uje uccoment
Sasa unataka kumlinganisha ndacha na mohammed muabudu masanamu
Ndo huyo Muhammad mukamuonea choyo mukachukua mukaweka makanisani mwenu