Kumfundisha mkiristo mpaka aelewe neno la mwenyezi Mungu ni ngumu sana sifahamu wamepewa nini hawa watu kwanini hawataki ukweli ila masheikhe zetu mnafanya kazi kubwa sana mwenyezi Mungu awape maisha marefu inshaallah
Mwenyezi mungu, akiamua kukutumia ataangalia kilichokuwa kabla ya wewe kua, Bali atakuangalia wewe, mfano alipo mtumia nyangumi kumbeba Yona, hakuangalia history ya yangumi huyo, Bali malengo yake yatimie, angeli ichunguza history ya samaki huyo, sijui kama angemtumia
Haki pastor pole sana juu hata uelewi unalozungumza...mimi nitauliza swali moja Mary na jesus ni majina yakizungu je mungu aliwaita Mary na jesus kwa jina gani? No mbona kwa bibilia waitwe Mary or jesus....Quran ni Allah mwenyewe amesimulia na beautiful yeye ndie mjuzi so imran na amran sioni tofauti....me naona pastor ameishiwa ni asilimu tu juu sasa maswali anauliza hayamake Sence samahani kaa nimeongea makosa.
@@milomohamed7201 Kuna siku inakuja utashuhudia wale makafiri wanaingia mbinguni na wale wasio makafiri wanaingia jehanamu tubu kabla haujachelewa, Mungu adhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakacho kivuna
Bin Kaguo, huyu mzee sio mbaya japo yuwathefuta contradictions kwa Al-Dhiqri, lakini ni Kwa kuwa yuwasimama kidete katika Imani yake kwa kuwa ndio aliyojengwa nayo. Pia Ni Kishipa(mshindani) Sana japo hajui alitetealo silo, na Bi'idhniy-llah siku Atakuja kuwa Muislam atakuwa Mshindani Zaidi, na ndivyo atakavyo kuwa Kiungo muhimu kupambana na wengine INSHAA ALLAH.
Asalamu aleykum. Wakiristo waha jui chachote. Kama. Wazungu. Wage Sema maryamu. Pia. Mtoto wa mungu wange kubali pia kuwa sababu hawana. Background or history from beginning .
Nimeona pastor hajielewi coz tayari kama kuna majina yalitengenezwa yeye atajuwaje majina.na ndio maana ALLAH akaleta qur'an ili ifafanue yaliyo haribiwa katika vitabu vya ALLAH vya zamani huko
Lakini nimependa utulivu wake, huyu mchugaji atakuja kuwa muislamu, ukiona mtu asiyekuwa muislamu akifwatilia uislamu, ni raisi sana kusilimu, nilikuwa kama yeye kuchunguza uislamu sana, mwishowe niliona ukweli na nikasilimu, nimependa sana tabia yake, sio kama wengine visokorokwinyo, i love my religion Islam.
ukigugo inasema Nabii Mussa (pamoja na watu wa wakati wake Amram,Arun na dada yao Miriam) walikuwepo miaka 1500 kabla ya Mariam mama yake jesus kwa hiyo Amram hawezi kuwa baba wa Mariam, Imran alikuwepo wakati wa Mariam kama baba kwa hiyo Amram siyo Imran na majina kufanana ni jambo lipo
@@apolloorao4110 there is no where in the entire Quran that it has mentioned anything called bible. Quran talks about injiil/injeel which is the name of the original book revealed on Jesus not this fabricated and manipulated book from its name to its verses. And this is something that every knowledgeable Christian knows. All Christian scholars from the past to the present will agree on this. Only deluded conmen will believe otherwise
@@apolloorao4110 as far as we know, the original book revealed to Jesus is non-existent today. The oldest fabricated bible book as of today is called; Codex Sinaiticus/Sinai bible which is handwritten scripts in Greek that dates back 4 centuries after jesus! While the original book of jesus was actually in aramaic and not Greek. That alone plus the name bible which means a collection of books tells you clearly that this is a diverted and fabricated book authored by the likes of Paul who never met jesus in their life. A self proclaimed prophets who were devils on earth. Neither bible nor christianity ever existed during jesus.
