Goodluck Gozbert- Asante (Official Music Video) For skiza SMS 9865518 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 856

  • @priscillarsidi2008
    @priscillarsidi2008 Рік тому +21

    Hii nyimbo imeimbwa kwa ajili yangu... my husband was diagnosed with kidney failure, 2021, yaani zile mbio tulipambana, sema kusemwa I rem watu wakisema namroga ili nibakie na nyumba na gari... surely nyumba na gari ingenilelea watoto at this young age, I fought na magoti na maombi, alipata kidney last year he is doing well, n out of the country, sasa wale wabaya wanataka kurudi weeeeeh Mungu wangu sina cha kukwambia... kwa yote bali asante na jina lako lizidi kuinuliwa.... am now ready for my white wedding...

  • @hellenpaul-kq7ed
    @hellenpaul-kq7ed 10 місяців тому +1

    Ahsanteeee Mungu najua utatenda zaidi na kwangu soon🙏 unajua ninachokuomb na kukumbusha kila siku😭😭🙏🏾🙏🏾

  • @princebravoKE
    @princebravoKE 3 роки тому +94

    Who else is keeping this song on repeat mode?? I cannot explain what I feel when listening to this song! I just feel like this song is all about me! Thankyou Jesus your everything to me 🙏🇰🇪

    • @damariskanyoro5233
      @damariskanyoro5233 2 роки тому +4

      When it's done in spirit and in truth you will always know. I do keep alot of Goodluck's songs on repeat. I pray that God continues to use him for his glory 🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 роки тому

      ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html

    • @jamessabai6530
      @jamessabai6530 2 роки тому

      ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html

    • @mrhabel1605
      @mrhabel1605 2 роки тому +2

      me too

    • @keithwafula121
      @keithwafula121 2 роки тому +3

      I keep listening to it over and over😍

  • @godblessgerard6914
    @godblessgerard6914 3 роки тому +4

    Sisi ni Nan tusimwambie mungu ASANTE ,kwa yote
    Ubarikiwe sana mtumishi na kaka yangu #GoodluckGozbert

  • @cmou1750
    @cmou1750 3 роки тому +58

    Umebarikiwa! Kutusemea sote tulioguswa na wimbo huu wako mpya, as always!
    Blessings!

  • @eyezonmichu
    @eyezonmichu 3 роки тому +6

    Wimbo huu ukamuinue kila mtazamaji

  • @MukamusoniHawa-cj2yc
    @MukamusoniHawa-cj2yc 11 місяців тому +2

    I am a muslim lakini hii nyimbo😭😭mungu kaniokoa kwa mengi,ningekua nisha sahaulika😭na mengine yataisha,mungu kafanya mengi😭😭

  • @alidiajoseph1922
    @alidiajoseph1922 3 роки тому +53

    Whoever is reading this Merry Christmas and a prosperous 2022..Let's end this year with gratitude.. God will always be good.. He gave us His son.. Something a man cannot do.. Ata tukose yote ya Dunia, tumepewa YESU.❤️

  • @ericmukabwa4563
    @ericmukabwa4563 3 роки тому +5

    I thank God for true worshipers atleast kunao mmoja anatuthibitishia kutumainia Mungu ni vyema

  • @mrseed4
    @mrseed4 3 роки тому +108

    Soul touching music 🙏🙏

  • @godfreyishengoma6732
    @godfreyishengoma6732 3 роки тому +44

    Hii ya kufungia mwaka. GOD BLESS YOU BROTHER

  • @leahmtamba5986
    @leahmtamba5986 3 роки тому +10

    Mnh asante hata kwa mabaya maana haukuyaruhusu yaniangamize!! I just love the song! Be blessed brother.

