Jay Moe Kama Unataka Demu Ft Solo Thang

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 бер 2021
  • #JayMoe #SoloThang

КОМЕНТАРІ • 65

  • @charlesmsage1306
    @charlesmsage1306 6 місяців тому +20

    who else 2024

  • @user-bw2qo6bg1n
    @user-bw2qo6bg1n 12 днів тому

    Nataka demu / basi nimegahili nenda kwauyo jay moe 2024

  • @RioIpo
    @RioIpo Рік тому +22

    KAMA UNATAKA DEMU.
    _______________________
    "Kama unataka demu"
    Sema unataka awaje-awaje
    "Kama ukienda boogie"
    Ungependa atokeaje-atokeaje
    "Marashi itakuwaje"
    Angenukiaje
    "Na akiwa mtaani"
    Ungependa atokeje
    🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
    Verse 1:
    -----------
    Ndiyo nataka demu
    Lakini tuanzie makumbusho
    Awe mfano wa Fifi
    Madada zangu waitwe wifi
    Siyo Nkinde siyo Leyla
    Mtaa wao Miyeyusho
    Simtaki fulani amri ndefu
    Ndiyo wa leo na kesho
    Siongopei Phat Pham
    Nimefull zaidi watapeta
    Belinda na Moza waki-realize
    Vipi watadata
    Jadida la Lydia
    Wabakie vikono nikipita
    Sina habari na Naomi wala Salama
    Vile walinitesa
    Ndiyo kisa cha kutompenda
    Koku wala Septou
    Mwambie Samira amtoe Kachichi
    Ni washkaji tu
    Rose na Mariam mapacha
    Nisije nikachanganya
    Ni sawa na Esther na Suzie
    Wa maghorofa ya Bima
    Bora nitoke Makumbusho
    Niende zangu K Nyama
    Kwenye Watoto wa geti Kali
    Baba Mama tajiri
    Kama Miriam Hassan
    Nusu mbongo nusu Msomali
    Nakwenda kumpa dili
    Akinata nageuza gari
    Nikaendelee na Sinza
    Mbezi mpaka Kunduchi
    Herieth wa Sinza
    Mbezi Shakira
    Tamoh Kunduchi
    Nadhani ushanielewa
    Demu wangu atakuwaje-atakuwaje
    We njoo makumbusho
    Utamuona amevaaje-amevaaje
    🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
    Verse 2:
    --------------
    Sasa nakwenda kwenye majina
    Na heshima mahsusi.
    Kama mfaudhia, Jodity,
    Domina au kama Hoops.
    Au sera zikimnasa Kibibi
    kuna ubaya.?
    Nadhani Mamiss
    Hawataniona tena mimi mbaya
    Ila awe Mkweli
    Siyo mambo ya Miss California
    Awe kama Sister J
    Mweupe kama Eugenia
    Naomba radhi
    Niliowataja naomba
    msiwe na kinyongo
    Mimi nafanya
    kuwapeni thamani ya juu
    ndani ya Bongo
    Tukisema mtoto wa tajiri
    Mimi namchagua Regina
    Tukisema Model
    Ni Miriam Odemba, au hapana..?
    Tukisema Miss
    Aminata Keita haina noma
    IFM watakoma
    Kwa muda wote ambao anasoma
    Ila ataweza vipi
    Kuimba R&B kama Stara
    Au ni sawa na Mercy Galabawa
    Leo kuwa msela
    Nini Gado kama Zay B
    Mrefu kama Basilla
    Designer Khadija
    Mavazi akatuoneshee Kajala
    Nitahakikisha
    Hakuna machozi kama Jaydee
    Sintosubiri
    Akisema anakuja kama Sister P
    Nadhani ushanielewa
    Demu wangu atakuwaje-atakuwaje
    Kama ukija Bills
    Utamuona amevaaje-amevaaje
    🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
    Verse 3:
    -------------
    Yo.. Nataka demu
    Miguu mizuri kama Ray C
    Macho kama Asia
    Alcoholic kama Sister V
    Nampenda demu
    Awe Sister Dread kama Babe
    Naogopa sana
    Mpenda chapaa kama Dokii
    Awe anapenda Rap
    Siyo bolingo kama AC
    Mchizi kama Naziz
    Ila bright kama Cecy
    Mrefu siyo mfupi na nyama
    Siyo mwembamba
    Hewani kama Magese
    Kiuno kama Odemba
    Hasiwe Lady flani
    Hajui kupiga pamba
    Avae Kama Seven
    Japo atoke bomba
    Awe anajua kupika
    Awe anang'aa kama Sanca
    Laini kama mafuta
    Kwenye giza awe anawaka
    Awe anang'ara
    Apoze zangu harara
    Awe na sauti tamu
    Kuliko ile ya Stara
    Siyo Kauzu kama Nina
    Bora mcheshi kama Nora
    Ili nimpende Sana
    Waganga wasijenipora
    Awe anaishi kama Precious
    Bila mama yake Gypsies
    Ili siku akichacha
    Tukakope hata chipsi
    Maridadi..
    Mvuto wa Zamaradi
    Apitapo maskani
    Washkaji mpandwe midadi
    Awe aliyefundwa kama Zinduna
    Mjanja kama Muna
    Awe anatabasamu
    Siyo Kila siku ananua
    Kama ntapata demu
    Atakuwaje fikiria
    Lafudhi iwe tamu
    Siyo kithethe ka Radhia
    Hapo mimi ntadata
    Kama Nature kwa Sonia
    Hapo mimi ntadata
    Kama Nature kwa Sonia
    🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶
    **************
    Wimbo:
    Kama unataka demu
    Wasanii:
    Jay Moe
    Solo Thang & Q Chilla
    Studio: Bongo Records
    Prodyuza: P Funk Majan

