Wali Wangu (Episode 1) - Madebe Lidai (Official Bongo Movie 2020)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Wali Wangu |Ukurasa wa 1| - Madebe Lidai (Official Bongo Movie 2020) Madebe Lidai
    Watch Part 2 Here: • Wali Wangu (Episode 2)...
    CAST: Madebe Lidai, Ochu Kiota, Isiaka Ngokwe, Jumbe Safi, Rehema Chambuso, Pendo Ismail,
    STORY/SCRIPT: Madebe Lidai
    EDITOR: Master Lee
    PRODUCER: LP Media, Madebe Lidai
    DIRECTOR: Kayto Kae
    Subscribe to Africa Movies on UA-cam here: bit.ly/AfrichaM...
    Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #AfrichaMovies #BongoMovies #SwahiliMovies

КОМЕНТАРІ • 662

  • @fabianndimanya2055
    @fabianndimanya2055 3 роки тому +16

    Naona wote humu mmepata Like Ebu nipe na mm japo moja🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 4 роки тому +157

    Ukinichana mwil wangu ni Madebe mtupuuu kwaiyo tunaye mkubal madebe like kwa saaana

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 роки тому +59

    Wanao angalia hii movie baada ya interview ya madebe na chanuo tujuane hapa kwa like

  • @buajayfreeboy2028
    @buajayfreeboy2028 4 роки тому +7

    Kama una mukubal madebe ni king wa bongo movies nipe like

  • @malaikalardy2456
    @malaikalardy2456 4 роки тому +374

    Tunaompenda madebe na tunao angalia muda huu tujuane🙌🙌

  • @listentoquranandmawaidhach4992
    @listentoquranandmawaidhach4992 4 роки тому +9

    Sijaona mfano wa Madebe tamthilia zake zina mafunzo mengi sana na tena napenda methali unazozitumia nakukubali sana🙌

  • @jacksontawete4448
    @jacksontawete4448 3 роки тому +3

    Jaman Madebe anajua respect bro👮

  • @onesmorichard4845
    @onesmorichard4845 4 роки тому +5

    Na mimi leo nakoment maana naongoza kwakusoma coment za watu,kama nawewe ni msoma coment za wengine harafu wewe hucoment kama mimi tujuane

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 роки тому +78

    Wanao angalia hii movie baada ya interview ya madebe na chanuo tujuane kwa like.

    • @swissvany55
      @swissvany55 4 роки тому +1

      YANI Sasa hvi nmetoka kuangalia interview ya madebe na chanuo

  • @sultansultan4129
    @sultansultan4129 4 роки тому +1

    Kwanini hawa wasanii wakibongo hawajifunzi kiswahili wajue michezo yao inaonekana dunia nzima. Kwa mmfano hii filamu ya madebe anaita (wali wangu )badala ya wari wangu hujui kama wanaojifunza kisawahili utakuja kuwapoteza malengo.

  • @hendryprosper9950
    @hendryprosper9950 4 роки тому +43

    Jamn ni miez 7 sasa imepita sasa tunao angalia hii mwezi wa huu wa. 7 had wa 12 tujuanee like 100 tu wapendwa

  • @saumrajabpalomar9569
    @saumrajabpalomar9569 4 роки тому +131

    Unajuwa zamani ndoto niile unayo iyota usingizini lakini sasa ndoto niile inayo kunyima usingizi👌👌👌kama umeiyona hiyo tujuwane ili twende sawa 💋 💋 💋

  • @azizajackson1147
    @azizajackson1147 3 роки тому +3

    Reality to african culture napenda sana kazi yako

  • @tajirilaizer8524
    @tajirilaizer8524 4 роки тому +11

    Nimeikubali kinoma ina mafundisho kweli kweli

  • @martinjacobtv9864
    @martinjacobtv9864 2 роки тому +4

    Mwana fasihi wa kupigiwa mfano, mtamaduni maigizoni na maisha halisi, hongera madene lidai na washirika wako kwa kazi na mwongozo mwema.

