Congratulations màmààh mimi ni mtu wa watu per day naeza patana na watu 20_30 I promise I will make they have subscribed all per day...by 1 week I promise 100k subscribers from me ❣️❣️❣️❣️
I can relate iyo story ya mbaba, nikianza kupata kitu kutoka UA-cam nitanunulia mbaba wangu simu juu alininunulia ii yangu lakini yake weuh. Issa problem na haezi nunua 🥺🥺🤣🤣
Ati ulikuwa unaomba mbaba aende iibiwe na mwizi ampige Kofi pia🤣😂. Aki I wish tungeona ukimshow majority of the money used to buy is his🤣😂 that would have been hilarious.
Mommy hapo kwa kununua simu na wao wanatumia simu mbovu hauko pekee Yako. My mbabaz is exactly the same, juzi he bought me a fon na yake hata network hishiki!!! Yaani hio simu mostly Iko mteja ....n he still can't let it go. I hope it gets stolen too lakini asikule slap 🤣🤣🤣
Seems they enjoy having phones with problems. Mine's phone you have to hit on your ear to hear what a person is saying. I made him join a chama of 3k per month. We got 21k and he has a good phone now
How many want to see mbabaz reaction akijua pesa yake ilitumika?
Like below👍👇
I dont know why i love this woman😂😂❤❤❤❤
Congratulations màmààh mimi ni mtu wa watu per day naeza patana na watu 20_30 I promise I will make they have subscribed all per day...by 1 week I promise 100k subscribers from me ❣️❣️❣️❣️
😂😂😂😂😂😂 I'm here only because of your language 🤣🤣🤣🤣I love mammy
😂😂😂😂
Alilililili we are at 80k. I'm happy for you mama. Nakupenda ❤️❤️❤️
I can relate iyo story ya mbaba, nikianza kupata kitu kutoka UA-cam nitanunulia mbaba wangu simu juu alininunulia ii yangu lakini yake weuh. Issa problem na haezi nunua 🥺🥺🤣🤣
Tupambane,c mchezo
I like your Combination of English, Kiswahili and Kiluhya 🤣😂🤣🤣 ur top.
Ety ulikua unaomba simu iibiwe🤣🤣🤣🤣na apate slap🤣🤣🤣
You kill me always gal
Heheh me too am a good wife oooh🤣🤣🤣but am single I know me best wife🤣🤣you the best mamake
I have to subscribe hii nayo imeniweza ati pesa mingi ni ya mbaba😂😂
That's why you are my role model mummy 🥰🤣🤣
Mimi nakupenda tu bure mamaa!! Aaah
Aaaaaaah mummie nipige shout out nakupenda bureee watching from🇯🇴🇯🇴🇯🇴
Enyewe kizungu ilikuja na meli 🤣🤣🤣🤣love u girl
Kabisa
Ati aibiwe na apigwe Kofi..😂😂😂
It refuse to Waka 😂😂😂😂😂😂😂😂 na venye umeisema vizuri
Mammy nakufaaaa😂😂😂😂...your mbaba hana tofauti kama wangu ...nmecheka usiku
Best wifing award by the way I love you so much mummy Francie
This combination is heavenly
Spare my mbavu jamani Mami😂😂😂😂u v made my night Dee Dee penda wewe xana daah
Haki ya mungu sikuintending😂😂😂😂
Mummy nimependa hiyo pant🤩
jicho moja kuangalia🤣🤣🤣🤣🤣nakupenda bure🤣🤣🤣
Congratulations 🎊 for 80.k subscribers ....you always make me happy
Hey,how can I get that mkorogo mama?
leo nimewai mapemaaaaa ❤️❤️❤️❤️
Something about your broken English that we love.. 😍😍😍😍😍
Much love mummie napenda vnye una handle vitu .. waaaw
Jamani mummie nakupenda sana mbaba Jamani the fon is gwararing maskio
Mbaba mpaka alkua amesimamisha..ikabidi arudishe ndani
Congratulations 🎉 for u at 80 inshallah to 100 soon
Umesema mwizi amzabe kofi aamke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Mubaba kazi ipo🤣🤣
Yes she will using it🤣🤣🤣🤣🤣🤔I like the way unaongea hiyo English😂😂 congrats dear♥️♥️♥️
It's the end of video for me giving yourself credits na you used his money 🤣 😂 😆 I can wait for his reaction
Aki mbavu zangu mummie upo juu nacheka sijifai
Ati ulikuwa unaomba mbaba aende iibiwe na mwizi ampige Kofi pia🤣😂. Aki I wish tungeona ukimshow majority of the money used to buy is his🤣😂 that would have been hilarious.
