NDEGE TANO ZAKAMILIKA, KIWANDA CHA KUTENGENEZA NDEGE MORO, "ZINAKAA ANGANI SAA SABA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 191

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 7 годин тому +2

    Asante sana serikali inayoongozwa na mh Samia Suluhu Hasani.

  • @V.6ixEmmanuel-w2g
    @V.6ixEmmanuel-w2g 22 години тому +11

    Tanzania yangu nchi yangu mungu tunakupenda sana

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 19 годин тому +6

    Rais wetu hongera sana, tunashuhudia juhudi zako.

  • @jafarinauma6798
    @jafarinauma6798 5 годин тому +1

    Hongera sana sana rais wangu Mh Samia Suruhu Hassan hakika wewe ni role model wangu unafanya mambo makubwa na hupendi sifa za kujinadi wala kujitangaza Haki Nakupenda sana nilipo mwaka nikipata nafasi lazima nifuate nyayo zako Inshaallah❤

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 7 годин тому +1

    Hongera mheshimiwa Rais Samia kwa hatua hii kubwa 🇹🇿🇹🇿

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 День тому +7

    Asantee sana,, hongera Kwa mwekezaji huyo na Rais wetu

  • @Tarent-o8f
    @Tarent-o8f 15 годин тому +2

    Safi kabisa hii nimependa napenda sana maendeleo kama haya kwenye inchi yetu

  • @PidiusSimeo
    @PidiusSimeo Годину тому

    Hongera Sana,, kazi iendelee..

  • @hafifayusuph3781
    @hafifayusuph3781 20 годин тому +3

    Hongera mama samia kwa kazi nzuri,tunaona matunda yako

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 21 годину тому +3

    Jambo hili ni muhimu sana kuongezewa nguvu na kuimarisha uwezo wa kiuzalishaji wa ndege hadi kutengeneza ndege vita.
    Mungu ibariki Tanzania.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AronThomas-ws1sy
    @AronThomas-ws1sy 2 години тому

    Hongera sana Tanzania oyeee.

  • @MrossoBarth
    @MrossoBarth День тому +7

    Safi kabisa. Mama hoyeee

  • @Dafetty
    @Dafetty День тому +7

    Good job 👏👏

  • @davidpallangyo114
    @davidpallangyo114 День тому +4

    Hongereni sana.

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 19 годин тому +3

    Hongela sana mheshimiwa samia.

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 День тому +13

    Kwani mama Yao yupo wapi nawaona watoto wa ndege tu😂😂😂😂

  • @jeilanikhamisi
    @jeilanikhamisi 20 годин тому +1

    Mashallah hakika naskia raha sana kuona hivi

  • @deadcrush
    @deadcrush 23 години тому +3

    Safi sana.

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk День тому +2

    Kazi nzuri

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 День тому +4

    Hongera Rais Samia, Mungu akutunze tutafika tu.

  • @mudikiongozi9505
    @mudikiongozi9505 15 годин тому

    Hongera nitakuja kununua chakwangu kakuendea kijijin kwetu

  • @Chigotwe
    @Chigotwe 4 години тому

    Mayai ya ndege au ndege🤣🤣🤣🤣

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 19 годин тому +1

    Safi sana ❤❤❤❤

  • @yhktv9823
    @yhktv9823 20 годин тому +1

    Natamani niione ikiruka🎉🎉❤❤

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 21 годину тому +5

    Jambo zuri kwa nchi yetu tunaomba wawape ujuzi watanzania ❤

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 8 годин тому

    Hongera sanaaa, tunataka ziwe nyingi ili usafiri uwe kama daladala,

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 День тому +7

    Safi sana hizi ata zikiwa angani ni ngumu kugundulika na rada 😂😂

  • @Zilizopendwa_60s
    @Zilizopendwa_60s 23 години тому +2

    Muonekano tu ni made in Tanzania bila wenge...oyaa eeeh🙌🙌🙌 hatua kubwa

  • @salvinhosn3916
    @salvinhosn3916 23 години тому +2

    Mwanzo mzuri...

