NANDY NA BILLNAS WASHINDWA KUJIZUIA, WAONESHA MAHABA YAO KWENYE STAGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 4 роки тому +23

    Nawapendaga tu Nandy na Billnas

  • @mackmuga2797
    @mackmuga2797 4 роки тому +52

    Kama unampenda nandy like hapa

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 4 роки тому +12

    Nandy kama nenga 😍😍😍😍

  • @kulwasaid1750
    @kulwasaid1750 4 роки тому +3

    Nawapenda sana ❤

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 роки тому +3

    Me nawapenda sana

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 4 роки тому +6

    Mungu awaongoze katika mahusiano yenu mnapendana hivyo ndoa ifate na tusisikia mmeanza UCHEBEANA hatutaki kusikia mwekeni Mungu mbele.

  • @Moresa196
    @Moresa196 4 роки тому +10

    Show za kibongo msanii anaimbisha mashabiki waliolipia kuimbiwa. Wengi kuimba live changamoto, mfano hii show kelele nyingi...

    • @mejalazaro7575
      @mejalazaro7575 4 роки тому +3

      Mzee Kuna Tofauti Kati ya Show na Audio ,, Kwenye Show Msanii Anapata Kushare Ngoma Yake Kwa Kuimba na Mashabiki wake Sasa Ikiwa Audio au Video Hiyo chance Hakuna Sasa.. Jaribu Kuelewa Maana ya Show Ndo Ukoment Mzee.

    • @Moresa196
      @Moresa196 4 роки тому +1

      @@mejalazaro7575 nn maana ya show chief? Msanii ana fanya wimbo wake mubashara kama kuna maana nyingine niambie..

    • @dolicassleonard4701
      @dolicassleonard4701 4 роки тому +1

      @@mejalazaro7575 afu inakua fulushangwe sana kuliko akiimba mwenyewe mwanzo mwisho inakua haina vaibu

    • @tumainiephraim1546
      @tumainiephraim1546 4 роки тому

      K ilikuwa chini

    • @kulwasaid1750
      @kulwasaid1750 4 роки тому

      Kunachuki za kijinga waswahili sa akiwaimbisha wee unateseka wapi wakati hujaimbishwa wewe

  • @kimwerionlinetv5574
    @kimwerionlinetv5574 4 роки тому +2

    Tag ubavu performance iko njema mzee

  • @victoriavicky2472
    @victoriavicky2472 4 роки тому +1

    Nakupenda bure Nandy

  • @anordsakaya9852
    @anordsakaya9852 4 роки тому +2

    Gigy majani atapata tabu sana

  • @popiya2368
    @popiya2368 3 роки тому +1

    Bilnas

  • @irenephilipo9252
    @irenephilipo9252 2 роки тому

    Hongeraaa sanaaa dada Nand

  • @allymngwaya1369
    @allymngwaya1369 4 роки тому +3

    No corona in Tanzania

  • @arafacute7250
    @arafacute7250 2 роки тому

    Napenda sana hii

  • @popiya2368
    @popiya2368 3 роки тому

    Oyaaaaa safi yaani oaneni

  • @roseurio2349
    @roseurio2349 3 роки тому

    Nawapenda mpaka basii

  • @imanibensoni8274
    @imanibensoni8274 4 роки тому

    Kizazi xana

  • @hejopantumsifusimon21
    @hejopantumsifusimon21 4 роки тому +1

    Mbel yamashabik mnazug tu tuxhawachok

  • @amandamabebisho2867
    @amandamabebisho2867 4 роки тому

    Mmeandana na kufanana jomon

  • @frenkfrancis4151
    @frenkfrancis4151 4 роки тому +1

    🙄🙄🙄

  • @yohanadeogratius6406
    @yohanadeogratius6406 4 роки тому +1

    Hahahahahahahaha dunia bwna

  • @magrethelisha2220
    @magrethelisha2220 4 роки тому

    D