@@XSPACE761 Nimeandika hivyo kwa sababu huko mbeleni ukipata fursa ya monetization hii video hutopata pesa hata kidogo. Kwa sababu kuna hakimiliki ya muziki wa watu wengine. Nenda hapa utaipata mingi tu: studio.ua-cam.com/channels/WESMGYgvagsdkJAzrGIVrw.htmlmusic
@@XSPACE761 Nimefurahi kuona unajibu baada ya kufanya utafiti wako binafsi. Ni njia nzuri pia. Wakati mwingine hizi filamu zetu huwa nzuri ila inakosa sifa za kupambanishwa kimataifa kwa sababu ya kitu kidogo sana ambacho watu wengi wanakidharau. Ni kidogo kwa mtendaji lakini katika mawanda ya kimataifa ni kikubwa sana. Hawapokei kazi yenye mgogo wa hakimiliki. Weka muziki ambao ni wakao au umetumia free music ili isiwe tabu mbeleni. Zinapatikana ukiingia UA-cam STUDIO, upande wa kushoto chini kabisa kuna music library! Pakua utakazo hakuna shida. Si humu wala nje ndugu! Mimi pia ni mwandishi wa RIWAYA. Nimetunga vitabu kumi hadi sasa!
@@XSPACE761 Pole sana mkuu! Watu wengi hawana uelewa kuhusu hakimiliki TZ. Wanachukulia poa mambo mengi sana. Hata wachakata filamu wakubwa wa tz hawajui shida yake...
Msiw mnamute manen flan mengin jamn na kuek mizik isohitajik plz🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️...wengin huag wanawek background muzic when somebody's walkin or when nobody's talkin to another il nyie mnapend kuzib manen wa2 wawil wanap kua wakiongea so what's that exactly y'all....?
Dada doricas nakuelewa sana hongera kwa kipaji Cha kuigiza
Mashaallah napenda kuigiza mno lkn sijapata muongozo
Jamani na mpenda sana uyu dada yupo poa kwenye igizoili na maikizo yotemnayo yatoa yuko siliasi na anacho kifanya
Watanzania mnaona hiki kipaji cha bint ngoma yupo vizur❤️❤️🙏
One power media mko vizuri hongerani Sana
Tunaosoma comment kabla ya kuangalia movie tujuane
Mojawapo mm hapa
Hahahaa
Tupo
Jamani napenda movie za kijijini
one power media mna kazi nzuri sana
Asante sana kwa movie nzir san
One power hongereni kazi nzuri inajiuza .
@@XSPACE761 Tuko pamoja kiongozi.
Ukweli nime tokea kuzi penda xna movie zen hongleni xna ndung zang
Pppp
Daaaa, nzur mno jaman bint umekurupuka Sana kumsikiliza mzee kigweee 😏😏😏
One Power
Hongeren Kwa Kazi Nzuri
Mm bado na soma comment kwanza
Napenda uyo mrembo to
Zubeda i love you usiwe katilii
Dhadha miimi nakubida❤❤❤❤❤
Movie nzuri ❤️ mashallah
Kazi nzur wapendwa🥰🥰🥰
naomba muv izi za mzee mdiba ziwe nyingi zinavutia🤣😂👍
Hongereni jamani mko sawa sana
Mwaah,movie ni nzuri sana hongera
Nahitaji kujua hiki Kijiji kinaitwaje
Mna story nzuri, zoezi mlilonalo ni kwenye usikivu kuna sehemu tunaona midomo tu na sauti za vinanda. Kazi nzuri by the way
Mmmmmmm
Huyu mzee mwenye kofia Kama ungo wa DstV anaroho mbaya ssna
@@brinabrini594 At D.s.Tv
Movie zen nzuri sana jaman hongeren
huu dada anajua kbsa
Mi huwa natazama comment kisha naendelea na movie
Jaman Kwan wasambaaa mna nn lakin
iko poa sana
Waoo hii move nzur
Nzur Sana wanajua Sana kuigiza Hawa ata ile ya asma
Hii movie Kali sana
Waaah short bt very nice filme, congraction guys👏👏👏👏🤜🤛,# BINT NGOMA.