Mzee anakwepa kwepa Tu sasa kama bibilia hakuna mahali imepinga kama Maryamu ni mwana wa Imran sasa utasema Quran inadanganya....wew bishop unatupoteza alafu unapoteza wakristo wenzio
Bishop usikwepe kwepe hapo kwa majina zaidi 3500 yaliotengenezwa😃😃😃.sisi sio hatujui babake merry ila haikuandikwa kwa biblia.huyu ndio kiongozi wa wakristo hamjui babu yake mungu wao
The best and 'an immediate money spinning' business to start today with ZERO upfront capital, is a CHURCH! And Steven has hit the JACKPOT by starting a 'church', which will rake in millions almost immediately! As we all know, Kikuyus worship money, therefore is ZERO chance that 'Askofu Steven' will abondon christianity and the money spinner he calls a 'kanisa'!
Kumfundisha mkiristo mpaka aelewe neno la mwenyezi Mungu ni ngumu sana sifahamu wamepewa nini hawa watu kwanini hawataki ukweli ila masheikhe zetu mnafanya kazi kubwa sana mwenyezi Mungu awape maisha marefu inshaallah
Bishop Allah akuongoze katika Uislamu.
😂😂kenya haiwezi kuwa ya muslims
Bishop Stephen Allah akuongoze katika haki.
Yani askof mungu akubariki yani umeanza na kuamasisha amani mungu akupe nuru
Mashallah najivunia kuwa mwislamu na Allah atupe mwisho mwema
ALLAH AKBAR NAJIVUNIA SANA KUWA MUISLAM.NA UNIFISHE NIKIWA MUISLAM.AMIN
Allahuma zidna ilman warzukna fahaman....Allah amuongoze amepotea kwa kufahamu
Masha Allah
Subhanallah
AllahuAkbar
Lailaha Ilallahu Wahdahu Lasharikalah Lahulmulku Wala Hulhamdu Wahuwa Alakulisheiin Qadir wa Anna Mohammadan Rasulullahi Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi.
Shukran Jazakallahu kheir
Waleikumussalam warahmatullah Wabarakatuh. Ma Sha Allah...Sheikh Yusuf Allah Akupe Umri Mrefu na Elimu yenye Manufaa.
Mashalha
@@halimaa9367 من
Maashalah Allah awaongoze.mashekhe.wetu hakika miaka michache ijayo tutaona maajabu ya mungu inshaalah kwa walioamini wataingia kwenye din ya Allah
MASHALLAH....KAzi safi mashekhe wetu JAZZAHKALLAH
Yesu hakuumwa na alizaliwa mmmh maajabu ....wew Askofu unatudanganya bana
This are the Muslim we want in k Enya ALLAH bless you
Mashallh sheiks good job
Askofu niatari Mungu azidi kuku funulia Askofu
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh shukran walim mumuelewesha askof
Masha Allah, masha Allah, masha Allah. Tabaraka LLAH . Hongereni sana Masheikh wetu. Wa jazakakumaa Llahi khayra.
Asalam Alaykum!! HONGERA MASHEKH WETU! MNGENI ajitayarishi kuingia kwa DINI YA HAKI! Hayuko
Mbali !
