CASSIAN AMVAA IPM NI MSHIRIKINA ANATOA KAFARA KUABUDU MIZIM EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 110

  • @PascalSabonga
    @PascalSabonga 17 днів тому +2

    Mungu anamtumia mtu mmoja wa kutengeneza palipoharibika. Ubarikiwe sana mtumishi

  • @SamsonEmannuel
    @SamsonEmannuel 15 днів тому +2

    Mtumishi cassian ukovizur munguakutie nguvu

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 18 днів тому +9

    Zaburi 16:3 inasema Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora. Hao ndio niliopendezwa nao. Halafu anasimama anayejiita mtumishi na kukana. Neno la Mungu.

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 17 днів тому

      unamaanisha nini ,funguka vizuri

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 17 днів тому

      ​@@allymwashambwa5920 Huyu n ushirikina tu! Na kupapasa papasa hakuna mtumish hapo amkeni!!

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 17 днів тому

      Safi sana 👏👏👏👏

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 15 днів тому

      @@bahatimshali2731 una macho lkn kipofu una masikio lakini kisiwi....
      IPM neno lipi analohubiri la kupeleka watu jehanamu... usipobadilika na kusoma neno la Mungu na uombee Roho wa Mungu akufunulie yanayoendelea kwa hiyo madhabau.... wewe na yeye IPM na wengine wanaomfuatilia na kumsapoti akifanya kazi ya kishetani mtachomwa moto.

    • @PlickaChacha
      @PlickaChacha 14 днів тому

      ​@@allymwashambwa5920maana yake ni kwamba Mungu sio ni Mungu wa walio hai sio Mungu wa wafu

  • @EspeUwanyirigira-rv1bw
    @EspeUwanyirigira-rv1bw 17 днів тому +4

    Ipm wewe hawujuwe neno la mu ngu tena mungu atakupiga fimbo unapereka wa tu wa mu ngu jehanamu wewe prophete wa shetani mungu anasema ni mungu wa watu wazima siyo mungu wa wenye warikufa amen

  • @paskaliJohn-r5g
    @paskaliJohn-r5g 18 днів тому +7

    imani imevamiwa watakatifu simameni imala na kila asomaye na afahamu !

  • @LumiereAmisi
    @LumiereAmisi 14 днів тому

    Mungu akusaidie katika utuma yako

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 14 днів тому +1

    Huyu jamaa ana Imani potovu Sana anajieta prophet prophet of doom

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 10 днів тому

      ametokea kwenye uislam ndio maana wengi wanasema huenda ni wakala wa kuzimu amepandikizwa kupotosha Ukristo. siku za mwisho mawakala wa shetani ni wengi sanaaaa

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 18 днів тому +6

    Kitu ya kwanza huyu alitoka kwa uislamu... na kitu ya kwanza wanashiriki uganga... watu waliokufa wakiwa wenye dhambi wanatokea watu hili kuendeleza kizazi cha dhambi na mtu yeyote aliyekufa kama mwenye dhambi anaweza kakutokea kama babu yako na sio yeye ni misimu. IPM anaendelea kuwaambatanisha wengi na madhabau ya shetani.
    IPM sio wa kweli amekuja huku amejivaa ngozi ya kondoo na ni mbwa mwitu.
    Mtu akishakufa amekufa hakuna chochote anachohusishwa mfu.
    Ubarikiwe sana mtumishi kwa kuendelea kufunua haya kwa hakika naomba Mungu washirika wake wafunguliwe kupitia Neno hili.
    Ukifa mwenye dhambi ni jehanamu, mtu asipotubu na kutengeneza sasa atatupwa motoni... isitoshe mtu Yeyote awe mfalme au nani katika ulimwengu huu bila Kumfuata YESU sehemu yake ni motoni.

    • @ShukuruSemwenda
      @ShukuruSemwenda 17 днів тому

      Ufaham wako mdogo sana unatakiwa ujifunze mengi

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 17 днів тому

      @ShukuruSemwenda ukweli unauma sana. Bali utakuweka huru

  • @tukuswigaikasu5227
    @tukuswigaikasu5227 14 днів тому

    kazi ya Mungu imevamiwa na wahuni...