  • @ambakisyemwakinunu2002
    @ambakisyemwakinunu2002 3 роки тому +4

    Mungua aendelee kukulinda kna kukubari, nyimbo zako zinabariki wengi sana

  • @jeremiahleonce2434
    @jeremiahleonce2434 2 роки тому +2

    Umenibariki sana , huduma uliyoianza si nyepes sana kuna pepo nyingi zinavuma ila ukikaaa miguuni kwa wazee utafanya vyema zaid ya hapa; ni maombi yangu Mungu asiziache nyanyo zako ;

  • @celebcorner9398
    @celebcorner9398 3 роки тому +1

    Asante kwa mabaya na wabaya😌🙏

  • @neemakarisa4167
    @neemakarisa4167 3 роки тому +6

    Asante Mungu kwa umbali huu...mengi umenivusha...barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri wa kumshukuru Mungu...Mungu akubariki na aibariki huduma yako Amen

  • @allysufian9822
    @allysufian9822 3 роки тому +1

    Talented Mziki wangu Kila time

  • @estheramisiofficiel8304
    @estheramisiofficiel8304 3 роки тому +2

    Wow fonce encore mon frère

  • @FavouredKid
    @FavouredKid 3 роки тому +40

    Kama kawaida representing code +254🇰🇪,Goodluck you have always been a blessing😇 to many and I decree declare that this song is going to minster to people's life & be a true inspiration📢 . #ASANTE to the world🌏💯🌟🎼🔥. (1st Thessalonians 5:18)

  • @norahelipokea7581
    @norahelipokea7581 3 роки тому +1

    Asante Mungu kwa kuzaliwa yesu christ leo nimeokolewa Asante babaa

  • @aboy781
    @aboy781 2 роки тому +1

    Mungu shuka kwa mtumishi wako na ubari kazi yake maradufu kupitia jina ra yesu

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 3 роки тому +1

    Asante kwa shuklani hiyo

  • @Aline-nq6vq
    @Aline-nq6vq 3 роки тому +7

    Nime gonga like nasija sikia wimbo 🙈🙈 nyinyi je?

  • @jaydemattos9613
    @jaydemattos9613 3 роки тому +1

    Asante Baba Kwa ha yote umenitendeya . Wendell wivu wamejaribu kuniharbia Nyumba yangu . Lakini umesimama na mimi Kwa Imani

  • @naomikalinga3042
    @naomikalinga3042 3 роки тому +1

    Asante hata kwa wabaya wamenifundisha kuku tumani Asante baba Asante YESU barikiwa kwa uimbaji nzuri nautunzi mzuri

  • @nyanjaujane6886
    @nyanjaujane6886 2 роки тому +1

    Asante baba kwa mabaya kwa maana hukuruhusu yaniangamize.Asante kwa wabaya maana walinifunza kukutumainia.Mtetezi,mfariji,kibilio langu.

  • @isackkissinger9299
    @isackkissinger9299 2 роки тому +1

    Namshkuru mungu kwa umbali huu aisee! sijui ningekua wapi mimi. Jesus i love you.

  • @wordsofhopewestpalzab4875
    @wordsofhopewestpalzab4875 3 роки тому +1

    Wouw my priority msani
    Una nipa tumaini yakusonga mbele na Imani, tunzwa na Mungu

  • @seniorprophetmaxmbise737
    @seniorprophetmaxmbise737 3 роки тому +1

    Hujawai kukosea Hakika Mungu ninayemtumikia hatakuacha wala hatakusahau Maisha yako yote.

  • @ixellesmbang4021
    @ixellesmbang4021 2 роки тому +1

    que Dieu te benisse mon frere au nom de jesus.asante baba mungu ju ya maisha yako.rdc

  • @OLELEMBRICE
    @OLELEMBRICE 3 роки тому +1

    Mungu juu ya vyote, hakuna anayeweza kupindisha injili, barikiwa sana gozbert kipaji ulicho barikiwa na akili havi nunuliki kwa pesa au mali.Wenye akili wameelewa.

  • @filledabrahamrm758
    @filledabrahamrm758 2 роки тому +1

    Kwa kweli nasema asante Baba. Nikiangalia mahali umenitoa nakosa lakusema. Uko Mungu kweli.

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 3 роки тому

    Amina hakika bwana nimwema nimefurahi Sana wimbo nauludia ludia siuchoki 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @singeremmanuel5141
    @singeremmanuel5141 3 роки тому +1

    Natakushuru namna wee×3 babaa howeee×3.🙏🏼🙏🏼

  • @brightondyausa7511
    @brightondyausa7511 Рік тому

    🙏🙏🙏🙏🙏, asante baba kila siku mpya kwangu ni neema,.. 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sayunimrocky8445
    @sayunimrocky8445 12 днів тому

    Wimbo wangu wa mwaka. Asante baba mwaka huu nimepitia kwenye mambo magumu sn na mazito lkn ni kwamkono wa Mungu tu nimefika hapa nilipo

