I sang this song for every day that I was admitted at Kenyatta Hospital (4th dec to 30th dec). I had a badly broken leg, didn't know how I would pay the bill... God came through. despite doctors insisting that I should get metal plates in the leg if I was to ever walk again, specialists said that I would walk without them. I paid only 10% of the bill and was let go, I took my first steps this week. truly, God has been EBENEZER, my rock of help! Thank you for this song, sir.
" Sihitaji hatua tano ndipo niseme.. Hatua hii moja acha niseme ni kwa nguvu zako nimefika hapa🤗 kwa makubwa na madogo ni wewe Ebenezer"🙌🙌🙌 This far the Lord has helped me
Kaka Paul May God grant alot of blessing since your songs have a lot of encourage to our lives.Kama uko 🇹🇿Tanzania click like if this song imekutoa hatua moja kwenda hatua nyingine
I remember on October 13, 2022, at around 11am, I used this song while I walked down the aisle on my wedding day and let me tell you, indeed He is Ebenezer....🙏
Nimeamini sio kipaji tu ulichonacho ila Roho ya Ibada (mwabudu halisi) imo ndani yako man of God. Umefanywa kua Ibada. Mungu ashukuruwe kwa Roho yake inayonihudumia kila Siku kupitia wewe mtu wa Mungu.
Hii inifanya nikubali yeye. Amenipa wimbo mpya. ua-cam.com/video/q3PFHtaNlE4/v-deo.html Nimmojawapovya sababu elfu kumi za yeye kuwa ebeneza. Asante Paul Kwa huu wimbo
What a powerful song! Indeed He is Ebenezer.🇰🇪🇰🇪🇰🇪How I pray one day I get a chance to do a collabo with a powerful worshipper like you.. GOD BLESS YOU. MUCH LOVE FROM KENYA.
Sihitaji Hatua 5 Ndipo Niseme Hatua hii 1 nasema ni Wewe Si Kwa ujanja wangu, Si Kwa ujuzi wangu, Ni Kwa Nguvu Zako Nimefika Hapa Kwa Makubwa Ni Wewe Kwa Madogo Ni Wewe Si Kwa ujanja wangu, Si Kwa ujuzi wangu, Ni Kwa Nguvu Zako Nimefika Hapa Ebeneza
Natamani Waimbaji wote wangekua kama ww n lazma ifike sehemu Injiri na neno la kwel la Mungu lidhihirike kwenye kaz zao,sifa kibur visiwe na nafasi kwao,..Be blessed bro for being Real God manifestation💥💥🔥🔥
today being date 16 Nov of 2023 the, the far He is EBENEZA.... the song sings in my spirit, We have survived many things, am greatful to you Father, i call you Ebeneza
Whenever I listen to this song, I can't control the tears of joy in my eyes.....the seasons of life, indeed He is Ebenezer!!! Thank you minister Paul Clement for this one!
Amen 🙏🙏hata sasa ni Ebeneza ,kwa makubwa ni wewe hata kwa madogo ni wewe si kwa ujuzi wangu,si kwa nguvu zangu ila ni wewe hii mistari jaman nahisi kulia 😢😢😢But all in all glory to God almighty,Mungu akubariki Kaka Paul keep going your the best gud job bro👏👏
Brother Paul__brother Paul!! Hakika Mungu ni mwema na naamini unamtumikia Kwa kutuhubiria kiUAMINIFU,, Bwana akutunze daima bro. HATA SASA NI EBENEZA, SI KWA UJANJA/UJUZI WANGU
Jamanii leo nmekua wa kwanza naombeni likee zenuu:::
Nilipo fika ni wewe Ebenezer
ua-cam.com/video/q3PFHtaNlE4/v-deo.html
Amen🙏🙏😇😇🙌🙌
🙌😇🙏
Tujuane tunaoangalia EBENEZER Kwa kugonga like hapoooo
Ebenezer💥💥💥😍
I sang this song for every day that I was admitted at Kenyatta Hospital (4th dec to 30th dec). I had a badly broken leg, didn't know how I would pay the bill... God came through. despite doctors insisting that I should get metal plates in the leg if I was to ever walk again, specialists said that I would walk without them. I paid only 10% of the bill and was let go, I took my first steps this week.
truly, God has been EBENEZER, my rock of help!