Jmn uyo mume akimbia uy amuach mke nyuma
Nambieni Kijiji gani hiki
Movie nzuri sana jmn
Kwanini mnabana sauti movie zenu
Watanzania tunajitaidi filamu zakichawi
Dah hii ngaka ya mwanzo ndio nzuri
Kazi nzur sana hakika znasisimua
Sijui movie za Tz zinakwama wapi kwenye sauti na sauti zavinanda jmn badiliken soko la movie liende mbl
Safiii sana
Nimependa sanaaaaaaaaa
Kaz nzur sana
move zenu haki nzuri sana
Kazi nzuri sana. Epuka sana kuweka music score za watu!
@@XSPACE761 Nimeandika hivyo kwa sababu huko mbeleni ukipata fursa ya monetization hii video hutopata pesa hata kidogo. Kwa sababu kuna hakimiliki ya muziki wa watu wengine. Nenda hapa utaipata mingi tu: studio.ua-cam.com/channels/WESMGYgvagsdkJAzrGIVrw.htmlmusic
@@XSPACE761 Nimefurahi kuona unajibu baada ya kufanya utafiti wako binafsi. Ni njia nzuri pia. Wakati mwingine hizi filamu zetu huwa nzuri ila inakosa sifa za kupambanishwa kimataifa kwa sababu ya kitu kidogo sana ambacho watu wengi wanakidharau. Ni kidogo kwa mtendaji lakini katika mawanda ya kimataifa ni kikubwa sana. Hawapokei kazi yenye mgogo wa hakimiliki. Weka muziki ambao ni wakao au umetumia free music ili isiwe tabu mbeleni. Zinapatikana ukiingia UA-cam STUDIO, upande wa kushoto chini kabisa kuna music library! Pakua utakazo hakuna shida. Si humu wala nje ndugu! Mimi pia ni mwandishi wa RIWAYA. Nimetunga vitabu kumi hadi sasa!
@@XSPACE761 Pole sana mkuu! Watu wengi hawana uelewa kuhusu hakimiliki TZ. Wanachukulia poa mambo mengi sana. Hata wachakata filamu wakubwa wa tz hawajui shida yake...
@@XSPACE761 Kaka nitumie meseji hapa: 0713538427 hiyo yako imegoma kunileta WASAPU!
Mnamambor ya kisenge sasa mbn mmetoa sauti nan anataka kusikiliza hizo sauti za kisenge
mm wa kwaza 😂😂
Nzuri sana
Kazi nzuri sana
Jitahid kwenye sauti inakata kwenye baadhi ya vipande
Nampenda nasira jmn
Lkn why killings
Wasambaa oyeeee
Oyeee
Movie Kali sana
Move zur cna
Vizuli sna ngom
Nzuri
Nice 👍
Nmeipenda sana tafathali mbona sins nina??
Zubeda unakipaji
huyu mzee kiboko
Msiw mnamute manen flan mengin jamn na kuek mizik isohitajik plz🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️...wengin huag wanawek background muzic when somebody's walkin or when nobody's talkin to another il nyie mnapend kuzib manen wa2 wawil wanap kua wakiongea so what's that exactly y'all....?
Duu mume huyu fisi kweli mkeo kuni mimba jembe wewe wajitembezaa tuu tena nyuma ushazaa kumezaa mwingine mate
Mm mwenyewe imeniuma eti
Good
Muna kwama2 kwenye saut
Nice
Comment zinanishawishi acha niangalie
😄😄😄
@@nurafedrick378Mambo
@@arqamibnarqam.7185 safi zakwako
@@nurafedrick378 Safi umeadimika dadaa
@@arqamibnarqam.7185 kabisaa kaka VIP ww upandee wapili
Tumite mgaga aje hazuze
big up
Nc move
Move nzur
Nc
Vizuri Sana,,,
Mm kwenu saluti mmejipanga Sana hongereni
Nawapenda wote mnajua kwa kweli hongera sana nasra unajituma sana uko vizuri ndugu yangu mkataa kwao mtumwa from Germany.