  • @JumaLulanje
    @JumaLulanje 15 годин тому +1

    Watu masikini huchukia nakuponda kilakitu, wale wanaoponda wajaribu kuunda hata ndege zaungo tuone

  • @AloyceKafulusu
    @AloyceKafulusu 6 годин тому

    I love tanzania❤

  • @paullazalo6464
    @paullazalo6464 День тому +3

    Hii nzuri nimefulahi kuona made Tanzania

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 23 години тому

      Nani atapanda humo?😢

    • @DanielKigesa
      @DanielKigesa Годину тому

      Sisi tutapanda ​@@emmadora7848

  • @SaidiWaziri-f4o
    @SaidiWaziri-f4o 17 годин тому +1

    Kazi nzuli mama 2nakiuombe

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 20 годин тому +2

    Hapo mmecheza mzik mzuri mno Tanzania ya viwanda Kila mtu anaitaman ila TU uongeze uzarendo kwenye rasilimal zetu.

  • @5H-EB901
    @5H-EB901 19 годин тому +1

    Je! Wana website yao ya manunuzi?

  • @JuliusMichael-k8n
    @JuliusMichael-k8n 21 годину тому +3

    Tengenezeni ndege vita sas

  • @ErickMdimu
    @ErickMdimu 5 годин тому

    Safi

  • @DesertTears
    @DesertTears 19 годин тому +1

    Mbona hawakupaishwa juu😂😂😂😂

  • @AmplifierPCBCircuits-rr7iw
    @AmplifierPCBCircuits-rr7iw 18 годин тому +2

    Hongera na Mimi naomba nafasi ya kufanya kazi hapo hata kusadia kazi hata Mimi ninaadia ya aircraft

    • @ThekraJanga
      @ThekraJanga 5 годин тому

      Nadhani uwafatilie zaid ya hapa 🙏

  • @ATWSKnowledge
    @ATWSKnowledge 13 годин тому

    BRAVO 👏

  • @johpixel4108
    @johpixel4108 День тому +2

    Hii ni hatua kubwa sana

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 День тому +2

    TRA IKISHUSHA KODI KAMA KENYA TAX 10 ,VAT 15% TANZANIA INGEFUNGUKA SANA

  • @CharlesSomeke-p8m
    @CharlesSomeke-p8m 16 годин тому

    Raisi samia mama huna baya umedhubutu umeweza mama mwenye uwezo wa kuongoza nakuombea maisha marefu

  • @MussaPonda-l4e
    @MussaPonda-l4e День тому +7

    😂vitatufaa vitengenezwe vingi viwe kama bodaboda

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq День тому +1

      Yaani wewe😂

    • @masmasonick6786
      @masmasonick6786 22 години тому

      Ajali kama zote uko angani

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 19 годин тому

      😂😂😂​@@masmasonick6786

    • @israelmwasota
      @israelmwasota 18 годин тому

      Si wangetengeneza TU bodaboda tutengeze ajira hata hatujawaambia tunataka ndege sisi😂😂

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 6 годин тому

    Sio Samia Ni mawazo ya hayati magufuri

  • @alexmwizarubi6655
    @alexmwizarubi6655 16 годин тому +1

    foreign investors ndo walimik na ndo watengenezaj then tunasema tumepga hatua 😂😂

    • @NancyPatrick-il8zj
      @NancyPatrick-il8zj 16 годин тому

      Huyu anaona tuko mbumbumbu kama yeye, sawa na kwenda kumleta mhindi akupikie biryani alafu unasema umepiga hatua kwenye mapishi

  • @Paschal-t8p
    @Paschal-t8p 16 годин тому

    Hivi ni vindege aisee hahaha😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 3 години тому

    Wapigaji to hakuna lolote mlisema ndege zinawatia hasara leo imekuaje acheni janja janja😂😂😂

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 День тому +4

    Sawa ndege tayari…tunatafuta abiria sasa😅

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 15 годин тому

    Watanzania tuache upuuzi,
    Sasa Samia Hongera yanini
    Alafu ss tuna vyuo vikuu na ma doctor na ma professor kibao
    Hatuna tunachounda

