Mmmh aise mwali we hatari kweli yaani umefafanua hadi nikakubali hapa mtu akishindwa kuelewa hakika hata akienda sehem nyingine yoyote sidhani kama ataelewa hapa sibanduki kwani sidhani kama nikishindwa kuelewa hapa kama nitaweza kuelewa popo
Nakupa tiki kwasababu najua kuna kitu umeghafilika maana siioni nane ila naona nane uliitumia kabla, hivyo ina maana umeelewa vizuri hongera sana sana @abedinegoraphael...
My always favourite Teacher...yaani nakuelewa mpaka najishangaa Alhamdulillah ❤❤.
Allah akuzidishie Elimu maradufu
Allahomma aamiin aamiin 🤲🏾, Asante.
WE JAMAA NI HAZINA NYINGINE BRAVO
Somo zuri sana
2=0010
O=0000
O=0000
2=0010=2002
1 = 0001
9 = 1001
9 = 1001
8 = 1000
Naomba namba
Ndashukuru Sana Kama utakuwa unatoa video Kila siku maana nimejifunza c language kutoka kwenye channel yao Hawa kwa tabu Sana sababu sijui English
Ok utaimarika usijali.
Hii comment imechelewa kunifika ilizuiliwa.
💥💥💥💥💥💥💥
Tunaomba next session baada ya kufahamu binary language yaani namba vp herufi, na alama mbalimbali ziliundwa vp?
Linakuja bila shaka kesho litakuwa hewani.
Ngoja nlifatilie vzuri ili niweze kuutaja mwaka wangu
Fuatilia vizuri utaelewa tu.
Naomba kujifunza Python Kaka from the Scratch
Kozi ijayo
Mwalimu naomba tuelekeze jinsi ya ku reset bios ikiwa umesahau password
Jiunge na masomo ya Ufundi Software, jaza fomu utasoma hiyo na zaidi
@@nk-computertraining fomu yenyewe iko wapi
duh nmerejea zaid ya mara3 lakin cjaelewa chochote
Jaribu tena
@@nk-computertraining sawa
1997=
0001
1001
1001
0111
Mmmh aise mwali we hatari kweli yaani umefafanua hadi nikakubali hapa mtu akishindwa kuelewa hakika hata akienda sehem nyingine yoyote sidhani kama ataelewa hapa sibanduki kwani sidhani kama nikishindwa kuelewa hapa kama nitaweza kuelewa popo
Kwasababu hatutaki mtu aachwe kwenye msafara wetu kuelekea kileleni, asante sana kwa mara nyingine.
@@nk-computertraining Asante pia kwa kutujali
@@nk-computertraining
0001
1001
1001
0101
=1995 mwalimu naomba kunisahihisha
Iko sawa, hongera sana.
Hiki ni kitu kikubwa saana saana na nadhani ni somo kubwa kuliko masomo yote uliyo wahi yatoa
Asante sana sana ndo tunapanda hivyo.
@@nk-computertraining tunakuangalia wewe
Sir naomba ufundishe namna ya ku unlock physical keyboard
Ku unlock au ku lock? maana madamu inafanya kazi haihitaji ku unlock, elezea zaidi swali lako.
Nimezaliwa 2004 ni sawa na 010
000
000
100
Vizuri sana na hongera
0001
1001
1000
1001
=1989
Hongera sana
0010
0000
0000
0101
=2005
Vizuri sana Mr. Imran na video ya pili ishashuka tuendelee na kozi.
0001
1001
1001
0000
=1990
Vizuri sana Mr. Mruke ushakuwa mwana binary.
@@nk-computertraining 😀😀 tuko pamoja ,baada ya nafasi ya mwenyezi basi wewe ni wapili uliyepelekea niwe mwana binary!! shukran sana ! NK ni babalao
Asante Asante Asante Mr. MRUKE
0010
0000
0000
0000
=2000
Vizuri sana ndugu, umeshakuwa mwanabinary sasa.
0010
0000
0000
0100
=2004
Vizuri sana ushakuwa mwana binary wewe.
0001
1001
1001
0100
=1994
Vizuri sana, naona ushakuwa computer.
0001
1001
1001
0000
Mwaka wangu 1990
1989
0001
1001
111
1001
Nakupa tiki kwasababu najua kuna kitu umeghafilika maana siioni nane ila naona nane uliitumia kabla, hivyo ina maana umeelewa vizuri hongera sana sana @abedinegoraphael...
Vizuri sana ipo sawa mshakuwa wanabinary sasa.
0001
1001
1000
0100
1
1001
1001
1000
1998
0001
1001
1000
1001
=1989
Vizuri sana na hongera ndugu usisahau kujiunga na Advanced Level ukimaliza Basic
0001
1001
1001
1000
= 1998
Vizuri sana ushakuwa mwanabinary tazama somo la pili kujua kuandika herufi pia.
@@nk-computertraining Ahsante Na Ongera Kwa Kazi Nzuri
0001
1001
1001
0000
1990 Vizuri sana na hongera.