  • @Myahudiogw4d
    @Myahudiogw4d 17 днів тому +2

    Nabii gani hajui ata maana ya Utakatifu😅😅😅😅

  • @Myahudiogw4d
    @Myahudiogw4d 17 днів тому

    Utakatifu ni pale tu unapojua umekosea au umetenda dhambi umeenda kinyume kulingana na Neno la Mungu au Roho wa Mungu alie ndani yako. Ukitubu na kujitakasa hapo ndipo mtu wa Mungu anakuwa Mtakatifu🎉

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 17 днів тому +1

    Mungu aku baliki sana akupe mbingu milele amin

  • @IsharaalidaJacques-k1d
    @IsharaalidaJacques-k1d 18 днів тому +4

    Huyo Jamaa IPM ni Nabii wa uongo
    Kwa maana anahubiri uongo!

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 18 днів тому +2

    Mtoto hajui Wala hawezi kufundishika ni mtego wa adui asipokuwa chini ya usimamizi wa kiroho, hana hatima njema.Amem

  • @AlineIrankunda-o4l
    @AlineIrankunda-o4l 18 днів тому +3

    Yani hata washilika wa hapa wanatatizo kubwa sana Mungu awape uelewa

  • @Hussen581
    @Hussen581 17 днів тому +1

    Asante sana mtumishi Paschal Cassian unasimamia ukweli wa neno la Bwana wetu Yesu kristo .
    Mungu akubariki pia asifanye siku zako zakuishi hapa duniani ziwe nyingi mtumishi wa Bwana.
    Nakupenda sana mtumishi Paschal Cassian.🙏🙏

  • @PauloMacha-q1v
    @PauloMacha-q1v 17 днів тому

    Hakika MUNGU mwema kwakutupigania barikiwa sana mtumishi

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 17 днів тому +1

    1 Timotheo 4 : 1 - 2
    1, Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
    2, kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;

  • @MaarifaShow
    @MaarifaShow 17 днів тому +3

    Ww bado n mwehu ebu tembea omba kibali kwa mungu akufunze na uwache kuaibisha wachungaji

    • @dicksonmbuvi2756
      @dicksonmbuvi2756 10 днів тому

      Mungu akusaidie ujifunze kuamini biblia uache kuamini wachungaji

  • @CecyWaziri
    @CecyWaziri 17 днів тому

    Tuzidi kumbuomba mungu san 😢: mungu awafungue watu ambao awajui lolote 😭😭😥🙏🙏🙏🙏

  • @ngalulaselemani3297
    @ngalulaselemani3297 18 днів тому +3

    Waambie ukweli wasirudishe watu kwenye mizimu

  • @SiwatuSaid
    @SiwatuSaid 18 днів тому +3

    Ana chekesha mchungaji hajui dini akumbuke tajiri na razaro tajiri alipo kufa kili mkutanini kaburini

  • @victorirengo3857
    @victorirengo3857 18 днів тому +2

    Mmmmm... hakuna mchungaji hapa.

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 17 днів тому

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @ChristianityBasicchurch
    @ChristianityBasicchurch 17 днів тому

    YESU ni BWANA.
    Ukiwa vuguvugu kwa Mungu atakutapika👉Ufunuo 3:15-16
    Mafundisho ya IPM ni udhihirisho kuwa kutapikwa ktk kinywa cha BWANA.
    BWANA amefunua marinda ya IPM na uchi wake umeonekana ulimwenguni kote👉Nahumu 3:5
    Mburula aendelee kuwa mburula na mcha Mungu azidi sana kuutafuta uso wa YESU KRISTO BWANA

  • @elvira9325
    @elvira9325 17 днів тому

    Karibuni chapeo ya wokovu tusome Bibilia wote leo tuko zaburi 52

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 18 днів тому +2

    Mungu awe nawe MTUMISHI Cassian. Ameen 😊

  • @MedsonSanga-o7g
    @MedsonSanga-o7g 18 днів тому +3

    Kwaaa mjibu wa huyo mchumia tumboni.💸 Tambiko sio dhambia au kuabudu sanam 🥺🥺🥺

  • @henrykarisayaa9013
    @henrykarisayaa9013 18 днів тому +3

    Huyu ni mshirikina ajenti kutoka kuzimu

  • @ombeniMassawe
    @ombeniMassawe 16 днів тому

    Mtumishi wa Mungu umeleza ukweli kabisa yani umefafanua mpaka nimelewa kwel watumishi wengine wanatumia bibilia kupotosha watu luka 4 inalezea jinsi Yesu aliongozwa na Roho mtakatifu akajua uongo wa ibilisi aliyekuwa natumia neno kumdanganya mkombozi Ila Roho akampa uelewa Yesu wakuelewa uongo wa mvovu ibilisi hivyo tuzidi kuomba toba alafu tuombe muongozo wa Roho mtakatifu yohana 14( nitamwomba baba awape msaidizi yaani Roho mtakatifu)