Thank you for this song, sir.
Glory to God
Glory to God!
God is faithful
Glory to God
HATA SASA JEHOVAH NI EBENEZA....ALL GLORY TO HIM
" Sihitaji hatua tano ndipo niseme.. Hatua hii moja acha niseme ni kwa nguvu zako nimefika hapa🤗 kwa makubwa na madogo ni wewe Ebenezer"🙌🙌🙌
This far the Lord has helped me
Listening in 2024.piga like
Sio uanaume wangu wala ujuzi wangu 🙌bali ni wewe tu Ebenezer umenifikisha hapa
Kaka Paul May God grant alot of blessing since your songs have a lot of encourage to our lives.Kama uko 🇹🇿Tanzania click like if this song imekutoa hatua moja kwenda hatua nyingine
nyimbo yangu kwa msimu huu..hata sasa yeye ni ebeneza
Surely,hapa nlipofika yeye n Ebenezer
2024 still listening this masterpiece...HATA SASA WEWE EBENEZER 🙏
Ameeen!!! Wewe ni Ebenezer! 🔥 🔥 🔥
2024 Bado wewe ni Ebenezer.,...
Ni 2023 nausikiliza huu wimbo huku nikiutafakari ukuu wa Mungu kwenye maisha yangu
Hata sasa wewe ni Ebenezer ❤😊
I remember on October 13, 2022, at around 11am, I used this song while I walked down the aisle on my wedding day and let me tell you, indeed He is Ebenezer....🙏
Kitu kwa hewaaa 🔥🔥🔥
Ebenezer wangu hata sasa
Napenda sana hii nyimbo ime nibariki sana
Tulipofika mwisho wa mwaka Mungu ametutendea mema
Ndugu yangu ninacho kihitaji saa hiii naomba mungu akupe neema uingiye paradiso siku hiyo ya mwisho ndo ombi langu
NAobaJem
Amen
Amen
Wewe ni Ebeneza Mungu wangu, Asante Kwa matendo Yako makuu🙏🙏
Hapa tumefika wewe ni ebeneza
I was there than Night. Words can't Express how i felt. 🥺
May God receive all the glory 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Nikweli hata Sasa yeye Ni Ebenezer ...Mungu azidi kuinuliwa maishani mwetu
Hakika hapa nilipofika ni WEWE BWANA... Umefanya... 2023.. I here to confess that..
😊
This song is very personal eeeeiiiiish
Barikiwa sana mtumishi ujumbe mzuri Sana 🙏🙏🙏
Nimeamini sio kipaji tu ulichonacho ila Roho ya Ibada (mwabudu halisi) imo ndani yako man of God.
Umefanywa kua Ibada.
Mungu ashukuruwe kwa Roho yake inayonihudumia kila Siku kupitia wewe mtu wa Mungu.
Huu wimbo huniinua nyakati zote , glory to God He's always on the throne in the good times and bad,hata sasa wewe ni Ebenezer
Hii inifanya nikubali yeye. Amenipa wimbo mpya.
ua-cam.com/video/q3PFHtaNlE4/v-deo.html
Nimmojawapovya sababu elfu kumi za yeye kuwa ebeneza.
Asante Paul Kwa huu wimbo
Aiseee hili goma....ninafunga nalo mwaka
Bwana ni Ebenezer 🙌🙌🙌 si kwa ujanja wangu, si kwa ujuzi wangu, ni kwa nguvu zako nimefika hapa 🥁🎷🎸 Tangu January hadi sasa Bwana amekuwa Ebenezer
Kama unaamini hata hapa ulipo ni kwa ajili ya Ebenezer sema Amina pamoja nami, na BWANA azidi kukuinua mpendwa🙏🇰🇪🇰🇪
Daaaah wooooow aseee wewe ni #Ebenezer powerful song asee minister Paul Mungu akubariki kwa kutuhudumia na ujumbe huuu
Stay Blessed Kaka wa Taifa la TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❣️❣️❣️❣️👑👑👑Wewe Ni 👑👑👑
sema unaandika sana paul..may God bless you. tunabarikiwa na wewe kwa kipindi hiki
Woooooow
This is my song for sure...