  • @kybomaenterprises5405
    @kybomaenterprises5405 Рік тому +11

    Huu wimbo ulikua kama signature (kibwagizo) wakati Channel 5 ilitokea. Mtamu kweli. This introduced me to Bongo Music. Mad love from 🇰🇪

  • @boniphacegervas8118
    @boniphacegervas8118 Рік тому +8

    2023 who else around here ?

    • @flexflex6685
      @flexflex6685 Рік тому

      Nimepiga seti hapa nimekuwa naitafta.Hii ndio bongo yenye ilitawala enzi zake.Rhymes after rhymes

  • @eliasanyimu1669
    @eliasanyimu1669 14 днів тому

    2024 still going strong

  • @therealTanzanian
    @therealTanzanian 2 місяці тому +1

    This to me is the best bongo flava beat of all time 🔥🔥🔥🔥

  • @salminabdallah6328
    @salminabdallah6328 Рік тому +10

    Daaa enzi hizo nasoma Kijitonyama primary school hii ngoma nilikuwa naimba verse after verse

  • @kenwatkinz9828
    @kenwatkinz9828 3 місяці тому +1

    Gone are the days, 2002 Kiwira - Tukuyu.

  • @MrMPUTO
    @MrMPUTO 2 роки тому +7

    NYIMBO YA TAIFA ENZI HIZO

  • @kiruikaptich8152
    @kiruikaptich8152 5 місяців тому +1

    Here 2024.... and counting!

  • @WaziriLugazo
    @WaziriLugazo 3 місяці тому +1

    Aaaaah kitamboooo iyoooo jay mo

  • @ngenokipkorir9758
    @ngenokipkorir9758 7 місяців тому +1

    Old is gold...i missed these songs

  • @francistarimo3105
    @francistarimo3105 Рік тому +3

    Old is gold 🔥🔥🔥

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 2 місяці тому +1

    Bonge la ngoma

  • @goodluckydavid5331
    @goodluckydavid5331 Місяць тому +2

    June2024' who else z HERE.

  • @bizzosela6186
    @bizzosela6186 2 місяці тому +2

    16/May/ 2024
    +27 Bado Tunaish nayo 😜

  • @fauziashabibu1467
    @fauziashabibu1467 Рік тому +4

    Jamani hii nyimbo enzi hizo mimi mim hata shule bado sjaanza kusoma mpaka leo 2022 naingalia

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 місяці тому

    Namkumbuka sana DJ Fred Waaah!

