MUDA HUU: KIWEWE NA MATUMAINI WAFUNGA NDOA | MASANJA TV
Вставка
- Опубліковано 4 вер 2024
- MUDA HUU: KIWEWE NA MATUMAINI WAFUNGA NDOA | MASANJA TVT
ANGAZA NASI MASANJA TV TUPIGIE SASA KWA NAMBA 0712329490
SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates:
👇 👇
/ @masanjatvgospel - Розваги
😂😂alieona kiwewe kafanana na Bele9 anipe like🏃🏃
Mwanzo nilijua nibel 9
Hahaaa na mm nilijua hivyo hivyo🤣🤣
Daaah,,, we nomaaa me mwenyewe huwa nafananisha sanaaa
😅😅😅😅😅😅😅😅
Timoth Mwakakusyu kweli ivo😂😂
Minimewapena mamboyenu kimyakimya siyokama wakina ebitke wamegeuka kituko mjini mungu awalindiye ndowayenu 💞💞🥰💞🤝
Hongera sana matumaini nakupenda sana uwa najisikia raha nikiona ukihigisa 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
Mungu awalinde
Kweli kiwew na matumaini. Mung awaongoze jamani. Mnapendezana BT cpati picha humo ndani cjui mnaongeaje yan
Kiwewe kama Ben Paul, au Macho yangu kama kuna mtu kaona kama mimi A like hapa
❤😅😅😅 jamani mnapendeza sana mungu awape uzao wa baraka🎉😅😅
🥂🥂
Safi sana iko poa
Nice
Hapo sasa raha kwakweli
Yaan huo nawapendaga Hawa sananii !!! Hongera Sana kwako Allha awatunze mvumiliane ktk ndoa yenu
😁
Bg Up Kiwewe na Matumaini Ktk Safari yenu Mkaikamilishe.
Wanaigiza
Hongereni sana Mungu akawe kiongozi katika ndoa yenu
Wapendeza sana allah awape masikilizano kwenye ndoa yenu
Actual
Dah wametoka mbali hawa watu mungu awalinde inshallah
Nawapenda sana hawa jamaa. Mungu awapiganie ktk ndoa yenu.
Safi sana nawapenda hawa wawili, wana akili
Matumaini kaniibia mchumbaa wanguu😍😍😍😍jamani sina cha kusema Tokea nimeanza kukua niliwapenda Mnooo na nilitamani mfunge ndoa nyie mmejua kunifurahisha matumaini dada nakupenda dada unaejua thamani yako unajiheshimu sanaaa sijawai skia kiki yako hata kidogo ndoa ikawe yenye amani
Mungu hawape furaha nyingi zaindi
Hongereni Sana mungu awabariki muishi kwa amani kwenye ndowa yenu
Mungu awaongoze ktk safari yenu ya maisha. Amen
mungu awabariki mdumu kwenye ndoa
Ohoooo Awa majama wali tuchenga sana, waone djisi wame pendezaa
Mmmmh
Hongera bwana kiwewe
Usanii huu
Ise mme upendeza sana mungu awatakie kila laheli yamaisha yenu
Siyo mbaya...Mpoki na taabu mtingita nao watafunga soon...
Wee tabu mke wa madee bhana
🤣🤣🤣🤣🤣
Tabu anaemume Mtwara huku mm jilani yake
Kwakweli Mungu awabariki sana
Hongera sana
Hongereni
Mungu awe nanyi ktk safari hii ya ndoa
Ooh hongereni sana mungu awabarikie ndoa kila heri
Mbarikiwe
Mmependeza
Waoooh!I love you guys,km ni kweli hongereni sana mnooo, Mungu awabariki sanaa
Mmependeza
Ongereni sana
Had nawaonea wivu jmn mungu awaongoze
Safi inapendez sana
Mm siamin jaman
Nawapenda sana jamani kiwewe unanichekeshadga sana mimi ni shabiki wenu sana mpaka mbuu walinizoe sebleni
Mabrouk alf mabrouk
IMEKAA POA SANA
Hongereni sana
Safi sana
Hongereni sana Mungu asimamie ndoa yenu
Siyo kweli kwamba Kuna ndoa no wanacheza comed hao
waoo
Hongereni saaaana
Hongereni Sana,Mungu awatangulie katika safari yenu ya maisha.
Nawapenda sana jamani
Mmh
Hayawi hayawi yemekuwa Mungu mwenyezi awe nanyi.
Nimeishia kucheka jmn mi naona kiki hii
Mungu awape maisha marefu ndoa yenu iwe na amani na furaha
Pongezi sana, hatua kubwa hiyooo
Nalikubali sana ili kiwewe AKILI MINGI SANAAA☝🏻
Ni kweli
Good
mulifanya vizuri sana maana hakuna kitu kizuri kama kutoweka mambo yenu kwenye mitandao
Mbona kama siamini. Eti kimyakimya
Bhana uwongo
Hahaha mmependeza sana mung wazidishie
Matangazo ya nguo za harusi
Mungu awabariki sana kiwewe na mkeo
dah hongeren Sana asee...hatimaye mmekuwa pa1 xx mpk raha
Ndoa studio mhhh
Hogeren san nimepend
Mmh!bado zijaelewa!
Mmependeza jaman mungu awalinde
Walai waongoo🤣🤣🤣
Hongereni 🌹
Hivi kweli mnamaanisha au mnatuzingua tu maan nyie wasanii mnanishindaga tabia kabisa ,,
Mi mwenyewe siamini
Duh! Cpati picha mtoto atakae zaliwa hususa akirithi mbwembwe za baba na mama🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣apo ssa atakua navituko kuwashinda wazzi
🔥🔥🔥🔥💞💞💞💞💓💓
nakupendaga matumaini ww mungu awatangulie jaman hongereni xana.
Haaaaaaaaaaaa wameowana kweli
Kipenzi matumaini mgonike tukutane usk ukiwa na chaopa
hhhhh nimepend sn
Unajua siamini jamani kama nikweli mungu awatangulie kama kweli watuletee wakiwa kanisani tuone ukweli
Kila la kher kama kwel
Mtangazaji tofautisha R na L sio Habali ni Habari ,kalibu ni Karibu
Hongera sn jamani
Jamani kuweni makini leo siku ya wa..... .....
Kumbe nisiku yawajinga😀😀😀👓👓👓
Steven Simbakila hahahaha
Hongerani sana mwenyewe mungu aibariki ndoa yenu
Where is Pete mmmh naingiwa mashaka
Wanazingua tu hakuna ndoa hapo
safari njema na MUNGU awe kiongozi wa safari yenu ya ndoa
movie
Nikiona mnafunga kanisani nitaamini
Jacob Kassim ata kanisani Mimi siwezi kuamini hahahaaaa
Mtangazaji upo fresh
Kiwewee siyo mbahilii hahaaahaaaa
😳😳😳😳😳
Walipewa mshango wakagawana 25 .25🤣🤣🤣🤣
Hahaha nimecheka etii wakala
Japo nimechelewa hongereni guys 🔥🔥
Hongera Tumaini Mwakibibi mate km ni kweli
Nimependa hii
Hongereni mungu awasimamie
Woow
Kweli leo tar 01 April 2020 hahahahaa i heve noticed
Ndoa yenu naizungukwe na baraka kemukemu Mungu awe kiongozi wenu
Nimecheka kabla ya kumaliza story nzima ongereni bwana mm nishabiki wenu
Nini kimekuchekesha ss
K