Chanzo cha Madhehebu katika Uislamu - Sheikh Salim Barahiyan

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • Full video ni hii hapa
    • Ni nani Ahlussunnat Wa...
    🎙️Sheikh Salim Barahiyan
    (Allah Amhifadhi)
    #ihsaantv #mawaidha #ukumbusho
    #ansaarmuslimyouthcentre

КОМЕНТАРІ • 39

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 дні тому +1

    BARAYANI NINAWASWASI SANA KUWA SIO MSOMI.
    MAANA HATA KUSOMA IBARA ZA KIARABU HUWEZI WALLAAHI

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 4 дні тому

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah shukrani kwa kunipa mawaidha mazuri Allah akuhifadhi sheikh wg Salim Barahiyani Allah awahifadhi wte mlio jumuika

  • @ilyasmuhsin3285
    @ilyasmuhsin3285 3 дні тому

    jazakallah khyra

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 4 дні тому +3

    Historia hii ukitaka kuilewa vyema sikiliza historia ya maswahaba kama ilivyosimuliwa na al-alama sheikh Othman maalimu.

  • @YusuphRashidi-b1j
    @YusuphRashidi-b1j 3 дні тому

    Dini ya haki mbele mungu ni uisilamu

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 День тому

    tatizo lenu hamjitambui kila mtu anajua

  • @hamynas
    @hamynas 5 днів тому +3

    hawa ahlu suna inaelekea ni watu wema saana,,lakini wapi wametajwa katika quran?

  • @universitylink
    @universitylink 4 дні тому

    Naombeni namba ya sheikh Salim Barahayaani

  • @abdulrahmanrajab4369
    @abdulrahmanrajab4369 4 дні тому

    Ah hn mamboh

  • @Jabir-v7j
    @Jabir-v7j 4 дні тому +1

    Kwahiyo mmeketi mnamskiliza sheh huyo au choko la kibaniumaiyya

  • @Jabir-v7j
    @Jabir-v7j 4 дні тому +1

    Wew ni ndugu yake na yazid nin

  • @Jabir-v7j
    @Jabir-v7j 4 дні тому +2

    Wale wote wanaoitakidi kuwa baadae ya mtume khalifa sio imam Ally na hawafuati maimam 12 wanaotokana na kizazi Cha mtume madhehebu zao ni bidaa tupu Wala hamna sofa ya kutujadili sisi mashia itikadi zenu ni mbovu mbovu

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 4 дні тому

      Nashangaa unajina kubwa kuliko ubongo wako
      Unatakiwa kufanya heshma huyo anayeongea kielmu wewe huna hata 1/100 ya elmu yake

    • @ilyasmuhsin3285
      @ilyasmuhsin3285 3 дні тому

      Shia kuffaar

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 4 дні тому

    Huyu bwana kazi yake kukufurisha watu na taasubi

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 дні тому +1

    ,zungumzia zulma kiongozi WA zulma NI Nani warudishie yatima WA said jañjira haki ndio update kuzungumzi hicho unachoongea

  • @HanafiZayumba
    @HanafiZayumba День тому

    Mawahabi msijifiche kwenye sun akaikomboe kwanza parestina ulio iuza kwa muingeleza na marekani umeuza uisilamu kwa mayahudi matokeo yake unatengenezewa vikundi vya kigaidi Sasa shia ambao hawasimamiwi mambo yao na mayahudi na nyinyi hamna Dola mnasimamiwa mambo yenu na mayahudi wanao wauwa waisilam nani je ni nani alie uza njia ya Allah kwa tamaa za Dunia utakuta ni mawahabi

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 3 дні тому

    Barahiyan hana anachokijua ni muongo katika waongo mwambieni asome kwanza historia kabla ya kukurupuka au inawezekana akili zake haziko sawa.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 4 дні тому

    Khurafi anaongea.

  • @MasoudChoum-pp1ob
    @MasoudChoum-pp1ob 5 днів тому

    Kamera man lengo ni kumuona mzungumzaji na kusikia kinachozungumzwa usioneshe mengineyo ushauri tu

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 4 дні тому

    Shekhe acha kutapatapa SEMA na utoe ya moyoni kwako

  • @ABUUALLYBARWANI
    @ABUUALLYBARWANI 2 дні тому

    Huyuu sio sheikh huyuu ni mnafiki tu kazi yake kubwaa ni kupachika chuki baina ya waislamu

  • @hamynas
    @hamynas 5 днів тому +2

    mh sasa nakupata. kwamba kulupotokea muawiya kukataa utawala wa ali pakazuka shia...sasa mwanzilishi wa shari katika uislamu ni muawiya?mbona husemi wazi?

  • @OfficialMutrah
    @OfficialMutrah 5 днів тому

    Nako kuna watu wanketi chini kumsikiliza huyu

    • @lucyvalentino9550
      @lucyvalentino9550 4 дні тому

      kwahiyo haya anayo yasema hayafai kuya sikikliza?

    • @lucyvalentino9550
      @lucyvalentino9550 4 дні тому

      haqi itabaki kua haqi ata kama kaisema nani ukiwa ww ni muislaam alafu unakejeli hadi maneno ya mtume alio yasema je watunasih tusikilize nn

  • @hamynas
    @hamynas 5 днів тому +1

    huyu sheikh ukiachilia hizo hina za ndevu hamna kitu anajua kusema ukweli

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 4 дні тому

      Kwa nini umemdogesha namna hiyo?

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 4 дні тому

      😢

    • @universitylink
      @universitylink 4 дні тому

      Kwani hina zinasema ukweli

    • @hamynas
      @hamynas 4 дні тому

      @@universitylink yah hina tunaambiwa ni suna na maana masheikh matapeli wengi wanatia hina kudanganya watu

    • @universitylink
      @universitylink 4 дні тому

      Ndio maana nimekuuliza kwani hina ndio inatoa hoja au sheikh ndio anatoa hoja , hapo umechemka kama huja kaanga

  • @binseif2216
    @binseif2216 5 днів тому

    Huyu bahariyan kanyimwa sadaka nawaupande fulani siwataji ndo kisa cha kuwachukia nakuwaponda

  • @abdulrahmanrajab4369
    @abdulrahmanrajab4369 4 дні тому

    Tena ilo jina lenu la assuar sun mmelpt wap