MAUAJI YA KUTISHA DODOMA, BABA ASIMULIA KWA UCHUNGU WATOTO WALIVYOUAWA "WALIMPIGA AKAZIMIA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @vailethmbulule8339
    @vailethmbulule8339 День тому +12

    Eee Mungu turehemu, tusamehe tulipokukosea amen

  • @cesiliajoseph1649
    @cesiliajoseph1649 День тому +7

    Poleni sana ndugu zetu mungu awatie nguvu ktk kipindi hichi kigum

  • @MajidNkinzo-wp5oz
    @MajidNkinzo-wp5oz 23 години тому +1

    Pole Sana Kaka mwenyezi mungu akutie nguvu katika kipindi hiking kigumu aamin.

  • @MjinjaCharlesmareges
    @MjinjaCharlesmareges День тому +3

    polen sana mungu yupo pamoja nasi

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 День тому +2

    Pole sana ndugu mungu akutie nguvu

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 День тому +3

    Pole sana mwanaume mwenzetu

  • @natashaschlegel3238
    @natashaschlegel3238 День тому +2

    Eeeh Mungu 😢😢😢 kwa kweli hakuna maneno yatakayotosha kumfariji huyu baba. Ni Mungu tuu

  • @KabujeFulaha
    @KabujeFulaha День тому +1

    Pole sana bro mungu akufunge mkanda

  • @SaraSimonNyamayagwa
    @SaraSimonNyamayagwa 20 годин тому

    Polesana brother.Mungu awe faraja kwako.Wapumzike kwa amani marehemu wote

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla День тому +1

    Inna Lillah wainna ilayhi rajioun Allah awape subra wafiwa poleni sn

  • @esterpaul5856
    @esterpaul5856 День тому +1

    Pole sna..Mungu akutie nguvu🙏😭

  • @zainajirani5296
    @zainajirani5296 День тому +3

    Aya mauwaji sijui yatazuiliwa na nini!! İli yasiemdelee nchini kwetu!

  • @vickshekia7265
    @vickshekia7265 21 годину тому

    Mungu tusamee tulipo kosea 🙏 matukio y kutisha kila kukicha
    Mungu akawe faraja kwenu

  • @shamtenyambega2944
    @shamtenyambega2944 День тому

    Allah akupe subrah sana
    mke na watoto kuvamiwa poleni sana

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk День тому +1

    Pole sana baba😭😭😭😭😭😭🙌🇹🇿🤲🙏

  • @annamussa185
    @annamussa185 День тому +7

    Huyo jirani yako wa kwanza alikupigia tu from no were amakuambia kuwa kwako hapaelewielewi yani inamaana yeye huwa anakazi za kuchunguza kwako bila ya sababu wala kuagizwa😮

    • @JosephineMegora
      @JosephineMegora День тому

      Umeona huyo ndo mtuhumiwa no,,1 wew umeamka tu unawaza jirani awajatoka ndani kweli

    • @zenamshana8140
      @zenamshana8140 18 годин тому +2

      Huenda ikawa, alisikia watu walikuwa wanaomba msaada lakini akanyamaza asubuhi ilipofika ndio anajifanya kusema

    • @josephatwillness3132
      @josephatwillness3132 18 годин тому

      Sasa mtu asitoe taarifa mnatak mpka wanze kunuka ndo mjue kuna tatizo...
      Kama unauwezo wakuona watt wajiran wakicheza kila siku nje usipowaona lazm huojiiii

    • @Babaharvey3624
      @Babaharvey3624 17 годин тому

      Nyie ndiyo mnafanya watu wasitoe ushirikiano kama majirani maana ulivyoandika kama vile anahusika

  • @HenrickMgimba
    @HenrickMgimba 3 години тому

    Daaa mungu akutie wepes katka hiilii

  • @MathaMalopa
    @MathaMalopa 19 годин тому

    Pole dada lusajo na familia nzima

  • @user-lf4ep2kh6u
    @user-lf4ep2kh6u День тому +2

    Chanzo ni huyu mama yenu msipomtoa mtakufa Sanaa watu saiv wanakufa Kam kuku wa broiler

  • @ellensamson6787
    @ellensamson6787 5 годин тому

    Pole sana kaka kwa yaliyotokea

  • @SumaeMeyani
    @SumaeMeyani День тому

    Inaumaa sana, pole sana baba

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 13 годин тому

    Nchi ipo salama 🤐.!? Pole sana kaka Mungu akupe faraja wakat huu mgumu

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 День тому

    😢😢pole sana Mungu akutie nguvu

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje День тому +1

    Mi kwa roho yangu n̈singeweza kuonge au ungekuta nshakufa kwa presha😢😢😢

  • @AnnaNyangu-x3z
    @AnnaNyangu-x3z День тому

    Jamani poleni sana na msiba mkubwa mungu awatie nguvu

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 День тому

    Dakhaaa polen sana

  • @user-vm1vu4hu5j
    @user-vm1vu4hu5j День тому +2

    Omba yasikukute mtihani sana

    • @esterpaul5856
      @esterpaul5856 День тому

      Kwan huyu aliomba yamkute? Sijui unaongea nini ww

    • @user-vm1vu4hu5j
      @user-vm1vu4hu5j 9 хвилин тому

      @@esterpaul5856 ndo maana kasema omba yasikukute yaani ni mazito kamuonea huruma anafilikia yakimkuta yy

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv День тому

    Mungu awatie nguvu wafiwa wote

  • @brysonmchau9384
    @brysonmchau9384 20 годин тому

    Pole sana bro more than pain

  • @JosephineMegora
    @JosephineMegora День тому +1

    Sikutegemea kama Tanzania itafikia hii steji dah,,,R I,P magufuri.

