UJIO WA KAMATA KAMATA YA VIONGOZI WENYE MAMLAKA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 16 днів тому +2

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @consolatamairi3862
    @consolatamairi3862 15 днів тому

    Tumeangamizwa kwa kukosa maarifa. Bwana akuinue zaidi ili wengi wapate haya maarifa wafanikiwe.

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 16 днів тому +1

    Ndiyo mwamba🎉🎉🎉🎉

  • @JosephLadisilaus
    @JosephLadisilaus 15 днів тому

    Safi sana na iwe hivyo

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 16 днів тому

    AMIN AMIN NA IWE KAMA BWANA ALIVYOKUONESHA

  • @AzizaMohhamed
    @AzizaMohhamed 15 днів тому

    Mungu mwema maana mchi imekuaa yaoo

  • @knight6757
    @knight6757 16 днів тому +1

    🇹🇿😭

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 15 днів тому

    Wafungwr tuu kwa kweli maana ubabe na uonevu umezidi.

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 15 днів тому

    mmmmmmm

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 15 днів тому

    Matapeli nyie kira siku mnatabilia siasa tu kwann msitabilie mambo mengine mnatukmika vibaya sana

  • @SolamhelaKulwa
    @SolamhelaKulwa 16 днів тому

    Mtumishi naomba utafisiri ndoto hii ilinipa shida . Niliota niko nyumbani kwangu ikanisukuma niendo kujisaidia kwa jirani yangu nilipofika kwenye choo chenyewe nikao.a sio choo lakini wakati nimetoka nikaona watoto wawili wakike na wakiume wamekaa kwanye jiwe kubwa wanalia na wakiimba machozi mengi yanawatoka yule wakike analamba machozi ya yule mdogo niliona upendo wa ajabu sana juu yao nilipoamka nililia sana nikaomba na kufubnga sikupata majibu ya jambo hili pls naomba maana yake.

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 15 днів тому

      Hilo jiwe uliloota ni jiwe la Daniel ambalo linashuka kwa kasi sana kuja kuupiga ulimwenguni na hayo machozi ya watoto ni kilio na kusaga meno tunatakiwa kuomba sana mwisho umekaribia 🙏🙏🙏

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 15 днів тому

      Jiwe lilotabiriwa Daniel