  • @theophileniyonkuru2116
    @theophileniyonkuru2116 4 роки тому +12

    Napenda movie zake kwasababu turikuw tusha coka magorofa na magari.wanao ikubali tujuwane

  • @manhajmuslimtvshortclips1135
    @manhajmuslimtvshortclips1135 4 роки тому +193

    Wanao angalia huku wanasoma comment tujuane gonga like

  • @Prem_Rich
    @Prem_Rich 4 роки тому +20

    Big up Kaka Lidai! Ila hapo kwa mafunzo ya Dini ya Kiislam kuna kitu ujagusia ulitakiwa umfunze huyo mkeo kujistiri kichwa chake

    • @seasononline4618
      @seasononline4618 Рік тому

      "KUJENGA NI RAHISI ILA KUBOA NI KAMA MZIGO ALIO TWISHWA PUNDA TU!"*BY Samir MSWAHILI

  • @paulkessy5267
    @paulkessy5267 4 роки тому +28

    Huyu ndio staa wangu wa siku zooote kwenye bongo move

  • @umisidi1816
    @umisidi1816 4 роки тому +9

    Katika movi ya madebe nampenda sana manyele napenda movi zenu sana

  • @asiamussa396
    @asiamussa396 4 роки тому +25

    Kumbe kuna mkojoaji na kikojozi watu wawili tofauti😀😀😀

  • @chrismburu3625
    @chrismburu3625 3 роки тому

    Mandebe kiboko kweli kweli wapi likes za wenzangu n wakenya wenzangu wanaompenda

  • @munnababygal8460
    @munnababygal8460 4 роки тому +7

    Napenda sana movie za madebe haki zina mafundisho sana

  • @fatumamacharia9465
    @fatumamacharia9465 4 роки тому +17

    Nakubaliana na Mr madebe kwa haya mafundisho. Representing +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @queenprinces8604
    @queenprinces8604 4 роки тому +46

    I always read comment first before starting watching

  • @athaum05
    @athaum05 4 роки тому +92

    Walioangalia baada ya kuridhishwa na maelezo ya comments tujuane,
    👇👇👇👇👇👇

  • @jonathansamwel7794
    @jonathansamwel7794 4 роки тому +9

    Mmeendelea kuweka kitu cha maana mno hongereni sana,ila katambuga 🙌🙌kauvaa usika vilivyo

  • @nellytsuma7519
    @nellytsuma7519 2 роки тому +3

    Bibi ya katambuga mzuri Mashallah 🥰

  • @ramadhanipachella2430
    @ramadhanipachella2430 4 роки тому +214

    Wangapi wanaungana na Mimi kua madebe lidai akoseag Story ktk move Zake Gonga lake ili Tuendelee kujuana Hap🖕

    • @user-mm5tf7yn6p
      @user-mm5tf7yn6p 4 роки тому +3

      Historia yake nzuri tatizo yeye arichidwa nawake watatu je tutamwerewa kivipi????🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @davidraphael1975
      @davidraphael1975 4 роки тому +1

      Ramadhani Pachella exactly

    • @fatmaaly9686
      @fatmaaly9686 4 роки тому +1

      Movie zake hazimalizi anaishia njian

    • @youngjmstaarabu2559
      @youngjmstaarabu2559 4 роки тому +1

      Kweli

    • @samsalehe2351
      @samsalehe2351 4 роки тому +1

      yuko vzr sana cha muhimu aongeze juhudi kwenye kazi zake

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 роки тому +10

    Wewe madebe uricha owa marangapi🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-ss9vj8eo9b
    @user-ss9vj8eo9b 4 роки тому +8

    Unafaa sana kuwa mwalimu wa kiswahili madebe lidai kwa kiswahili tu unacho manake unamisemo kama mchanga nakukubali sana bro

  • @boazmtilege146
    @boazmtilege146 4 роки тому +9

    Anataka apeleke maombi ya uumbaji wa mtoto kwa mungu 😂😂😂😂😂😂 akiri za K - Vant ukichnganya na bingwa kinye grass

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 4 роки тому +13

    Asante madebe na misemo ya wali wako ukweli tu tuambizane

  • @halimaomar2795
    @halimaomar2795 4 роки тому +11

    That's ma man Madebe nakukubali sn mtu wng, Asante sn kwa mafundisho haya, naangalia kutoka Qatar. Nxt part pls

