MAKANISA YA UONGO SKIZENI. DANDORA DAY 9

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @kiariethuo8029
    @kiariethuo8029 2 роки тому +3

    I salute you GOD'S people

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Рік тому +1

    Amen sana watumishi

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 11 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi onyango na barikiwa sana na hii injili wachungaji ambao wako general conference hawawez hubiri Kama hivi

  • @bomatechtv
    @bomatechtv Рік тому +1

    I have been to your current gathering at OTC daily and am really blessed and still gaining the knowledge

  • @frankdenambaya2626
    @frankdenambaya2626 8 місяців тому

    Ahsantee ujumbe umekufikia

  • @JobKiambi-ti9dg
    @JobKiambi-ti9dg Рік тому

    Mungu awabari sans watuwamungu

  • @carolinekemunto2632
    @carolinekemunto2632 Рік тому

    Mie nko saudi arabia but nawafuatilia sna kwa mafundisho but shida ni sna siku y ibada tu

  • @erickmaisha4773
    @erickmaisha4773 2 роки тому +1

    Thenk you teacher

  • @janewanjiru584
    @janewanjiru584 2 роки тому +1

    MUNGU azidi kuwabariki watumishi

  • @evanceomondi947
    @evanceomondi947 2 роки тому

    Wemebarikiwa waluo na ukweli ya bilia .

  • @thomasaimuiah9906
    @thomasaimuiah9906 2 роки тому

    Very interesting my beloved brethren in Christ. May God bless you. However, I would like to ask just about how you deliver the content. Is there are more humble way you can do it that doesn't seem more of exhibition and campaign?
    I mean you use that tone used in the video talking about EZEKIEL 9.
    IT WOULD BE MORE GODLY THAN THIS BRETHREN.

  • @denisnyambane4378
    @denisnyambane4378 2 роки тому +1

    mnahitaji mpewe roho mtakatifu awafundishe juu nasikia mnarukiarukia maandiko kwa mfano yesu alisema yeyote hasiyezaliwa mara ya pili hawezi kuingia binguni,sasa kubatiza watoto kuna shida gani,kwan wewe nini hata akahukumu pure kabisa

    • @patrickwambuatv
      @patrickwambuatv 2 роки тому

      Mtoto hajui dhambi

    • @patrickwambuatv
      @patrickwambuatv 2 роки тому

      Hii ni kitu ya kutumia akili tu haiitaji kufikiria sana

    • @carolinekemunto2632
      @carolinekemunto2632 Рік тому

      Upatizo si kitu cha kuchezea kupatizwa n kwa mtu aliye ubiriwa na kuamini si kwa watoto

  • @denismachokaauka5456
    @denismachokaauka5456 2 роки тому

    Mibaraka teletele!!. Mbingu iwe nawe kaka🙏🙏

  • @brotherphilip4305
    @brotherphilip4305 2 роки тому +2

    @ Jehovah Jireh,.
    Soma Biblia wacha kukashifu ukweli mchana peupe,,
    Kama hio injili ya kweli unaikataa, basi wewe si m Mkristo,,,

    • @jjtm164
      @jjtm164 2 роки тому +1

      Nonasoma

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 роки тому +1

    Walio chini ya sheria wamelaniiwa

    • @alllivesmatter1860
      @alllivesmatter1860 2 роки тому

      Hiyo ni kweli, Lakini kuwa chini ya sheria unaelewa inaamanisha nini?

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 роки тому

      Amri kumi ama

    • @jjtm164
      @jjtm164 2 роки тому +1

      Bibilia inasema Sheria ya dhambi na mauti, iliyo kuja Kwa mkono was musa

    • @carolinekemunto2632
      @carolinekemunto2632 Рік тому +1

      ​@@jjtm164🤣🤣🤣🤣 yesu alikufia sheria ya musa si amri kumi za mungu unaelewaje

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 роки тому

    Leteni waislamu hiyo yenu siasa bure. Everything was fulfilled in Jesus. Mungu hangalii siku anaangalia relationship

    • @evanceomondi947
      @evanceomondi947 2 роки тому

      Unamanisha yakuwa amri kumi pia iliondowa ?

    • @ondabuvincent4542
      @ondabuvincent4542 2 роки тому

      Leteni maandiko ya kusema mungu haangalii siku

    • @alllivesmatter1860
      @alllivesmatter1860 2 роки тому

      Amri za Mungu haziwezi isha, ndizo msingi Wa serikali ya Mungu

    • @notsriricjuma4646
      @notsriricjuma4646 2 роки тому

      And what is your understanding of the term fulfill?

    • @jjtm164
      @jjtm164 2 роки тому

      @@notsriricjuma4646 everything was fulfilled when the light came. The shadow came to an end