He is Ebenezzar!!!!!
This song will bless many for sure
Its so powerfull
Amazing
What a powerful song! Indeed He is Ebenezer.🇰🇪🇰🇪🇰🇪How I pray one day I get a chance to do a collabo with a powerful worshipper like you.. GOD BLESS YOU. MUCH LOVE FROM KENYA.
Sihitaji Hatua 5 Ndipo Niseme
Hatua hii 1 nasema ni Wewe
Si Kwa ujanja wangu, Si Kwa ujuzi wangu, Ni Kwa Nguvu Zako Nimefika Hapa
Kwa Makubwa Ni Wewe
Kwa Madogo Ni Wewe
Si Kwa ujanja wangu, Si Kwa ujuzi wangu, Ni Kwa Nguvu Zako Nimefika Hapa
Ebeneza
This one hits deeep
This is killing me softly
I can't get enough of this🇷🇼🇷🇼🇷🇼👌🙏😥😥😥🙏😥
Nice song broo Mungu akuinue zaidi ya ufikirivyo 🔥🔥🔥
Kwa makubwaa ni wewe na madogo ni wewe ..so kwa ujanja wangu ila no wewe EBENEZER POWEFUL BRO
Paul unaimba katika roho sanaaaa
Hata sasa wew ni ebenezaaaa::::
Yaani this is the 1st time kusikia this song and i like it.2024.10.27. Ebenezer umenifikisha hapa
Mungu AKUBARIKI zaidi ya sana my brother 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Now si ndo sasa 🙂
Haijaanza
Bado
Ebenezer forever 🎉
Thats groove… The Drummer is great. Nice job Andrew Chitete.
Natamani Waimbaji wote wangekua kama ww n lazma ifike sehemu Injiri na neno la kwel la Mungu lidhihirike kwenye kaz zao,sifa kibur visiwe na nafasi kwao,..Be blessed bro for being Real God manifestation💥💥🔥🔥
Pata taste mpya ya Gospel hiphop kwa kusikiliza mziki huuua-cam.com/video/BmTqWhTAs78/v-deo.html
Thanks paul clement GOD bless u brooo::::: hakika hata sasa tulipofika wew ni ebenezaaa
Umeinua tena nafsi zetu na taifa letu kwa Mungu Baba yetu 🙌🙏
Kwa kweli Yeye ni Ebeneza,much love from Kenya,God Bless you
Hata Sasa wewe ni EBENEZA tulipofika ni wewe tu EBENEZA💕💕💕💕
today being date 16 Nov of 2023 the, the far He is EBENEZA.... the song sings in my spirit, We have survived many things, am greatful to you Father, i call you Ebeneza
Glory to God..
This far God has bn faithful too.. Blessings
Whenever I listen to this song, I can't control the tears of joy in my eyes.....the seasons of life, indeed He is Ebenezer!!! Thank you minister Paul Clement for this one!
Kweli ni ebeneza
WOW I HAVE Enjoyed the Song. 🎉🎉🎉
Uganda honors you mr Paul clement... indeed He is the Ebenezer in all my life
Amina kubwaaaaa kwa Bwana. BWANA kafanya sana kwetu mwak huu. Hta sasa ye ni ebeneza kwetu.
Amen 🙏🙏hata sasa ni Ebeneza ,kwa makubwa ni wewe hata kwa madogo ni wewe si kwa ujuzi wangu,si kwa nguvu zangu ila ni wewe hii mistari jaman nahisi kulia 😢😢😢But all in all glory to God almighty,Mungu akubariki Kaka Paul keep going your the best gud job bro👏👏
Heard in church, couldn't wait to find it. So blessing!