  • @twalib09
    @twalib09 4 роки тому +84

    Likes from +254 madebe tupo pamoja

  • @mustaphasdaughter7451
    @mustaphasdaughter7451 4 роки тому +20

    Hahaa!Jamani katambuga anataka apeleke maombi ya uumbaji wa mtoto kwa mungu

  • @athumanisigaye1463
    @athumanisigaye1463 4 роки тому +41

    nawwe uwe unaweka episode zote mwanzo mwisho hapo ndohuwa unanikwazaga au unaanza kulewa sifa weka zote maana maisha yenyewe mafupi unataka tufe kabla hatujamalizana et!!!!!!!

    • @mawaidhatv8557
      @mawaidhatv8557 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @merympamba3126
      @merympamba3126 4 роки тому

      😆😆😆😆👌

    • @honestgroup2116
      @honestgroup2116 4 роки тому

      Athumani Sigaye yaniii weee acha 2

    • @jumarazman6973
      @jumarazman6973 4 роки тому

      Hahahahhahaa maisha mafupi kweli

    • @marywambui519
      @marywambui519 4 роки тому

      Athumani sigaye hahahaa we noma yani umenichekesha sana...na kuna ukweli hapo made be miendelezo ije haraka tusife kabla ya kutazama weeee

  • @paulbinezekiel8225
    @paulbinezekiel8225 4 роки тому +216

    Kama na wewe unaangalia movie huku unacoment tujuane hapa

  • @daisykioko7897
    @daisykioko7897 4 роки тому +23

    Representing 254🇰🇪🇰🇪 wapili hapa

  • @trecyeddie4064
    @trecyeddie4064 4 роки тому +8

    #vichwa vyote vya mwanaume vina UBONGO ila kichwa 1 uBONGO wake ukimwagika kina leta manufaa ktk TAIFA_daaaaaaaah cjui kichwa KIPIHICHO@wali_wangu@madebe_🙌🙌👍

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +19

    Kumbe wali tayari wachatuzame ndani tuone kama umekolea nazi ndotucoment🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @yusuphkidoto9353
    @yusuphkidoto9353 4 роки тому +31

    Basi msicheleweshe muendelezo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @irakozealice5321
    @irakozealice5321 4 роки тому +16

    Nzuli san kabisa dup mwendelez plz madebe

  • @sjl3207
    @sjl3207 4 роки тому +21

    Ambao tunaiangalia 2019 xmas tujuane kwa like

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 4 роки тому +11

    Madebe hujawai kukosea bgp sana

  • @leonardally2111
    @leonardally2111 4 роки тому +11

    Daaa brother madebe big up wewe ni zaidi ya mwalimu mwendelezo plz

  • @user-oz4ih8cw5r
    @user-oz4ih8cw5r Рік тому

    Masala unayotufunza ni ya uzito na mazuri Sana bwana we, endelea ivo ivo mwalimu Lidai....

  • @cristinaromaomiquelo105
    @cristinaromaomiquelo105 4 роки тому +9

    Gosto muito de você madebe força aí e Deus te abençoe

  • @jadixtheblacker3411
    @jadixtheblacker3411 4 роки тому +27

    Nabii mswahili kama unampenda tujuwaneee

  • @irenecharles5919
    @irenecharles5919 4 роки тому +11

    Hii movie nmekw nikiisubir kwa hamu jmn, sijawah ona movie mbaya ya madebe

  • @zenaabdala2776
    @zenaabdala2776 4 роки тому +35

    Naanzaga kusoma coment kabla kuangalia

  • @jacobyusuph7231
    @jacobyusuph7231 4 роки тому +6

    Nipe like tano tu

  • @twahaburuhani245
    @twahaburuhani245 2 роки тому +1

    Madebe ishi miaka 1000000 maana unatuelimisha Sana sisi wadogo zako

  • @chalaloyulemmoja6705
    @chalaloyulemmoja6705 4 роки тому

    Nashukuru kupata kuona filamu hii...wali wangu...Lidai Madebe na wasanii wenzako wa Bongo nawapa kongole...mm nmetoka Kenya