  • @TumainiMwambusi-qz6zf
    @TumainiMwambusi-qz6zf 17 днів тому

    Waumini wanafundishwa na IPM Mungu awafungue macho na masikio ya ndani na awape ufahamu huyo anayejiita mtumishi Kwa mafundisho hayo ni ajenti kabisa huyo, duuuu Mungu simama mwenyewe maana nyakati hizi ni za mwisho ni wakati wakumtafuta Mungu Kwa juhudi kubwa sana.

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 17 днів тому +1

    So, Kwamba ajui ana jua sema kuna kitu ambacho kime jificha nyuma ya pazia ili wafundishe ivoo ana mana yake sio kwamba awajui

  • @prosperitymaarifa3324
    @prosperitymaarifa3324 18 днів тому +2

    Ukristo umevamiwa

  • @MaarifaShow
    @MaarifaShow 17 днів тому +1

    Muombee Tu mwisho Bora na c kuanza siasa ww n mdogo Sana kiroho yaani ww n mtoto Sana kiroho wacha kiherehere

  • @ej4409
    @ej4409 17 днів тому +1

    Huyu IPM anatudanganya sana .

  • @UfalmewaMungu
    @UfalmewaMungu 6 днів тому

    IPM amekuja kuharibu IMANI yetu,,,, anapaswa kufundisha na kufungiwa Huduma kwa malango wa Kikiristo,,,,hii sio IMANI ya Kikiristo kabisa.

  • @GODFREYKIPALILE
    @GODFREYKIPALILE 13 днів тому

    hv huyu ni mtumishi anataka maria atuombee kweli mafundisho haya ni hatari sana

  • @IsharaalidaJacques-k1d
    @IsharaalidaJacques-k1d 18 днів тому +2

    Ibada hiyo Niya kishetani!!!

  • @GeraldMakalala-z2c
    @GeraldMakalala-z2c 17 днів тому

    Cassian nakukubali sana ,hujawahi kunifelisha

  • @MedsonSanga-o7g
    @MedsonSanga-o7g 18 днів тому +1

    Wangemwuliza kwani Elia alikufa. Au ndio tuseme kama Yesu kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatumbukiq shimon wote 😅

  • @elshamotieno9876
    @elshamotieno9876 18 днів тому

    bwana yesu apewe sifa, kwa maoni yangu ni kwamba, wako wengi tu kama IPM, tunawatazama katika mitandaoni, mchungaji cassian, IPM ni mwislam, ukimfatilia vizuuri, utamjua kwa kuubiri kwake yeye hamuubiri yesu,
    anaubiri utajiri na kujinja, huvi vitu anavio vitaja, vilikuwepo kabla yesu hajakuja ku,ukomboa ulimwengu, baada ya yesu kristo kutokea viote vikatoweshwa, barikiwa mchungaji paschal endelea ku,eliminate watu wajue ukueli, by.

  • @rehemagunda1033
    @rehemagunda1033 14 днів тому

    Majibu yakuwa hapo hapo sio kama saii pokea magari 😂😂 weee wapi ukiota sakada majibu uhakika yapo hakuna utajiri wamaombi ujue 😊

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 17 днів тому +2

    Ipm haijui dini ya kikristo

  • @happinessmkombwemkombwe8677
    @happinessmkombwemkombwe8677 18 днів тому +1

    Hao wanaosema maria awaombee waulize imeandikwa wapi kwenye bible?njia ni moja tuu yesu kristo