Nikoapa juu za mbwembwe Zako tiktok
Halafu tunasubiri video ya confession of part of the money ya kununua simu ni ya mbaba hehehhee. Can't wait
Aki mummie the end part kills my ribs 😅😅 #Road to 100k subs
Sem
but leave alone everything,,,wajaluo we are the besssttt😍🥰🥰🥰😘
Jamenii..na ako wapi huku anaongelewa🤣🤣🤣🤣🤣
We know mbaba or we just hear him😂😂👍
Weeeh this woman ooh my God🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂aki mummie ww ati the 4n bwararing ckio 👌👌
Kiswahili,kizungu broken na kicoast napenda😄🤣🤣🤣🤣🤣 ❤️
Best wife in did😂😂😂😂 lovely couple ❤️
Mommy hapo kwa kununua simu na wao wanatumia simu mbovu hauko pekee Yako. My mbabaz is exactly the same, juzi he bought me a fon na yake hata network hishiki!!! Yaani hio simu mostly Iko mteja ....n he still can't let it go. I hope it gets stolen too lakini asikule slap 🤣🤣🤣
Aki wanaenjoy simu Mbovu Si uongo🤣🤣🤣
You made my day mummy
She always does 😊 She lifts people's spirits I don't know if she knows
7:43 😂😂😂😂😂😂😂 dah mummie
You have make my night so sweet,siz you true that you are wife material much love to you sister
🤣 seeing you for the first time. And I love you already ❤
Nimependa hii Mbaba🤣🤣😂😂
Mpapa yawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Road to 100k💪💪❤️❤️
Nakupenda sana mummy
The mixology of language is mixing 😂😂😂😍😍
Before December tutakuwa 100k
its the story of the phone for me
🤣🤣🤣🤣🤣this Woman is something else hahaaa
I love you guys from my county Busia
Leo Nimewahi hahahaa
Love you mummie keep up the good work
Jamani I really love u ❤️ ❤️❤️❤️ur such a vibe
😂😂😂😂😂😂 mummy😂😂 hata afta kuwatch sina maoni😂
Mummy sikujua wajua kizungu,lots of love
Good job @80k
Road to 100k
🤣🤣🤣🤣🤣waah this is hilarious ati with his money
Mummie mummie gift ua mbaba
😂😂😂no free things, hta kwa mpenzi
Kizungu ilikuja na meli kweli🤣🤣🤣
Seems they enjoy having phones with problems. Mine's phone you have to hit on your ear to hear what a person is saying. I made him join a chama of 3k per month. We got 21k and he has a good phone now
Your language is tough mama🤣🤣🤣
Much love❤️❤️
Mubaba wifing 😂😂😍😍😍
Aki mummie the end part kills my ribs 😅😅
That means he is a keeper💌🧤
Ati nimenunua simu na pesa hajui kama ni yake 🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅😅😅🤣 making me laugh always mummy
100k coming through 🥳🥳🥳🥳
Ndo mara yangu ya kwanza kuskia mbaba akiongea😁 love you guys💕
Tune in ❤️
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😂😂😂😂😂😂
Congratulations 🎉 to 80k keep on going girl
Very good mami🏆👌
How I wish we could live like this with my wife,
Congrats mnaishi poa aki
😅😅
Happy Kwa big na small money😂😂😂😂😂😂
💕💕💕💕 always real.
Haya tupe reaction yake after umemwambia ni pesa yake umetumia😂😂
Bihashara Kila Mahalia😂😂😂❤️❤️
Mummy francie the English is ours
Aki mummie wewe ni chizi🤣🤣🤣
Yes nitamnunulia but itarudi tu 🤣🤣
My watsup status is full of your tuvideos I laugh daily weeeeee
😂😂 I love you❤️❤️
Earned a new sub uweeeh 🤣🤣
I love u mummie🤣🤣🤣🤣
And best wife's go to mummy France 🤣🤣🤣🤣🤣
Yeeeeeeiiiiih🥳🥳🥳🥳
Leo I'm early 😊
luv you beby gal
Language yako iko top
But huyu si mbaba sini hubby yako,,😂🤣🤣🤣🤣🤣am on floor
😂😂😂