  • @mussayusuph8661
    @mussayusuph8661 4 роки тому +4

    unatufurahisha sana madebe mungu awe p1 na ww

  • @rahooseleman3097
    @rahooseleman3097 4 роки тому +4

    Mnao angaria mkiwa oman like zenu hapa

  • @billylovebilly9418
    @billylovebilly9418 4 роки тому +9

    Please part 2 jomon movie tam

  • @KhalfanHabibu
    @KhalfanHabibu Рік тому

    Mwenyezi mungu amjalie madebe kwakazi anawo ifanya kwakuelimisha jamii kazi nikubwa anawo ifanya.

  • @azeezaabdalla4673
    @azeezaabdalla4673 4 роки тому +6

    Jamani nitumieni ilosongi madekakayangu nakukubali sogambele ushindi unakuja

  • @abuusimbamtoto1980
    @abuusimbamtoto1980 4 роки тому +7

    Nzuri sana tunaomba episode ya pili ya wali wangu

  • @daudyramadhanywalonde2898
    @daudyramadhanywalonde2898 4 роки тому +1

    Nampenda san madebe napenda movie zake

  • @andrewlujuo4776
    @andrewlujuo4776 4 роки тому +10

    Mwendelezo bn

  • @marymary4720
    @marymary4720 4 роки тому +6

    Nzuri sana

  • @nancyjohn4147
    @nancyjohn4147 4 роки тому +12

    Nilikua naisubir sana, big_up sana kwako madebe na washiriki wote love mingi kwenu

    • @Raysam-ki1rc
      @Raysam-ki1rc 4 роки тому

      Follow me in whatssap 0679521064

  • @shebychazy3589
    @shebychazy3589 4 роки тому +13

    Mashallah vzr xn madebe

  • @matatamasudi9576
    @matatamasudi9576 4 роки тому +1

    Mh jamami medebe nishida nakupenda sana kwa misemo yako

  • @seasononline4618
    @seasononline4618 Рік тому +1

    "SAMIR ONE TV ON UA-cam " Naitwa samir MSWAHILI nampenda sana kaka angu NABII MSWAHILI TOKA NIKO MDOGO MPAKA SASA "MPENDE UMPENDAE USIJE PENDA USIPO PENDA""by Samir MSWAHILI

  • @fatmaaliy6196
    @fatmaaliy6196 4 роки тому +8

    Hata mimi mwali wa madebe

    • @bintihassan6534
      @bintihassan6534 4 роки тому

      Cjachelewa🇰🇪🇰🇪leo madebe nakubali mafunzo yko
      Mashaallah mungu akujaze hekma na busara tele🤲

    • @ibrahimally7811
      @ibrahimally7811 4 роки тому

      hi

  • @hawamaida1927
    @hawamaida1927 4 роки тому +2

    Madebe ww noma wapge bao wakina ray

  • @abuumsofe3691
    @abuumsofe3691 4 роки тому +5

    Hahahahhahhaha😀😀😀ZAMANI NDOTO NI ILE UNAYOIOTA UKIWA USINGIZINI.....ILA KWA SASA NDOTO NI ILE INAYOKUNYIMA USINGIZI

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 4 роки тому +15

    Movie nzurii ilaa tunaomba muendelezo usichelewe saana mpaka tukasahau maudhui mwalimuu madebw

  • @andrewsteven7901
    @andrewsteven7901 4 роки тому +13

    Mm nilicho kiona
    Nikwamba madebe ni MTU wakipekee sana afu ana ubunifu wa tofauti sana

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 4 роки тому +3

    Uyu jamaa ni zaid yakipaji huwa nataman afanye collabo na mjomba mpoto kama unakubaliana namie likes apa

