Rebecca Magaba - Ebenezer (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • #MsalabaMEDIA #DirectorAbson #RebeccaMagaba #Ebenezer #RoseMhando #DirectorAbson #AnnointAmani #motivation #gospel #music #god #whatsappstatus #wasafi
    For Booking
    +255 713 147 183/ +255 797 957 191
    Forbooking
    msalabamedia@gmail.com
    ©2023 Administered By Msalaba MEDIA

КОМЕНТАРІ • 34

  • @EnessyMasanja
    @EnessyMasanja 11 місяців тому +5

    Tumetoka mbali mungu nimwema skuzote ❤

  • @johnmakanga2941
    @johnmakanga2941 Рік тому +5

    Ngoma mmemuibia huyu dada nyimbo yake daa Yesu awahukumu

  • @kanutimakanyaga4760
    @kanutimakanyaga4760 Рік тому +5

    Nimeanza kuusikia huu wimbo 208

  • @gloryhatibu3075
    @gloryhatibu3075 Рік тому +5

    Wimbo huu unanikumbusha 208

  • @JudithiMapega
    @JudithiMapega 4 місяці тому +1

    Amenii nabarikiwa sana nahuu wimbo

  • @entrenousemission
    @entrenousemission Рік тому +4

    Halléluyah aaaaaaaaaaaaaaaaaa! Il est mon Ebenezer. Yessaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @CalmGoshawk-kq7pp
    @CalmGoshawk-kq7pp Місяць тому +1

    Wimbo una nguvu ya Mungu sana shetani ashindwe na mawakala wake kutaka kuuwa huu wimbo kisa eti huzai piga kazi

  • @happykiiza
    @happykiiza 6 місяців тому +1

    Hongera dada

  • @fridahmacharia8044
    @fridahmacharia8044 Рік тому +4

    Wewe ni Ebenezer ❤❤

  • @LydiaNjagi-k4m
    @LydiaNjagi-k4m 11 місяців тому +2

    Wewe ni Ebenezer .God continue blessing us pamoja na dada .best song 🙏🙏🙏

    • @LydiaNjagi-k4m
      @LydiaNjagi-k4m 11 місяців тому

      Kweli umenitoa mbali .nitaendelea kukuambudu.

  • @gloryleonard1563
    @gloryleonard1563 5 місяців тому +1

    Nyumbo hii imeponya watu wengi imeibiwa na watu wengi ila songa mbele

  • @BarazaSeth
    @BarazaSeth 2 місяці тому +1

    This song is so blessing

  • @maryhaule5625
    @maryhaule5625 2 місяці тому +1

    Ameen 🙏🙏

  • @danmagala486
    @danmagala486 8 місяців тому +2

    Glory to Jesus

  • @NduwamunguJeanbosco-d2x
    @NduwamunguJeanbosco-d2x 8 місяців тому +1

    Amen🙏🙏

  • @entrenousemission
    @entrenousemission Рік тому +4

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @gloryleonard1563
    @gloryleonard1563 5 місяців тому +1

    Ngoma si ni mauwa wa nairobi oooh jamani mbingu ngumu sana ni vibaya sana kula pesa ya mtu wakati huo muimbaji hawezi tena kulipia nyimbo wala promo ya kazi zake ni mbaya sana

  • @mildredkahombi8260
    @mildredkahombi8260 28 днів тому

    Ameen

  • @d-maxScarlageKe
    @d-maxScarlageKe 11 місяців тому +1

    Thank you God for standing with us all the time I will always be great full to you the almighty 🙏 🙏🙏❤❤

  • @lydiakoloseni8723
    @lydiakoloseni8723 Рік тому +2

    Namuona Mama Sarah

  • @gervasmagadula5023
    @gervasmagadula5023 Рік тому +5

    Ngoma nyinyi mnauza mziki au mnasambaza audio?mauwa utakufa vibaya kitendo cha kukatalia nyimbo hii na muzema ni yako ili hali mwenye wimbo anateseka wewe unakula pesa zake na familia yako laana kabisa umelaaniwa na ulaaniwe kabisa nani asiejua huu wimbo huyu dada maisha yake magumu sana wewe na ngomma yako unakula pesa xa wimbo huu jamani wakenya kemeeni hii tabia ya huyu mauwa rutto saidie hii muimbaji ipate haki yake huyu mama alaaniwe kabisa.

  • @washukasheila
    @washukasheila Рік тому +1

    Wewe Ni Ebenezer

  • @leticiamadinda3977
    @leticiamadinda3977 Рік тому +1

    Ubarikiwe mpenzi

  • @CalmGoshawk-kq7pp
    @CalmGoshawk-kq7pp Місяць тому

    Mauwa keshashitakiwa kesi iko mahakamani mwizi na solomoni mkubwa wake majambazi

  • @RebeccaMagaba
    @RebeccaMagaba Рік тому +5

    Wimbo huu ulibiwa na ngomma na miaka mingi lkn sasa wameuachia MUNGU mwema jitihada zote zilizofanyika ili kuuachia wimbo huu 🙏

    • @lucyboti8327
      @lucyboti8327 2 місяці тому

      Kumbe ndiomana nikawa sielewi namsearch jane miso

  • @Annachilumba-g1w
    @Annachilumba-g1w Рік тому +1

    2018 nilianza kuisikia hii nyimbo

  • @danmagala486
    @danmagala486 Рік тому +1

    Hallelujah

  • @janehabakuki4564
    @janehabakuki4564 10 місяців тому +1

    Kuna kipindi sikuiona ila ilikuwa sipec kampuni chanel ya injili