subuhana wwah,,,,ya Allah (sw) tusamehe makosa yetu na utujaalie tuache kusikiliza nyimbo,,,,,lkn pia Allah(sw) atujaalie tuingie katika pepo ya firdaus kwa rehma zake amiiiiin
Kweli music ni haram jameni, nimeshuhudiya mwenyewe. Myaka 10 ilopita nilikuwa Dj lakin after kumskiya Sheikh akichambuwa uharamu wa music Alhamdulilah i stop listen to music. BEST CHOICES EVER IN MY LIFE - karibuni CD 300 na vyombo vyake nimetupa jalalani - break contacts za watowaji kazi - stop disco, clubs na Bar etc... MATUNDA AFTER TO STOP MUSIC - Imaan -Quran -Swala - rizki ya halal - ugonjwa wa kuanguka kifafa umepona -Marafiki katika Imaan -Utulivu wa moyo na akili -Amani nyumbani Etc...........
Mtihan mkubwa(fitna kubwa) upo ktk Nyimbo na Miziki..Jamii imharibika kwa kuathirka na Miziki! Huu ni mpango (Mission) unaofanywa na Makafiri (Wamissiinary)/wanaopinga Uislam. Leo utakuta (kawaida) baadhi ya % kubwa za Radio na Tv (vyombo ya habari) hutangaza matangazo/habari huku ikiambatana/ikifuatiwa na Nyimbo/Mziki lengo kuwapoteza Waislam wapende Miziki. Utakuta kijana wa Kiislam anaimba Mziki (Mwanamziki) hujiita/huitwa msanii kioo cha jamii kumbe ni muharibifu wa maadili ya jamii . Wanadai mziki ni ajira, kiburudisho haha kama haram itabakia kuwa haram.
Alhamndulilah Allah akulipe kila kheri sheikh wetu tunakupenda kwa ajili ya Allah shukraan kwa ukumbusho Allah atujaalie mwisho mwema
MaashaAllah sheikh Ni Hutba ya zamani lakn kukumbushana ndio sawa waislam..Shukran jazzillah
Ma shaa Allah, shukurani Jazzilla Yaa Raabby
Maa shaa Allah,
Nimeikumbuka Hii Khutba miaka imepita Tokea zama zile mwalim Ako kwenye ubora wake mpaka Leo maa Shaa Allah.
Allah Amhufadhi zaidi
Allah akupe umri mrefu shekh nurdeen kishk shukran kwa ukumhusho
Allah atuongoze katika kheir tuweze kuifata na atuepushe na shar tuweze kuiepuka
Ameen yaa Rabbil aalamiin
Astaghfirullah Mwenyezi Mgu atuongoze katika njia iliyonyooka Amiin ya Rabbil Allamin shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh barakallahu fik
Ameen
Jazaakallah Khairan Sheikh!
Allah akupe umri wenye baraka
akupe mwisho mwema na akuingize jannatul firdaus yaumul qiyama.
Ya Rab, Atuhidi umati wa Nabii Muhammad Sallallahu Alayhiy Wa Ssalaam
Alhamdulilah Allah akulipe
Shukran sheikh kwa kutuelimisha
Maa Shaa Allah... Allah akupe siha njema.
subuhana wwah,,,,ya Allah (sw) tusamehe makosa yetu na utujaalie tuache kusikiliza nyimbo,,,,,lkn pia Allah(sw) atujaalie tuingie katika pepo ya firdaus kwa rehma zake amiiiiin
Masha Allah
Jazaakallah kheir
Sheikh Kishik kuna jambo muhimu kuhusu uislam wetu naomba sana tuwasiliane tafadhari.
Allah awalipe kheri Masheikh wetu..hakika Music inaharibu mioyo na Qur'an inaleta utulivu kwenye Mioyo yetu...Shukran Jaziyla Sheikh Kishq
Mashaallah hakika Allah Qareem
Allah akujalie ishaallah
Kweli kabisa watu tumepinda sana ALLAH atufanyiye wepesi tuachi mabaya😭😭😭😭
Aaaamina ya Rabby 🤲 🤲 😔😔
Kipindi icho ilikuwa shule nahiari nichlewe lkn darsa zake Kupitia Voice of Istqama nimskilize uyu sheikh.
