Hivi hawa jamaa wanathubutu vp kupiga hela ndani ya Jimbo na Mbunge wake akiwa Mpina? Jamani Mpina siyo wa mchezomchezo, Mimi niseme MMEYAKANYAGA. Mimi niko paleeeeeeeee,
Na taasisi ya Takukuru ipo haya yanafanyika Kuna haja kweli ya kuwa na taasisi hii kweli? Nadhani hii taasisi ipo kwa ajiri ya kufanya mipango ya kutengeneza rushes so vinginevyo upuuzi Kama huu unafanyika wao wapi kimya bila kuchukua hatua!
Mpina yupo vizuri sana isipokuwa katika Nchi iliyokumbatia ufisadi hawezi kuonekana kama mtu mzuri.
Wabungge wengine waige mfano wa Mh Mpina.
Mami nigalikuwa Rais wa Nchi ningetembelea Miradi yote inayojengwa Nchini Tansania sababu Watendaji wa Serikali hakuna waminifu jawabu wizi
Jembe la Makufufi Mpina oyeeee 😅
Kama wamekiuka Sheria wapelekwe mahakamani. Tunakuaminia mh. Mpina
Pesa zipo zinapigiwa hesabu zipotee😂😂
Mpina njo mfanye kazi na lisu inchi hii muipeleke kasi mkuu
Mpina na lisu hawataendana
Lisu ana Nini hasa
@@FULSABY msukuma na myiramba wapi na wapi
Ningekuwa Rais siwezi acha kutoa kipaumbele kwa brain kama hii ya Luhaga Joelson Mpina
Hivi hawa jamaa wanathubutu vp kupiga hela ndani ya Jimbo na Mbunge wake akiwa Mpina? Jamani Mpina siyo wa mchezomchezo, Mimi niseme MMEYAKANYAGA. Mimi niko paleeeeeeeee,
Kaka Mpina ndio maana tunataka serikali inayo ng'ata sio hii ya CCM, upinzani uwe mkali ccm ipige kazi coz wanalala tuh
Mpina na Makonda ndo viongozi waliobakia ndani ya chama cha ccm wako safi sn ivo tu
Mpina mita5 Tena sanua sanua Wezi hao
Hivi Tanzania pana nini kuhusu miladi ndio haya makonda anayo pambananayo hapo mtamwona mpina mbaya wasukuma wako vizuli kiuongozi
Naani atatea nafsi Roho za wavuvi ?
Hii ndio Tanzania ya mama
Mama anahusika vipi?Acheni maneno ya uchochezi
Mbona msingi umechimbwa Je, Kuna Mkataba au Mkataba utafuta baada ya kazi kuanza kama inavyofanyika kwenye maeneo mengine