  • @PrincessOm3285
    @PrincessOm3285 3 роки тому +11

    Ameeen wimbo mzuri kweli Asante baba God for all you've done to me 🙌🏾🤝🏾🎸🎸🎺❤️

  • @bellogregory7175
    @bellogregory7175 3 роки тому

    Asante Yesu kwa kila Jambo😩🙌🏾

  • @Tradewatchstoretz
    @Tradewatchstoretz 2 роки тому +1

    Hujawahi kuniangusha, mungu akuinue kwa viwango vya juu sana uwe sababu ya wengi kulijua na kulitumaini jina la kristo🙏nakuona mwimbaji mkubwa sana ajae Africa mashariki na duniani kote.

  • @ReginaPetro-u9l
    @ReginaPetro-u9l Місяць тому

    Mungu akuzishie neema na Baráka maana umetukumbusha neno Asante maishan mwetu"god bless you"

  • @josphinegwehona185
    @josphinegwehona185 3 роки тому

    Asante Baba
    Wewe ni mwema Sina kukupa lakini Asante haziwezi tosha
    Be blessed Man of God

  • @supert-feti1688
    @supert-feti1688 2 роки тому +1

    Asante brother kwa zawadi ya kristmas na mwaka mpya GOD BLESS YOU

  • @mariagerald6763
    @mariagerald6763 2 роки тому

    Asanteh hata kwa mabaya&wabaya walinifundisha kukutumaini MUNGU 🙌🙌🙌 #myBrother..Goodluck this is Powerful,🙏🙏🙏Barikiwa sanah

  • @christinapeter9284
    @christinapeter9284 3 роки тому

    Asante 🙏 Sana Mungu amefanya mengi hapa nilipo Ni kwa uwezo wake .

  • @fabiannaasifiwe4732
    @fabiannaasifiwe4732 3 роки тому +6

    Thanks, lord coz we finish the year, nimekuona kote katika this year, I am so grateful for this song🙏🙏

  • @happycharming4627
    @happycharming4627 2 роки тому +1

    Be blessed mtumishi

  • @filledabrahamrm758
    @filledabrahamrm758 2 роки тому

    Huu ni wimbo wangu. Asante Baba Mungu kwa yote. Minakosa maneno.

  • @farajambigo7702
    @farajambigo7702 3 роки тому +1

    That's the world song congratulation good luck

  • @AbelJosephtz
    @AbelJosephtz 3 роки тому +1

    Tunaisubili mtumishi achiaaaaaaaaa

  • @felisterjames5859
    @felisterjames5859 3 роки тому

    Sijawahi kuachwa kuguswa na nyimbo za kaka goodluck Gozbert

  • @elizabethkisongo5905
    @elizabethkisongo5905 3 роки тому +1

    Ahsante sana mtu wa Mungu kwa wimbo wenye upako wa kufungia mwaka Mungu aendelee kubariki huduma yako, ubarikiwe mpk ushangae

  • @sumeandrea
    @sumeandrea 3 роки тому

    Wengine waliweza kuwaeleza watu ukuu wa Mungu na wengine kuwarudisha kwa Mungu na wengine kuwatia moyo watu na kurudi kw Mungu

  • @marthajuma2840
    @marthajuma2840 3 роки тому

    Huu wimbo unanitia machozi, Asante baba yote ni Kwa wema

  • @dankanndalabha4160
    @dankanndalabha4160 3 роки тому

    Mungu azidi kukutunza, najikuta narudia mala tatu tatu kuusikiliza huu wimbo.

  • @estermpwan4739
    @estermpwan4739 3 роки тому

    Ninakila sababu zakumrudishia shukrani Baba yangu hakika, Asante Bwana wangu. Barikiwa sana Mt

  • @esterkabogo249
    @esterkabogo249 7 місяців тому

    Asante Haitoshi MUNGU Wangu❤❤❤❤❤

  • @esperancebulambo8901
    @esperancebulambo8901 2 роки тому

    Ubalikiwe sana kanyimbo hii nina isikia macozi tuu joo yananidodoka
    Mungu azidikuku inuwa