Wazungu wanakiita kitabu takatifu cha Qur’an: the talking Book! Alhamdullilah i am a muslim
Wasungu hawakuanzisha ukristo .... Kabla mzungu kupata ukristo Sisi wafrica tulikua na ukristo kupitia misri , Ethiopia na Sudan
Asalam Alaykum! Tuko TAYARI kumpokea kwa DINI YA HAKI AMIN AMIN, ALLAH awazidishie UJASIRI MASHEKHE WETU Amin Amin
Asalam alleykum. Mimi namuombea kama Leo huyu pamoja na Gerishon Odare
Assallam Allaikum warahmatuAllahi wabarakatuhu ama kweli Allah humuongoza amtakae
Mwenyezi mungu, akiamua kukutumia ataangalia kilichokuwa kabla ya wewe kua, Bali atakuangalia wewe, mfano alipo mtumia nyangumi kumbeba Yona, hakuangalia history ya yangumi huyo, Bali malengo yake yatimie, angeli ichunguza history ya samaki huyo, sijui kama angemtumia
Sasa hayo yatokea wapi
Ustahadh umeeleweka saf sana
Masha Allah masheikhe wetu Allah awahifadh Bishop Allah atamuongoza tu Inshaallah
Mungu awajaze kila la kheri kwa kazi munayo ifanya
Mashaallah mashaallah masheikh wetu mungu awajalie heri nyingi
Allah awazidishie mashekhe INSHAANLLAH
Ustadh Ramadhani Allah akujalie nataka San
Assalaam alaykum warahmat Allah wabarakaath. Huyu. Allah amuongoze. Nimzito
Wa-alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Alhamdulillah
Bishop amekumbali kuwa ajui babake Maryam , namuomba Allah amuogoze asilimu
Bishop wallahi umechanganyikiwa kabisa
Haki pastor pole sana juu hata uelewi unalozungumza...mimi nitauliza swali moja Mary na jesus ni majina yakizungu je mungu aliwaita Mary na jesus kwa jina gani? No mbona kwa bibilia waitwe Mary or jesus....Quran ni Allah mwenyewe amesimulia na beautiful yeye ndie mjuzi so imran na amran sioni tofauti....me naona pastor ameishiwa ni asilimu tu juu sasa maswali anauliza hayamake Sence samahani kaa nimeongea makosa.
Masheikh,Allah awape subra,yahitaji moyo sana hao kujadili nao
Mwenyekiti ungemwachia sheikh Yusuf.
Amen 🙏
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
I am proud 2be muslim Al hamdullillah
Kweli dini yetu ya kiislam hitabaki kua juu!
YESU KRISTO ni Nuru ya ulimwengu wote na ni BWANA na mwokozi Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa tubu kabla haujachelewa Mpokee YESU KRISTO
@@marianachriss2444 yesu apokelewe kutokea wapi wewe kafiri?
Stuka mapema
@@milomohamed7201 Kuna siku inakuja utashuhudia wale makafiri wanaingia mbinguni na wale wasio makafiri wanaingia jehanamu tubu kabla haujachelewa, Mungu adhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakacho kivuna
@@marianachriss2444 sidhani kama kuna mkristobambae ataingia peponi labda mbadilike kuanzia sasa.
Ukristo ni ukafiri mkubwa
Mashaallah eee Mollah nashukuru kuzaliwa ktk uislam
Sema alhamdulillah
Wlkm slm..mash Allah shekh ramadhani na shekh Yusuf
Walkm salmu.nafurahu kuzaliwa musalmu.
Bin Kaguo, huyu mzee sio mbaya japo yuwathefuta contradictions kwa Al-Dhiqri, lakini ni Kwa kuwa yuwasimama kidete katika Imani yake kwa kuwa ndio aliyojengwa nayo. Pia Ni Kishipa(mshindani) Sana japo hajui alitetealo silo, na Bi'idhniy-llah siku Atakuja kuwa Muislam atakuwa Mshindani Zaidi, na ndivyo atakavyo kuwa Kiungo muhimu kupambana na wengine INSHAA ALLAH.
Asalam alaikum masha Allah sheikh Yusuf kwa hekma ulionayo
Mashekhe mnafanya kazi vizuri
Huyo ajaamini mungu yuko mmoja anamshirika na mtu yoyote..
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Sasa Bishop unaamini mungu ama unaamini wazungu wakristo mnapoteza poleni
Mchungaji bravo..hivohivoo tafuta mistake mwisho utauona ukweli na utaslimu kwa uwezo wa Allah
Kuria nakukubali sana
Nimefaidika sana Allah awape nuru
Shukran jazeelan, ameen
Naomba mumuite Apostle Gwajima from Tazania,ajibu hio mada ya Leo.
