HUKUMU YA KESI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YATOLEWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @kijonalusay
    @kijonalusay 4 роки тому +9

    Kila jambo lina mwanzo na mwisho litaisha tu hili In Shaa Allah Na Wazanzibar tutakua huru na nchi yetu #ALLAHANATOSHA

  • @rizikisuleiman7820
    @rizikisuleiman7820 4 роки тому +5

    Mungu atusaidie Wazanzibari wote 🙏🙏

  • @rastafare878
    @rastafare878 3 роки тому +3

    Sijui Kwanini Tanganyika inain'gan'gania Zanzibar , iacheni ipumue wazanzibari hawataki muungano washachoka ,

  • @olaolacocacola9242
    @olaolacocacola9242 4 роки тому +5

    Maamuzi ya mahakama ya jumuiya ya (EA)yaliofikiwa kutokana na msukumo wa mapingamizi ya wakili wa serikali yamefanya KUMPIGA CHURA TEKE hadi kufika (UN) Hongera Adi na wenzio 39 pamoja na Wazanzibar wote wanaotaka kuona haki inasimama na InshaAllah haki tutaipata sio mbali tena🙏🏽🤝💪🏽

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 роки тому +2

    HATUITAJI MUUNGANO NA WATANGANYIKA UKWELI HUU NA HAWAJUWI NNI MAANA YA MUUGANO WAZANZIBARI INSHAALLAH TUNAAKILI NA NDIO TLIOWAPIGA TOCHI WAO WAANKE LAKINI BADO UNYANI ULE ULE WANAO NA APEDONYA NARADHI YAO 🇹🇿👹😇🇮🇱🇹🇿👹😇🇮🇱🇹🇿👹😇🇮🇱🇹🇿👹😇🇮🇱🇹🇿👹😇🇮🇱🇹🇿👹😇🇮🇱🇹🇿👹🇮🇱🇹🇿👹😇🇮🇱🇹🇿👹😇🇮🇱

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 роки тому +4

    Tunataka mamlaka kamili zanzibar tunataka Mashekhe wetu ipo siku tutapata uhuru wetu mkoloni mtanganyika ataondoka zanzibar ilikuepo huru kabla kungana na mungano wa mktaba tena kwa maneno sio kwa mandishi hakuna mandishi hakuna uhalali zaidi ccm kupeana wao uhalali

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 7 місяців тому

    Ila wakoshapata uhuru wao bado wataanza kujikanyaga wao kwa wao kutakuwa na mgawanyiko tena

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 4 роки тому +3

    Hawa siwakutusaidia jamnii sisi wananchi tuikomboee nchi yetu sisi wenyewe kwa lolote lilee

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 9 місяців тому

    Mahakama ni sawa na wale wale minyangau hawezi kabisa kuamua Muungano uvunjike kwa sababu wana maslahi nao hakuna nyaraka hata moja musitudanganye sisi sio watoto wadogo

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 4 роки тому +2

    BORA UVUNJIKE MUUNGANO MAANA HAUNA FAIDA KWA PANDE ZOTE TUNAONGEZA GHARAMA ZA UENDESHAJI WA SERIKALI

  • @omarsaid7153
    @omarsaid7153 2 роки тому +1

    Wao "Sisi Wazanzibari " hatujapewa mamlaka ya Kuhoji uhalali wa Nchi huru 😂😂 , so Ninyinyi pekee WATANGANYIKA NDO WENYE MAMLAKA YAKUUHOJI isbabu tu Muendelee kutudhulumu na Kutuua. Yaani hawa watu wana roho mbaya hata Nguruwe wanaafadhali 😂. HII NCHI ( ZANZIBAR ) LAZIMA MTAITAAPIKA . Wizi

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 роки тому

    Hapo chacha

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 роки тому

    WAONGO HAWA WAPUMBAVU WA BARAZA LA AFRICA WAPO UPANDE WA TANGAYIKA TU UPUMBAVU NA UWONGO WAO 🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇😇🇹🇿🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇👹😇🇹🇿😇🇹🇿

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 роки тому +1

    Tena hatutak haswaa
    Muungano Kila mmoja
    Awe na lake

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 2 роки тому

    Ipo siku usipo ipata haki kwaamani.bc utaitafuta kwashari.na wazanzibar tutaitafuta kwashari..kwaza tumeshaaza kuzoea kuliwa nawatanganyika.

  • @kassimmussa8015
    @kassimmussa8015 2 роки тому

    Miss coast usjali hamutolala njaa na wala hautovunjika lakini mfano ikatokezea kuvunjika bc hamutolala njaa lakini chamoto mtakiona tu

  • @misscoast3174
    @misscoast3174 4 роки тому

    Na uvunjwe tuone tulale njaa aaagh🤬

  • @Msakatonge23
    @Msakatonge23 2 роки тому

    Hawa jamaa 😡😡😡