MashaAllah Shukran
Baraka llahu fik sheikh kishk
Allah akupe kila la khery sheiykh wetu nurdin kishk
Allah akulipe kheri
Shukran sheikh
Mashallah
Masha Allah jkr
Yalllah tupemwusho mwwema yarab
Ameen
Allah a2fanyie wepec 2ache kuckiliza mambo ya ovyo
Masha Allah
Jazakum Allahu kheir
The professional
Kweli music ni haram jameni, nimeshuhudiya mwenyewe.
Myaka 10 ilopita nilikuwa Dj lakin after kumskiya Sheikh akichambuwa uharamu wa music Alhamdulilah i stop listen to music.
BEST CHOICES EVER IN MY LIFE
- karibuni CD 300 na vyombo vyake nimetupa jalalani
- break contacts za watowaji kazi
- stop disco, clubs na Bar etc...
MATUNDA AFTER TO STOP MUSIC
- Imaan
-Quran
-Swala
- rizki ya halal
- ugonjwa wa kuanguka kifafa umepona
-Marafiki katika Imaan
-Utulivu wa moyo na akili
-Amani nyumbani
Etc...........
Masha Allah
MashaAllah brother
Ma shaa Allah
Mashallah allah azid kukuongoza ila namshkuru mung siupend mzik wal sin akil ya kuhifadh nyimb alhamdu lilah
Allahumah Amin
Allah Atunusuru sisi wote
Mashaalaa dawaa nzur
Jazaakallah kheir
Mashallah shukran
Jazaqallah khailla.
Shukran
Ana ouhibou lillah Ana masrourou birou iyatihi
mawaidha haya nayapenda sana Alhamdullillah Alhamdullillah kwa neema ya kuwa Muslim
Ma shaa Allah
Yana umuhim mkubwa sana haya maneno
Eh Allah niokoe me mja wako
Mashallaah
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojal
Ya Allah utujaliye mwisho mwema
Asalaam Aleikum....walai muziki ni msiba mkubwa kwa jamii haswa ya kiislamu...
Quruani tikufu shekhe kishki
Mungu atunusuru naayo
Jaman mi Nina mchumba nikitaka kumuoa lakini wakwe zangu ndo tatizo nisaidieni mchango wa mawazo nifanyaje?
Kwa hakika mawaidha haya yanagusa wengi
niukwer
Kwahiyo kupiga dufu na Nai ni haramu?
Astaghfirullah😢😢
😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
😭😭😭😭😭
Sheik tueleze ndoa ya siri ni gani na inafaa au haifai
Je ikiwa ngoma ni kharam dufu linaekwa nafasi gani?
Umenena
Zote hizo ni haramu huo do ukweli
Al
Mtihan mkubwa(fitna kubwa) upo ktk Nyimbo na Miziki..Jamii imharibika kwa kuathirka na Miziki! Huu ni mpango (Mission) unaofanywa na Makafiri (Wamissiinary)/wanaopinga Uislam.
Leo utakuta (kawaida) baadhi ya % kubwa za Radio na Tv (vyombo ya habari) hutangaza matangazo/habari huku ikiambatana/ikifuatiwa na Nyimbo/Mziki lengo kuwapoteza Waislam wapende Miziki.
Utakuta kijana wa Kiislam anaimba Mziki (Mwanamziki) hujiita/huitwa msanii kioo cha jamii kumbe ni muharibifu wa maadili ya jamii . Wanadai mziki ni ajira, kiburudisho haha kama haram itabakia kuwa haram.
P
Astakafraallah
Huyu Shekhe kwanza mnafiki tu
Kwa hio unamaana kua mziki n halali ama
Ndugu yangu Taqqllah,usiwe mwepesi kusema hayo kwa Muislam mwenzio
subhanallah unafiki wake ni nn
Wengine akili zao Sio nzuri jmn km hawa wapuuzeni tu
Allah atujaghalie kher
Mashaallah
Manshallaah
Mashaallah
Mashallah