  • @GidionMichael-d7l
    @GidionMichael-d7l 19 годин тому

    Gud things actually

  • @kipetasingo2774
    @kipetasingo2774 7 годин тому

    Ila apa duniani unaweza kuchanganyikiwa morogoro amna airport lakini wanatengeneza ndege 😂

  • @joshuanassary5072
    @joshuanassary5072 5 годин тому

    Anavyo sifiwa uyoo naniliiii

  • @CantonaKunona
    @CantonaKunona 15 годин тому

    Sitoi laki yangu kupanda bajaji😂😅

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 22 години тому +1

    Kiwanda au gereji isiwe wanaunganisha tu

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 20 годин тому +1

    Sema kuunganisha sio kutengeneza

    • @adambago
      @adambago 18 годин тому

      Asilimia 70 Huwa WANAFANYA hivyo duniani.

  • @emmasele605
    @emmasele605 20 годин тому

    Wakenya wapo humu😂😂

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 23 години тому +1

    Hizo mpande wenyewe zikawaue huko

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 13 годин тому

    Mtueleweshee vizuri tunatengeza wenyewe au tunaunganisha hizo ndege.???

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 23 години тому

    🔥🔥🔥

  • @amaniamosi2603
    @amaniamosi2603 15 годин тому

    Shingapi nichukue moja

  • @شعبانحبي
    @شعبانحبي 14 годин тому

    🎉

  • @DeogratiasMadaraka
    @DeogratiasMadaraka 15 годин тому

    Mgepaisha tukaona juu jnaonekana ama ni kasongonaee

  • @StephanoAlmas-z6n
    @StephanoAlmas-z6n Годину тому

    Tengenezeni Skills Kwa wazawa sasa, au ndio mtatupiga mdanada Kwa kuwa mashart mliyosaini hayawaruhusu kingiza wazawa wajifunze, maana hamfungukagi nyie, mnatuonesha tu yanayoonekana, mengine yanabakia Siri yenu.

  • @alfredjackson1732
    @alfredjackson1732 18 годин тому

    Umeona watoto wa ndege kama mimi

  • @sinemax-w6q
    @sinemax-w6q День тому +1

    Vinabena watu 2 tu😂😂

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 15 годин тому

    Hahahahahahaha raha sana!!!

  • @nicelemoTripleFive
    @nicelemoTripleFive 17 годин тому

    Hatujaona ikirushwa hata moja jamani

  • @FilbertMwambe
    @FilbertMwambe 18 годин тому

    Heeh hizonazo ndege hahahahahah aaah!!!!

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 17 годин тому

    Wanazirusha leoleo au mpaka kesho.

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 День тому +1

    Zinauzwa bei gani??

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 День тому +9

    Hivi si vile vindege tulivoona kwenye movie ya bush men😅😅

  • @EstherMwashilindi-g8n
    @EstherMwashilindi-g8n День тому

    Wazinduzi tupo mbeya 😋

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s День тому

      Limeni maparachichi 😂😂 tu

  • @timonjenga1552
    @timonjenga1552 23 години тому

    Wangejaribu kutuonyesha ikiwa inaondoka hapo kiwanjani hadi kuruka ingependeza zaidi

  • @abdalahfundi7936
    @abdalahfundi7936 День тому +1

    Hizi hapana😂😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 18 годин тому

      Akhuu mi siwez kupanda vdogo kama mitumbwi😂

  • @selemaniHema
    @selemaniHema 19 годин тому

    Hii nanunua

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 22 години тому

    Tz kama canada tu

  • @kulwaedward3753
    @kulwaedward3753 День тому

    Unyama

  • @kipepeogames
    @kipepeogames 19 годин тому

    Miaka miwili vibali 😅

  • @tinomzungu8070
    @tinomzungu8070 22 години тому

    Hii nchi ngumu xna

  • @lawisonlameck
    @lawisonlameck 23 години тому +1

    Sasa hiv vindege wanakaa watu wangap?