  • @EvangelistMwamuzi-hy8jg
    @EvangelistMwamuzi-hy8jg 18 днів тому +3

    Huyu ni shetani kabisa

  • @dunialehani6188
    @dunialehani6188 17 днів тому

    Watu wangu wanahagamia kwa kukosa maarifa IPM HAKUNA MUUBIRI KWA SASA MWENYE KUHELIMISHA KAMA IPM KWA MAFUNDISHO YAKE KWA SISI WENYE UFAHAMU WA JAMII YETU NA UKOO WETU YOTE ANAYO FUNDISHA NI KWELI WEWE NDO USIE HELEWA

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 17 днів тому

    Ni kweli na ndo wanaanzaga hivyo wanachinja wanyama baadae watachinjana kwa madai kuwa hata ibrahimu na Yefuta walitoa watoto
    Akumbuke kuwa Andiko huua bali Roho wa Mungu Huuwisha

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 18 днів тому +1

    Huyu pm Pimbi sana Musa na ELIA anafananisha na Muhammad wao ELIA alipaliwa juu Musa alipaliwa juu sasa yy anafananisha Magufuli na musa au ELIA Pimbi huyo ajui bibilia huyu

  • @ShukuruBaruwani-j6f
    @ShukuruBaruwani-j6f 17 днів тому

    Amen

  • @AlexEduinBitogwa
    @AlexEduinBitogwa 18 днів тому +1

    Simamia Imani yakweei okowa Dunia ya sasa

  • @petropastory8254
    @petropastory8254 15 днів тому

    Iyo inaitwa kweli waambie mizimu na mashetani ndio vinavyopenda damu ko huyo Ipm anamwakilisha shetani tu

  • @MichaelWambula
    @MichaelWambula 18 днів тому +1

    Amina mtumishi manabi wawuongo wameja

  • @gadisanga-ee2il
    @gadisanga-ee2il 16 днів тому

    Mtumishi kasiani naomba kujua kujenga kaburi nidhambi?

  • @deomlope1648
    @deomlope1648 17 днів тому +1

    Kwan ipm anasoma wap afu wapi amesema sadaka za kuchinja? Sadaka n sadaka ila imebadilishwa tuu kuchijna na kuto kanisan afu wapendwa tusitenganishe maandiko mengine yanafaa na mengine hayafai namanisha ipm yupu sahihi

  • @JoaquimdriveMicher
    @JoaquimdriveMicher 17 днів тому

    Mathayo 24:24
    II petro 2:1-2

  • @yvonnewitandaye1873
    @yvonnewitandaye1873 14 днів тому

    Imeandikwa kwamba Mungu hana ushilika nawafu • Siyo Mungu wawafu ni Mungu wawaliyo hayi;huyo Jpm nimujumbe wa shetani•

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 17 днів тому

    Elia hakufa Wala Musa hakufa

  • @JASIRIGR
    @JASIRIGR 17 днів тому

    IPM yupo sahihi

  • @fredymbilinyi6323
    @fredymbilinyi6323 18 днів тому +1

    Fundisho la uongo hilo

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 18 днів тому

    Ni kweli hakuna nabii hata mmoja siku hizi Bali ni wafumu wanaongilia mambo ya mungu

  • @janethjohn1217
    @janethjohn1217 17 днів тому

    Hii ndo shida ya kuto kuwa chini ya mchungaji,anakosea na anaona yuko sawa

  • @JenniferMadwanga
    @JenniferMadwanga 14 днів тому

    Kumbukeni injiri sio siasa mbona mnatupotosha Sasa tuamini nani mkweli?au nani muongo acheni kutuchanganya wachungaji

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 14 днів тому

    Cassian mwamposa uko Kenya sasa

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 17 днів тому

    Ila walio wa Muñgu watakuwa wameshajitoa

  • @TshambyDidier
    @TshambyDidier 18 днів тому +1

    Amen amen 🙏🙏

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 18 днів тому +1

    Hawa waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu

  • @navokisembo
    @navokisembo 17 днів тому

    Mhh huyu ndo wale manabii wa uongo watu tusome biblia zetu.
    Please fundisha mtumishi Pascal

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 17 днів тому

    Huyu ni mshirikina

  • @FredNzunda-w4g
    @FredNzunda-w4g 18 днів тому

    Hii hatari mtumishi Cassian sema ukweli hawa hawatakiwi kabisa

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 18 днів тому

    Huyu pm sijui MP huyu ni muislam hivyo wao wanaamini majini na mizimu ndio wanaamini sana hivyo bado ajaokoka huyo