Tukimpata pia tutamuita
@@StraightPathDawah gwajima ni bure kabisa mfufua watu lkn kashindwa kumfufua dikteta magufuli
MashaAllah sherkh Yusuf kwa majibu yako mazuri
Nyie bishaneni tu maana nyakati zamwisho
@@wiliamramadhan6274 nyakati za mwisho zifanyie kazi uwe na hakika unaabudu nini kaka yangu
Na mbinguni ni muhimu kupambania ,usitende dhambi. bila kuokoka na kumrudia Yesu kristo utatupwa motoni siku ile
@@augustinoedson1068 kuokoka ni tusubiri hadi mwisho. Sio Leo duniani .....Kuna tofauti ya kuokoka na kuongoka!!!!! JIFUNZE KISWAHILI
Dooooh hapa kazi ipo wallahi
Masha allah hapo walim nindugu
Bishop vazi ulilovaa ni la shetani
Masha Allah
Asalaam aleikum warahmatullahi taala wabarakatuh. Hiyo BIBLIA inayotumika kwenye mdaharo wenu ni ile ya zamani kabla ya kuchakachuriwa ? Shukran.
Shk Ramadhan na Shk Yussuf.Huyu Askofu yuko kariiibu kuingia katika Dini yetu.Muelewesheni taratibu
Bishop asante sana. Uislamu ni uongo.
Islam is fake réligion.
Bishop jamani yani aleweki allah amuongoze
Allah amnusuru askofu aje kwenye din ya haki
Dini ya majini??!!
Kitabu cha qouran hakina shaka yoyote
I am pround to become a muslim
Asalamu aleykum. Wakiristo waha jui chachote. Kama. Wazungu. Wage Sema maryamu. Pia. Mtoto wa mungu wange kubali pia kuwa sababu hawana. Background or history from beginning .
Nimeona pastor hajielewi coz tayari kama kuna majina yalitengenezwa yeye atajuwaje majina.na ndio maana ALLAH akaleta qur'an ili ifafanue yaliyo haribiwa katika vitabu vya ALLAH vya zamani huko
Lakini nimependa utulivu wake, huyu mchugaji atakuja kuwa muislamu, ukiona mtu asiyekuwa muislamu akifwatilia uislamu, ni raisi sana kusilimu, nilikuwa kama yeye kuchunguza uislamu sana, mwishowe niliona ukweli na nikasilimu, nimependa sana tabia yake, sio kama wengine visokorokwinyo, i love my religion Islam.
Ila bishop.ata km umevaa mavazi ya imani yako ila kiukweli mavazi yako yanatisha.minguo.miekundu na meusi na limsalaba juu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣subhnaAllah
ukigugo inasema Nabii Mussa (pamoja na watu wa wakati wake Amram,Arun na dada yao Miriam) walikuwepo miaka 1500 kabla ya Mariam mama yake jesus kwa hiyo Amram hawezi kuwa baba wa Mariam, Imran alikuwepo wakati wa Mariam kama baba kwa hiyo Amram siyo Imran na majina kufanana ni jambo lipo
Mwenyekiti usiangalie huyo Mzee namna hio unamtishia hahaaa hajua anachoongea .
Huyu Mzee anatafuta haki asilimu...
We bishop bibilia si kitabu cha kuamini amini quran ili upate kwenda peponi
Hii mada tamu Sana sema tu tatizo pastor wetu ndo hajitambui
😂😂
Mwenye kiti alimunea Mgeni wao. Kwakuwa one in two
Mwisho wa siku mtakuwa na kiasila cha kikugumizi maana mtaanza kupaniki kila mtu awe na imani yake kama makabila yalivyo
Hawa imran ni wawili Imran wa maryam na Imran wa Mussa ❤😂
Naona bishop hajaelewa kua kuna imrani wawili na sio mmoja .imrani baba wa mariam na imrani baba wa musa na haruni hapo Ndio hajaelewa
Kweli kuna baba wa musa na kuna baba wa mariamu. Watu wawili tofauti na wa zama tofauti
Wew huyu Mzee anazumgumzia miryam ama Maryam
Mwenyekiti peana mic haraka kwa muislam mwezako na usiiaribu kuuliza swali ila tu warekebishe ukimalizia mjadala
Bishop unatatalika km bis iliokosa mafuta
Bishop yuko sahihi sana. Kawamaana ameonesha kwamba Biblia ni kuu kuliko quran.