  • @tumusaidmwakinyex3931
    @tumusaidmwakinyex3931 4 роки тому +11

    Popote mukimuona madebe mwambieni nampenda buree

  • @tzboyclassic9596
    @tzboyclassic9596 4 роки тому +10

    Daaa, good movie Nakubali xana

  • @shamsalulanje4151
    @shamsalulanje4151 4 роки тому +6

    😀😀😀😀😀Duhhhh wanaume wote wanavichwa viwili vyote vinatoka ubongo hatareeeeee

  • @aminasuleiman1275
    @aminasuleiman1275 Рік тому

    Mashallah mkija kenya muntafuta napenda kuigiza vilamu za tamaduni

  • @celestesanitoussene823
    @celestesanitoussene823 4 роки тому +9

    Japo kuauchache nieleze wariwangu😅😅😅😅

  • @lawrencesemzaba5849
    @lawrencesemzaba5849 4 роки тому +1

    Aaiseee huyu madebe ni balaa

  • @abdusaalim5228
    @abdusaalim5228 4 роки тому +2

    Maashaallaah shukrani kaka unafikisha ujumbe kijamii vzuri unaeleweka mkuu mungu akusaidie

  • @agnesnjeri3881
    @agnesnjeri3881 4 роки тому +4

    Watching from saudia rabia madebe love u

  • @saadasimeo2412
    @saadasimeo2412 4 роки тому +3

    Thank you madebe upo vizuri sana

  • @boazmtilege146
    @boazmtilege146 4 роки тому +9

    Wnawake jitambueni sio mnaangalia huku mpo kufanya 😂

  • @Platnumz11
    @Platnumz11 4 роки тому +10

    oyaa madebe bona unatukatiziya utamu wa mafundisho

  • @ivonafrans1245
    @ivonafrans1245 3 роки тому +1

    2021 wale tunaoangali huku tunasom commnt tujuan

  • @salmasaid2401
    @salmasaid2401 4 роки тому +5

    Uyu fisadi madebe.naona yumo hahahaha mambo mazuri

  • @matalamustaffa5281
    @matalamustaffa5281 4 роки тому +1

    Sio aficha ni africa au nmekosea mm

  • @ramadhanminani314
    @ramadhanminani314 4 роки тому +3

    Mimi huwa namkubali sana huyu jama mana hajawahi niangusha iyi kali kabisa

  • @director_sonny
    @director_sonny 4 роки тому

    kiukweli najiskia raha sana kuangalia movie za madebe nipende kutoa ushauri wa kujenga kidogo kwenye wahusika jitahidini sana kila mhusika awe na rafdhi yake maana kuna muda inasikika rafdhi ya aina moja kama ya mwalimu🙄 zaidi ya apo Madebe kwa upande wangu unafanya vizuri Tanzania nzima🙏 keep it bro

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 4 роки тому +2

    Umekosea sana kwenda kwenye swahilifix kwakua ulimwengu wote wa kiswahili ulikua na kutizama kule kuna vu filamu visivyo kua na mafundicho
    Nilikua na kufanikia sana Nipo Canada 🇨🇦

  • @laylasuliman5805
    @laylasuliman5805 4 роки тому +6

    Jmn huyu jamaa anaitwa nani anayeimba huu wimbo wa wali wang plz anayejua

  • @habibamdoe9115
    @habibamdoe9115 2 роки тому +1

    Madebe we ni fundi tunakupenda

  • @Paul-ow2lt
    @Paul-ow2lt 4 роки тому +7

    Weeeewee ni fundiii

  • @AsyaSOmar
    @AsyaSOmar 4 роки тому +49

    Shukran tamthiliya ni nzuri, naiyangalia nikiwa Dubai

  • @actomaniatheatrefilm1157
    @actomaniatheatrefilm1157 4 роки тому +17

    May the other episode come through so educative

  • @petersamwely7260
    @petersamwely7260 4 роки тому +2

    Ambao tunaangalia hii movie 2020 tujuane

  • @flavianbonaventura277
    @flavianbonaventura277 4 роки тому +2

    Isijeishia njiani Kama nabii mswahili

  • @fettrishanurdini3260
    @fettrishanurdini3260 4 роки тому +1

    Nice movie madebe fundiiiiiiii

  • @ndunga_boe7913
    @ndunga_boe7913 3 роки тому +1

    2021 still watchng from kenya

  • @denisjoshua9498
    @denisjoshua9498 4 роки тому

    Mungu akuzidishie madebe , nakuomba uwendeleze filamu yako itwayo VILLAZA