  • @elvira9325
    @elvira9325 17 днів тому

    Kabisa eliya alipaa lakin pia musa alipokufa malaika alikuja kumchukua ndo maana had leo hamna kaburi la mussa wana Eliya wasome bible watu wasiyumbishwe

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 13 днів тому

    Uyu jamaa kafanana kweli na shabiki wa yanga yule shetani

  • @babsalu
    @babsalu 18 днів тому

    Mzee acha kuponda kila kitu

    • @esterpeter8556
      @esterpeter8556 15 днів тому

      Kwamba ujaelewa ata kidogo anachofundisha Mt Cassian au umeamua kugoma Kwa makusudi tuu?

  • @sharonkerubo9030
    @sharonkerubo9030 17 днів тому

    Hapo Sasa nami, sikualiani nawe, mbona kila mtumishi wewe humpinga? Abraham alipotoa sadaka ya kondoo ilikua ni kosa? Hatuwezi fanana kila mtu na njia yake vile alivyo itwa, wewe nenda ki vyako na yule aende ki vyake. Namuunga mkono IPM

  • @victorirengo3857
    @victorirengo3857 18 днів тому

    Hivi wachungaji kama hawa wanapataje waumini? Huyu Hata biblia haijui. Ni shida kweli .

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 14 днів тому

    Imani potovu wewe unapotisha wasio jua neno la Mungu wewe ni wrong namba

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 18 днів тому

    Na waislamu katika swala zao wanamuombea Muhammed 😂sasa najiuliza kati ya Muhammad na wao nani wa kumuombea mwenzake😅

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 18 днів тому

    IPM na sio APM

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 17 днів тому

    Pascal wewe inabidi uje tukunoe vizuri unachompinga nikweli kabisa huyo IPM .ila unampinga kwa kidogo ila kuna sehemu wewe na IPM mnakutana Sasa huo ni unafiki .

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 18 днів тому

    Bikila Malia akuzikwa KBS huyu aijui bibilia

    • @PlickaChacha
      @PlickaChacha 14 днів тому

      Umejuaje au bible kuna sehemu gani inasema hivyo

  • @James-i6u5c
    @James-i6u5c 17 днів тому

    Ipm nenDa kakomalie kuruhani huku tunakuchoraa tuuu

  • @EdinaRuben-l2k
    @EdinaRuben-l2k 18 днів тому +3

    Wapo wengin na wamejaa mungu atusaidie mm na mshukuru mungu Kwa mtumishi wetu anae tufundida kulijua neno

  • @falcaonamisi1377
    @falcaonamisi1377 18 днів тому

    Nimependa fundisho

  • @RamadhanAlly-p8j
    @RamadhanAlly-p8j 18 днів тому

    uyu ni tapeli kol ubalikiwe cassian

  • @Africasafarichannel
    @Africasafarichannel 16 днів тому

    Wanao msikiliza ni wajinga

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 18 днів тому

    Not true they y talk aboughy idals, is not the true faith, uko sawa IPM ni 99 asilimia kasoro moja msingi ni upotofu.Amen

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 18 днів тому +1

    Wamulizeni na wengine wa uongo wanasemaje? Ipmnaye pia ni mtu wa mungu na ana ushuhyda wa kazi aifanyayo. Tusemeje leo jamani 😊

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 18 днів тому

      Kwahiyo, umewahi kutokewa na ndugu zako waliokufa?

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 7 днів тому

    Ipo hivi wewe cassian usiishi kwa kukalilishwa ishi kwa akili na ufaham,kati ya ufaham wako na biblia nikipi unachokiamini? Ulichokizungumza akina mashiko biblia iliandikwa nawatu kwa ajili ya mamboyao binafsi

  • @FarajiHaruna
    @FarajiHaruna 16 днів тому

    Ipm yupo sawa sema wewe ndo hujui

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 17 днів тому +1

    So, Kwamba ajui ana jua sema kuna kitu ambacho kime jificha nyuma ya pazia ili wafundishe ivoo ana mana yake sio kwamba awajui

  • @IsharaalidaJacques-k1d
    @IsharaalidaJacques-k1d 18 днів тому

    Ibada hiyo Niya kishetani!!!