  • @dayanapastor2322
    @dayanapastor2322 2 роки тому

    AHSANTE BABA, naanza mwaka mwingine wengi hawajapata nafac lkn mm umenipa neema 🙏🙏🙏 si kwa kuwa maybe nimekuwa mwema sana bali neema, na Rehema zako🙏🙏🙏🙏

  • @erickkaris9456
    @erickkaris9456 3 роки тому +1

    God bless u kaka hata kumaliza mwaka ASANTE BABA🇰🇪✨

  • @PendoJohn-r3i
    @PendoJohn-r3i Рік тому

    Umeupiga mwingi Kaka,hakika mungu hatokuacha,, wimbo huu umenibariki sana

  • @Mwl_Lupimo
    @Mwl_Lupimo 3 роки тому

    Tuko pamoja Goodluck Tuombeane sote tukimshukuru pia Mungu

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 Рік тому

    Hata katika magumu haya Mungu nashukuru sababu yananisogeza karibu zaidi naww Mungu wangu na kukaa karibu nawewe ndio kitu napenda zaidi

  • @dixonjames8611
    @dixonjames8611 3 роки тому +3

    Eeeh! Hivi mi najua labda nimtandao unazingua...dah..goodluck my brother umeshatuweza

  • @FranckWendo
    @FranckWendo 3 роки тому +2

    Asante ni neno zuri sana lenye kumpendeza Mungu

  • @luttumohamedfafara9630
    @luttumohamedfafara9630 3 роки тому

    Mimi kwa imani ni muislamu lkn napenda nyimbo zako na ninazo nasikiliza kila mara.Nasikiliza mahala popote maana kwanza huwa hutumii neno Yesu bali hutumia neno Mungu kwahiyo nakua na amani maana hakuna wa kunikosoa kwa kusikiliza gospel kutokana na dini yangu.Mungu aendelee kukubariki hujawahi kukosea.

  • @palukumessager7258
    @palukumessager7258 3 роки тому

    Amen kwa hakika sisi Si bora kuliko wale ambao wametanguli.Hatuna budi ila kushukuku Mungu

  • @surehamlela8538
    @surehamlela8538 3 роки тому

    Uzidi kwenda mbali kama baba mh.nabii mkuu alivyosema use baraka kwa wengine

  • @eliudoyalo9443
    @eliudoyalo9443 3 роки тому

    Wow! Uneguza maisha yangu baba. Asante

  • @shashashaly3589
    @shashashaly3589 3 роки тому

    Siku sote unaniguza roho yangu na wimbo zko God bless you

  • @williammwajeka3347
    @williammwajeka3347 3 роки тому

    Asnt 🙏 MUNGU kwa uzima ulionip,,co kwa Ujanj wangu,,

  • @Official_manlizy
    @Official_manlizy 3 роки тому +2

    Asante Baba kwa kunifikisha mpaka Leo hii Am Blessed🙏🙏🙏

  • @neemamwantapila5202
    @neemamwantapila5202 Рік тому

    Asante mungu nashukulu Kwa huu wimbo mana umegusa moyo wangu,Asante hata Kwa mabaya niliopitia.

  • @LoyceMungah-yo8hj
    @LoyceMungah-yo8hj Рік тому

    Asante kwa wimbo umeniguza watching from kenya barikiwa sana kaka mungu akupe kibalizaidi

  • @melissaw9784
    @melissaw9784 3 роки тому

    Asante Baba maana in wengi wanatamani kuona anguko letu Bali hujatuacha uko nasi umetishika na mkono wako wa KUUME MUNGU BABA waaibishe watesi wetu wakose mahali pa kuficha sura zao ASANTE BABA

  • @croxzfireGideonsirma
    @croxzfireGideonsirma 3 роки тому

    Kazi nzuri sanaa my brodah... Asante Yesu umelinda.. Asante Babaa oooo...

  • @fideliemugombozi209
    @fideliemugombozi209 3 роки тому

    Sina kya ku kulipa baba, Ila tu na sema ahsante🙏🏽

  • @godimahenge3345
    @godimahenge3345 3 роки тому

    wimbo mzuli sana brother🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @niyomungerejmarrie4640
    @niyomungerejmarrie4640 3 роки тому +1

    Thanks lote Jesus is the first in our life nyimbo nzuli inanikumbusha matatizo napitia bakuyavuka salama asante baba wambinguni

  • @piltermediaafrica7254
    @piltermediaafrica7254 3 роки тому +3

    "Asante asante haitoshi ila natafuta maneno yananikosa"
    Tupate wapi la thamani ya kutosheleza ukuu wake jameni?
    Salamu nyingi kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪. Nimependa kazi hii.