18:04 😂😂😂 safi sana
bishop mkaidi hlf mbabaifu akioneshwa haki hataki tunamuombea dua kwa Allah ampe wepesi akiiona hali aifuate.
Bishop anajiingiza kwenye 18
Akiona majina kila mtu na lake,, kwanini harun babake imran na maryam babake imran,,,,
Ila anajitahid
The bible has lost in translations from the get go. Sana sana kwa majina.
Hilo ndo linawachaganya wakiristo wengi sikuhizi.
Read the Bible ... How comes Koran knows the Bible? You are confusing the father of Mary mother Christ with Moses father.
@@apolloorao4110 there is no where in the entire Quran that it has mentioned anything called bible.
Quran talks about injiil/injeel which is the name of the original book revealed on Jesus not this fabricated and manipulated book from its name to its verses.
And this is something that every knowledgeable Christian knows.
All Christian scholars from the past to the present will agree on this. Only deluded conmen will believe otherwise
Show me the original injil if you have .
@@apolloorao4110 as far as we know, the original book revealed to Jesus is non-existent today.
The oldest fabricated bible book as of today is called; Codex Sinaiticus/Sinai bible which is handwritten scripts in Greek that dates back 4 centuries after jesus! While the original book of jesus was actually in aramaic and not Greek.
That alone plus the name bible which means a collection of books tells you clearly that this is a diverted and fabricated book authored by the likes of Paul who never met jesus in their life. A self proclaimed prophets who were devils on earth.
Neither bible nor christianity ever existed during jesus.
Huyu askofu masomo yake ni ya kununua makaratasi, haelewi vitu simple. Kusema tu hijaandikwa na atulie ni ngumu kwake!
Kwann aelewi kua ao watu wawili tofaut
Haya we padri unamini kama kitabu chenu kimeandikwa na watu na kwa nini wametowa majina wakandika wanoyataka wenyewe tutajie majina ambayo yalofutwa
Mashaa Allah sheikh wetu Allah awahafidhi
Mzee anakwepa kwepa Tu sasa kama bibilia hakuna mahali imepinga kama Maryamu ni mwana wa Imran sasa utasema Quran inadanganya....wew bishop unatupoteza alafu unapoteza wakristo wenzio
Ni wa bishi wakristo kitu kinaeleweka naanabisha kubali t ushike udhu uswali wacha kubisha bwana shop mmmm limekuganda 😪😪😆😆😆
🤣🤣😅😅hapo kwa sauti sasa tafati
Ha.ha.haaaaa Bibilia Shkamoo NA nusu
Huyu mzee anarpoka tu.Hajuilolote.
Bishop usikwepe kwepe hapo kwa majina zaidi 3500 yaliotengenezwa😃😃😃.sisi sio hatujui babake merry ila haikuandikwa kwa biblia.huyu ndio kiongozi wa wakristo hamjui babu yake mungu wao
Paster us under confused
🤔Wenye chuki dhidi ya mwanaadamu kwasababu ya imani bado hawajamfahamu M-Mungu.
Ni askofu wa nani, Ni bibilia gani hiyo anasoma, atawapotosha waislamu nawachristo wengine
The best and 'an immediate money spinning' business to start today with ZERO upfront capital, is a CHURCH!
And Steven has hit the JACKPOT by starting a 'church', which will rake in millions almost immediately!
As we all know, Kikuyus worship money, therefore is ZERO chance that 'Askofu Steven' will abondon christianity and the money spinner he calls a 'kanisa'!
Eiiiiiiishhhhhhhh!!!!!! Very Impossible ⛔❌📛
bro you're spitting FACTS 😂😂😂😅
Shee Maneno mengi uli kwepa kujibu swali Maneno mengi
Pp
Ati Siri ya mama aijuaye??????wew kwaiyo wataka kusema Maryamu anasiri anajua babake Yesu.....
40:21 toba
Duu kumbe yupo msktn Hakika washirkna ninajis wasiikaribie msktniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Usitafsiri Qur'an vibaya