  • @user-hp9yu3xo5p
    @user-hp9yu3xo5p 5 місяців тому +1

    Tanzania day by p mawenge

  • @bizzodaboy5367
    @bizzodaboy5367 Рік тому +1

    Verse la solo thang noma

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 26 днів тому +1

    2024

  • @shabanimakwaru2875
    @shabanimakwaru2875 Рік тому +1

    Hii na ingekuwa vipi ya FA ngoma za zamani kali

    • @shafiiluwongo5199
      @shafiiluwongo5199 Рік тому +1

      Kwa heshima zote kwa FA hili dude kali sana. Jay Mo, Solo thang Mkono wa P- Funk. Bonge la biti

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 Рік тому +1

    Old iz gold## j mo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lightmedia8096
    @lightmedia8096 6 місяців тому +1

    here 2024

  • @shafiilupyagu2504
    @shafiilupyagu2504 Місяць тому

    Ngoma kali san daaaa ktmboooo san daaa😢

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 7 місяців тому

    ila brother J moe noma sana

  • @albertlilechi4906
    @albertlilechi4906 4 місяці тому

    Jay Moe nakubali mkuu

  • @saleh9997
    @saleh9997 Рік тому +1

    Nyimbo nzuri sana 2005-2023

  • @user-bw2qo6bg1n
    @user-bw2qo6bg1n 4 місяці тому

    Nataka demu❤❤
    U

  • @emmanueldavid6809
    @emmanueldavid6809 Рік тому +2

    dude kali mpaka leo hii 2022

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 Рік тому

    Zamani sana hadi raha

  • @hendrykimaro1717
    @hendrykimaro1717 Рік тому +2

    March 5 2023 🤗

  • @user-en2fc5xp7e
    @user-en2fc5xp7e Рік тому +1

    Oyaaa kama hili goma ulikuwa kwenu na hadi Leo uko kwenu mkuu mkuu mkuu utapakatwa toka magetoni kondoo wa bwana

  • @thomaswilliam2214
    @thomaswilliam2214 2 місяці тому +1

    2002-2024🇹🇿

  • @hassanbashir3253
    @hassanbashir3253 6 місяців тому

    More technics👍

  • @renatusmatungwa2508
    @renatusmatungwa2508 8 місяців тому

    Kitambo sana

  • @laurencesamwel
    @laurencesamwel Рік тому +1

    Unyama ni mwingi haina longo longo

  • @stapinuswilliam860
    @stapinuswilliam860 7 місяців тому +1

    2023❤

  • @RaiderTube
    @RaiderTube Місяць тому

    Jay moe

  • @brownngullo4051
    @brownngullo4051 3 місяці тому

    Q chief aliua kwenye chorus .. Enzi hizo niko Form One ngoma imetoka

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 3 місяці тому +1

      Wow! Kumbe ni qchief

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 3 місяці тому

    Kati ya mvua najua unapenda nini??😂😂

  • @clivedishon8192
    @clivedishon8192 7 місяців тому

    classic

  • @chotarawakingoni8148
    @chotarawakingoni8148 16 днів тому

    Hapo Kwenye Chorus ukickiliza vizuri “kama ukienda Boogie”..!
    Kwa wasiojua miaka ile kuna Shows za mziki zilikuwa zinaitwa Boogie
    Zilikuwa zinaanza Mchana Hadi Jioni 😂😅
    Daah…

  • @abelshao6284
    @abelshao6284 2 місяці тому

    18 may 2024

  • @mcoastlaubizy
    @mcoastlaubizy 3 місяці тому

    2024😂

  • @sajumahege4903
    @sajumahege4903 4 місяці тому

    VERSE 1__JayMo
    Ndiyo nataka dem lakini tuanzie Makumbusho,
    Awe mfano fifi madada zangu wamuite wifi,
    Siyo Mkinde siyo Leyla, mtaa wao miyayusho
    Simtaki flani Amri Dave ndiyo leo na kesho,
    Siogopei Fat Family full dhahiri watapeta,
    Belinda na Mose wakirealize vipi watadata?
    Jedida na Lidya wabaki vikono mkipita,
    Sina habari na Naomy wala Salama vile walinitesa,
    Ndo kisa cha kutompenda Coco wala Zeitun,
    Mwambie Samira mtoe kachichi ni washkaji tu,
    Rosillah, Mandu mapacha nisije nkachanganya,
    Ni sawa na Esther na Suzzy wa Magorofa Bima,
    Bora nitoke Makumbusho niende zangu Kinyama,
    Kwenye watoto wa geti kali baba mama tajiri
    Kama Miriam Masa nusu Bongo nusu Msomali,
    Nakwenda kumpa dili Akhenaton nageuza gari,
    Nkaendelee na Sinza, Mbezi hata Kunduchi,
    Heri ntoe Sinza, Mbezi Shakilla hata Makunduchi,
    Nadhani ushanielewa dem wangu atakuwaje takuwaje,
    Wee njoo Makumbusho utamuona amevaaje mevaaje

  • @chidmashine3401
    @chidmashine3401 2 роки тому +1

    Enzi izoo