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 День тому

    Pole sana ndg yangu ila binadamu

  • @user-vm1vu4hu5j
    @user-vm1vu4hu5j День тому

    Pole sana

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar День тому

    Pole sana baba

  • @AgathaKomba-qk7pz
    @AgathaKomba-qk7pz День тому +2

    Unyama huu jaman tunaenda wap hii nchi? Da inaniuma

  • @williammwalimu768
    @williammwalimu768 20 годин тому +1

    Siwafahamu, ila machozi yamenitoka. Sipati picha maumivu kias gani anapitia huyu ndugu.😢

  • @ManenoBulemela
    @ManenoBulemela 22 години тому

    Mungu awarehem.R.l.P

  • @gloryleonard1563
    @gloryleonard1563 20 годин тому

    Ee Mungu usiyelala mfariji wetu mtie nguvu baba huyu hiki ni kipindi kigumu sana kwake.

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 День тому

    Du inaumiza tumekuwa na Roho ya kishetani kiasi hiki inaumiza sanaaa Mungu atusaidie hii ni hatari

  • @stephenrwaich1078
    @stephenrwaich1078 15 годин тому

    ukisikia mambo kama hayo daah sana sana ni masuala yanayohusiana na ushirikina .watanzania huamini ushirikina mno

  • @RoseJoseph-z6y
    @RoseJoseph-z6y 22 години тому

    Pole xana

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr День тому

    Pole sana kaka 😢😢 insuma kwakweli why lakini

  • @leonardngoga7019
    @leonardngoga7019 День тому +1

    😢

  • @philiponuru2371
    @philiponuru2371 День тому

    Dah 😢😢

  • @ommythetruth5449
    @ommythetruth5449 17 годин тому

    Halafu Mama Samia anasimama hadharani anasema kufa ni kawaida Tu Aiseee ,,

  • @RebeccaZakaria-yp5ob
    @RebeccaZakaria-yp5ob День тому

    Dah!😢😢😢😢

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti 19 годин тому

    Asee yaani dah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 День тому

    Innan lillahi waina illayhi rajiunu 😪😪

  • @MwanahamisiBwanga
    @MwanahamisiBwanga День тому

    Poleeee kaka anguuu😢😢😢😢

  • @RosemaryMalya
    @RosemaryMalya День тому

    Sijui niseme Nini Mungu unisamehe Baba uliweza kuendesha Gari police aze na familia husika maana Binadamu sisi sijui tumekua je

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk День тому

    Daah😭😭😭😭🙌🇹🇿🙌🤲🙏

  • @AvrilMegan
    @AvrilMegan 23 години тому

    Jamani msitaje hospitali wasije mludia huyo mama ili asitoe ushahidi

  • @Shufaashabani-u6w
    @Shufaashabani-u6w 21 годину тому

    Tanzania 😭😭😭😭😭😭

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 23 години тому

    Mauaji yataendelea maana hatua kali hazichukuliwi mtu yeyote anaweza fanya imekuwa kawaida kwanini miaka ya nyuma Tanzaniia haikuwa hivi

  • @estersamwel-oo1ck
    @estersamwel-oo1ck День тому

    😢🙏

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 День тому

    Hasbina Allah wanema wakili 😪😪

  • @shamtenyambega2944
    @shamtenyambega2944 День тому

    allah akupe subrah sana mwwname mwenzangu

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 День тому

    Jamani😭😭

  • @josephjeremiah4990
    @josephjeremiah4990 День тому +1

    Na was was na huyu mzazi

  • @KefaKitutu-wd8wj
    @KefaKitutu-wd8wj 21 годину тому

    Hii nchi imekua ya kifala sana

  • @EliechiKimario
    @EliechiKimario День тому

    😢mungu awatie nguvu

  • @FatinaSalumu
    @FatinaSalumu 13 годин тому

    😢😢😢😢😢poleni da

  • @charlesjumanne1996
    @charlesjumanne1996 21 годину тому

    Hii nchi aliiweza magufuli tu na usalama ulipatikana Kwa asilimia 98 lakini Hawa wengine hamna kabisa mauaji ndiyo yanazidi kutokea kila siku hivi tunaelekea wapi

  • @aminahamadi7198
    @aminahamadi7198 23 години тому

    Uyo jilani ndomtumiwa ndomfanya mchongo wote make alijua ww aupo nailo angalia

  • @ManenoBulemela
    @ManenoBulemela 22 години тому

    Poleni xaana Kwa msiba mzito huu pia SS Busanda tumepokea Taarifa Kwa masikitiko makubwa

  • @Nonkojr
    @Nonkojr День тому

    Inahuzunisha sanaaaaa

  • @MariyaAntooni
    @MariyaAntooni 15 годин тому +1

    😭😭😭