  • @boazylazaro6724
    @boazylazaro6724 2 роки тому

    Kwa kweri mungu ashukuriwe,,,,, asante babaaaaa!!!!!

  • @roserobert5740
    @roserobert5740 3 роки тому +6

    Daah! Aisee! Goodluck Gozbert ubarikiwe sana, MUNGU aendelee kukutumia kwa viwango vya juu sana

  • @beatricejohnkomba3076
    @beatricejohnkomba3076 3 роки тому

    Ahsante baba wimbo mnzr ,mungu ahsante kwa nipigania uja nipungukia katika maisha yangu afya umenipa katika biashara naona mkono wako , Asante

  • @stellahjoel546
    @stellahjoel546 3 роки тому +3

    Wimbo Mzuri Sana Unagusa Ubarikiwe Sana

  • @Lucy-yv7zh
    @Lucy-yv7zh 3 роки тому

    Asante Mungu Baba.Asante Goodluck kwa wimbo huu., barikiwa sana.

  • @wandedalushi2984
    @wandedalushi2984 3 роки тому

    Nimelia Sana hakika Kama si Mungu nisingekua hai hii leo 😭

  • @BijouxJean
    @BijouxJean 2 роки тому

    Asante baba kwa kuniheshima 🙏🏽🥰

  • @husseinally7052
    @husseinally7052 3 роки тому

    Mnaujua zaidi tuachieni hii nyimbo iende hadi january mana hamshindwi kuchafua hali hewa kisa tu mnajifanya mnajua sana,much thanks goodluck god bless u for giving us a good song.🙏

  • @davidmwaura6031
    @davidmwaura6031 2 роки тому

    huyoo Jamaa kenya 🇰🇪 anapendwa sanaa

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM 3 роки тому

    Hongera mtumishi. Hii ni zawadi tosha kabisa kwa wenye huzuni. By Master DTEM.

  • @analystsenior5170
    @analystsenior5170 Рік тому

    Asante Baba 🙏🏾 Asante Goodluck 🙏🏾

  • @basimenyemwamakula3759
    @basimenyemwamakula3759 2 роки тому

    Nauludia tangu siku niujue unapiga asubuhi mchana jioni Mungu akubariki

  • @egidius.charles
    @egidius.charles 3 роки тому

    Mwimbo mzuri sana @GoodluckGozbert. Siku hizi nautumia kama mwimbo wa shukrani

  • @Madina-l7q2n
    @Madina-l7q2n 11 місяців тому

    Iyi nyimbo Nay penda sana tana sana ,kila Mara Nay sikiliza

  • @babaloisethan7010
    @babaloisethan7010 3 роки тому

    MWAKA UMEFUNGWA NA KITU KIZITO KUTOKA MBINGUNI.. #ASANTE_YESU

  • @jacksonsimon4453
    @jacksonsimon4453 3 роки тому

    Asante Mungu kwakunilinda mwaka mzima Asante Bwana

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 роки тому

    Huu Ujumbe Good... Umenifanya nipate Furaha Moyoni mwangu.

  • @officialnalib5208
    @officialnalib5208 3 роки тому

    Na Mungu anapokupa sauti ya kweli, inakua sauti ya kubariki kweli. Mungu akulinde kaka

  • @maggymshay7666
    @maggymshay7666 3 роки тому +7

    Thank you God for everything in my life🙏🙏🙌♥️♥️

  • @moricerichard982
    @moricerichard982 Рік тому

    Ubarikiwe sana Gozbert kwa nyimbo safi yenye kusheheni maana ya kushukuru baada ya kupata ahueni fulani ya masumbuko uliyopitia kupitia jina la Yesu. Nimeipenda sana na inazidi kunipa tumaini la kusonga mbele na Yesu wangu. Mungu akubariki sana kwa huduma hii ya uimbaji, uzidi kukua na kukua hadi kimataifa. Thanks brother Gozbert for the God words passage via Gospel Songs.

  • @freegospel
    @freegospel 3 роки тому

    Mungu akubariki sana brother Goodluck Gozbert kazi nzuuriiii sanaaaaaaa