G Nako Ft. Ben Pol - MAMA YEYOO (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 22 кві 2013
- G Nako Ft. Ben Pol MAMA YEYOO Official Music Video
Follow GNAKO
Instagram: / gnakowarawara
Twitter: / gnakowarawara
TikTok: / gnakowarawara
Facebook: / gnako.warawara
Listen to GNAKO
Boomplay: www.boomplay.com/artists/862430
Audiomack: audiomack.com/acityfinest
Apple Music : / artist .
Spotify : open.spotify.com/artist/0ywww...
UA-cam: / gwarawara
SUBSCRIBE for more official content from GNAKO : / gwarawara
#gnako #benpol
Who is still Watching 2024 ... Gonga like
Niko hapa 2024
2024 hii ngoma bado inahit❤
Jamani kama mmeshindwa huyu jamaa kupata views hata 1M hapa basi tupe hata like kwa hapa how come ngoma kali kama hii jaman tunaiacha inakuwa na viewers wa aibu na mna hii!!! Aisee Like kwa chalii hapa
Best collaboration ever bro G Nako fanya Kaz nyingine na Ben pol 🔥🔥 creativity at its peak... Still watching to this masterpiece 2022
milele mama yeeyyooooo..so proud kuweka comment wa kwanza
naikubaliiii
2019 bado kabinti Ni hela zng 💪🏼💪🏿
Edit: 2023 and still banging. This song ages like fine wine
Salut kitambo sana chimbo mojaiv noma
Respect nyingi sana.
Daaah hii ngoma nikiisikilizaga nafeel raha mana ngoma ipo na vibe la kutosha mdundo ndo usisemeee jamani mama yeyoooo
Sun 03 2020 nikiwa pande za Pakistani saa 4:17 am .usiku naskiliza hii nfoma kwa mara nyingi nimekumbuka sana hii ngoma .
my best song since namjua g warawara & now March 2017 kiukweli iko na memory nyingi xna hii ngoma in my life.
mimi pia hii kiboko
ii ni 2020 kma bado inaielewa iingoma naomba like yako tuwe pa1
the fav since,am the biggest fan wa huu wimbo jaman
Viewers hawaendani na ubora wa ngoma...
Dec 2023 ❤
kama kuna bora yakusiliza ukiwa unapunga upepo au unaendesha gar hii nyimbo Ni hatari sanaa nainasikikizwa nawajanjaa tuu.
Ni moto
nmeingia hapa baada ya entervew ya refresh
nishee
Still watching this song 2019 this was the hit song I love this G.nako ooooh dah
Hii ngoma inaishi miaka kwa miaka 🔥🔥🙌🙏
2018 still listening to this masterpiece as if it was released yesterday.
huyu jamaa yukwaapi jamani. hichi kipaji sio cha hapa tanzania
big up kwa Monagansta na Chizan brain kutoka jikoni, credit kwa Ben Pol pia kwa sick vocals, classic bongo flava music, peace!
G ulitulia hii aisee 💪💪
Dunia yangu mama yoooooo
Kilele cha raha kuna Steve Wonder
Bonge moja la ngoma ubunifu ni mwingi sana
Walawala the kankala really mashapu oya G.uliuwa milele mama yoo,, k47 sound
😂yesahhhhh
Mpaka2020 Bado ni noma,
G nako tuletee remix ya hii
Still listening to this hot joint, and the year is 2050
Haha lies
2020 .Am still enjoy this truck
me too, dont get it why odds are not inline with G-nako, he should be far
Hii ndo ilikua hiphop kutoka kwa weusi sio sasa asee
2020 bado she rock my world🔥🔥
Nakumbuka uu wimbo nipo form2 naupenda sana
This truck is still a jam daamn
This song just crossed my mind 🔥🔥
❤2024 chaliii
Location river camp..chemchem 🔥🔥. Memories🙌🙌
2020 I am here again...
2020 whos here. Forever a CLASSIC
Ka song poa Sana
Nyimbo nzuri sana.2020
My all time favorite 🔥🔥
2023
Namjaza mabusu sio mateke. 🕺🕺
favourite song😍 ❤️
2021 Gnako bado nomaa sana true talent lives here🔥🔥🔥🔥
2020 mbinu ya utajir ni ubahili...
tulio kuja baada ya kifo cha nisher tujuane
Kanichanganya mnako oh my god lyrics 🔥 feeling better 🎉
2022 Here I am..God's plan,And they are married🔥✅❤️
We kaka jamaniii, u so talented
Nimekuja kumuangalia huyu vixen baada ya story ya Gnako XXL damnnn! She's fine G..
2021 rocking with good music. Baada ya post ya insta may 17😂😂😂
Still watching in 2018
Aitokuja kutokea ngoma kali kama hii walaii
Hili Reggae lilikuwa ni la mwendokasi🔥🔥 #2022
Huyu ndo msanii anayerap na kuimba
naangalia 2019
hatar G nako
Am still watch it 2019
Zaidi ya uwezo mmetisha laaana
2021 I'm still enjoy this truck
aseee nyimbo kali kinouma
Niandikie mashairi ya huu wimbo
2023✊✅✔️☑️💥💯
Safi sana kipindi hicho
Shaluoti sana G wara wara
Perfect
2022 bado naisikiliza hii ngoma
Kupita week sjaskia hii ngoma hua nahis week haijaisha
2021 iwe milele mama yoyo
2022, bado ngoma iko hai🔥🔥
2019 wapi
Hii nyimbo inanikumbusha mbal saana dah
Nani anapelekwa higher na hii ngoma 2021
2023 📺
Quarantining to this jam... April 2020...kankara
Bonge ya ngoma milele
Bonge la ngoma
2020 mpooo? still pumbu
2023 hit song co poa yan duuh
J nako hukosei man
2020 whoz around plz.....
2019 May 24
Mafundi wawili wakikutana on the stagee
JoInT ya Nguvu...
Nyimbo nzuri sana 2013-2023
Nani yupo hapa 2022
Still watching 2021
Ngoma yangu pendwa ya mda wte
Hicho kichaka kinavyo tinginishika hatar 😀
Inanikumbusha mbl
Uliza Mwanangu John Mseke
2022
2021🔥🔥🔥
G nako vp wapi umeenda wewe
2020 gnako 🦁🦁 December
2020??
It's remind me 2013 😭😭😭