Barikiwa sana 😊🇰🇪
Yaaaah...meee took
Beautiful songs
Blessed
Am blessed 🙏
Barikiwa sana mtumishi wa bwana
Same here,just searched ata sasa wewe ni Ebenezer.
Mungu ni Mwaminifu sana
✔️hata Sasa ni Ebenezer🔥🔥
Oooh God ebenezer ni wewe...kwa makubwa na madogo...huu wimbo ni wangu kabisa...thank u God kwakukutana na hali yangu ninakupenda sana yesu
goood song mungu akubariki
Brother Paul__brother Paul!! Hakika Mungu ni mwema na naamini unamtumikia Kwa kutuhubiria kiUAMINIFU,, Bwana akutunze daima bro. HATA SASA NI EBENEZA, SI KWA UJANJA/UJUZI WANGU
Amen
Hapa nilipofika kweli wewe ni Ebenezer😊😊😊😊😊
Ohhh jesus powelfull /utukufu kwa bwana maana ni ebeneza 🙏
Saf sana kaka yangu huu wimbo tumeimba Leo kanisan nimehis YESU ameshuka na kuket na mm
We love you Paul clement ❤️what a powerful ministration 🔥
Powerful song Paul, you can never go wrong with the Word of God! God bless and increase you.
Kazi nzuri kaka yangu Paul nakuombe ufike mbali sana pia nami nataman IPO Siku moja tuimbe pamoja nami naitwa Paul Jackson huwa mwimbaji wa gospel
Kwa hapa tulipofika ww ni Ebenezer ubarikiwe mtumishi nyimbo zako zimekuwa baraka sana
Nakubali sana "hata sasa wewe (Yesu) ni ebeneza .... "
All praise to Him who lives above the skies
Wow kaka 🤗 Mungu akubariki
Kaka kaka barikiwa mnooo
Yaaaaan daaaah huyu jamaa financial sanaaa nabarikiwaa na ngoma zake
“Hata sasa ww ni Ebenezer”👏👏
Paul no mmoja Wawa imbaji anaye bariki mungu akuinue mkuu
Wimbo mzuri sana, umenibariki jumatatu hii
Hata sasa Bwana ametusaidia🤗
That bassist always does his thing. He got the fingers running nice🔥💯
He's my friend proudly. He's called Sam bassist.God bless him
Waiting mood
Mupa hapa Mungu iko nasi yeye ni Ebenezer Mungu asiyeshindwa
The man on the bass guitar🙌... Much appreciations to the instrumentalists_ super arrangement_ much blessings🙏
🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌
Hata Sasa Wewe ni Ebenezer 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏.
#Huyu Mtu wa #Lights yupo vizuri
#Paul
#Ebeneza
From TikTok and let me say, it's given me goosebumps.I've loved the song,
Hata sasa wewe ni Ebenezer🎶 Not by Might Not by Power but by the SPIRIT OF GOD!
Kaka wewe Ni nuru ing'aayo Gizani. Mungu akutunze hakika.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nikwa nguvu Zake Mungu
kaka Mungu azidi kukubariki zaidi kwa maana nyimbo zako zina uponyaji ndani ya mioyo yetu
Yes yes God you're Ebenezer 🙌
Thanks bro for this song, I'm blessed ! I'm Congolese🇨🇩🇨🇩 but I live in burundi 🇧🇮🇧🇮
Thus far, the Lord has been faithful. Keep doing this, minister Paul. The Lord is using you to preach unto the world. Much love from Kenya
Aseee nliusubiri sana huu wimbo Mungu akubariki sana kaka paul
Ooh nikwa nguvu zako nimefika haha mungu
God is always ebenezer in my life ,,thanks for this song i am blessed
Napenda Sana nyimbo zako naomba kuimba nawe nyimbo hii 🎉
Ata hapa nilipo ni Ebenezer, asante Mungu wangu kwa kila kitu🙏🙏,Barikiwa kaka
Hongera sana Poul Mungu aendelee kukutumiaa Sana sana aiseee tunabarikiwa na Huduma yako