  • @FilbertMwambe
    @FilbertMwambe 18 годин тому

    Nduguzangu mkianguka cji kuwaokoa

  • @healthytips-s7v
    @healthytips-s7v 22 години тому

    mbn haziruki

  • @SaidSalehe-z3p
    @SaidSalehe-z3p 23 години тому +1

    Kuna mzungu nkajuwa nisie wenyewe nseme sipandi hicho kibwasha

    • @JosephEmmanuel-eb7gj
      @JosephEmmanuel-eb7gj 23 години тому

      😂😂😂

    • @irenewile
      @irenewile 23 години тому

      Kujidharau tu ndio maana hao wazungu wanawaona wajinga huoni hata haya

    • @jafarinauma6798
      @jafarinauma6798 5 годин тому

      Acha mawazo mgando utatawaliwa na wazungu mpaka lini eti nimeona mzungu pale ndio sawa...jitambue wewe na sisi tunaweza acha psychological failure hizo

  • @nyandutozy_1
    @nyandutozy_1 23 години тому

    na materials wametengeneza hapa hapa au wamenunua vingine kutoka nje

  • @adambago
    @adambago 18 годин тому

    Bei gani moja! Tanzania nauli za tiketi ndege bado si rafiki, wataalam wapelekwe Ulaya, wawaulize wenzao, imekuwaje Dola 20 mtu anapanda Ndege ufaransa hadi italia na huku watu wengi wanakufa bila kuonja usafiri huo? Sasa tuna kiwanda, je Yawezekana kuwa na Ndege nyingi za watu 20 ili zitapakae kama bajaji na kufanya uchumi wetu upae Kwa haraka na wagonjwa wetu kufika hospitali Kwa muda muafaka?

  • @KassimuMsabaha-o9d
    @KassimuMsabaha-o9d День тому

    Nzuli kama

  • @comics3437
    @comics3437 День тому

    Sasa watamuuzia nani?

  • @NESTORYMAGUTU
    @NESTORYMAGUTU День тому

    Hapa lazima elimu itolewe ya kutosha, la sivyo waTz hatuchelewi kuvipiga mawe (manati) tukifikilia ni ndege-mnyama🥺

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 23 години тому

    JESHI lilitakiwa linngefika apo kujifnza watoe order za ndege za patro usalama wa anga kwa miaka ya sasa ni muhimu wakajifunze pia zaidi na pia vipi kuhusu kutengeneza ndoni za kusafiisha biza ndogo na kubwa waongeze maarifa dunia ipo kasi sana africa tumechelewa

    • @adambago
      @adambago 18 годин тому

      Na ni wao ndiyo wapo hapo na kiwanja ni chao

  • @nangondoson1367
    @nangondoson1367 23 години тому

    Made in where!!!! Hiyo sipandi

  • @Driverrapper
    @Driverrapper 23 години тому

    Moro

  • @issaomary5177
    @issaomary5177 День тому

    Haya mkapande sasa kama boing zina anguka cjui hizi zitakuwa zinafanyaje nahisi zitakuwa zinabiduka samba soti 😂

  • @safiamani7005
    @safiamani7005 21 годину тому

    Private jet, Made in Tanzania, viwanja vya ndege inchi nzima barabara za kwenda kwenye hivyo viwanja ikowapi??

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k День тому

    Tunahitaji viwanda vya magari pia tena magari ya umeme na gas ili kupunguza uagizwaji wa magar nje ya nch

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t День тому

    Ndege zinakuwaga ivyo jmn hata kama sijawai kuipanda au palachuti zimekamilika kiwandani

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 16 годин тому

      😂ni City seing hizo 🤣

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg День тому

    Hzo ndege zinaandikwa made in Tanzania au ni michezo

    • @MohammedAwadh-gq9si
      @MohammedAwadh-gq9si 23 години тому

      Made in Morogoro ! Si zimeandikwa au elimu zero

    • @FranckDaniel-cc5rg
      @FranckDaniel-cc5rg 22 години тому

      @MohammedAwadh-gq9si umenunua jet nn mwanetu kama umewaungisha na umeiona imeandikwa made in morogoro haya injinia

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 14 годин тому

    Sipandi

  • @neemacharles8046
    @neemacharles8046 День тому

    😂😂Bora nikanunua gari

  • @KHALFAN-m4o
    @KHALFAN-m4o 23 години тому +2

    Bila ya mzungu hapo hamna jambo 😅